🔴

  Рет қаралды 13,259

Mavala Tv

Mavala Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@zuhuranasoro8923
@zuhuranasoro8923 18 күн бұрын
Yani nimecheka😅😅😅😅huu utani wa God yanga na simba utaisha lini❤
@LeonardAllen-t7k
@LeonardAllen-t7k 19 күн бұрын
Nakukubali sana bother god awo madunduka mpira awana na mwisho wao umefika
@BarakaBoasi
@BarakaBoasi 19 күн бұрын
Wazee wapena
@RobertKajege
@RobertKajege 19 күн бұрын
Kesho mwamuzi ni jonesia ,tatu ,au neema ikishindikana sana atakuwa Eli sasii au yule mwana familia aliechezesha mashujaa dhidi ya simba ( mdoe) ila AMTEGEMEAE MWANA DAMU AMELAANIWA YEREMIA 17:1-5
@JosephChrisant
@JosephChrisant 19 күн бұрын
Hata Shomari Kapombe amesema kwamba alitumia udanganyifu wa kuanguka alipoguswa na beki wa JKT.
@BarakaBoasi
@BarakaBoasi 19 күн бұрын
Mim Leo nimeshabeti Simba watapata pena
@raymondsumni7359
@raymondsumni7359 19 күн бұрын
Penati za dk za mwisho zinatumaliza watu wa yanga, tunapotegemea kuwa kolo anadondosha point wanambebaaa daaah. Simba Wampe kombe lake
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 19 күн бұрын
Hapo umenena kuhusu wachambuzi hewa ndani ya ligi yetu hawachambui mpira bali wanashabikia timu
@BazarakiMalongo
@BazarakiMalongo 18 күн бұрын
Wewe unaongea kwa sababu ya timu imefunga ,juzi juzi TU,timu yangu simba inacheza vzr na inatafuta magoli,ndo maana timu pinzani zinafanya faulo.ubaya ubwela
@SemeniJames-hp3mc
@SemeniJames-hp3mc 19 күн бұрын
Jaman mwambie GOD nashida nae ya muhimu kweli anipatie namba Yake
@FatmaAbdulrahman-m4c
@FatmaAbdulrahman-m4c 19 күн бұрын
Ile yanga ilio cheza na singida Zanzibar ilikua mbovu shekh
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r 19 күн бұрын
Kwani ayo mandundu hayajui wanavyo chezeshwa na marefa Toka ligi imeanza wanajitoa ufahamu, yanaigiza ata vti walisema vimeng'olewa na wananchi wanageuza vitendo vyao kuficha oja Aya mandundu
@zuberimusamazari7003
@zuberimusamazari7003 19 күн бұрын
Wachambuzi ni kina amri kiemba penalty ya kapombe asema ni penalty bao la dube ni offside
@MwakiembeFrances
@MwakiembeFrances 19 күн бұрын
Duuuh ..hivi penati km ni halali zisipigwe...
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp 19 күн бұрын
Magoli ya mkono.acha ujinga
@sittandaki2135
@sittandaki2135 19 күн бұрын
Wewe ndo uache ujinga wako umejaa ukolo tu😂😂😂
@bernardmlenda9800
@bernardmlenda9800 19 күн бұрын
Magoli ya mkono mangap???
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 19 күн бұрын
Goli la mkono halikuamua point 3 kenge kolo ww 😂
@JosephChrisant
@JosephChrisant 19 күн бұрын
Toa hilo mkono tunabaki na 2. Nyie Makolo mkitoa hilo la penati mnabaki na 0 😂😂😂
@jeysenbenedict
@jeysenbenedict 19 күн бұрын
@@JosephChrisant waambie hawa makolo maji ka majinga chizi
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 19 күн бұрын
Kwahiyo kwenu nyie ni matukio ya ki binadam.? Ila akipewa simba kabebwa. Wewe si ulikaa chini week kadhaa zilizopita ukasema hujui hata pakwenda baada ya kichapo? Yaan mechi tatu za kununua zimeirudisha utopolo kwenye kiwango? Kweli wenye akili pale dimwini ni wawili tu
@SemeniJames-hp3mc
@SemeniJames-hp3mc 19 күн бұрын
Ya wasp Niko Oman nashida nataka nimuagize zawadi ampelekee BACCA
@bettyvidoga
@bettyvidoga 19 күн бұрын
Namim naomb zawad ndug
@SemeniJames-hp3mc
@SemeniJames-hp3mc 19 күн бұрын
@bettyvidoga jaman utapata nikirudi
@SemeniJames-hp3mc
@SemeniJames-hp3mc 19 күн бұрын
@bettyvidoga Kwan umesha mwambie
@sittandaki2135
@sittandaki2135 19 күн бұрын
​@@bettyvidogawewe mshenzi kabsaa unataka zawadi wewe ni shoga? Au mbona unataka zawadi 😂😂😂😂
@FatmaAbdulrahman-m4c
@FatmaAbdulrahman-m4c 19 күн бұрын
Haiwezi kua mjadala kw7bu nyinyi hamchezi mechi ila ni vichekesho vya timu zenye udugu wa kifamilia ndo kwamana husikii malalamiko ila ukirudi mechi ya kitayosa na azam ndo utajua
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
RAYON SPORTS IRAMUZANYE // KERA KABAYE TOMBORA YA CHAN IRARANGIYE
8:39
City Radio Rwanda
Рет қаралды 9 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН