MZEE SAID | WANASEMA MIMI CHAWA WA YANGA NA TFF NI CHAWA WA YANGA |AZIZ KI AMEKOMBA TUZO 4 MMEAMINI?

  Рет қаралды 74,016

Finest Online

Finest Online

Күн бұрын

Пікірлер: 286
@msongeomary6195
@msongeomary6195 Ай бұрын
Mzee wetu big up aise nilikuwa nime miss kucheka😂 nipo USA 🇺🇸 ata nikia kazin lazima niagalie mahojiano yako na mwanangu changamba
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 Ай бұрын
Chagga pokea🎉🎉🎉❤❤ kwa kumleta Mzee Said leo kutupa RAHA ❤❤.
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Ай бұрын
Alhamudulillah mzee wetu Said anatupa raha sisi mashabiki zake
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 Ай бұрын
mzee wetu Mungu aendelee kukutunza🎉🎉🎉
@mwanaidimtengo8151
@mwanaidimtengo8151 Ай бұрын
Chagamba Asante sana Mungu akubariki sana,kwa kuteletea Mzee Saidi
@user-ed5cx2vn3x
@user-ed5cx2vn3x Ай бұрын
Nimefurahi kusikia sauti ya mzee said leo😂 nakupenda mzee wangu uishi miaka 100🎉🎉🎉🎉
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 Ай бұрын
Kinyume tu na uchambuzi wa mzee Saidi pia mzee anatoa na elimu Dunia na yuko vizur wanadamu tusijisahau kwa kiburi cha afya zetu za muda mfupi hapa duniani tumche Mwenyezi Mungu hili kuandaa makazi mema huko tuendako
@AisamCapadia
@AisamCapadia Ай бұрын
Like za mzee Said
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Ай бұрын
Mzeee Said ALLAH akupe maisha marefu ingawa, mimi ni Yanga bali nampenda sana.
@RashidyMuhuzar
@RashidyMuhuzar Ай бұрын
Mzee nampenda sana hana baya❤❤❤❤
@styvendjuma9684
@styvendjuma9684 Ай бұрын
Mzee wangu , naku kubali sana , from Rwanda 🇷🇼 baba
@EmmanuliM.lugembe
@EmmanuliM.lugembe Ай бұрын
Nakufatiria Mzee saidi na chagamba wanangu sana tupeni raha
@Ibrahimlundenga
@Ibrahimlundenga Ай бұрын
tunao muelewa Mzee saidi hapa
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Ай бұрын
Mzee said nakukubali sana nakufatilia nikiwa dubai
@HussenAdam-z6b
@HussenAdam-z6b Ай бұрын
Jamani mzee said unatusahaulisha ugumu wa kaz yani nacheka kama nnahela saf sana mzee wetu
@user-hk6ms7vo1h
@user-hk6ms7vo1h Ай бұрын
Tuambie chagamba shida ya Mzee wetu saidi tutachanga me Niko Kenya tutawajibika Saidi n mzeee wetu
@mwanaidimtengo8151
@mwanaidimtengo8151 Ай бұрын
Jaman Mzee Saidi MUNGU akuweke Kipenz Chetu,Unatufurahisha sana
@NdeonasiaMahava
@NdeonasiaMahava Ай бұрын
Mzee Said,Chagamba mnanifurahisha sana msipoonekana nawamic
@MichaelKandonga
@MichaelKandonga Ай бұрын
Namba ya Mzee saidi apo uwe unaiweka walau tuwe tunampa ata ya maji ,,tunampenda saaaan ❤❤❤
@fafa_thedon
@fafa_thedon Ай бұрын
He’s so great mzee wetu maashaallah 🙏
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 Ай бұрын
Mi naomba namba ya mzee said au muwe mnaiweka tunatamani kumpa ata maji ya kunywa jamani ❤❤❤❤❤❤kopa nyingi kwa mzee said
@mohamedmangopola5657
@mohamedmangopola5657 Ай бұрын
Baba me ninaakili ya kuona kule sio hapa 😂😂
@maganga7263
@maganga7263 Ай бұрын
Kutoka SOUTH AFRICA naomba namba ya mzee Said
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MossiSaadat
@MossiSaadat Ай бұрын
Penda sn huyu mzee wangu mm allah amuweka miaka mingi yenye kher na wew
@AmisiAmani-vm5jh
@AmisiAmani-vm5jh Ай бұрын
Nikweli kabisa mzee saidi anatukosha sana
@elizabethywinnie1090
@elizabethywinnie1090 Ай бұрын
Chagama kuwa makini na mzee atakuweka kofi😂😂
@IssaMtamila
@IssaMtamila Ай бұрын
mzee saidi unanifraisha sana
@MagrethMgesi
@MagrethMgesi Ай бұрын
Nampenda sana mzee saidi
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
Mzee said atatuua kwa fulaha ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Ай бұрын
