MSEMAJI WA FOUNTAIN GATE "HAKUNA GUSA ACHIA TWENDE KWAO, YANGA TUTAWAFUNGA, HAWANA TIMU,DUBA AOMBEWE

  Рет қаралды 12,231

SPOGA ONLINE

SPOGA ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Күн бұрын
Kamdomo kamdomo kamdomo katawaponza yaan katawaponza💚💚💚💚💛💛💛💛
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 23 сағат бұрын
Tunza mdomo wako dogo usije ukawa kama warundi msemaji mwenzako alitamani kujificha .
@A.shebyhdjdjd
@A.shebyhdjdjd Күн бұрын
Eh jamani kumradhi natengua kauli yangu huyu nae anajitapa sana na kiukweli huyu kabla ya kipindi cha kwanza hakijaisha mechi itakuwa ishaisha tayari😂😂😂😂😂
@IsabelaConstantino-y2s
@IsabelaConstantino-y2s 18 сағат бұрын
Tatizoo kamdomooo
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 20 сағат бұрын
😮😮 uyu semaji ni mweu
@kinasaba
@kinasaba 6 сағат бұрын
Nimempenda sana huyu msemaji wa Fountain Gate "Issa Mbuzi", ukweli anaongea facts nyingi kuliko mbwembwe. Pia ni mshauri na mzalendo wa kweli, zaidi ana nidhamu kubwa katika maongezi na kulinganisha mambo. Kama Fountain Gate itashinda ama kutoka sare na Yanga, basi usemi wa "Mbele mbele yao" utakuwa maarufu.
@shadrackjoseph5866
@shadrackjoseph5866 2 сағат бұрын
Jamani anachokisema kesho atabadilisha maneno😢😢😢
@victorishengoma5724
@victorishengoma5724 Күн бұрын
Alivyoanza tyr kaishafeli hkn msemaji hapa ni poyoyo tuu
@A.shebyhdjdjd
@A.shebyhdjdjd Күн бұрын
Jamani msiseme hivyo mwenzenu anatetea tu ugari wake
@shomarymonde5632
@shomarymonde5632 23 сағат бұрын
Brother bakisha akiba ya maneno hao ndy YANGA
@jamaldinjuma7361
@jamaldinjuma7361 2 сағат бұрын
yaaaani huyu mbuzi vp yaaani ufananishe mvp wa zanzibar , championship huko na mvp wa ivory coast, ligi kuu bara msimu uliopita
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 21 сағат бұрын
😂😂😂duuu hii timu tuipige nyingi 😂😂😂😂
@VnusKyando
@VnusKyando Күн бұрын
UTAPATA SHIDA SANAAAAAAA
@KennethNgoleka-p1j
@KennethNgoleka-p1j 23 сағат бұрын
Namungo ktk uwanja wao fau wamelizwa afu asemee mechi ya yanga?
@henrydanlord7822
@henrydanlord7822 Күн бұрын
Haya bhna tutakukumbusha maneno yako
@songombingo108
@songombingo108 21 сағат бұрын
Sasa Msemaji mwenyewe umekaa mlangoni 😂😂😂
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 23 сағат бұрын
Wewe kweli mbuzi. Mbuzi kweli huwa ana kelele sanaaaaa
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamdomo uwo
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 2 сағат бұрын
Huyu msemaji ni pacha wake msemaji wa Simba.
@ManjaHisani
@ManjaHisani 3 сағат бұрын
Juma apili naona ikombali sana kwa huyu mbuzi wao
@atumwafilombe6046
@atumwafilombe6046 3 сағат бұрын
Mmm mwenyewe naona mbali waombe na Leo singida wafungwe la sivyo sijui itakuwaje🤫🤫
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 6 сағат бұрын
Sema unabakisha
@Lastontano
@Lastontano 6 сағат бұрын
Mshamba na interview
@hamisikapute598
@hamisikapute598 Күн бұрын
Msemaji ana dharau za kutosha. Tuone hiyo kesho
@BaruaniBakari
@BaruaniBakari Күн бұрын
Huyu msemaji.atunze maneno tuta wakanda hata kushinda hao.wenzao
@DeltoniDaud
@DeltoniDaud 22 сағат бұрын
Omba mzize asisikie maneno haya kiongozi na yanga na Fontaine gate ni timu tofauti acha kibwabwaja..
@davidsilas3785
@davidsilas3785 Сағат бұрын
Nitatukana na samahani,, "HUYU NI MSENGE WA KWANZA NCHINI MWETU, HANA MARINDA KABISA!!!" Kuwa msemaji wa timu haina maan yakujikweza, wanatimu nzuri ila kwa wachezaji wao NI mmoja pekee ndyo anaweza kuingia kwenye kikosi cha yanga tena as substitution, kaongea utumbo wa SAMAKI usio liwa kabisaaaaaaaaaaaaa
@subiralema
@subiralema 5 сағат бұрын
Dube krsho ataondoka na mpira bao tatu😂😂😂😂
@KijibaHaji
@KijibaHaji 4 сағат бұрын
Mwacheni ajifari dogo ili wakati wa msiba awe na wa kumliwaza angalau😊
@JosephGerodi
@JosephGerodi 6 сағат бұрын
