Hakika unanibariki sana mch.maneno yako yamenitia nguvu maishani.Mungu akuongezee siku.Akukumbuke ww na familia yako.
@joyikaya74299 ай бұрын
Amina. ZIDI KUBARIKIWA PASTOR
@marthadaniel49042 жыл бұрын
Amina nabarikiwe na mahubir MUNGU aendelee kukubarir past mbag
@JuniorKAMBALELUKYO Жыл бұрын
God bless you Pastor.
@dianarobert79532 жыл бұрын
Ulinzi wa Mungu ukuzingile Kila siku pr.Nabarikiwa Sana kupitia mahubiri haya.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@Meshackkussaja2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana Pastor, hii ni mara ya pili sasa narudia kulikisiliza hili somo, linanibariki sana hili somo, kumbe mimi si chochote, juhudi zangu hazifui dafu, ni NEEMA ya Kiristo tu.
@floragatwiri3063 Жыл бұрын
Blessing blessings
@froline52092 жыл бұрын
Your sermon always touches my soul be blessed pastor
@longheesanga71822 жыл бұрын
👏👏AMEN PASTOR
@emmaanthony57302 жыл бұрын
Actually I'm blessed by the sermon but still one thing has blocked my way to salvation;I need spiritual guidance and advice
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Whatspp me at +255 755 932 283
@hellenratemo28132 жыл бұрын
Amen powerful message God bless you pastor Let's do according to God's ways
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Amen
@katotodrivingschool46032 жыл бұрын
Shaloom 🙏🙏🙏
@judithnjalambaya24502 жыл бұрын
Amen. 🙏🙏🙏
@claudinebatamuriza49362 жыл бұрын
Amen
@charleskibugachannel22102 жыл бұрын
Twende sawa na somo la leo, nipo Pandambili.
@f.g.c.kkisauniyouthchurchm68912 жыл бұрын
Waaaaaaaah Mimi nataka haki tu ya kristo maana yangu haipo.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Wasalimie watu wa Kisauni
@asooraaasooraa48162 жыл бұрын
Amina
@fredinandvyoisaka64902 жыл бұрын
Ila kweli, ndiyo maana tunapenda kutumia neno "kurithi" uzima wa milele...kumbe tunaridhi kwa Yesu sisi hatuna chetu, Ni Yesu tu.
@asooraaasooraa48162 жыл бұрын
Amina
@florencekawira22122 жыл бұрын
Tuwekee vitabu mtandaoni tununue. Sababu tuko mbali
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Download Maombi App utavikuta vyote
@florencekawira22122 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga ooh , Thanks for reply.
@eustina02 жыл бұрын
Asnte pr lakin nko njia panda je nivitu gani havihitaji kufunga na kuomba nieleze nitoke gizani
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Omba Mungu akufunulie,lakini pia endelea kufwatilia somo utapata majibu