No video

#LIVE

  Рет қаралды 12,014

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

#LIVE🔴FAHAMU NAMNA YA KUSWALI SWALA YA WITRI

Пікірлер: 17
@AminaMollel
@AminaMollel Жыл бұрын
Hakika Mimi huwa nina kichwa kigumu Sana cha kuelewa jambo lakini Shekh wewe sijawahi kuacha kuelewa Darasa lako💯💯 Allah akujaze majazo mema🤲
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 5 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.
@halimaomari3415
@halimaomari3415 2 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh umesema,nikweli kabisa ikiwa huna usingizi kumswalia mtume,mia fil mia
@nurujuma5959
@nurujuma5959 5 ай бұрын
Asante ❤
@user-kn8mg2su7i
@user-kn8mg2su7i 9 ай бұрын
Ahsante sana mmungu akulipe ujira uliomwema kwa elimu hii uliotupatia
@AidatAmadi
@AidatAmadi 4 ай бұрын
Asalam aleykum je ukitaka kuswali zaidi ya tat pia iyo moj unanuia aje naomba msaad wsk
@MohammedAhmed-qw2tz
@MohammedAhmed-qw2tz Жыл бұрын
Wallahi hiyo hakika tena yanitokea sana nikisoma dhkri au kuskiliza Quran basi nikijituliza tu kwa umakini wakuiskiza basi hafla tu najikuta usingizi ushanichukua yani Hilo niukweli kabisa
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Shukran! Sasa nimefahamu vizuri
@kinanasimngwadja4514
@kinanasimngwadja4514 5 ай бұрын
Jazaqallah kheir
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Masha Allah!!! Allah akulinde Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
@user-ru6jt4vd6q
@user-ru6jt4vd6q 5 ай бұрын
Asalam aleykum sheikh me nauliza naweza sali witri halaf nikaamka badae kusali qiyamullail?
@malkiaabedi7286
@malkiaabedi7286 2 жыл бұрын
Assalam Aleikum sheikhe ukisali witri baada ya insha sasa km umelala umeamka unasali tahajud sasa unaweza kusali NA witri tena
@aishakudra9992
@aishakudra9992 2 жыл бұрын
Hapan Kam unaamka ucku bas ukimaliz Isha au taraweh ucswal witr uswal ukiamka ucku baad ya kuswal tahajjud yaan kwakifup witr inaswaliw ucku Mara moj
@allymbaya2701
@allymbaya2701 Жыл бұрын
@@aishakudra9992 Mtume SAW hakutofautisha swala ya tahajud na tarawehe wakati wa mwezi wa ramadhani, tahajud ndio hio hio inaitwa tarawehe wakati wa mwezi wa ramadhani wakati wa Mtume SAW na masahaba! na tarawehe bora ni kama ile iliyokuwa inaswaliwa na Mtume SAW na masahaba, yaani inaswaliwa usiku wa manane!
@halimaomari3415
@halimaomari3415 2 жыл бұрын
Lazima udingizi uje
@thuwaybamahfoudh552
@thuwaybamahfoudh552 2 жыл бұрын
In bi ok I'm
@saidaabdu6964
@saidaabdu6964 Жыл бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂❤❤❤
FAIDA YA SWALA YA TAHAJJUD
1:11:29
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 65 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
WAKATI GANI UTSWALI SWALA YA SAFARI
11:23
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
SWALA YA UKIWA NAHAJA KWA MOLA AW KWA MJA NI HII.
13:47
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
MAKOSA YANAYOFANYIKA KATIKA KUSWALI SWALA YA WITRI || Muhammad Bachu || 23/7/2022.
1:02:03