Mzee Said mtu wa maana kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 Ай бұрын
Hakika mzee zaidi inafurahisha sana sina raha bila kukusiki.
@SulaymanibunHamidu-kh7sx
@SulaymanibunHamidu-kh7sx Ай бұрын
Mzee saidy up vzl
@EbambeWakilongo
@EbambeWakilongo Ай бұрын
Na kukubali sana mzee nakufwatiliya nikiwa marekani 😊
@DonatiKilasi
@DonatiKilasi Ай бұрын
Mzee saidi mwenyezi MUNGU akuzidishie maisha marefu
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
😂😂😂😂mzee Said kachatuka na kuingilia Mbagala
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 Ай бұрын
😂 CDA Dodoma watoto wa nyumbani
@jumambwambo
@jumambwambo Ай бұрын
Kwaham kubwa nilikua nakusubiri sana mzee saidi
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Ай бұрын
Mzee’s Said wangu mbona umejisaulisha nyie Simba msimu ulio pita mliendesha Basi la Wachezaji kinyume nyume toka Msimbazi hadi Uwanjani 😂😂au mmesahau???? Sasa unajitoaje kuwa ww sio Mswahili ww pia ni Maswahili vile vile😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek Ай бұрын
Yaani uncle Mzee Said unajua unajua unajua kweli !,amini usiamini unatutoa vijimawazo mawazo kwa story zako za kuvutia/kifurahisha !,pia hicho kiswakinge unachochombeza chombeza ni rahaaaa tu,pongezi sana,Amani izidi kutawala Tz tupate burdan za Mzee Said.
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Ай бұрын
Mzee saidi"! Nime kusubili Kwa hamu❤❤❤❤❤❤
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Tuliokiwa tunamsuniri mzee saidi tujuane💛💛💛💛🟢💚💚✅
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Big up sana Mzee Saidi Daima mbele nyuma mwiko
@jacksonpeter2496
@jacksonpeter2496 Ай бұрын
*Nafurahia sana kipindi hiki nipo Congo nikirudi Tz naomba kukutana na mzee saidi *
@FreddyFreddy-e4u
@FreddyFreddy-e4u Ай бұрын
Mzee sidee bigap
@user-zw4np2gi1g
@user-zw4np2gi1g Ай бұрын
Mze Saidi ananifurahishaga sana akiwa anaongea 😂😂😂 big up sana mze wetu
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Jamaniii leo nimechelewa jamaniii 😂😂Mzee saidi jamaniii ubizeee huu jamaniii mzee saidi chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂😂😂
@JosephMwaipopo-px4wi
@JosephMwaipopo-px4wi Ай бұрын
Mzee saidi nakupenda sana mtani wangu,. Njoo yanga basi mzee wangu
@JosephMwita-g2d
@JosephMwita-g2d Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ety ameulizwaaa
@davidstephano1772
@davidstephano1772 Ай бұрын
Mzee saidi,mi mshabiki wa yanga ila ukweli zimbwe kwa nidham ni namba moja kwa wachezaji wa nyumbani
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Ай бұрын
Mzee Said👏👏👏👏
@GasperMwaisa-rb1lf
@GasperMwaisa-rb1lf Ай бұрын
😂😂😂😂😂 mzee said sema nne ine
@salumtiba2339
@salumtiba2339 Ай бұрын
Mzee wetu mungu akupe maisha marefu
@user-yr1eg2rl4n
@user-yr1eg2rl4n Ай бұрын
Mzee uko vizuri sana
@MossesSamweli-ig6oi
@MossesSamweli-ig6oi Ай бұрын
Mzee Sidee ndani ya nyumba
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Ай бұрын
😂😂😂😂 mzee said bhana ukweli unaburudisha kweli
@SadatiRajabu
@SadatiRajabu Ай бұрын
Weweeeeee mzee said jamani nilimiss kukuona na kukusikia
@fredymachaba223
@fredymachaba223 Ай бұрын
Sema Chagamba mwanangu unapiga kazi sana nakukubali sana na huyu mzee ndo ananipa raha zaidi
@HamisiMonge
@HamisiMonge Ай бұрын
Mzee said hataukifa nitabaki na jeneza❤❤❤
@ThedyDaniel-xk5my
@ThedyDaniel-xk5my Ай бұрын
Hahaq
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MZEE SAIDI USIMPE MKONO UWANJANI MATOPOLO HAWA KAWII KUSEMA UMEMLOGA WALA MIHOGO HAO 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-tu7go2ud1g
@user-tu7go2ud1g Ай бұрын
