1.Amka Usiku 2.Sali rakaa Mbili 3.Toa Salamu 4....
Пікірлер: 221
@LadyMwana-tm3erАй бұрын
Alhamdulillah shekhe nashkuru ...maana Allah amenijibu mtoto wang alikua anasumbuliwa sana nasikio huvumba asubuhi na kupasuka jioni..lkn niliifanya hiyo nakulia sana ..mpaka sasa nashkur nimzima wa afya
@stacymutheu10256 ай бұрын
Ndio hii dua wapenzi wa Allah Rabbana AAtina fiiddunya Hassanat wafil akhirat Hassanat waqina Adhabannar
@achelniyongere74166 ай бұрын
❤
@nasirmohamed15895 ай бұрын
Fullstop wewe ndo umemaliza dua nzito hiyo ina vyoooote humo akili zetu tunazo wenyewe hatujabebewa na mashehena
@stacymutheu10255 ай бұрын
@@nasirmohamed1589 Allah atufanyie wepesi sote inshaa Allah.
Hii swala ilinitoa kwenye Mtihani mwaka 2020 niliswali wiki mfulilizo nikajibiwa na nanazid kujibiwa mpka kesho Alhamdullilah
@Kingsolo-co3cdАй бұрын
Mashallah
@rehemashee5802Ай бұрын
Mashallah
@HusnaSultan-pz9ep2 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu..❤ inshaallah❤
@MwinyiMasaiАй бұрын
Shukran Ustadh Barak Allah fiika
@HeriethChristopher2 ай бұрын
Aslamalleykum mim ni mkristo ila najikut2 nafarijika kila niskilizapo mada za maarim 🙏
@user-wx6sf5zl6wАй бұрын
Karibu kwenye UISLAM akhy
@kautharsalim502521 күн бұрын
Karibu kipenz
@habibmohammed11832 ай бұрын
Mashaallah huwa nikikuckiliza shekhe moyo wangu unapata furaha sna
@user-lg6go2df8w5 ай бұрын
Nimefuatilia video zako sana nakuzifanyia kazi huezi amini mafanikio ambayo nimepata wallahy alhamdulillah Allah akuhifadhi sana akupe mwisho mwema Allah akujalie uwe miongoni mwawatakao pata pepo yake sina malipo zaidi ya kukuombea dua 🤲
@salhagoma45125 ай бұрын
Amina
@rehemamwachindi65695 ай бұрын
Amin
@NunuKupela4 ай бұрын
Nimekuwa nafanya lakin sijafanikiwa inachukua mda gan wa kufanya hivyo
@rahmaally91514 ай бұрын
@@NunuKupelahauna imani ndo maana unaona inachukua muda
@NunuKupela4 ай бұрын
@@rahmaally9151 nitajitahidi
@user-zm3vj3pj5j2 ай бұрын
Mungu akuzidishie sheikh wanguu akupe maish marefuu
@FatmaKombo-z7y11 күн бұрын
Inshallah
@abacarjoao6 ай бұрын
Lailaha Illallah Mohammadur Rasulullah ❤❤❤❤.
@YasminaMkaliАй бұрын
RABBANA ATINA FID DUNYA HASANAT WA FIL AKHIRAT HASANAT WA QINA ADHABANNAR
@user-fc7vm5lk7u3 ай бұрын
Huyu Ustadhi nampenda sana na namuelewa sana hakika mungu akuweke
@ummusalim19915 ай бұрын
Sheikh Othman nakupenda kwa Ajili Ya Allah😊.... Ma shaa Allah Kila ninaposkiza darsa zako sikosi kupata faidaaa😊 Alhamdulilah ❤ Allah azidi kukupa umry na Afyaa Tuzidi kunufaika na ww 😢
@ShabaniAlly-lp6yn25 күн бұрын
Allah akulipe shekh wangu
@muddymuzungu43576 ай бұрын
Tukithirisheni Sanaa Sanaa Kumswalia MTUME MUHAMMAD SAW in Shaa Allah shida zetu zitatatulika Bi idhni Llahi
@abasibrahim48282 ай бұрын
Rabana atyna fildunia hasana wafil akhiraty hasana
@AsmaKassim-sr2yzАй бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi
@user-mx4wi8ic5e6 ай бұрын
Naam sheikh outhman usiku unamiujiza mingi sana...shukran ..Allah akubariki sheikh wetu
@HADIJAAMRANI9 күн бұрын
Mashallah ....allah akuweke milele daim uzidi kutuelimisha inshallah....😢
@DadaksheshundaАй бұрын
Asante san shehe kwa dua mungu akubariki
@zaymuxtapha3 ай бұрын
Maaxhaallah Allah mung akupe mwixho mwem
@Muzdalifat-fz7pi3 ай бұрын
Allahuma barik laku Sheikh Othman, i love you for the seek of Allah for what you have been tought and remind us
@AbubakarKhamis-jx2mp3 ай бұрын
kaswida zaramazan
@AbubakarKhamis-jx2mp3 ай бұрын
Nileteye
@AminaHenry-un5zj2 ай бұрын
Mashallah🙏 Allah atuweke tuzidi kujifunza
@user-sd7ms7wf9tАй бұрын
Mansha allah allah akbaru
@BintiMalungumo2 ай бұрын
Inshallah allah atujalie atup weps
@user-nv9uh1yo5m3 ай бұрын
Shukran jazaaka llahu kheir inshallah.
@user-wj3fr2yh4qКүн бұрын
Allah Atakulipa inshaallah
@HadijaAbdull3 ай бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie
@CikeTanzania2 ай бұрын
Sura ndefu kwetu mtihan maamuma ndg zangu.
@HalimaSaid-ed7cx5 ай бұрын
Yaa allah tuondoshee uvivu tuwe tikiamka kiyaumul layli
@Warsann4 ай бұрын
ameen 😊
@aishanyanchoka762Ай бұрын
Aameen ya Rabb
@OmanOmam-mt8it2 ай бұрын
Wallah sheikh Othuman Mungu akupe umri mrefu nakupenda sana kwajili ya allah
@marietheresenyandwi86715 ай бұрын
Jaazakhallah kheir mwenyezi mungu akupe mwisho mwema sheikh
@Khadija-l6q10 күн бұрын
Manshaallah
@AminaSuleiman-qd7es2 ай бұрын
Allah atujalie tumkumbuke inshaallah.
@SharifaRamadhan-wu7ddАй бұрын
Sheikh Allwah akujaalie Afya njema Inshaallwah kill la kher
@BihijaSwaleh8 күн бұрын
Alhamdulilahi rabilalamin
@jennymwakibasi20698 күн бұрын
napenda san kuwa muislamu
@kashrajabu57445 күн бұрын
Kalibu inshallah
@ChidDonyo-ii1yw4 күн бұрын
asanteh sanah tatizo sina msaada na mambo machache sana nayafaham
Alhamdulillah kwa darsa zako hii clip kwanza niliiona tiktok na leo tena nmeion inshallah ttafanyia kaz haya allah akuweke tuzid kunufaika nawe ameen thumma ameen
@AishaNZEYIMANA-pk1wd5 ай бұрын
Insha Allah 🙏
@user-wx6sf5zl6wАй бұрын
Jazakallah khair
@husnamwalugha-qq7by5 ай бұрын
Shukran sheikh wetu jazakah Allah kheir
@broumaiyyah80186 ай бұрын
Barakallahu fiikii
@user-ce6qg7wn4o6 ай бұрын
Maishaallah Allah akulip kilalakher
@user-vl4md8rj6i6 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiye
@ummusalim19915 ай бұрын
SubhanaAllah 😢
@happyhamza99166 ай бұрын
Msaada jamaniii iyo dua ambae anaejua naomba aniandikie,kwa ambae anaejua kwa ajili ya Allah mtuelimishe sio jua🙏