🔴

  Рет қаралды 67,479

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 204
@saimonjmai801
@saimonjmai801 2 жыл бұрын
Brother Hadji wasamee wadogo zako hao bado wanasafari ndefu ktk maisha Yao ya kazi wasamee tu.
@scholaemanuel7677
@scholaemanuel7677 Жыл бұрын
Pole Sana manala
@mjumbemwanda9666
@mjumbemwanda9666 2 жыл бұрын
Good interview
@SebastianiNgonyani
@SebastianiNgonyani 10 ай бұрын
Ndugu Haji Manara tusameheane wanayanga.Msamehe Aly Kamwe.
@UkiJr
@UkiJr Жыл бұрын
broo sehemu iliyo kuwa nzuri ni Simba Tu so yanga
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 2 жыл бұрын
Nilivyomsikia Ally na ninavyomsikiliza huyu, nimegundua Manara ni muongo. Ally ni kijana mpole sana.
@sudympanda6704
@sudympanda6704 2 жыл бұрын
Umekwama manara
@saidysemkumbuu8185
@saidysemkumbuu8185 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mbona anapenda kushilikisha mungu kwenye ujinga huuu mungu unamambo mengi ya kufanya
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 2 жыл бұрын
Big up Brother
@prosperkiluwa8184
@prosperkiluwa8184 2 жыл бұрын
Rizki anagawa Mungu hamwezi kuzuia. Bro Mungu akulinde.
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 2 жыл бұрын
Mungu gani analinda wanafiki kama huyu??
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 жыл бұрын
Haji brand kubwa
@josephkulija293
@josephkulija293 2 жыл бұрын
Haji Manara uko vizuri, wewe ni mtu wa watu, wewe ni mwanamichezo wengine wanadhani wanapata kiki kwa kukushambulia kumbe wanazidi kukujenga. Mpira ni furaha, mpira ni Burudani, mpira hutangaza Upendo ambao ndiyo asili ya mema yote. Una kipindi cha mpito tu, utarejea upya na nguvu mpya. Na hao wanaodhani wamekuzibia riziki wanajidanganya. Mwanadamu ukifungiwa mlango huu Mungu anakufunguliwa mlango mwingine.
@magorahassan3491
@magorahassan3491 2 жыл бұрын
Yuko vizuri kwa kipi ? Au ndio wewe ndio walewale ??
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Yaani Joseph seems like your educate but not dear inawezekana ni mwana yanga Ila ushauri tu manara anatake advantage ya skin colour yake kama aujui Ili awe headline Kila siku ...
@JMMM686
@JMMM686 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 жыл бұрын
Hapo msihusishe Mungu kwenye mambo ya kijinga jinga kama haya. Mwacheni Mungu aitwe Mungu kutokana na ukuu wake usio na kifani. Kama mnataka kumtukuza haji mtukuzeni kivyenuvyenu kwakuwa inawezekana mnaendana nae kitabia.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
@@magorahassan3491 Manara yupo vizuri sana, ila nyinyi makolo ndio mnamchukia Manara kwasababu ya kuja Yanga
@stevenidaffa8938
@stevenidaffa8938 2 жыл бұрын
Manara Bila Wew Sports Tz. hawana Cha kuandika Hao lazima watumie KiKi Ku trend
@mariamabdallah9847
@mariamabdallah9847 Жыл бұрын
Wee muongo
@ibunmurshid3885
@ibunmurshid3885 2 жыл бұрын
Hamna sehemu Ally kasema umemchafua kasema unamgasi hasifanye KAZI yake kisa umemsaidia.
@duliokechannel6199
@duliokechannel6199 2 жыл бұрын
Fact
@gasperkunambi9538
@gasperkunambi9538 2 жыл бұрын
Kiukweli huyo kijana aombe radhi nimemchukia sana
@kimsaid5859
@kimsaid5859 2 жыл бұрын
manara unaongea vizuri saaan hasa hapo ulipo sema mwandishi yeyote akiandika hujaridhika unamwambia hapohapo na umetoa mfano kama oscar shafii na eddo hii inafanya ukweli wako uwe huru saaana
@rasheedahussein8433
@rasheedahussein8433 2 жыл бұрын
Anawachamba
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 2 жыл бұрын
Kamu kama anapania sana katika maisha yake.
@mann9460
@mann9460 2 жыл бұрын
Aiseeee huyu manara ana uwezo mdogo sana wa kujibu hoja 😂😂😂😂😂
@abdallahmohamed6634
@abdallahmohamed6634 2 жыл бұрын
Mwachie mungu
@allykingu6954
@allykingu6954 2 жыл бұрын
Haj nyie waislam samehaneni , Allah atakulipen khery Sana,
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 2 жыл бұрын
Pongezi kwako Haji
@salimtifah6050
@salimtifah6050 2 жыл бұрын
Yan weye unalaana ya Simba utapata tabu Sana ulipokuwa Simba uliinjoy Sana nakuonea uruma
@ilungasalle
@ilungasalle 2 жыл бұрын
Haji unajiona bora sana kila wakati na unadhani huwa hukosei kumbe wewe ni wa kawaida sana na unapenda matukio kama mtoto wa kike, unaweka kinyongo kwa Ali kamwe na una unafiki sana wewe
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 2 жыл бұрын
Utakufa na choyo kimekukaba rohoni na ukumbuke mungu anampa amtakaye na hata ufanyeje huwezi kuwa kama haji na wala huwezi kuwa haji
@husseniemmanuel4653
@husseniemmanuel4653 2 жыл бұрын
Kweli haji Ally kamwe alishawahi kusema umemsaidia, nashangaa kwenye mahojiano anakusema vibaya dogo hajielewi
@dicksonnoel6229
@dicksonnoel6229 2 жыл бұрын
Ndugu msikilize haji anachoongea usilete mambo ya chuki nyinyi ndio wachawi wenyewe msikilize anachoongea haji
@richardalfred3105
@richardalfred3105 2 жыл бұрын
Usilie sana manara sisi bado atujakuchoka hy miaka miwili midogo sanaaaaaaaaaa utarudi tu
@mkukmkuk3358
@mkukmkuk3358 2 жыл бұрын
Haji we mwongoo babu tunakujua tena we ni mbea sana unajifanya we ni mwema sana
@myahudi6951
@myahudi6951 2 жыл бұрын
Haji nafasi yako ya usemaji ipo palepale tunakusubiri kwa hamu.
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 жыл бұрын
Manara sio kila kitu unatakiwa uongee jifunze kunyamaza
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 2 жыл бұрын
Akili yako nikisoda jambo linalochafua jina lake akae kimya yani mtu anasema ikikusaidia badae anakusema na hujawahi sema hivyo harafu ukae kimya hivi nyinyi huwa mnaakili kweli au zimeponyoka kidogo
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 жыл бұрын
Hyoo pimbi Manara anapenda kichalulaaa wenzio yeye akiandikwa kidogo anapanic Hana lolote muongo mkubwa
@noru9028
@noru9028 2 жыл бұрын
Ajasema umemchafua Ila ww ndo ulikua unanshutumu kua anakuchafua cha kujifanya ww mkamilifi hii dunia tunapita
@UkiJr
@UkiJr Жыл бұрын
Uko ulitumwa uwame Simba ulitugeuka ww
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 2 жыл бұрын
Yanga Simba ❤
@rashadmohamed4357
@rashadmohamed4357 2 жыл бұрын
unajinasibu kuwa wewe ni Muislamu mzuri lakini ni balozi wa kamari na kujisifu kuwa hutaki salamu ya Muislamu mwenzio. Mungu hadhihakiwi
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 жыл бұрын
Tunakujua weweeee mnafiki Sana.
@edwinfredrickzakaria4782
@edwinfredrickzakaria4782 2 жыл бұрын
Tatizo umezidi Kama unafikria juilize kwanini wewe to una matatizo nawatu Tena wengi sana sasa jiuliz kwanini iwe ivo ishu unajipaisha sana ila nivizuri ukipaishwa n'a mungu sio wewe
@zemwanzozefirst
@zemwanzozefirst 2 жыл бұрын
Majigambo yapo kwenye sanaa yyote na sio kosa mzee,kinachofanyika dhidi ya Haji ni chuki tu
@mwasagamwambuli3513
@mwasagamwambuli3513 2 жыл бұрын
Jamani huyu Haji Sunday Ramadhani Manara huu usemaji wa kupindukia ameutoa wapi?! Mbona babake Mzee Sunday si msemaji sana kiakwsi hiki wala hata bsba yake mkubwa Popat Kitwana Manara hakuwa msemaji hivi japokuwa walikuwa watu maarufu katika tasinia ya mpira wa miguu miaka ya 70's?Mbali ya usemaji ; kwa nini amekuwa ni mtu wa kila wakati kufikwa na kuhusishwa na mabalaa tu?! Kwani ni lazima kila jambo ukihusishwa ulisemee kwenye vyombo vya habari ? Je, kumsamehe mtu sharti umtangazie msamaha kupitia vyombo vya habari ????!?? Nilitegemea kama kweli wapenzi wa michezo mje mbele ya vyombo vya habari kutoa mawazo ya namna ya kuweka mikakati ya kuboresha michezo hapa nchini ns wala si malumbano.Hata vyombo vya habari vyenyewe viwajibike kuchochea kupendelea mawazo chanya kuliko kuendekeza hoja za mabishano ambazo mwisho wske ni kudumisha uhasama na kuhatarisha amani miongoni mwa vijana wetu. Li
@salmamustapher5611
@salmamustapher5611 2 жыл бұрын
Tumsamehe huyu ni mlemavu wa ngoI so hata akili nahisi itakuw na ulemav kwaniab naomba asamehew tu dish limefikiswa na upepo
@PeterMloha
@PeterMloha 2 жыл бұрын
Bado me naona unamshambulia mwenzio kwamba umemsaidia, sasa hii ni public huko DM je?? Me sikuamini
@maulidmango1087
@maulidmango1087 2 жыл бұрын
Achaneni na pilau hili msilipe air time
@iddybakar1946
@iddybakar1946 2 жыл бұрын
alaaaaa kumbe ulimuambia nakutaka uje utie ngv yanga kabla ya mchakato huu ila kwakua sasa mmetofautia amekua km anajihami wenda yy nimiongoni mwa wagombeaji wa iyo nafasi ivyo imemjia hufu Dogo kuwa atakosa kwakua ww uko tasnia yenu mmoja ni hofu tu na watu waliomshawishi kabla ya kumhoji walilitaka jambo km hili litokee.. sheekhe ww manara msamehe mdogo wako maisha yaendeleee...ajui aanzie wapi kupata anachokikusudia
@ashasanga7552
@ashasanga7552 2 жыл бұрын
Huko umepotea rudi simba bro
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 2 жыл бұрын
Huyo Alikamwe ni limbukeni, kuweni makini sana nae, anatafuta Kiki, kishasahau alipo toka,
@超王-b1u
@超王-b1u 2 жыл бұрын
haji kama sallam na konde boy au maalim sefu na lipumba
@philipomshahara6234
@philipomshahara6234 2 жыл бұрын
Kwisha habari yako manara ngoma ikivuma vuvuvuvuvuvuvuuu jua inapasuka pisha vizaz vngine your time is over
@zanzibar.
@zanzibar. 2 жыл бұрын
Manr kwanz una sif ya uongo huongei kweli hlf maneno yko teleee blaa blaa nyingi
@wenge4x423
@wenge4x423 2 жыл бұрын
Sisi watoto wa kariakoo tunajuana sote ni watafutaji lakini wewe haji ni mwizi
@ramajuma5620
@ramajuma5620 2 жыл бұрын
Wew nn babu to katulie huko
@PeterMloha
@PeterMloha 2 жыл бұрын
NYIE HUYU JAMAA NI MIONGO 😂😂
@TheShakazulu02
@TheShakazulu02 2 жыл бұрын
Ali aliongea vizuri sana na kueleweka vyema tu. Manara anata kuabudiwa tu hana lolote
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Hakuwa na sababu ya kuongea yale
@leostar8564
@leostar8564 2 жыл бұрын
@@narrissajackson3869 sure Yule dogo miyayusho
@raybirry3816
@raybirry3816 2 жыл бұрын
Mtoto mdogo asie yajua maisha ataongea nini cha maana,labda kwa majuha!kazungumza pumba tupu.
@IbrahimlyenjeNtupwa-ju4ej
@IbrahimlyenjeNtupwa-ju4ej Жыл бұрын
Heheheeeeeeee
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 2 жыл бұрын
Bora nikae kimya
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 2 жыл бұрын
Mkulungwaa upo vizuri sanaa ,ni chukii hizoo
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 2 жыл бұрын
Kaka hapo mimi nipo na Bugati hata ufungiwie maisha
@raybirry3816
@raybirry3816 2 жыл бұрын
ALI KAMWE BADO MTOTO,HAJAIJUA DUNIA,KUTAKA KUJIUA NI USHAHIDI DHAHIRI ANA PSYCHOLOGICAL PROBLEMS,SUICIDALS NI WATU WENYE MENTAL CHALLENGES,NA HUWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM NCHI ZILIZOENDELEA.
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 2 жыл бұрын
Ally Kamee hajamjosea huyu hata kidogo.
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 жыл бұрын
Huyu mdomo unamuwasha sasa kachukua ile interview kua ndio content ya kuupoza mdomo aongee tushakushitukia maana Ally Kamwe hakuna baya aliloongea katika ile interview acha kumshutumu dogo tushajua una arost ya press conference ucha kuzuga bro
@alexmulokozi1311
@alexmulokozi1311 2 жыл бұрын
Mbn unaongea pumba ujaskia au ujaelewa alichokiongea
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 2 жыл бұрын
Haji kuongea umempa matangazo yule ataitwa clouds. Ungemkaushia tu.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
MIPASHO MIPASHO MIPASHO MPIRANI
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Mpira tanzania ni mipasho sana ehh
@hilalalmahrooqi167
@hilalalmahrooqi167 2 жыл бұрын
Msiwe mnapenda kuapia Apia
@saimonjmai801
@saimonjmai801 2 жыл бұрын
TFF duh!!! Shaffi kala miaka 5 ndondo saf Hadji miaka 2 Ndondo hapana.
@magorahassan3491
@magorahassan3491 2 жыл бұрын
Neno kukusaidia amelirudia zaidi ya Mara Tatu. Ni wazi kuwa ukisaidiwa na Manara ujue utasimangwa mpaka uite maji mma
@drallan6879
@drallan6879 2 жыл бұрын
we kila MTU ugomvi Naye tu
@salimmseza9588
@salimmseza9588 2 жыл бұрын
Manara ww mavi tuu umezid misifa na mihemko toka huko
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Manara hutakiwi yanga mpaka Ali anazungumza Yale nyuma yake kuna MTU au watu hawakutaki
@kudoja_fish_shop9592
@kudoja_fish_shop9592 2 жыл бұрын
Kila siku ugomvi na watu haji jiulize
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 2 жыл бұрын
Wakujiuliza ni wewe kaa chini jiulize ulipaswa kuandika hiki ulichoandika
@kudoja_fish_shop9592
@kudoja_fish_shop9592 2 жыл бұрын
@@shijamakoye6013 kipind cha tenga ulifungiliwa karia alipoingia akakufungulia ulipokua simba ukafukuzwa ukaja yanga umezingua hatuja ka sawaa ukamzingua mwandish prisca kishamba kabla halijapoa ukamzingua ali kamwe mmh unatutisha sasa we mtu wa aina gan
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 2 жыл бұрын
Mpira wa bongo unaongezeka mvuto Kwa hizi siasa
@duliokechannel6199
@duliokechannel6199 2 жыл бұрын
Haji tushakuzowea. Kila siku ni ww t mwenye matatizo na wat, mara umemtukan rais wa tff, mara babra, mara unakoromea waandishi, mfululizo wa matukio hayo inaonesha waz mwenye matatizo ni ww
@leonardcameron7216
@leonardcameron7216 2 жыл бұрын
Bugati we we ni mtu mwingine ufananishwi na mtu yoyote kimaisha na kikazi ,nakuomba usijibishane na mtu wengine wanatafuta umaarufu kupitia kwako
@mariamkambuga8647
@mariamkambuga8647 2 жыл бұрын
Hajji hebu achana na huyo Ibirisi atakupotezea muda nakwambia☝watu kama Ally kamwe walishapigwa mihuri ya unafiki kwenye rohoo zao
@rmcrmcd4954
@rmcrmcd4954 2 жыл бұрын
ww mwizi
@iddkambi5695
@iddkambi5695 2 жыл бұрын
mezani apo itakua iyo ni nguo ya Simba iyoo
@kingnicky2568