Mzee said we nomaaaa ana
@QuilalaselemaneSaide
@QuilalaselemaneSaide Ай бұрын
Mzee Saide 🙌
@MinkJoseph
@MinkJoseph Ай бұрын
Chagamba mzee saidi alindwe 😂😂 na finest mmelipe vizuri mzee wetu.
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Mzee said umetrend
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t Ай бұрын
Nyie mtumzim mtumzima2. Mzee usend kumpa mkono. Ucjeshikw uchaw men point 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-oj8yl6yv8u
@user-oj8yl6yv8u Ай бұрын
Asante sana chaga kwakutuletea mtu wamaana sana tena sana
@JacobEmmanuel-s6g
@JacobEmmanuel-s6g Ай бұрын
😂😂😂 mzee said bhana nani kasikia kingereza 😂😂😂
@HalimaYahya-p7t
@HalimaYahya-p7t Ай бұрын
Mzee said anafurahisha sana 😂
@AchileusNshekanabo
@AchileusNshekanabo Ай бұрын
mzee said jamaniiiiii unafurahsha sana sana 😂😂😂😂😂
@user-yr1eg2rl4n
@user-yr1eg2rl4n Ай бұрын
Unanifura hisha sana mzee wang😅😅
@user-kt7dc4zn1y
@user-kt7dc4zn1y Ай бұрын
Mzee said❤
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Ай бұрын
🎉❤
@LassonDominick
@LassonDominick Ай бұрын
😂😂😂😂 nimewagonga5 kwa kujipendekeza
@johnkapisi7219
@johnkapisi7219 Ай бұрын
Mzee said big up
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Ай бұрын
AISE e Mzee saídi unaakili sana pia unaona mbali
@abdulyiddy358
@abdulyiddy358 Ай бұрын
Jana nimemuona mzee said azam Tv simba day😂😂😂
@marymamarau24
@marymamarau24 Ай бұрын
Mwambie mzee said mobeto nimnyamwezi mwenzake😂
@AisamCapadia
@AisamCapadia Ай бұрын
Tunampendaaa
@osimtawa5392
@osimtawa5392 Ай бұрын
Saidi 🎉🎉🎉
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 Ай бұрын
Tuambie tujue mzee saidi ana nn tumsaidieeee jamani
@DullaBallack-mw9zd
@DullaBallack-mw9zd Ай бұрын
Nice
@kigura_jr
@kigura_jr Ай бұрын
😁😁😁Ila mzee Said
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-eh6wn9qf4b
@user-eh6wn9qf4b Ай бұрын
😂😂😂😂 ila mzee said
@GeorgeManyama
@GeorgeManyama Ай бұрын
huyu mzee ananifurahisha sana
@lusajomwaitalako2361
@lusajomwaitalako2361 Ай бұрын
Dah uyu mzeeee na Aziz 🗝️
@OmanOman-hj7tv
@OmanOman-hj7tv Ай бұрын
😂😂😂😂😂mzee saidi unatupa raha sana😂😂😂😂😂😂
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Ай бұрын
😂😂😂mzee said you make day achaaaaz👌👌
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 Ай бұрын
😂😂😂😂mzee saidi haki
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Ай бұрын
Mwaga .maua mengi Kwa mzeee said🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-fb7gx5cf5m
@user-fb7gx5cf5m Ай бұрын
Atar sana 😂😂😂😂😂
@NdeonasiaMahava
@NdeonasiaMahava Ай бұрын
Safi sana
@GasperMwaisa-rb1lf
@GasperMwaisa-rb1lf Ай бұрын
Aaa mze saidi kuoa tunao sehemu yeyote ile usiwasifie sana wanawake wa tz ujatembea we mzee
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Ambulance tolitoli😂😂 janja sana uyu mzee
@FountainZaro
@FountainZaro Ай бұрын
Toriii toriii toriii 😂😂😂👋👋👋
@MatimbeJr
@MatimbeJr Ай бұрын
huyu mzee ataniua😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Majaliwa-qt8tz
@Majaliwa-qt8tz Ай бұрын
mwambie mzee xaidi huyo mobeto ni mnyamwezi
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Ай бұрын
Nkubali mzee said
@ManjaHisani
@ManjaHisani Ай бұрын
Mzee saidiiiii nakupenda sanaaa japo wewe ni simba mm yanga safi sanaaaaa
@user-vb8ug7hp3q
@user-vb8ug7hp3q Ай бұрын
Na mkubali sana huyu mzee anaga baya
@juliusmwiburi8117
@juliusmwiburi8117 Ай бұрын
Mzee said bana😂😂😂😂😂😂😂😂
@hallachibu2611
@hallachibu2611 Ай бұрын
🎉🎉🎉
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
YUSUPH KAGOMA AWACHOMOLEA BETRI YANGA/ WATOA MSAMAHA KINYONGE
18:02
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН