LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI ANAWABANA WAKURUGENZI "WAONDOKE IKULU HIVI HIVI"

  Рет қаралды 43,946

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@rabbithare381
@rabbithare381 3 жыл бұрын
Everytime I watch His excellency President Maghufuli I just get to admire him more and more for his honesty, patriotism and Pan-Africanism...
@ianinno314
@ianinno314 5 жыл бұрын
ahsante sana kwa kutupa updates nzuri sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Allah ibariki Tanzania mbarki raisi wangu Allah ipe Aman nchi yangu
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo mwema kwa raisi wetu
@nonenone4954
@nonenone4954 5 жыл бұрын
Long life JPM
@musamwafongo3430
@musamwafongo3430 5 жыл бұрын
Tunamshukuru JPM KWA kutoa ,5M papo KWA papo na Mungu akubariki.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 5 жыл бұрын
JPM ni chaguo toka kwa Mungu,hili taifa tumtumie vizuri sana.anagundua vitu vya muhimu kuliko tunavyodhani.ni moja wa mtu muhimu sana kwa maendeleo yetu ya taifa hili.
@williamkitengai3608
@williamkitengai3608 5 жыл бұрын
Wewe umetoka kwa shetani sio...?!!
@MariamNMwadasiro
@MariamNMwadasiro 4 жыл бұрын
Mi nafikiri Tanesco wanafikiri wakiwaruhusu watu kutengeneza na kugawa umeme inacontradict malengo yao, Tanesco amkeni umeme ulimonopoliziwa sana. Hongera Rais wangu umeonyesha kuwapa nguvu wananchi wabunifu #mypresidentyouhavemy2020vote
@hatmampyahalisi4746
@hatmampyahalisi4746 5 жыл бұрын
MwenyeChuki awamu hii ya huu Uongozi watapata taabu sana
@barakastephan9425
@barakastephan9425 5 жыл бұрын
Millard mtu wa nguvu,Shukrani kwa taarifa nzuri. Big up raisi wetu mpendwa, Mungu akulinde
@yonabilshan6424
@yonabilshan6424 5 жыл бұрын
Wewe
@barakastephan9425
@barakastephan9425 5 жыл бұрын
@@yonabilshan6424 wewe😂
@evanstweve7720
@evanstweve7720 5 жыл бұрын
hakika tuna Rais wa pekee kabisa kwenye taifa letu, mzalendo kweli kweli. hongera sana mheshimiwa rais
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 5 жыл бұрын
Rais wetu Mungu akubariki watu wetu wengi wanakwazwa mno
@pascalwissi4805
@pascalwissi4805 5 жыл бұрын
Millard Ayo, natumaini AYO TV itaungana na TANESCO wanapokwenda kuangalia miradi hyo, ili utupe mrejesho
@thelalas9204
@thelalas9204 5 жыл бұрын
hivi ndio vitu vyakutuonyesha na kutangaza.sio wanao kaa uchi tu.na kupromote nyimbo za ajabu mara minyama,wowowo,sijui inama mara mihogo.mufanye vipindi hivi kwa sana na mengine zaidi.muwafichua wala rushwa na taabu wanazozipta ndugu zetu wanaokaa vijijini huko.watanzania hatuhitaji magorofa wala mabenzi.mutupe tu huduma husika,maji chakula na sehemu nzuri ya kulala.
@richardgaspari4818
@richardgaspari4818 5 жыл бұрын
Kweli kabisa bro
@juliuszellah1004
@juliuszellah1004 5 жыл бұрын
Sisi Waafrika tuna wivu sana tena sana, huyu mbunifu angepewa tuzo na Tanesco na kumsaidia kupata pesa na kumsajili TIC etc. Da Vinci angeachwa peke yake kama walivyofanyiwa hawa wabunifu Dunia isingekuwa na Ndege etc.
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
Mzee Magufulification Africa Chumaaaaaaaaaa
@josephijumba3582
@josephijumba3582 5 жыл бұрын
Kumbe kusome sio kujua kila kitu darasa la saba
@myembegrayson964
@myembegrayson964 5 жыл бұрын
Mjinga ni yule asiyetambua Mchango wa Raisi John!! Tuzidi kumuombea kwa MUNGU tutafika mbali sana Watanzania
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tuzidi kumuombea raisi wetu kwa mwenyez MUNGU kwa imani zetu
@jonathanimdegela1005
@jonathanimdegela1005 5 жыл бұрын
Jamani da magu ananishawishi kinyama nimpigie kula tena da ccm pow kapat kazi zuri magu
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 5 жыл бұрын
Aisee huyu raisi hapana,mtu wa daras la saba alimpa uwaziri kudadeki,rispect raisi wangu wewe jembe MUNGU AKULINDE AISEE
@hatmampyahalisi4746
@hatmampyahalisi4746 5 жыл бұрын
Ayoo mnafanya kazi nzuri tunaomba kujua Hatima ya yule kijana aliyebuni Pikipiki wa Kigoma akaitwa na wazili mpa Dar akaishia kuhojiwa na kurudishwa Kigoma.
@HUKUEUROPE.
@HUKUEUROPE. 5 жыл бұрын
kazi kazi Ayo tv
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Tanzania kumbe vipaj vilikuepo kitambo jpm dli nao utafika mbali anko
@sewandomkuchu2431
@sewandomkuchu2431 5 жыл бұрын
Big up to Mr President on this but there any many people with different innovation i.e. The guy who made the helicopter .But Mr President , your people in the government and its institutions do not see that we could have leap frog due to these innovations.Imagine how many helicopters we would have but my frustrations are on the top people in these institutions.They normally oppose to the people on the arguments of quality and policy...too bad.Thank you for what you are doing to this country..
@muajiribrahimu2606
@muajiribrahimu2606 5 жыл бұрын
God blessed you,.
@sewandomkuchu2431
@sewandomkuchu2431 5 жыл бұрын
@@muajiribrahimu2606 Thanks Muajir .God bless you too
@Plus255studios
@Plus255studios 5 жыл бұрын
Kama tulivyokwisha kusema awali, kiongozi tunae cha muhimu tushirikiane nae katika kazi
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 5 жыл бұрын
Duuh. Nafuu sisi tusio na vyeo. Alhamdulillahi
@rehemamsekeni9640
@rehemamsekeni9640 5 жыл бұрын
Mimi pia ni mmoja wa familia ya mbunifu wa mtambo wa kuzalisha umeme mtambo huo uko TILDO
@isaacvtv547
@isaacvtv547 5 жыл бұрын
Nakuamini mzee.
@ramadhannakitepe7570
@ramadhannakitepe7570 5 жыл бұрын
Daaah! Mume wangu magufuri mungu akuweke mpaka dunia ikiisha uwe hvyo kwenye akili nyingi mpaka mungu akikuchukua uijue siku hyo ya kuondoka nakupenda sana sana kwa uwezo wako wa juu
@misschagga8042
@misschagga8042 5 жыл бұрын
Mume wako kivipi wakati jina lako ni ramadhani nakitepe mwanaume anawezaje kua mkewa wa raisi.
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 5 жыл бұрын
Sijakuelewa! Ww Ramadhani! Kisha daah mumeo. Samahani kama umekosea sahihisha pia kama umetumia simu ya mumeo mwombe Radhi mumeo. Kimsingi comment nzuri Rais wetu anachapa kz nzuri tumpe support. Love Tz our own country.
@georgelupembe7621
@georgelupembe7621 5 жыл бұрын
....ni furaha kuu baada ya Mzee Eng. Pwagu leo kuwa ana kwa ana na Mh Rais....baada ya awali kuwezesha juhudi zake kufahamika kwa aliyekuwa Rais Kikwete wakati wa uzinduzi wa Mkoa wa Njombe..
@jumaigoti8676
@jumaigoti8676 5 жыл бұрын
Safi sana mweheshimiwa Kama umeliona hiro ni vizuri. Wajasiriamari ni wengi Ila ukibuni kitu mara vibari mara huku mara huko.
@oswardkamendu6648
@oswardkamendu6648 5 жыл бұрын
Ongera xn mweshimiwa raisi
@ramadhannakitepe7570
@ramadhannakitepe7570 5 жыл бұрын
Siyo kujidharau Mh.wana roho mbaya sana viongozi wako wachunguze sana wakishafika kwenye viti ni viburi sana awataki kabisa kuwasikiliza watu kama hao wanaweka unadui Mh.uwe unachanhanyachanganya dgeree ni wizi mtupu
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
Waliosoma shule za sante sante hawa ndo wanaotusumbuwa hawajui kabisa maisha ya mtaani hawa
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
hao choyo na ulafi mwingi
@sewandomkuchu2431
@sewandomkuchu2431 5 жыл бұрын
Financing innovators is the key so that they could sell their ideas and implement them for the benefits of the country.My advice is that there should a Fund for innovation and reasearch for the implementation and through this also we have industries ..e.g. USA has venture capital which are there to fund viable projects with innovation ..
@patricknyaulingo2198
@patricknyaulingo2198 5 жыл бұрын
Mheshimiwa hawa maofisa wanakaa sana maofisini ndio sababu unasumbuka nao na maswali yasiyo na majibu. Watoke maofisini waende kuwatafuta hawa wabunifu, wawape misaada inayo eleweka.
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 5 жыл бұрын
Millard unafanya vizuri!! Fanya follow up issue ya yule Mwalimu alidungwa sindano Arusha...Gambo na RPC wake wamechukua hatua...Rais wetu amepata taarifa. Afisa habari wake ataarifiwe
@wenceslausmcharles5780
@wenceslausmcharles5780 5 жыл бұрын
Godfrey Lyimo Niliisikia hiyo habari, hivi anaendelea je?
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 5 жыл бұрын
@@wenceslausmcharles5780 Yule Mwl bado yupo Hospital lkn inaumiza sn kuona Mkurugenzi na Mbunge wanamwandama Mwl kwa sbb tu amelalamikia utendaji wao
@veronicatweve4786
@veronicatweve4786 5 жыл бұрын
Baba Magufuri naomba unipe kazi yoyote mimi ni muaminifu nitafanya vzuri saana na utafurahi
@chrismwanjalika9892
@chrismwanjalika9892 5 жыл бұрын
hakika vipaji vya watu wetu tunavizika bure
@hazelsoko1594
@hazelsoko1594 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi tunakuomba pia mkurugenzi wa PSSF naye aeleze kuhusu kulipwa kwa wastaafu mara tu baada ya kikotoo, wengine hawajalipwa toka August 2018 mpaka February 2019, wastaafu wanataabika sana sana,tumetumikia kwa uaminifu Taifa letu. Tunaomba msaada sasa kwa Raisi.
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 4 жыл бұрын
Mimi ndie niliekundua calculata na ndie mm huyo nnaetoka majibu kwenye calculata niwezeshwe ili niwe matoa majibu kwa sauti niweze kununua speaker niweke jmn
@sewandomkuchu2431
@sewandomkuchu2431 5 жыл бұрын
Mr President , Venture capital fund is needed and also reasearch authority is needed to collaborate all innovations in the country for benefits of all.
@davidahad4043
@davidahad4043 5 жыл бұрын
Nchii''':Hii mpk tufike2025!!!!tutakua tumenyooshwaaa
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Watu kama hawa wangekuwa milionea
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 5 жыл бұрын
safi mkuje na kwenye football huku mikoani kuna vupaji vpo vimwdichwa
@patricknyaulingo2198
@patricknyaulingo2198 5 жыл бұрын
Sijui ilikuwa ni TBC au Millard Ayo, kusikia ni shida
@edwardkagombora3782
@edwardkagombora3782 5 жыл бұрын
Tbc mnaboa sana kukatika hovyo
@mwanamutemi
@mwanamutemi 5 жыл бұрын
Watu wa Tanesco wanaogopa kumjibu Rais kwamba wao kama Shirika wanafuata muongozo na kanuni zilowekwa na nchi nzima So kama yapendeza mambo yabadilike Tanesco waanzishiwe mikakati ya kuwatambua na kuwasaidia hawa wabunifu.
@godlovemrosso8715
@godlovemrosso8715 5 жыл бұрын
piga kazi mh watakubali tuu sio kupenda kuteuliwa tuu na kukaa ofisini hapa ni kuteuliwa na kuibua pamoja na kufatilia miradi ya kuwasaidia watz tusonge mbele!
@marcobulili4341
@marcobulili4341 5 жыл бұрын
Watu hawa wasinyang'anywe miradi waliyoiibua badala yake wewe wabia kwenye miradi hyo. Poa wapewe support kuendelea ubuunifu wao.
@naomiherman701
@naomiherman701 5 жыл бұрын
Ongeraaa sanaa Mh.Rais wetu Mzalendooo
@elisantej5512
@elisantej5512 5 жыл бұрын
Hawa COSTECH kwa maoni yangu waongeze bidii. Kuna wabunifu wengi sana ambao hawajatambuliwa na kusaidiwa
@pemdumi
@pemdumi 5 жыл бұрын
Wanakula pesa za tafiti tu.
@nasmakilua4205
@nasmakilua4205 5 жыл бұрын
Kuulizwa maswal na magufuli niheri ya kuulizwa na mungu walah
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 жыл бұрын
wewe siyo mzima, ivi ukiulizwa na mungu utaweza kulijibu na moto upo karibu yako??
@kivumaathumani5598
@kivumaathumani5598 5 жыл бұрын
nasma kilua unakufuri ndug😇
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Kwa staili hii ndio maana profesa anaitwa pumbavu aafu anacheka huku anapiga makofi
@hennerystephano7082
@hennerystephano7082 5 жыл бұрын
Yaani Tanesco wanaudhi sana yamekaa tu officini yanachofanya hamna mahitaji ya umeme ni makubwa kkila sehemu trasfomer zipo hapa hapa nchini lakini yamekaa tu yaani hivyo sijapata kuona
@lemkisaid4688
@lemkisaid4688 5 жыл бұрын
Hahahaha kazi kweli kweli
@salummtosa3885
@salummtosa3885 5 жыл бұрын
TBC leo mmezingua lekebisheni mitambo yenu
@danielzephaniah4206
@danielzephaniah4206 5 жыл бұрын
Sauti ina katakata
@makungaone147
@makungaone147 5 жыл бұрын
Tucheki KZbin channel kupitia Makunga one1 kwa taarifa mbali mbali kuhusu mambo ya anga pia utajionea jinsi watu wanavyoishi angani
@hamumyahmed9652
@hamumyahmed9652 5 жыл бұрын
Wanyooshe wakisha kuwa maofisini wanajisahau
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
Nipo nzega nimeishia darasa LA kwanza shule ya msingi Nyasa mapangoni.mwaka 1991.LA kwanza hilo hilo linanisaidia mpaka Leo najisikia fahar naendesha maisha yangu vizur 2.wasomi wana2 nyanyasa sana hasa wala waliosoma shule za Boldn boldn hawajui shida za mtaani .@gmeil .com.naitwa peter alfonce .au fundi simu nzega mjini 0786634200
@nashonimasanja7626
@nashonimasanja7626 5 жыл бұрын
mbona sauti inakatakata?
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 5 жыл бұрын
Anawafundisha hii ladha ya kwa na rais ni PHD ananifurahisha sana Mzee wangu huyu
@nosigwebuya5537
@nosigwebuya5537 5 жыл бұрын
Shida ya Usomi ulio jaa "nadahria" hauna ubunifu kukabiriana na matatizo yakijamii na kimazingira, wao hutegemea tu nadahraia walizosoma au mwongozo wa ratiba zao za kazi, wanashindwa kuelewa kwamba nadharia nyingi za kimasomo zimeandaliwa nje ya mazingira yetu, au kuzuia ubunifu wetu kama ulimwengu wa tatu,, mfano wa "Vyura kwenda kufugwa mahali pengine, siyo tafauti na mchezo wa makinikia!" Wasomi waondokane na hali ya kuwa kama "Kuku wa kisasa" mbele ya Mwewe!
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Elimu ni kitu kingine na matumiza ya kuzaliwa ni kitu kingine
@hatmampyahalisi4746
@hatmampyahalisi4746 5 жыл бұрын
Mbona inakatakataaaaaaaa
@williamkitengai3608
@williamkitengai3608 5 жыл бұрын
Kila siku live yeye tu
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Hata mimi nimemchoka
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 5 жыл бұрын
Nanyie wekeni za kwenu
@hennerystephano7082
@hennerystephano7082 5 жыл бұрын
Kwa hiyo akiwa live anakuzuia usile chakula
@williamkitengai3608
@williamkitengai3608 5 жыл бұрын
Anataka aonekane peke yake wakati bunge liko gizani
@innocentpius8083
@innocentpius8083 5 жыл бұрын
Kuku nyie kuweni live nyie basi..
@wailesdeus3764
@wailesdeus3764 5 жыл бұрын
Defense your job
@siasatanzania1193
@siasatanzania1193 5 жыл бұрын
Raisi mbele ya kamera
@kizitoshitah1250
@kizitoshitah1250 5 жыл бұрын
SIASA Tanzania Hongera sana wabunifu wetu.
@isaacemily1889
@isaacemily1889 5 жыл бұрын
Siasa za maigizo ,hiyo Post inabadiliShaji maisha yetu??
@raphaelsamwel6330
@raphaelsamwel6330 5 жыл бұрын
Average mind,Little mind,Slow in understanding
Who Will be Japan’s Next Prime Minister?
8:36
TLDR News Global
Рет қаралды 184 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Millard Ayo
Рет қаралды 344 М.
How the Modern Computer Was Invented by Accident
8:40
Newsthink
Рет қаралды 36 М.
MASANJA ACHAMBUA KISOMI VITA YA MAREKANI NA IRAN!!
12:58
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 35 М.
HisStory | Adolf Hitler-40 | Safari TV
21:02
Safari
Рет қаралды 1,6 МЛН
PART 2: Maswali Waandishi wamemuuliza Rais Magufuli IKULU
1:16:22
Millard Ayo
Рет қаралды 55 М.