Toeni mchezo wa tennis kwenye uchambuzi badala yake wekeni mchezo wa ngumi. Tennis mnatuchanganya tu... hata hatuelewi mnachambua nini!!
@jerrysam616019 күн бұрын
Huyo jamaa anaechambua tennis anatuchanganya sana, kipindi kizima ni yeye tu ndyo anaelewa mchezo wa tennis wenzake wote hawauelewi mchezo. Badala ya kuchambua tennis mchezo wa wachache Tanzania tafadhali bora mchambue mchezo wa ngumi tunauelewa wengi zaidi. Huyo anachambua kwa mapenzi badala ya kuangalia mapenzi yake pekee yake badala ya kuangalia mapenzi ya wenzake pia.