Mh.umeniangusha sana Ungetowa 10.000 Ndio maana uhongi sio
@tumainichanya32686 ай бұрын
Maswali mengi nimesaidika Mungu awatunze Mr & Mrs Luvanda nawapenda Sana mnavyopendana mnahijiana ni kama hamjuani haki mbali na kazi ninyi ni marafiki
@ntangiregemfuruki54785 ай бұрын
NIMEGUNDUWA DEA MWASHA Uchaguzi wandowa.una mambo.4.yahakiki 1.UMPATE ANAE MUOGOPA MUNGU.!! 2.UPATE ANAE KUHESHIM. 3.UMPATE ATAKAE KUHURUMIA 4.UMPATE ATAKAE KUPENDEA KILA KITU CHAKO..UKITAKA MAANA YAKE NIULIZE.❤
@AsteriaMontgomery5 ай бұрын
Nawapenda sana
@kiazikitamu39852 жыл бұрын
Being single is best thing you can choose in your life even if you get married you are still single you will never stop being single but avoid being lonely
Nampenda luvanda kwa anavyo heshimu dini ya kiislam yaani Ana heshima na kila kitu
@annamulungu28762 жыл бұрын
Nimependa sana show ya leo Lilian aliyofanya na mumewe jamani! Hii ni kitchen party of its kind aisee
@hassanharuna15192 жыл бұрын
Shukran mume jitahid sana kutumia swaili.👏🏾
@caritasmichael30162 жыл бұрын
Luvanda kwa kweli umeongea vizuri na kwa mapana Watu wengi: 1. hawaamini kama kuna wanawake ambao hawapendi kuolewa kabisa 2.hawaelewi hilo la kiroho ungefafanua zaidi kidogo. However umejibu vizuri 2 na hilo la kiroho spiritual husband and wife.
@roycerobert39132 жыл бұрын
Dada yangu nakupa big up maana umetishaa sana msalimie shemeji uyoooo nimependa by dogo lako
@aminanamoyo832 жыл бұрын
😁 Mnajitahidi kujikausha utafikiri sio Mr and Mrs 😉 twawajua na tunawapenda sana 🙌
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Uwa nacheka sana kwa kweli
@lydiakangongole67832 жыл бұрын
Kumbe ni mke na mume?
@huldamichael44452 жыл бұрын
Hivi ni mume na mke???????kumbe?
@nasraalismailiy51882 жыл бұрын
Anajali kwa sababu hana majukumu ya nyumba😊
@husseinbakromar58655 ай бұрын
Dada mtangazaji nisaidie namba as hao masingle mm nahitaji mke
@judithsalvatory28922 жыл бұрын
Kweli kabisa
@annamulungu28762 жыл бұрын
Mc Luvanda nimependa anavyojieleza😂😂😂
@aishafahdi83552 жыл бұрын
Mambo ya Tanga bado tunayo mama tuendelee na Mapenzi Tanga ni moto 🔥👌
@wilsonm.73762 жыл бұрын
Swali la mchepuko ndio umelitendea haki😄👏👏
@druthjohn7622 Жыл бұрын
I love you lilian......
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Wanaume ni watu wa ajabu ,anaweza kuona mwanamke wa ajabu tu na akampenda na akamuowa
@yustakipenya62312 жыл бұрын
Mmeo anamaneno yanayochoma kwelikweli umejikaza hapo kakusema naww hapohapo
@alexjos76255 ай бұрын
editor wa live umeharibu ungeweka mixer ya audio hapo wakati wa break lingeingia hata teaser wakati teaser iko on mic zinakuwa muted kukata hivyo vikohozi
@EspéranceBuchekabiri Жыл бұрын
Hapo mwisho njo pazuri hapo 😂😂😂😂
@listerlujiso60092 жыл бұрын
Yaani raha sana alafu unanifurahisha yaan Lilian unavyomuuliza mumeo kama humjui vile🤣🤣🤣🤣alafu na yeye anakujibu kama hakujui🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Yaani mimi ningecheka hadi kipindi kikagoma
@listerlujiso60092 жыл бұрын
@@babyhamisi1437 🤣🤣🤣🤣 Kwakweli kipindi kingeharbika
@lydiakangongole67832 жыл бұрын
Kumbe ni mume wake
@listerlujiso60092 жыл бұрын
@@lydiakangongole6783 yes ni mumewe
@givenessdavid37432 жыл бұрын
Love you Lilian
@aureliayuktankabebwa50662 жыл бұрын
Thanks for sharing🙏🏾
@abiollashayo56982 жыл бұрын
ukiringa na uzuri wako na kazi yako wanaume wanakuangalia tu
@tumainichanya32686 ай бұрын
Yani wewe dada una kipaji chako tu ambacho mc Luvanda ana enjoy kuwa mumeo
@khdigahk42462 жыл бұрын
Kuolewa si sura ila ni bahat tuu Dada
@annamulungu28762 жыл бұрын
Kwahiyo amemhoji mumewe?
