SAKATA LA GHOROFA KARIAKOO LAFIKA MEZANI KWA RAIS/RAIS ATOA MAAGIZO KWA WAZIRI/ KAMISHNA AFUNGUKA

  Рет қаралды 45,530

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 214
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 ай бұрын
Asante sn Mama Samia, na Hongera sn Dada kwa kupambania haki yenu. Safi.❤
@MohamedSarahani-gk6jx
@MohamedSarahani-gk6jx 3 ай бұрын
Asante Sanaa mweshimiwaa raisii naa waazirii waa ardhii mungu awapee maishaa marefuu
@samirasalim4203
@samirasalim4203 2 ай бұрын
SubuhanaAllah, Allah atupe njoyo za kukinai. Maisha ya dunia tunapita tuu. Huyo aliyomiliki yupo wapi inalilah wainailah Rajiun. CC ní wapita hapa duniani.
@Farryunique
@Farryunique 2 ай бұрын
Well done maa, Allah akupe uzima afya njema kusimamia haki yako. ❤❤
@1961nungwi
@1961nungwi 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongereni wote. Haki huinua taifa. Taifa hili litasimama.
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 ай бұрын
ALHAMDULILLAH,MWENYEENZI MUNGU UAMUA HAKI HALALI ,WASIOWAJUA NDIO WATASEMA UJINGA WAO, WATUULIZE SISI TUMEKUWA NAO HAWA WASICHANA WOTE,NA MIMI NIKIWA BEST FRIEND WA FAIZA BAHSHWAN NA WOTE HAO NAWAJUQ VIZURI NA SANA NA MAMA NA BABA WOTE SINCE WHEN WE WAS TEENAGER.URAFIKI WETU ULIKUWA NI NDUGU KABISA MPAKA HII LEO KUANZIA SISI MPAKA WAZAZI WETU WAMEKUWQ KAMA NDUGU KWENYE HIZI FAMILY SABABU NI FAIZA NA MIMI.ARAFAT ANATUSIKITISHA SANA SISI DADA ZAKE, SABABU HAKUNA ASIOJUA KUWA HILI GHOROFA NI MALI YA DADA ZAKE,HALAFU ARAFAT NI MDOGO SANA KWA WOTE HAO WHY AMEKUWA TAPELI KIASI HICHI.YAANI ANAMPA SHIDA SANA MAMA. AMBAE AMESHAKUWA MTU MZIMA SQNA KWA SASA ,ARAFAT KWANINI HUWEZI KUHESJIMU MAMA NA DADA ZAKO HAKIKA ANATUSIKITISHA SANA SISI WOTE TULIKUWA NJE YA NCHI. HASA KUMTESA MAMA NA DADA ZAKO AMBAO NI BABA MMOJA MAMA MMOJA ,HUMUOGOPI MWENYEENZI MUNGU WEWE MBINA NI MDOGO SANA KWENYE HAYA MAMBO YA UTAPELI? YAAN TUSIKITIKA SANA TENA SANA SISI TULIO KUWA PAMOJA .WHY USIFATE MFANO WA AKINA BUI? JINSI GANI ANAVYOWAPENDA DADA ZAKE? MBINA MOHAMED NA SAEED HAWAINGILII MALI YA DADA ZAO ,WHY YOU ARAFAT.UNATIA AIBU SANA ESPECIALLY KWENYE FAMILY ILIYOKUWA NA UPENDO NAMANA HII UNATAKA KUMUUMIZA MAMA ARAFAT.NASEMA KWA UCHUNGU SANAA BAADA YA KUSIKIA HII STORY FROM LONDON WATU WANANILETEA VIDEO ZA SABAH NA MAMA WANALALAMIKA KUHUSU DHULUMA UNAYOWAFANYIA.EMBUBRUDI KWA MOLA WAKO MDOGO WANGU UNATUSIKITISHA SANA SISI AMBAO TUNAOKUJUA TOKEA UNAZALIWA TUNAKUONA WHY ARAFAT.UNATAKA KUMUUA MAMAKO HUNA IMANI NA MAMAAKO? MFIKIRIE JAMILA NI MLEMAVU UNAMDHLUMU WAKATI UNAJUA FIKA ANA WATOTO WANAMTEGEMEA.ARAFAT UNATUSIKITUSHA SANA. SABAH JONGERA SANA MDOGO WANGU UNESIMAMA KAMA WEWE NDIO MKUBWA KWA AJILI YA DADA ZAKO MWENYEENZI MUNGU AZIDI KUKUSIMAMIA INSHA ALLAH.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 3 ай бұрын
Amina
@shadyalardhi7854
@shadyalardhi7854 3 ай бұрын
Sabaha hongera mungu akulinde tunampongeza mheshimiwa mama samia na slaa
@MosesShileka
@MosesShileka 3 ай бұрын
Oh N
@MosesShileka
@MosesShileka 3 ай бұрын
Mjkom ol
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 2 ай бұрын
Mama uko vizuri
@wahiwaziri7363
@wahiwaziri7363 3 ай бұрын
@jambotv hongereni sana kwa kazi nzuri, mmefanya jukumu mama kama chombo cha habari, online media zingine igeni mfano huu na sio kuripoti ujinga ujinga tu
@bongo39
@bongo39 3 ай бұрын
Hongera sana sabah kwa kusimamia haki ya ndugu zako huyu arafat hongera mama samia slaa na bwana kyando mungu atawalinda
@zitongwang6278
@zitongwang6278 2 ай бұрын
Wow big up Sana her excellent Samia suluhu Hassan, na waziri WA ardhi , na hongera Sana Dada Kwa kupambania haki yenu, tunaomba HAO mapolice uchwara walivokuwa wakisimamia uhalifu washughulikiwe na KAZI Yao isitishwe.🙏🙏🙏🙏
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 ай бұрын
Arafat kweli Tapeli hata mama yake amemkataa kuwa Bi Nuru si mama yake. Huyo mkurugenzi afukuzwe atatoaje demolition order bila kuwapa notice wapangaji atleast miezi 6
@othmana2
@othmana2 3 ай бұрын
Very sad
@shanibaniyas6308
@shanibaniyas6308 2 ай бұрын
😢
@shanibaniyas6308
@shanibaniyas6308 2 ай бұрын
​@@othmana2😢
@Omari-d2h
@Omari-d2h 2 ай бұрын
Yaani mkurugenzi useless easy ananunuliwa brother
@monicasemsey1125
@monicasemsey1125 3 ай бұрын
Safi sana hongera sana mama. Samia kwa kufanya haki kwa akina dada hao
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 ай бұрын
Mkurugenzi anashirikiana na Matapeli.Hana maadili.
@JohnP-gl1ie
@JohnP-gl1ie 3 ай бұрын
FUTA kazi
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 3 ай бұрын
Lakini mkurugezi hawamtaji kama amekiuka maadili alipaswa wamchukulie hatua
@tusekilemwakatobe7763
@tusekilemwakatobe7763 2 ай бұрын
Hii ndio serikali ya mama Samia haki itendeke hati tu inaeleweka kwa Nini mizunguko iwe mingi kiasi hicho nahamini serikali ya mama yetu Samia Hassan suruhu ni sikivu l love you mama ❤❤❤❤
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 ай бұрын
Ndugu hao baba na mama mmoja,pesa mbaya sana,huyo Arafat ametumbua pesa aliopewa na baba yake, akamatwe na kupelekwa mahakamani, tapeli huyo ndugu.
@wardalardhy8669
@wardalardhy8669 3 ай бұрын
Safi sana dada ! Halali yako !
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 3 ай бұрын
😂😂😂😂 kijana mjinga atajua hajui baadhi ya vingoz ni mishenzi wanakula rushwa leo imefka mwisho
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
Kila Mkoa zipo shida kama hizi
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 3 ай бұрын
Hao msimbaz hao Mungu anawaona!!
@jessekigona4102
@jessekigona4102 2 ай бұрын
kazi nzuri jambo tv
@MwajumaSaidi-e1x
@MwajumaSaidi-e1x 2 ай бұрын
Inshallah mungu atawasimamia wa dada Hakii ya mtu haipotei huwainachelewa tu ...Ameen. Ahsante sana jambo tv kwa kufikisha habari hii mahala husika kwa wakati Mali za watu zilikuwa zinapotea bila sababu maalum.
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 3 ай бұрын
Asante boss umemsaidia waziri.
@shmohd11
@shmohd11 3 ай бұрын
Safi sana, Kazi Iendelee Mhe. Slaa
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 2 ай бұрын
Mashallah Alhamdulillah
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 3 ай бұрын
Hongera Kamishna wa Ardhi Msaidizi Shukrani Kyando.
@kavyashortsleon
@kavyashortsleon 2 ай бұрын
Huyo mkurugenzi achukuliwe hatua anaichafua serikali za mama yetu Samia
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 3 ай бұрын
Huyo Arafat Kwa maelezo hayo ni tapeli mwizi anatakiwa ashitakiwa na kwenda jela miaka thalatha na arudishe kodi zote alizochukuwa
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 ай бұрын
Huyo mkurujenzi afukuzwe kaz anakula rushwa kuwanyanyasa watu na haki zao
@kavyashortsleon
@kavyashortsleon 2 ай бұрын
Kama kweli ndiyo hivi afutwe kazi kabisa siyo kuhamishwa
@Omari-d2h
@Omari-d2h 2 ай бұрын
Wako Sana watu WA hivyoo Nina kaka yangu msomali nae matatizo sana
@Omari-d2h
@Omari-d2h 2 ай бұрын
​@@kavyashortsleonafukuzwe
@jomba6514
@jomba6514 3 ай бұрын
Asanteni sana serikali yetu kwa kutenda haki
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 ай бұрын
Pole wadogo zangu huyo mdogo wenu jambazi
@RAMADHANCHANDE-cg9sy
@RAMADHANCHANDE-cg9sy 3 ай бұрын
Huwa nachukiwa sana kuona mwanaume mwenzangu kugombania urithi
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 ай бұрын
Yaani kuwa na ndugu wengine ni mtihani kwa kweli Arafat umekuwa mwiba kwa dada zako
@abcstudiostanzania
@abcstudiostanzania 2 ай бұрын
Kaka Kyando. Asante sana
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 2 ай бұрын
Hongera serikali kwa kupigania Haki
@husseinali-fc2xl
@husseinali-fc2xl 3 ай бұрын
Hongera jambo T.V.
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 3 ай бұрын
Mungu anisamehe lain naona pia kama mheshimiwa ameonja kitu kidogo
@samsonsamsonbayyo
@samsonsamsonbayyo 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@alihussein4303
@alihussein4303 3 ай бұрын
Poleni Sisters, Big up yourself Stand up for ur right. Well done Jambo Tv
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 ай бұрын
Mzee kafanya vizuri sana kuwa risisha mabinti zake mapema❤❤❤
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 3 ай бұрын
Mama samia❤❤❤❤❤❤❤❤
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 ай бұрын
Safi sana serikali kuwasaidia hawa wakina dada. Arafat weka ndani kabla hajawaumiza dada zake.
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey 3 ай бұрын
safisana kaka Alhamdulilah mungumkubwa hakiyamtu gaypotey
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
Mkurugenzi alitaka kununua yeye kimeo fukuza KAZI huyo
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 3 ай бұрын
Hueleweki
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 2 ай бұрын
Kabisa
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
Pesa zimetembea !!
@yudanziku6030
@yudanziku6030 3 ай бұрын
Uko sahihi sana afisa
@themaestro-24
@themaestro-24 2 ай бұрын
NILIONA NDUGU ZA MUME WANGU WAKIWEKA VIKAO VYA SIRI KUMDHULUMU NDUGU YAO ASIPATE KITU.MJITU MIZIMA KULISHWA NA WAZAZI AIBU
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 3 ай бұрын
Bado kuna tatizo kwenye system serekalini mpaka Rais au waziri waingilie kati ndio jambo lipate ufumbuzi police wanahusika wazi kwenye kuchukua rushwa na manispaa lakini wao wapo salama ila arafati pekee yake ndio anayetajwa hapa
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 3 ай бұрын
Kweli mtoaji na mpokeaji wote hatiani
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 ай бұрын
Who is SAGARA. Fukuza arafata na sagara weka ndani. Acheni hao madada wapate haki yao, Naamini Wazir Silaa na mh Mama yangu Rais Samia , mtapata haki yenu
@2003hintay
@2003hintay 3 ай бұрын
Marhum namfaham maskini inasikitisha sana kusikia haya
@Farryunique
@Farryunique 2 ай бұрын
Well done Sabah 😊❤❤❤
@hamisidale2704
@hamisidale2704 2 ай бұрын
Watu wachache wenye ngozi mchanganyiko wanakuwa na kiburi cha kutoheshim mamlaka,huyo alieomba kibali cha kuvunja usiku wa manane lazima achukuliwe hatua! Na ili apunguziwe adhabu amtaje aliemtumia kuchomoa karatasi katika hilo faili ili na yeye awajibishwe! Mh Jerry silaa kazi Anza na Arafati"Akwambie kamuonga nani kuchomoa karatasi hakuna kulindana
@Nedjadist
@Nedjadist 3 ай бұрын
Hii nchi haitaendelea. Uongozi dhaifu unaodhoofisha institutions kwa maslahi yao, ili wawe na madaraka zaidi; matokeo ni vijikesi vidogo vidogo hivi lazima viamuliwe na Mkuu wa Mkoa, Waziri na hata rais!
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 ай бұрын
Ndio Serekali ya Mama Samia inayetatua matatizo ya watu hivyo nyie mtateseka sana na anayoyayafanya Mh.Rais Samia
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 2 ай бұрын
Ndiyo tatizo la kupewa kazi kwa kuangalia kadi ya chama tawala.
@ajoseph31
@ajoseph31 2 ай бұрын
Ingekua uyu dada ajitambui, bila shaka wangerushwa hi mali
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 3 ай бұрын
Tunamshukuru Dr slaa na kamishna na rais samiha kwa kuwa wasikivu
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 3 ай бұрын
Hongera sana dada yangu mungu yu pamoja nawe arafat taperi kuna watu wapo nyuma yapazia
@caesar7745
@caesar7745 2 ай бұрын
Nyie viongozi mnafanya kazi nzuri sana lakini tatizo moja tu. Watendaji wenu wananuka rushwa. Sasa kama mama kamtafuta mkurugenzi na yeye ndiyo kasababisha haya madudu na bado na kazi😅😅😅😅. Ifike pahala Rais awe anafukuza hawa watu. Siyo kuwahamisha. Sasa hata polisi nao rushwa tu. Mnampelekea defenda na hati mnaziona. Tena mwammnke. Pole mama
@wardalardhy8669
@wardalardhy8669 3 ай бұрын
Na sisi huko kigamboni tungwi , mali ya marehemu baba yangu imetekwa na Fahad mwenye company ya RIO na mdogo wangu Mohamed akabampikwa kesi ya jinai , tumefika sector zote za serikali tunazungushwa tuu .
@1961nungwi
@1961nungwi 3 ай бұрын
@@wardalardhy8669 nendeni kwa Waziri Silaa. Imekwisha hiyo!
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
It's vyombo vya habari ongea Na Jambo TV watakusaidia
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 3 ай бұрын
Jamani nenda Millard watakusadia pole
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if 3 ай бұрын
Allah awafanyie wepesi
@wardalardhy8669
@wardalardhy8669 3 ай бұрын
@@MwanahamisHussein-dp2if Ameen
@dayuunassirnassir5854
@dayuunassirnassir5854 3 ай бұрын
Hongera dadangu kwa kupambania haki yako
@sleyumrashid7794
@sleyumrashid7794 3 ай бұрын
Mkurugenzi mtu Wa Dili hafai kukaa ofisini
@rosehaule6765
@rosehaule6765 3 ай бұрын
😂😂ntu wa dill mkurugenzi
@salehemsumi615
@salehemsumi615 3 ай бұрын
​@@rosehaule6765Ntu wa dili Nkurugenzi,kataa!
@joysekiza3944
@joysekiza3944 3 ай бұрын
Mungu wangu miaka kumi mungu atawapa hathabu ya mioyo yenu
@hamisidale2704
@hamisidale2704 2 ай бұрын
Aliechomoa karatasi kwenye faili ni nani lazima mtu awajibishwe! Hiyo itakomesha watendaji wasio na maadili ya kazi zao" Jerry Silaa Mheshimiwa anzia na kwenye faili nani kazichomoa karatasi kwenye hilo faili"
@Omari-d2h
@Omari-d2h 2 ай бұрын
Mkurugenzi bongo hatari
@rahimhassan6722
@rahimhassan6722 2 ай бұрын
Good work 👏
@TwalibKambangwa
@TwalibKambangwa 3 ай бұрын
Dadanakupamauwayako.🎉
@mwanahawanyambi9440
@mwanahawanyambi9440 3 ай бұрын
Allah akulinde Rais Samia na watendaji wako haki zitendeke kote. ulinzi uimarike kwa Sabah kwa kupambania haki yake na nduguze Arafat Umtake Radhi mama yako .
@arafahhh5574
@arafahhh5574 3 ай бұрын
Kikubwa mkifanikisha tu mliuze ili muepukane na hilo tapering likaka lenu
@TwalibKambangwa
@TwalibKambangwa 3 ай бұрын
Tunamjua.arafat.nitaperi.sana
@MaabeshFungurume
@MaabeshFungurume 3 ай бұрын
bro huyo Arafat ni bonge bonyeye au huyo mwingine ana upara
@charlessentiyongo8484
@charlessentiyongo8484 3 ай бұрын
Safi sana kiongozi, watendee haki, hao wadada, hata huku Mbeya wapo wanaodhurumu haki za watu ,hasa ardhi na makazi, ingekuwa vizuri mje hata huku.
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 2 ай бұрын
Alhamdullillah
@wahidaaidha544
@wahidaaidha544 3 ай бұрын
Namna hiyo
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 ай бұрын
😂😂😂 TZ 🇹🇿 ofisi zote utapeli mtihani,
@aqthamsalim6775
@aqthamsalim6775 2 ай бұрын
Allah awasimamie juu ya hilo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 3 ай бұрын
Arafati ulivyodhulumu inatosha tubu mungu atakusamehe jua kabisa haki ya mtu haipotei
@bongo39
@bongo39 3 ай бұрын
Huyo arafat atafutwe na achukuliwe hatua za kisheria ni mwizi ni tapeli msanii mshenzi mkubwa
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Kwani msanii
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 ай бұрын
Msenge sana huyo dogo
@graceadam8390
@graceadam8390 3 ай бұрын
​@@AllyMaya-yj3xd Pp P P Pp P Pp P I P P P P
@ZalkhaRawahi
@ZalkhaRawahi 2 ай бұрын
Mama Samia angalia hili kwa jicho la taifa ikiwa Arafat kataka kuwadhulumu ndugu zake lkn kuna viongozi wa serekali wanaonesha wazi kuwa wanalidhumu taifa Arafat ataadhibiwa kiupande wke lkn na hw viongozi wawajibishe kwahisani yko mama
@abcstudiostanzania
@abcstudiostanzania 2 ай бұрын
Balton umenenepa sana Kaka. Fanya matizi Mashavu yataziba Macho
@tusekilemwakatobe7763
@tusekilemwakatobe7763 2 ай бұрын
huyo arafaty ni tapeli kweli pesa mwana haramu😭😭😭😭
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,zulma aliyofanyiwa mjane na yatima wake mama samia msaidie apate haki zake mafaili yapo kila wizara husika lipo lakini wanalifumbia macho mama wa wanyonge msaidie mjane
@twahambowe440
@twahambowe440 2 ай бұрын
Vyombo vya usalama viwajibike kwa kumtafuta, maana huku ni kujipatia mali kinyume na sheria (utapeli)
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 2 ай бұрын
Hivi inakuaje kumfikia RAIS iwe rahisi KULIKO mkurugenzi aliyeteuliwa na RAIS amsaidie? Hii Nchi tunaipeleka wapi? Muheshimiwa RAIS ANA KAZI KUBWA KULIKO INAVYOONEKANA
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 3 ай бұрын
Katajwa Mkurugenzi pia polisi msimbazi mbona hawawajibishwi?
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 ай бұрын
😂😂😂wanakula kwa urefu wanoamba zao
@iddykhamis4558
@iddykhamis4558 2 ай бұрын
Pamoja na muheshimiwa kuingilia kati hili swala Kuna watu hapo chini wanatakiwa kuwajibishwa kwanini mpaka Rais aingilie kati wakati Jambo lipo wazi zulma ya wazi kabisa yaani muhalifu alikuwa anasikilizwa kuliko wenye Mali Kuna watu wakuwajibishwa kabisaaaa
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 ай бұрын
Huyo kaka yao ni mnyama asana anawadhulumu dada zake. Tunaiyomba serikali imchukulie hatua kali sana. Huyo ni hatari sana tapering mkubwa huyo mshenzi. 😢😢😢
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 ай бұрын
Hata cjui watu wanashida gani sasa kuuza jengo kila mtu apate chake mmiliki alishakufa tatizo watu wanapenda vitu .
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 ай бұрын
Kwanza jengo limeishaoza tafuteni mbia achukue jengo
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 2 ай бұрын
Wateule wakishateuliwa wanachokijua KUWA wamepewa nafasi ya ULAJI sio kumsaidia Rais kutatua kero za wananchi
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 ай бұрын
Yaani yanaumiza yanaumiza hya mambo yafamiliya sana .Anatokea mtoto mmoja tu anahodhi mali zte kma zakwake,unahangaika mhkmn mpka unakataa tamaaa,Baadhi yaayendaji wamahkm sio waaminifu hawana huruma nafamiliya zawatu,wanatoa hki upande mmoja,hta upeleke ushaidi hawakuelewi.Watapindisha pindisha mpka kesi inakuwa ngumu
@themaestro-24
@themaestro-24 2 ай бұрын
MAMA SAMIA NAKUPA HONGERA SANA MAMA KWA KUSAIDIA AWA MABINTI
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 2 ай бұрын
Huyo Arafati kahongamalizake anatakakuchukua malizadadazake
@trecygohy7847
@trecygohy7847 2 ай бұрын
Huyu mama yuko vizuri. Mume wake, mama yake na baba yake alipo wanajivunia kupata kichwa kwenye family yao
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 2 ай бұрын
Arafat anafaa ashitakiwe kwa utapeli lughushi na kudanganya serikali
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 3 ай бұрын
Mama vipi Ngorongoro hujasikia wananchi wana taabika na ardhi??
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Nimemuelewa sana huyu mkuu
@themaestro-24
@themaestro-24 2 ай бұрын
MKURUGENZI OUT..............YAANI MAMA SAMIA USIMUACHE
@simonkaaya1220
@simonkaaya1220 2 ай бұрын
Haki Haki Haki Haki
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 2 ай бұрын
Daaah mpaka raisi aingilie kati hi nchi ya ajabu kabisa
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 2 ай бұрын
Arafat ameyatimba.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 3 ай бұрын
Kwani Harafaty kwanini hajakamatwa mpaka sasa yeye nani bado Naona mapungufu hapa ishu kama hizi mpaka ziende Kwa Rais kama asipoona????
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey 3 ай бұрын
polisini mbwakaziyawo rushwa wanamuharibiya mama washezi marawanatekawatu bakuwabambikiya kesi
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 2 ай бұрын
Haki imetendeka
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 3 ай бұрын
pole
@kavyashortsleon
@kavyashortsleon 2 ай бұрын
Mkurugenzi afukuzwe
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН