Huyu jamaa ni genius , he is right on one thing; wasomi wengi wanapokwenda kusikiliza maoni ya wafanyabiashara wanachoangalia ni jinsi gani hayo MAONI yataingia kwenye software na program wanazotumia maofisini badala ya kuangalia jinsi gani ya kutengeza/kununua program/software ambazo zinazingatia na zinasapoti maoni ya wafanyabiashara. Wasomi sikilizeni EXPERIENCE mtengeneze Tanzania.
@Mwakaismsociety17 күн бұрын
Moja kati ya interview Bora sna,so genius so leadership msukuma.
@louisisd109012 күн бұрын
Best interview ever
@benmramba10237 күн бұрын
Singida ni syril kamikaz 😂😂😂
@Westgangmusic16 күн бұрын
Hii interview bora 2025 🎉
@slimmuhabesh240017 күн бұрын
Mmetisha studio
@slimmuhabesh240017 күн бұрын
Huyu Charles anajua sana
@abdurazaqiamisi146310 күн бұрын
Ametisha sana wallah
@MAYIRAWILLIAM15 күн бұрын
Msukumaa 🤝🤝
@dossantoschannel180816 күн бұрын
Amejisahau km yupo wasafi.....anahisi clouds
@StanleySewando-nb4xm17 күн бұрын
WAANDISHI MKO DHAIFU SANA KUBALANCE STORY CCM WAMEKUWA WAKIZODOANA SANA ILA HAMUWEZI NDUGAI ILIKUWAJE
@KivumaTalha16 күн бұрын
Adela nampenda saut yako
@Mwakaismsociety17 күн бұрын
Ana akil sana.
@salenysalenya836915 күн бұрын
DKT MSUKUMA, tunaomba vigezo vya kuwa kiongozi wa serekali sana sana mbunge wawe na uwezo wa kufanya biashara, wanalipwa fedha nyingi wanashindwa kuwekeza.
@dolomentfrance41816 күн бұрын
Huyu siyo Dr wa heshima bali awe Pro wa heshima
@African51116 күн бұрын
Hapa ndipo ninajua kabisa Mzungu alituibia maarifa ya kweli tukapewa kusomea cheti,Alooo elimu ni tofauti na Busara,King msukuma kishimba,Tabasamu,mwana F.A hawa watu huwa nawaelewa sana aiseee,me kiufupi siasa sitaki napenda mtu mtendaji wa kazi.
@JamilaMohamed-l9y16 күн бұрын
waallaah mheshimiwa rais ange wasikiliza watu wadarasa la Saba tunge fika mbali sana tuu
@ShaibuMlewa-rk2rc16 күн бұрын
Huyu jamaaa ana uelewa mkubwa Sana
@suleimanbalemba334815 күн бұрын
Ndo maana kumbe hela zinapigwa mambo mengi
@issataslima984616 күн бұрын
huy amepangwa, vizuuri tuu plus yanga na simba zitacheza maana yake mitandao itabadili upepo Chadema haitazungumzwa
@salehmdemu572216 күн бұрын
Mh Msumkuma yupo na akili sana,,tatizo nchi yetu haitaki watu wa aina hii,,inataka wajanja janja tu
@mose8217 күн бұрын
Genius
@AdolfMwalyoyo16 күн бұрын
Natamani siku moja huyu msukuma aje kugombea uraisi na atapita
@issataslima984616 күн бұрын
halafu shida ya waandishi wa habari hawaulizi maswali kama wao wanavoona Ila wanauliza jinsi wengiine walivo sema
@makilimsimu245117 күн бұрын
Kujivunia msukuma haitoshi mpaka apewe nafasi zinazolingana na Mawazo yake
@novathmsanyamsanya770215 күн бұрын
Nimegundua kuwa msukuma ana akili sana ila siyo ya kuitetea ccm akiulizwa maswali kuhusu utekaji yeye ana switch kurudi uchaguzi wa chadema., siyo mbaya ila jamaa yupo positive sana kwenye mambo ya rasilimali za nchii
@khamisshaban470316 күн бұрын
Musukuma vyote ulivyo ongea umeongea point Ila kweny uchaguzi watanzania tunaona so msi2fanye atuna akil
@SuddyBrown-h9o16 күн бұрын
Wasafi leo ndosiku ya kwanza mumefanya kipindi kizuri sikuzingine mlikua mnatuletea wapiga kelele😂 msukuma leo kanifanya ni jifunze kitu
@kagirasta147617 күн бұрын
Akili nyingi
@StanleySewando-nb4xm17 күн бұрын
Kamaliza Kila kitu Samia UMASKINI unaongezeka Kila mahali
@issataslima984616 күн бұрын
CCM woote wanamtaka mbowe tunajuwa ili aendelee kuwafichia maovu yaoo watu wanapotea wanapoteza
@mohamedkige253516 күн бұрын
Akili nying
@Hziimedia11 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/qmSpkmWvrcismrM
@Stan-10316 күн бұрын
Huyo mtangazaji wa kiume mwambieni aache kumkatisha mgeni
@josephsulusi903717 күн бұрын
Matangazo marefu sana mna boh
@casiannyaki66417 күн бұрын
watu wanalipia mzee
@YOSHUAMWAMPETA17 күн бұрын
NINAWASUBILIA KESHO mnipe ripoti ya T.P MAZEMBE kama itakubali KUFUNGWA GOLI NNE NA YANGA.Huo muujiza ni ngumi kutokea ila KAMA YANGA AIKIJITAHIDI SANA NI MBILI MOJA.
@giztony200917 күн бұрын
Ndo shida ya kupewa bahasha kabla ya kuhojiwa
@casiannyaki66417 күн бұрын
ila CCM kiboko
@NancyMatuli-fb5jp16 күн бұрын
Msukuma Acha uongo kwani wapinzani tu ndo walikuwa hawajui kusoma wala kuandika msijifanye kuwa Watanzania woteee wana akili kama za kwenu
@JihadiHamis-ju4wx17 күн бұрын
uyu jamaa anakili sn
@aairraahseif564817 күн бұрын
Akili gani za kupiga kelele😂, jimbo lile pale limemshinda,utadhani anaongoza wafu barabara halipitiki ulisha wahi kumsikia anaongelea maendeleo ya jimbo lake😂😂lkn kelele nyingiiiii😂
@Kilinga669916 күн бұрын
Mh msukuma nashangaa unapokataa nyie kutengeneza sheria dhaifu nyie wabunge ili ziwanufaishe nyie bunge lenu ni lege lege na limekoswa maarifa ya kuiongoza serikali na kutoa maendeleo kwa jamii
@bonnieambayuu646717 күн бұрын
Nyamsongorooo
@hassanmbwambo809717 күн бұрын
Jimbo la kijijini linawatu laki saba hapo umetupiga
@mwigulunchila992717 күн бұрын
Salary sasa 😂
@mrmweusi59216 күн бұрын
Watangazaji mnaongea sana katikati ya interview
@Stan-10316 күн бұрын
Kabisa, huyo jamaa anamkatisha sana msukuma kufunguka
@mrmweusi59216 күн бұрын
Anazingua sana next time wazingatie kumpa nafasi mtu ya kujieleza baada ya kumuuliza swali wamezingua
@aairraahseif564817 күн бұрын
Wewe umewsnufaisha wangapi kupitia hiyo demokrasia, au ndo njia ya kupiga pesa na wajinga ndio waliwao, mbona maisha ya wananchi wako yamekuwa magumu na wamerudi nyuma kimaendeleo, umeuwa hata soko,wananchi unaowaongoza nimapoyoyo
@rochiusromward849517 күн бұрын
🫡 Msukuma
@tibasubatilubuza166617 күн бұрын
Waliofanikiwa kwenye maisha,story ni nyingi,zigne uongo,Hivi story ya king kuanzisha usafirishaji ni sawa na kile anachokiongea Leo!!