@pericykiko61982 жыл бұрын
Mc Aton Luvanda Biblia haina ukisasa huyo papa anaetaka kubadidilisha Neno la Mungu ni ukengeufu wao tu na nyuma yao kuna ushawishi wa yule adui anaetaka kushindana na Mungu yule papa ni muabudu shetani mkubwa
@perepetuarwabona41782 жыл бұрын
Kweli huyo luvanda nae anataka kuptiwa
@Jane-ie9ul2 жыл бұрын
Huyu kaka ana eleza kwa kinaga ubaga lakini nje ya swali. Majibu yake ni mengi lakini hayaambatani kabisa na swali aliloulizwa.
@rahelikaaya76112 жыл бұрын
Tabia ya mtu tu
@Boaz22 Жыл бұрын
Sasa mke wako sindo huyo luvanda?? Sasa mke wako yupi tena😂😂😂
@AmisseMwenetombwe5 ай бұрын
Kkkkkk, kweli!?? Yani ni Maigizo tunatizama!?
@lukullikiwamba64942 жыл бұрын
Vitu vidogo vidogo , muda mwingine watu wanakutafuta wako wa na shida na pesa tu … lkn utakuta mwanamke anakupigia tu kujua hali yako yani mwenyewe unajikuta unatumia tu pesa kwake au vitu anavyopenda
@fidelisluvanda35852 жыл бұрын
Sawa shemu wangu, aulizwe Sana huyo mkinga😂😂😂😂
@tinamahega98482 жыл бұрын
Mhhh aliyekuremba na hilo wigi hakutakii mema wallah!
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Umeonaeee
@sofiarugoye79292 жыл бұрын
Kaka amesema kweli kabisa nivitu vidogo,usikate kwamazoea nimwendelezo
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Dida kama nakuona vile
@hamidudongo18792 жыл бұрын
Huyu jamaa hajui nini anachoongea. Hayo anayoyazungumza ni EXCEPTIONAL TINY ISSUES.
@emmaleanna81842 жыл бұрын
jambo dada
@dorothyannan81842 жыл бұрын
Kweli hii ni hard talk...du 😅
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Kumbe ni mke na mume
@dorothyannan81842 жыл бұрын
Safii
@zuenahamoud15322 жыл бұрын
Bibi na bwana
@wilsonm.73762 жыл бұрын
Mfano yuledada wa kuitwa dida, Yuko simple tu kawaida lakini anaolewa kila siku tena na wanaume timamu tu, hivo kuna nini?? JIBU ni hili tu sema ukweli MC kuna kitu kinaitwa yaliomo yamo yaani vi ufundi ufundi flani hivi au gusa unase......
@halimashabani94582 жыл бұрын
Mhm
@joycemailos66192 жыл бұрын
Wigi sasa
@neemaloy8892 жыл бұрын
Amependeza
@khdigahk42462 жыл бұрын
Hahaha 😅😅😅😅😅mnazingua nyiee
@abiollashayo56982 жыл бұрын
Mawani imekupendeza ila ndogo tafuta size we mzee
@ErickAMinja2 жыл бұрын
😂😂😂
@magrethmeela1542 жыл бұрын
Hahaaa
@OnlyRuky2 жыл бұрын
Hapo kupata bikra 70 wakifa wakienda peponi sijaelewa au?I'm Muslim but sijawahi sikia Daah I need to find out Hard Talk 👌
@gladnesssidiu49222 жыл бұрын
Bikira 72 peponi soma quran vizuri
@OnlyRuky2 жыл бұрын
@@gladnesssidiu4922 kwenye Sarah gn? Au ayah gani?