Masha Allah our beloved Swaahibu Al-Ashjar, you explain above and more regarding your lectures, we benefits & we learnt a lot through all your lectures, May the Almighty Allah grant our sheikh happiness, peace of mind and long life Ameen yarab including crews members, CEO, fans & viewers
@aminamooni14883 жыл бұрын
Masha Allah. Ustadhi. Ukovizur. Mwenyezi mungu akupe. Umri. Mrefu. Na akupe. Ayfapia uzidikutuelimisha
@victormajura332Ай бұрын
Ukitaka kumpata live inawezekana
@ndayishimiyedjalia4 жыл бұрын
Shukran jaziilan Allah akubariki na akuzidishiye fahamu
@isacalvarolazido Жыл бұрын
Jazaka Allah, Allah akuhifadhi Sheikh
@samiasadiki29284 жыл бұрын
Mashaallah,baraka llahu fiik,mwenyezimungu akuepeshe na shari
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Shukran sheikh pamoja na team nzima yazanjibar tv.
@wemahamadi78474 жыл бұрын
Barka Allah sheikh, shukran kwa kutujuza mengi.
@khawla10khawlakhawla804 жыл бұрын
Assalamu aleikum shukran umetuma faida Allah atakupa kila la kheri
@abdallahmagai854511 ай бұрын
Shukurani,Allah akuzidishie ufahamu,afya na upendo kwa jamii.
@AlideIussufo Жыл бұрын
Mashaa Allhah,mungu akulipe na Mila hery
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Shukran sana jazakaallah kheir kwa neema na faida
@badiuraabdallah18974 жыл бұрын
Asante ustadhi kwa matibabu asilia
@SaadaMasoud-r9e Жыл бұрын
Asala Aleikum warahmatullah wabarakatu mm na mtt wangu anasumbuliwa sana maradhy hayajulikani
@RABIAMANENO6 ай бұрын
Shukuran Kwa elimu hiyo Mungu akuzidishie.
@julietwanami7154 жыл бұрын
Asalam aleikum sheikh,shukran kwa dawa unazo share na sisi..Allah barik
Aslamu aleikumShekhe wangu mimi nakupata wapi nna shida.Allah akupe kheri daima utukomboe kutokana haya
@SonaSona-fd4zm4 жыл бұрын
Assalamu alayekmu warahmatullahi wabarakatuSheikh hayo mafuta ya mbuyu yatatoka vipi
@FranciscaMwajoto6 ай бұрын
Nko Kenya
@balkisamour58153 жыл бұрын
Ustadhi nisaidie dawa ya degedege mwanangu anasumbuka haongei Wala hatembei huu mwaka watano tafadhali msaada shukran
@buhitexmohamed47852 жыл бұрын
Allah akupe jana, msaka uchawi ndo gani ?
@paulinacherement25342 жыл бұрын
ALLAH AKBAR
@noorynmohammedy60634 жыл бұрын
Sheikh tusaidie dawa ya kupunguza kitambi
@mathnahassan80102 жыл бұрын
Aslm alykum shkh hapo alfajir yanapatikana mafita ya kokwa ya ubuyu.
@ahmadikininga2394 ай бұрын
Asante sana, kwa mafunzo haya yenye faida. Lakini nina ulizo kuhusu matumizi ya dawa hii kwa kutibu maradhi ya tumbo: maradhi ya tumbo ni ya aina tofauti. Napendelea kujuzwa ni aina gani ya maradhi ya tumbo ambayo yanaweza kutibiwa kwa kuutimia mti huu?
@MomoMusa-dn8zz29 күн бұрын
Je nikisomea suratil baqara pekeyake?
@ummurumaysa11474 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe heri
@kapolomgodi6994 жыл бұрын
Maasha llah jazaka llah khayr
@kuruthummkalawa72904 жыл бұрын
Maa shaallah
@subira-traditionalmodernta20652 жыл бұрын
Shukran kwa mafunzo. Mimi nitapenda kujifunza matumiz yai miti na majani. Je inawezekana?
@sharifmbarouk27964 жыл бұрын
Shukran Sana shkh Allah akuongezee elimu zaidi ya ziada
@zainabuwambula51393 жыл бұрын
Mafuta ya Ubuntu yanapatikana wapi
@FranciscaMwajoto6 ай бұрын
Naomba namba yako
@kilizajumainn8262 жыл бұрын
Shukran sana
@twahahamady80234 жыл бұрын
Assalam alayikum shekh nashukuru kwa kutuelimisha Allah akupe kheri ya kila jema
@gladysfurahamwabonje99544 жыл бұрын
Asallam alleko Na kama ni mkisto hizo aya tutazijuaje
@TheophileMakuza5 ай бұрын
Jambo ndugu
@TheophileMakuza5 ай бұрын
Kwa jina naitwA Makuza Theo naomba wkt unatufunza dawa umwe unaweka pica za miti ambayo unatueleza
@TheophileMakuza5 ай бұрын
Kwani hatifafahamu majina ya miti tofauti
@TheophileMakuza5 ай бұрын
Pica za mt ndizo zita tisaidiya kutafautisha miti
@saidilala63973 жыл бұрын
Napendanikuone
@sophiaellenitah75434 жыл бұрын
Habari yako shekh mm cjui kusoma quran je nikifanya hizo dawa nitapona au nikimtengezea mtu atapata kupona
@RajabuAbdallah-w8v6 ай бұрын
Dawa ya pumu
@rumaukombo64154 жыл бұрын
Assalam Alaykum Mzizi wa mbuyu vipi kitiba
@AlexGLyimo Жыл бұрын
Husaidia sana mafunzo yako
@surekingu57194 жыл бұрын
Shekh mafuta ya ubuyu yanatengenezajwe..?
@abuualiyalbahsany8740 Жыл бұрын
Mafuta ya kokwa ya ubuyu yanapatikanaje?
@azizaaziza67874 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM HUJAMBO? NAWEZA KUPANDA MTI WA MBUYU NYUMBANI KWANGU?
@swaphiatysaid53322 жыл бұрын
huogopi majini
@RajabuAbdallah-w8v6 ай бұрын
Tiba ya pumu
@sabnaa91104 жыл бұрын
Aslm ustadh vp hali mm nauliza hayo mafuta ya kokwa za ubuyu madukani yapo. Asante
@maisarah6819 Жыл бұрын
Yanapatika kwenye maduka ya dawa za Asili
@MariamSaidy4 ай бұрын
Hato Aweza ukanituniya hayo mafuta ya huyo ndege na mbegu za mbuyu
@jillmo6701 Жыл бұрын
Need A fine kwani kivipi
@AlexGLyimo Жыл бұрын
Unaweza kumsaidiaje mtu huyo aliyezikwa makaburini?
@swabraty17604 жыл бұрын
Zanziba mbali tuwapate vipi ya sheikh
@maryamabdallah71974 жыл бұрын
mshaalla mungu atakulipa mema yako
@MwasiSaidy Жыл бұрын
Shehe naomba unisaidie dawa ya uvimbe kwenye kizazi
@kapambalamfalmeshy77344 жыл бұрын
Punguza maneno shehe eleza faida tu
@shadyaabdulrahman25494 жыл бұрын
A.a mafuta yambuyu yapatikana wapi
@muddykivamba99984 жыл бұрын
Iyo mboga nimekula sana ya majani ya mbuyu matamu sana
@muhidinali81804 жыл бұрын
Eti wazee watu wazamani walokuwa wakimaini imani za mizim wakifanya matambiko wachakufundisha shrk
@latifaahmed61512 жыл бұрын
Kifaurongo
@muhidinali81804 жыл бұрын
Mbona unashajiishawatu ktka shirk eti wazeewetu kabla walikua naimanitofauti kuhusumbuyu
@abdullahkassim49574 жыл бұрын
Wanasema kwamba majani yake shekh ukiwaogesha watoto kichwani kichwa kina vipa ni kweli
@meryoska58362 жыл бұрын
Hata mi nimesikia nataka nipate uhakika kuhusu hilo