@kingnicky2568 2 жыл бұрын
Media zote zimekmbia vmekja vji chanel vyeny subscribers wa 5
@nehemiangumba8790
@nehemiangumba8790 2 жыл бұрын
Hata wewe mzee unapenda sana sympathy coz una mistreat journalists kwenye interviews zako huwa wana cool 🤣🤣🤣
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 2 жыл бұрын
Unachoshindwa kutfautisha hapo hao hanao wajibu hovyo unakuta washapishana before na wanauliza maswali kinafiki wakiamini hatapanic na kuwajibu hovyo waunganishe dot za kufanya jamii imuone haji mkorofi Ila huyu Haji hanamapungufu yake yeye Kama binadam Ila tujiulize Hawa wachambuzi wetu Mara ngapi wanaposti Habari ambazo tunakuja kupata proof badae kua hawakua sahihi kingine Kama haji ni wa hivyo amedumu VIP Simba miaaka yote maana hata kuondoka ni sababu za kibiashara baada ya madili ya Azam na GSM badala ya kutangaza biashara za mkuu katafutiwa sababu katoka bado hao watu wanazonga Hadi nje huku pia kafungiwa Aya Hawa wachambuzi now wanachambua wafungwa mbona hawamchambue Walio fungiwa wote za kuambiwa mix na zako kidogo maana now wabongo wengi wanajielewa ushabiki usitote kwenye utu mipira yote pumzi ikakata ndio Basi Tena Aina haja ya Jambo la furaha likutengenezee chuki
@samirysharifu8649
@samirysharifu8649 2 жыл бұрын
Ally kamwe kijana sema ana mambo kike
@barakandola3185
@barakandola3185 2 жыл бұрын
Ali alijieleza vizuri,ukimsaidia mtu usimfanye akuabudu
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Ulikuwa unamtukana INBOX MWANDISHI ALIULIZA HILO. HAJI BADIRIKA UNAKOELEKEA SIYO KUZURI
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 2 жыл бұрын
Yani wewe ni bwege
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
@@shijamakoye6013 BWEGE NA MPUMBA U ASIYEJUWA KITU ,WEWE UNAZUNGUMZIA MAPENZI NA USHABIKI WA KIJINGA,HUJUI UKWELI. HUMJUI HAJI MANARA MIHEMKO TU ULONAYO. HAJI ALIKUWA CCM, KASOMEA PROPAGANDA UNALIJUWA HILO? CCM WENYEWE WALIMWAGA SABABU UKOROFI UNAJUWA HILO. USIRUKIA MADA KWA UBISHI UONEKANE UNAONGEA KUMBE UTOPORO MTUPU
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 2 жыл бұрын
Una uhakika kila mtu anavutia upande wake
@selemanmaganga3417
@selemanmaganga3417 2 жыл бұрын
Duuuuh! kweli mti wenye matunda ndiyo unaopigwa nawe,,piga kazi Bugatti
@kassongokittapa7762
@kassongokittapa7762 2 жыл бұрын
DUUH! ETI HAWEZI UNAFIKI! ANAMWAMBIA NANI ASIYEMJUA!!!?
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 2 жыл бұрын
Ukibishana nao utawapa kichwa we wapotezee ivoivo ili wapoteane wote
@kiswiguswillah2929
@kiswiguswillah2929 2 жыл бұрын
Haji bhaana
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 2 жыл бұрын
me nipita2 bn compren haziish kila siku du
@drallan6879
@drallan6879 2 жыл бұрын
Achana na mtoto WA watu we manara
@sabrinamwampiki6456
@sabrinamwampiki6456 2 жыл бұрын
Unataka kuabidiwa kwa wema wako Acha kuonea vijana mtu mzima kisheti
@kenedysangisoni705
@kenedysangisoni705 2 жыл бұрын
Mfano alisema nikipewa pesa zote za BOT siwezi kwenda Yanga lakini aliongea kama utani lakini ame enda GSM kwashilingi ngapi?hapo anaonekana ni muwongo na muwongo haigii mbinguni
@zablonchiza9939
@zablonchiza9939 2 жыл бұрын
Hahaha et kanaitwa kachawa kisa kana uwezo wa kumlipa mshaala 😂😂😂
@filiposelehe2931
@filiposelehe2931 2 жыл бұрын
hajiludi nyumbani.kumenoga wasamehe.bure.wateuzi.dobaraa.hawakupedi.akufukuzae.hakwabii.toka.dogo.kumenoga
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 2 жыл бұрын
MIMI MWENYEWE NILIMSIKILIZA HUYO DOGO NIKAMUONA KAMA KATUMWA NA WELE WALE WACHAMBUZI WENZAKE WA MCHONGO MPOTOSHAJI MKUBWA HUYO KAMA JEMEDARI SAID KAZUMAR KIROPO ROPO.
@nicholauschemka7426
@nicholauschemka7426 2 жыл бұрын
Kwanini uwapigie waandishi unawatisha au?
@theosaimon6933
@theosaimon6933 2 жыл бұрын
Nonsense Nonsense shouting for nothing
@josephjilili3544
@josephjilili3544 2 жыл бұрын
Kamsemaje mtoto wako mbona hauoneshi hilo?
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 2 жыл бұрын
Muongo huyo...
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 жыл бұрын
Haji shida yako hependi kuonekana umekosea acha ujinga binaadamu aliesahihi anakubali na kukaa kimya maisha yaendelee
@kenedysangisoni705
@kenedysangisoni705 2 жыл бұрын
Kama kweli tuna sali nakuswali tea galie sana kauli zetu mambo ya mungu hayana utani kama Haji anautani ache afanye kazi zake bilakuzidi utani unaza uwongo
@Oscarmarwa-fitnesstrainer
@Oscarmarwa-fitnesstrainer 2 жыл бұрын
moongezeeni mingine 10 huyu nyumbu
@eliaernest7550
@eliaernest7550 2 жыл бұрын
Ww siyo Mungu hata akifungiwa maisha bado haitakusaidia huyu ashatajirika sana na huyu binadamu wala siyo nyumbu kumbuka Mungu hazihakiwi hujafa hujaumbika
@laumlimbila4337
@laumlimbila4337 2 жыл бұрын
Hajasema umemchafua bro ulikua unataka Kila akichambua or kutoa maoni unataka awe upande wko tu
@vuaihaji6703
@vuaihaji6703 2 жыл бұрын
ALLY muombe radhi broo huyo mtu watu tena si mtt mdogo
@kastomwaipopo1763
@kastomwaipopo1763 2 жыл бұрын
Mzee wa kujieleza ivi ww kila mtu anakuonea ndio maana mo na CEO wa Simba waliamua kua kimya awakutaka kujibishana na ww walijua ww ni chizi😂🤣
@mrsilverclassic6785
@mrsilverclassic6785 2 жыл бұрын
manala ni fundi wa uongo. kumbukeni yale aliyoyafanya alivoomba msamaha kwa TFF alafu alivofungiwa alivoropoka
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Manara hujafunga unakunywa maji
@rachelburton3725
@rachelburton3725 2 жыл бұрын
Una roho mbaya Sana wewe
@ibrahimmakasi4690
@ibrahimmakasi4690 2 жыл бұрын
Tatizo lako wewe mjinga ni kujiona MUNGU mtu na ilitakiwa ujibu kwa hoja na sio kuropoka.....
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 2 жыл бұрын
usipogombana na haji manara huwezi kuwa maarufu hilo wanalijua ndio maana wanakupia wawe maarufu
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 жыл бұрын
Tunaotaji Mpira hatuitaji ngonjera mitaani
@gospelistwesley7927
@gospelistwesley7927 2 жыл бұрын
Haji unaongea saana, unapoteza calories zako bure wa hao mazezeta, waliobaki wakibweka hovyo kama mbwa koko baada ya kuwaama, ukiangalia woote hao ni upande wa wapinzani.
@kenedysangisoni705
@kenedysangisoni705 2 жыл бұрын
Rafiki yako waleo ndiyo aduwi yako wa kesho
HAJI MANARA HATUTAKI KUPANGIWA NA MTU, YANGA NI PANGO...
9:59
Mpenja TV
Рет қаралды 137 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 9 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 189 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН