#live

  Рет қаралды 4,643

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 13 сағат бұрын
Friji bovu na mdomo mbovu umejaa ubovu! GSM hakuwahi kukutana na kipigo cha bao 4. Hao washachanganyikiwa, tuliwaambia mpaka waseme! Watasemaaaa!
@peterkandaya565
@peterkandaya565 7 сағат бұрын
Kipindi mnapigwa goli nne GSM alikuwa hajaichukua Yanga ,acheni kushabikia Mpira kupitia KZbin
@bminawandu
@bminawandu 21 сағат бұрын
Ben mdogo angu unajitaidi sana kutuletea mahojiano ya nayo vuti hongera sana
@FlowinKayombo
@FlowinKayombo 12 сағат бұрын
Derby ijayo tutaomba refarii awe magori,na tutawafunga kumi
@IssaMatandi
@IssaMatandi 13 сағат бұрын
Simba bado sana.Yanga ni level nyingine.Simba bado sana.
@peterkandaya565
@peterkandaya565 7 сағат бұрын
Level nyingine ni ya 20 Africa, Simba ya 6 Africa😂😂😂😂😂😂
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 13 сағат бұрын
Wakishinda kimiya wakifunfwa GSM
@paulmndeme
@paulmndeme 13 сағат бұрын
Waambie wasajili Wachezaji kama yanga kuongea TU hakuta saidia
@peterkandaya565
@peterkandaya565 7 сағат бұрын
Na kweli mnajua KUSAJILI mmesajili mpaka KAYOKO😂😂😂😂😂😂😂
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 12 сағат бұрын
Asante. Sana. Hizo. Ni. Hasira. Za. Mkizi. Hao. Wazee. Wanafanana. Na. Mzee. Magoma. Hoja. Hiyo. Ni. Batili. Hayo. Ni. Maneno. Ya. Mkosaji. Wao. Wajenge. Timu. Yao. Hao. Wazee. Wanaweweseka. Timu. Mbovu. Wachezaji. Wabovu
@abrahammwakatumbula6663
@abrahammwakatumbula6663 14 сағат бұрын
I'll were unajiita fliji bonus mpumbavu sana
@MeshackMayenga
@MeshackMayenga 15 сағат бұрын
Ukiendelea na ushabiki wa kiwango hiki nitakuwa siangalii interview zako.
@SalimAli-sk3gi
@SalimAli-sk3gi 20 сағат бұрын
Wazee wamefeli uongizini simba waangalie viongozi watimu wajifunze yanga viongozi vijana wao bado wana ugozwa
@IddiHassan-mr3sb
@IddiHassan-mr3sb 10 сағат бұрын
Sasa kwa maelezo haya gsm inamuhusu vipi?
@hopefully7090
@hopefully7090 19 сағат бұрын
Wazee wako sawa
@eliudmnyanya
@eliudmnyanya 14 сағат бұрын
Hahhhhhhaaaa,na Bado hamjasema
@AgnecyAndrew
@AgnecyAndrew 14 сағат бұрын
Mhhh Kwa hiyo watu hawatakiwi kukutana
@samuelkiama975
@samuelkiama975 18 сағат бұрын
Uko vizuri wajina🇹🇿
@musamagulu2023
@musamagulu2023 7 сағат бұрын
Wameanza kulalamika na milango yao yote ya fahamu na bado hamjasema mpaka mseme
@VLADDYNDANZI
@VLADDYNDANZI 13 сағат бұрын
Ondokeni nyie hao wazee ndo nani! hata wewe ni mnafiki sana ushabiki wako Mikiani utakufa mapema
@SospeterNdaga
@SospeterNdaga 14 сағат бұрын
Waondoke
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 12 сағат бұрын
Hao wazee walete mdhamini wao kama wanae😂
@Johnsonchristopher-uc5er
@Johnsonchristopher-uc5er 7 сағат бұрын
Na kijiri bac anahusika mana na yeye. Kajifunga
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 8 сағат бұрын
Uongo hauna afya itawangharimu bora watulie
@HaikasiaJames-gm7xs
@HaikasiaJames-gm7xs 20 сағат бұрын
Friji bovu na wazee wako wote wasenge
@stambuimbokwa1480
@stambuimbokwa1480 11 сағат бұрын
Tokeni mmezoeya vulugu hebu tizameni mchezo wenu na Azam mbona hamkupiga kelele hamkujua maana ya ubaya ubwela maana yake sasa ndio mjuwe maana yaye ndio hiyo
@SalimAli-sk3gi
@SalimAli-sk3gi 20 сағат бұрын
Kufugwa kibaya
@agnesnombo5516
@agnesnombo5516 7 сағат бұрын
Wamtake Gsm kwani mzamini wao wakae kwa kutulia
@makamahenge1347
@makamahenge1347 17 сағат бұрын
Wewe mwenyewe mtangazaji NI shabiki WA Simba kabla mchezo ulishawapa ushindi Leo mnaongea ujinga tu kubali mzidiwa na yanga
@jonasmatella5511
@jonasmatella5511 12 сағат бұрын
Wakija waamuzi wa nje mtakufa zaidi shauri yenu yanga sayari nyingine wewe Fridge
@BarnabasMaseme
@BarnabasMaseme 11 сағат бұрын
Hahahaha wafanye usajili GSM kafanyaje?
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 16 сағат бұрын
Watyu wasio na hela sikuzote huwa hawaishiw maneno,
@ahmedburhan5104
@ahmedburhan5104 12 сағат бұрын
Frij bovu sikia. Hivi simba kafungwa nae anadhaminiwa na GSM? SWALA LA MUAMUZ KUMBUKEN KATANGANZWA SK GAN KABLA MECH?
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 8 сағат бұрын
Simba ni nani kwenye mikataba ya gsm acheni utoto
@SalimAli-sk3gi
@SalimAli-sk3gi 17 сағат бұрын
Kilicho wakuta mwaka jana wasipo angalia kina jirudia washa pata kiwewe kwa kufugwa
@eliudmnyanya
@eliudmnyanya 14 сағат бұрын
Hakuna kisingizio mtani,
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 12 сағат бұрын
Mupira ni muchezo wa wazi wapeleke ukichaa wao ukooo
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 20 сағат бұрын
Naona madunduka mmeanza kuongea namilango yote ya faham bado vilabu vyakuzaminiwa bado vipo zamini nanyinyi. Tumewashika pabaya nabado mjasema mpaka msemee Yanga bingwa
@nicholouskihombo1507
@nicholouskihombo1507 16 сағат бұрын
Hata El sassy hamumtaki?? Dabi iliyopita bila yeye ilikuwa mpasuke 4
@eliudmnyanya
@eliudmnyanya 14 сағат бұрын
Hata sisi hatumtaki moo
@FlowinKayombo
@FlowinKayombo 13 сағат бұрын
Hili jamaa uwa linaongea ujinga sana ilimladi tu kuisifia simba
@RevithaRevitha-f5q
@RevithaRevitha-f5q 11 сағат бұрын
Acha unazi wao walikua wapi kipindi iyo saa 6 mjinga wewe ama wao walichelewa alikamwe wakawai mbona wao Elisasii alimeza magoli yetu 3 kama P² ngao ya jamii nani alikutana na Elisasii saa 6
@NazoLongo-u8e
@NazoLongo-u8e 12 сағат бұрын
Mimi ni mwana msimbazi wazee wasimba wamepanikitu ,swali dogo usajili wa yanga na usajili wa Simba UPI niwaghari??????????
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 15 сағат бұрын
Wazee wamevurugwa. Kila mtu wanamlaumu.
@ramadhanrobin-st6hh
@ramadhanrobin-st6hh 20 сағат бұрын
Si mlisema yanga watakua na malalamiko vipi njie leo yaan shida yenu mlisema ubaya ubwela ndo huu sasa tengenezeni team ndani ya kiwanja muache fitina za kijinga wakati viongoz wenu wengi n wazee ko weken vijana mpate mafanikio mpira cyo mdomonii
@SuzanKameta
@SuzanKameta 18 сағат бұрын
Hivi vitu vipo wazi, Kuna malalamiko ya kweli na ya uongo
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 12 сағат бұрын
Wapo Mawaziri ni wanasimba na wengine ni wanayanga na Hilo lipo wazi. Sasa wanaongea nini!? Kama walikaa na Kayoko na ushahidi wanao waweke video hadharani. Kiufupi mara zote Simba wakifungwa na Yanga wanaweweseka. Watulie waijenge timu Yao. Hivi kwa class iliyonayo Yanga ya Sasa unawezaje kushangaa kuifunga Simba inayojitafuta ya Sasa. Tuwe serious
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 90 МЛН
MOMENT OF TRUTH: THE DANGER NOCKING AT RUTO'S DOOR!
16:27
Herman Manyora
Рет қаралды 5 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН