@@UsafiMichael-mc8kt HOFU YA MUNGU huo ni utajiri tosha, appearance kila mtu anayo, tajiri wa roho na si utahiri wa dunia ya mapito n.k
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
@@wemamtundu7906 maana wadada wengi hũwa wanashindwa kupata mtu sahihi maana hũwa wanajiwekea vigezo vikubwa sana.mfano mimi ni mzuri siwezi kuolewa ✓ na masikini ✓ na niliyemzidi elimu ✓ niliyemzidi umri ✓ siwezi kũolewa na kabila fulani Kibũri na dharau vinawafanya wanapata watu watakao Watesa sana. ✓ maana bĩblĩa ĩnasema yakobo 4-6 kwa maana Mũngũ hũwapinga wenye kibũri balĩ hũwapa neema wanyenyekevu ✓ Diva mtangazaji wa clouds kabla hajolewa alikuwa anajisifu sana mara nataka mahari ya milion mia tano,nataka mwanaume mwenye kũjũa kiingereza,yeye hũwa anakoso sana mahusiano na kujisifu ni mzuri.juzi Diva wameachana na mume wake na sasa anaanza tena lawama mitandaoni,kwamba alikuwa anateswa na kufanyiwa ma mambo mabaya na anadai talaka
@wemamtundu7906 Жыл бұрын
@@UsafiMichael-mc8kt Jambo la muhimu ni Mtu awe na hofu ya Mungu, haijalishi awe Mwanamke au Mwanaume hofu ya Mungu ni nguzo Imara sana. Muonekano sio nguzo au Pesa ni vitu tu. Japokuwa hata wakaka wengi pia huchagua, Sura, Umbo, rangi, elimi, kazi n.k
@sofiarugoye7929 Жыл бұрын
Uko sahihi Baba kanuti mi nimuimbaji toka Elshaday kwaya Antiokia kigamboni,tumepewa uwezo was ajabu Sana,ukisimama kwenye nafasi yako,natayari niwazuri Sana tusidanganywe kujiongeza nakalio Wala kope tayari kipimo alichopima Mungu katika parts za mwili wetu kinatosha
@OnlyRuky Жыл бұрын
Daaaah ukweli mtupu🖐
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
❤Dada siachi kwambia hivi love anae sema 50/50 ni nani ukipata jibu basi umepata majibu ukijua uzazi wa mpango ni nani umemaliza kafanikiwa mazara kwetu tumepata na Bado huko mbeleni ndio tatizo kubwa Sana kwanini tunajiuwa na kujitupa sehemu hatari
@mussafoum6562 Жыл бұрын
Nice one Irene
@MonicaDedu Жыл бұрын
Yani kwa kweli nimefurahi sana kipindi cha leo haya ndo mawazo yangu naomba san Mungu anipe mume wakusimama na familia mimi nikae sehemu yangu kama mke
@neusterkahimbi579 Жыл бұрын
Very interesting topic. My God bless you
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Madini, madini matupu. Somo zuri sana lifundishwe kona zote za Tanzania Mungu aiponye nchi. Kuna mpaka nyuchi fake.,Lord have mercy. Waliojibadilisha hata matajiri wanakuja kufa kutokana na athari zakujibadilisha. Hata hizo surgery zakupunguza uzito, after some years zinatibuka wanakufa. Its needs a lot of money to keep up with that fake body shapes.