Sasa kama mlitoka nao sare arafu yanga akawafunga hujui mnaringana ubovu
@CosmasiMwangamba
@CosmasiMwangamba 21 сағат бұрын
Kitoto hakina adabu,eti wao sawa na yanga unajuwa ubingwa ww,subiri tukuonyeshe huku kwa wakubwa ulikuja kutafuta nn,naww piano unayrmhoji tunakuhitaji baada ya dakika tisini uwe umemuandaa kwa mahojiano tena kama haya mnayofurahishana hapo.
@paciencemaumba7022
@paciencemaumba7022 20 сағат бұрын
Sema huku ukibakiza maneno kijana,
@PeterJonasi-o7g
@PeterJonasi-o7g 23 сағат бұрын
Haya sasa fountain gate mnaleta dharua Isa liponda mbuzi yanga watakutengeneza mchuzi mtakufa vibaya mnooooo
@WadhifHajji
@WadhifHajji 17 сағат бұрын
Wewe timulakopiabovu ungeifunga dodoma
@musamshema7838
@musamshema7838 20 сағат бұрын
Huyudogo ajue wananchi tumemic supu huenda tukamnywa supu tarehe 29
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 22 сағат бұрын
Hujui kuzu ngumzia mpira dogo mtu anaejua mpira kwanza lazima uheshimu ubora wa mwenzako na uende na tahadhali ila wew unatafta trend tu
@karimmakweta3530
@karimmakweta3530 7 сағат бұрын
Mara Yanga kazi funga timu mbovu, hizo timu mbovu zote umedrow nazo Sasa Ubora wako upo wapi wewe na hao mliodrow wote Sawa mtaongea Lugha moja
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 22 сағат бұрын
Alikwenda kutafuta kidole, akapoteza mkono.
@jamesdioniz4860
@jamesdioniz4860 Күн бұрын
Muda utaongea huyu kaishajichanganya tayr
@zuhuraakida3041
@zuhuraakida3041 Күн бұрын
jamani kuna kakauli ambako sikaelewi hapo maana nikama anakazia kitu hivii nasi tuombe wakulungwa wasirudi nyuma maana haka katoto kametumwa haka
@JoshuaMwambene-h5j
@JoshuaMwambene-h5j Күн бұрын
Haaa dogo!!!!!!!
@Jeremiajuma
@Jeremiajuma Күн бұрын
ww mtt jifunze kueshimu wakubwa sisi siyo watt sisi ni majitu makubwa sn zimekuja nyingi na wasemaji km ww
@emilysanga7662
@emilysanga7662 23 сағат бұрын
Mdomo ukusaidie kula msemaji utawapa taabu wenzio wewe utakua pembeni
@NyangilaMwessanyangila
@NyangilaMwessanyangila Күн бұрын
Dogo, dogo, dogo unatania moto baadae hautapatikana kuongea lkn ninakuomya kamdomo.
@LongnusNambole
@LongnusNambole 20 сағат бұрын
Nyie waandishi wagabari huyu baada ya mchezo mumlete Tena hata akikimbia mumfuate tu.Hata ukusema ukweli hautatolewa kazi
@simonmbogo7644
@simonmbogo7644 22 сағат бұрын
Wewe ni chizi wa mdomo
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Күн бұрын
Hakuna mwalimu wa Fauntain anayeweza kufundisha Yanga yetu pumbavu sana wewe 😅😅😅
@PiusLaymond
@PiusLaymond Күн бұрын
We dogo lopoka tuu mpra hauchez mdomoni ngoja uone
@johnvedastus3079
@johnvedastus3079 22 сағат бұрын
😂 ila msamehe ni mchanga kwenye nyanja ya mpira wa miguu. Juzi tu Namungo kamchapa kwake au mlicheza chini ya kiwango ili mje kuifunga Yanga? Shida yenu mnakamia kucheza na Yanga tu. Haya ngoja tuone
@JOFREYMUSSA-sw8kb
@JOFREYMUSSA-sw8kb 21 сағат бұрын
Kamdomo
@danielhumble4292
@danielhumble4292 23 сағат бұрын
Mchezaji makini hana maneno ya hovyo na mengi namna hiyo dogo akamuulize yule mchezaji aliotamba kuwakanda nini kilimtokea wacgezaji mdomo mdomo waache wazungumze na miguu yao
@AbdulShemweta-db8mf
@AbdulShemweta-db8mf 22 сағат бұрын
mtie raha huyo mchambuzi wako mtalia wote
@ManjanoPaschal
@ManjanoPaschal 20 сағат бұрын
Huna lolote wewe utajifcha siku hiyo
@seydouside4081
@seydouside4081 Күн бұрын
Kamdomo kamdomo
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 22 сағат бұрын
Mdomo Mali yako
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
Donnie Yen vs. Kara Hui | Wu Xia aka Dragon (2011)
8:37
Gabriel Thum
Рет қаралды 524 М.
DOMO ZEGE sehemu ya 01: BROTHER K MOBIMBA vs NYAWAWA
15:53
Brother K MoBiMbA
Рет қаралды 3,1 М.
COLANİ: ESAD’I DEVİREN ADAM!
19:17
ARGONOMİ
Рет қаралды 429 М.
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН