Walikuja hapa baada ya machinga kufukunzwa gonga like hapa! hapo mama alivaa ngozi ya kondoo
@hamzaallymwaihojo3 жыл бұрын
Kumbe mzee alishamuagiza awatunze machinga hawa, Wanawake, Mungu anawaona😭😭.
@mrdeniskomba61993 жыл бұрын
Ungepunguza kupost inauma sana unaposikiliza speech za jpm baba mwenye upendo wa kweli na watu wake.
@skeetergodwins25763 жыл бұрын
Siwezi kuacha kukulilia Baba. Ningekuwa na uwezo ningezuia kifo chako. Lakini kila mwanadamu ana ukomo. Mungu atupe mwisho mwema.
@bonydemaria20308 жыл бұрын
Kauli ya "hapa kazi tu" ni ngumu sana kueleweka. Tupo nyuma yako Mh. Rais... ! Best work ever seen in Tanzania!
@adelinajonsony58023 жыл бұрын
Rip tunakukumbuka Sana baba sema tangu umeondoka mama amekiuka kila kitu amekusaliti kwa kiwango Cha Hali ya juu Sana
@amosmichael4873 жыл бұрын
Wewe mwanamke Mungu anakuona Mungu yupo
@thomasmwamkinga40183 жыл бұрын
Da huyu mama simuelewi hata kidovo hana huruma
@nassorntandu45138 жыл бұрын
nimefurahishwa sana na kauli ya Rais Wangu Magufuli, na agizo lake kwa wafanya biashara wadogowadogo, wachimbaji wadogo, wananchi waliopo kwenye maeneo ya hifadhi za wanyama.UTU, UBINADAMU, ILANI, vizingatiwe! MUNGU AKULINDE SANA RAISI WANGU, NA WANAOKUSAIDIA! Umetibu majeraha ya watu wengi waliokuwa wananyanyaswa kwenye nchi yao! WE LOVE YOU MAGUFULI. tuna njaa lakini tupo salama!
@kahemamzava16083 жыл бұрын
Mapumziko mema baba Mungu akulaze mahali pema peponi
@tanzaniaonfoot86418 жыл бұрын
Kwa miaba ya wamachinga wote napenda kusema kuwa tulimuomba Mungu atupe raisi atakaye tetea wanyongi, kweli Mungu katusikia na kujibu maombi yetu! Mungu akujalia maisha malefu yenye afya njema mheshimiwa Dr. J Pombe Magufuli.
@amirlove80368 жыл бұрын
asante RAIS wetu
@amirlove80368 жыл бұрын
RAIS magufur we we ni jembe tutetee baba hata bodaboda tunazinguliwa kinoma sana!
@elmediano81253 жыл бұрын
Mungu azidi kukuifadhi my G daima tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭😭
@nassorokatuga74657 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu rais wetu mpendw
@mwajumajuma29993 жыл бұрын
😭😭😭😭
@japhetselestine21563 жыл бұрын
Tunakukumbuka baba, tena Tunakukumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya, RIP my president
@felixjilalajilala83988 жыл бұрын
mungu atupe nini sisi watanzania katupatia rais mwenye busara nyingi ewe mwenyez mungu mbariki magufuri awe na maisha malefu awe na moyo huohuo wa kuwasaidia watanzania
@mukhsintwaha59093 жыл бұрын
Pumzika kwa amani JPM ulithubutu daima uliyaishi maneno yko
@fipa18233 жыл бұрын
Magufuli alikuwa one king of Tanzanian pamoja na Africa......
@ramlaothman57713 жыл бұрын
Kabla ya hapa tulipo mwanamke Ali play part ya usaliti akamsaliti Adam the same to madam president,, inshort wanawake ni wasalitii... Allah atuondolee hiyo roho inshallah
@matanamaduhu86993 жыл бұрын
RIP JPM. You will forever remain in hour hearts. You truly devoted your life to serve the poor. Mama seems to forget all these 😭😭😭😭💔💔💔
@ruhumbikabundala22143 жыл бұрын
the guy will remain my President even though he is not alive
@hawamabira14993 жыл бұрын
@@ruhumbikabundala2214 me too💔
@jasbirswaran43388 жыл бұрын
big president JJPM,salute kubwa mkubwa wa nchi,maneno kuntu
@kisianganijob10688 жыл бұрын
how i wish we had this kind of leadership in Kenya....God bless you Mr.President,one of a kind.Long live your excellency and long live Africa!
@clt99148 жыл бұрын
For sure, the kind of hyena-like leaders we have in Africa, makes one feel having a commanding president of this caliber. Pretending to be men of rule of law while squandering resources and humiliating their very citizenry is a proof of their insanity.
@allysultani10893 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe rehema nyingi ulipo dokta magufuli.
@karanibonge59063 жыл бұрын
Ruto is coming there mtakua poa
@nathanielshauri51353 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana raisi wa wanyonge kipenzi cha mtetezi wa Tanzania
@shijalupondeja9083 жыл бұрын
Dah hadi inauma sana,pumzika kwa Amani Baba.
@masterdaudi76833 жыл бұрын
Huyu mama kaja tofauti nawewe daaaah pumzika kwa amani magufuli..
@johanithajacob87153 жыл бұрын
Tulioxkia hotuba ya samia khc machnga tkard tena hapa kwa baba tujuane rest in peace my president
@sengeremaxleo92953 жыл бұрын
Hahahah Daaaaaah 😩😩
@sengeremaxleo92953 жыл бұрын
Magu alikuwa side ya watu wa hali ya chini lakin mama sio kabxaaaa
@oswardjunior73103 жыл бұрын
Delila alikuwa yuko makini kumsikiliza kumbe ki moyo nafsi yake ilikuwa inamuuma
@hawawezidianakukushusha7568 жыл бұрын
da sihakosea kabisa kumpa huyu mtu kura yangu Allah akulinde baba
@athewinersdone7318 жыл бұрын
Wewe ni rulu ya Tanzania pia Africa nimeipenda debate yako kweli you is my true President I'm loving you Mr President
@boniphacemshigito21998 жыл бұрын
love this speach ,Mungu akupe hekima zaid
@husseinswahili73828 жыл бұрын
Asant baba Asant baba Natamani katiba ya Tanzania ibadilishwe ili ukae madarakani miaka yote ya uhai wako. Ewe mungu tulindie Rais wetu na mpe hekma nyingi.
@rukayyawendo12683 жыл бұрын
😭😭😭
@gloryidelya98993 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGUAmempenda Zaidi Yetu
@simonkiwise44543 жыл бұрын
Mzee tutakukumbuka sana kama ulivyosema mwenyewe! R.i.p
@barakamachard19443 жыл бұрын
Daah
@allyfaki78623 жыл бұрын
Umeona Mama anavyoitikia na kinachotokea sasa mmmh!
@homeboysinstallers87943 жыл бұрын
Police wangu cina comment!
@daudimariseli36278 жыл бұрын
asante mh rais Allah akupe nguvu na akupe maisha marefu na uongozi uliotukuka baba tupo nyuma yako tukikuombea uzid kutufurahisha baba yetu asante sana kwa maelekezo kwa viongozi wote.....mungu akubariki na mungu aibariki afrika
@shakirarashid91818 жыл бұрын
shikamoo rais wangu Ni Kweli watu tunakimbia nchi yetu kisa maisha magumu ila kwa ninavyo ona tutaludi na ss nchi kwetu tueshimiwe tumechoka kuitwa mashaghara duuuh Asante mungu kwa kumuleta magufuli
@mickidardyjacksonh44563 жыл бұрын
Nikwel tutamkumbuka sana aisee
@kuhandajoshua86888 жыл бұрын
Hakika Mungu anapotaka kujibu maombi ya vilio vya wanadamu hapa duniani, huinua kiongozi aliye na moyo wa Mungu ambaye atawatumikia wanadamu ili kutimiza kusudi la Mungu katika taifa husika. WATANZANIA, TUMWOMBEE JPM...
@goalsworldwide55838 жыл бұрын
Magufuli oyeeeee Mungu akupe maisha marefu Mh.Rais
@universalcreativestudio84888 жыл бұрын
Heshima kwako!.. Mhe, Rais wetu JONH POMBE JOSEPH MAGUFULI...... Mwenyezi Mungu akulinde... kungekua na uwezekano wakugombea Urasi wa Dunia tunaamin ungepata..... hapa wasio kuelewa ni wazembe wa fikra!... (Viliza). na tunavyokufaham huwezi kukwamishwa na watu wa Design hiyo!.. tuko pamoja na wewe katika maombi!..
@reubenjackson73278 жыл бұрын
ua the best president in Africa,,, swala la wawekezaji hilo cc kama wananchi linatuuma sana,,, tunaomba ulifanyie kaz kwa sababu watanzania weng c wawekezaj na hata wakitafuta uwekezaj hawapew kulipaumbele kama wagen, jpm Fanya kaz!!
@mamacompyu59258 жыл бұрын
katika cku ulionifurahisha magufuli leo umenifurahisha Sana Shikmoh bba kweli wwe ni mtetezi WA wanyonge mungu akupe afya njema
@adamdaudi61913 жыл бұрын
“Sisi ndiyo wenye serikali, siyo wao”, napenda sana kiongozi anayetambua mamlaka yake na kuyatumia vizuri, the big JPM!.
@malopemaliyamungu52433 жыл бұрын
Hiyo the big alipotosha sana
@rashidijulius65118 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mareefu na yenye furaha. na akuongezee utekelezaji mwingine wa mambo mengine. asante saana mh Rais JPM.
@mwajumajuma29993 жыл бұрын
😭😭😭
@emmanuelrugambwa5884 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania na Rais Magufuli. From Rwanda
@musamgutu77604 жыл бұрын
Alafu eti nikapigie kura upinzani subutuu apa jpm tuuu
@abduladhimually35428 жыл бұрын
Hongeera mh.......ila umeongea muda mrefu ila sijaona hata glasi ya maji
@officialkinghezekiah20948 жыл бұрын
sikukupa kuraa mkuu,,bt in the end i realize that yooo the great one,God Bless U
@fatumashabani53415 жыл бұрын
Allah akupe maisha malef rais wetu hatuna cha kukurip ira Mungu atakurip
@johanesbina13023 жыл бұрын
Samia anavyochangia kama MTU vilee😂😂😂😂😂😂 duuh haya maisha si powa
@abrah_li57973 жыл бұрын
Anaitikia kinafki
@HabibaHabiba-mi1ez8 жыл бұрын
Nimeamin Kweli Sasa Tanzania Inakiongoz Mwenye Upendo Na Wananchi Wake Mungu Akubalik
@samwelhintay6698 жыл бұрын
kuepusha matamko ya kila uchao ni lazima mfuate sheria mlizotunga na pia mheshimiwa ingekuwa vizuri ukajenga taifa lenye dira ili hata wewe ukitoka ajaye ataifuata
@denistarange55803 жыл бұрын
@@samwelhintay669 dah
@ajeydevgan71088 жыл бұрын
Nimemuelewa mkuu wa nchi yuko vizuri sana Mungu ambariki sana.
@mbatatakiazi16783 жыл бұрын
R.l.P our lovely President. Tutakukumbuka daima.
@senimagina84553 жыл бұрын
Pamoja sana kazi yako hata Mungu mwenyewe kaipenda
Asante bb ww.ndie Rais wasaidie wamachiga.hao.wafukuze watendaji zako wa kz.ivi amuwaonei.uluma jamani.wanavoagaika wanawadhalilisha.sana
@ashaissakambona85608 жыл бұрын
jamani mbona ata uku.dubai wamachiga wapo
@alfinmbilinyi13263 жыл бұрын
Yeah!huyo ndiyo JPM hasara kubwa ya Tanzania kumpoteza duu tutakukumbuka daima.
@alecsbiggz4188 жыл бұрын
MR.President i salute you! you are more than a President well done good job and may God bless ,protect and guide you . we need more Magufulis in Africa to transform the Continent. the only african Head of state who really worry about the poor. Go on Mr.President the whole continent loves and apreciate what you are doing to the Country.
@kubyjuma48433 жыл бұрын
Rest in internal peace my president of all time..........😭😭😭
dah kwann mung alimchukua lkniiiiii😰😰😰😰😰😰😰😰😭😭😭😭😭😭😭😭
@neemajoseph65963 жыл бұрын
Vizuri Avindum dah tutakuku mbuka daima bab pumzika kwa Amahn mungu Awenawe
@pastorychokala27958 жыл бұрын
ivi anaemsema vibaya huyu rais anaakili au tope? mungu akubariki sana rais wa nchi yangu.
@mds52933 жыл бұрын
Ni ngumu sana rekodi yako kuvunjwa my president
@abdallahmagera91605 жыл бұрын
MUNGU nimipango yako atukujua kama tutampata mtanzania mwenye kuwapenda watu wake tunakuomba MUNGU wetu mtie nguvu na afya njema Amina
@saadamusa89013 жыл бұрын
Jaman kweli asiye badirika ni mungu pekeyake
@iam1366-o7b3 жыл бұрын
NO WAY ICAN FORGET YOU DAD UR KIND LIKE
@izeman76338 жыл бұрын
haijawahi kutokea maamuzi km hayo upo sawa kabisa u re the right president
@gracegrace62003 жыл бұрын
Muone hapa mama Samia kimya kama malaika. Yote ya Magufuli akayabwaga. Watanzania sasa wanateseka. Baba Magufuli tunakukumbuka sana. Huyu mama ni balaa. Hapo alikuwa akitumia tu unafiki mkubwa kawaonyesha Watanzania. KAWADANGANYA WATANZANIA. 2025BAKICHAGULIWA TENA CCM ITAKUWA INWAKOSEA SANA WATANZANIA. SHE IS UNFIT TO GOVERN THIS COUNTRY.
@thomasmwamkinga40183 жыл бұрын
Kweli huyu mama sio leo hii hanatuona takataka
@cleopatraayhankandal60413 жыл бұрын
Lait mtu angekuwa anakufa na kurudi tena walah tz kingewaka
@mabugabm77083 жыл бұрын
Maisha yanaenda kasi saana jamani aise, duh...?!!! Watetezi wa jana, leo wamegeuka kuwa watesaji tena...!!!
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hii hotuba ni kitabu cha sulihisho la umachinga RIP Dk JPM . Hotuba zako ni ushaidi. Upendeke, usipendeke , uenziwe, usienziwe hotuba zako zitabaki kuwa ushaidi.
@jameskereth39683 жыл бұрын
Kwa kweli bora mchawi kuliko mnafiki 😒 🚮 huyu mama alikuwa anaitikia nini sasa na saivi anafanya nini 🙆🏻♂️ duuh Tz 🇹🇿 tumepigwa 🤣 2025 chama cha democratic hoyeee ✊siezi mpa kichaa rungu 🤐
@igobekomagessa44308 жыл бұрын
Mungu wetu tunakushukuru kutupa Rais ambaye kwakweli hatukujua wala hatukutarajia ni kwa upendo wako kwetu mlinde Rais wetu na endelea kumpa ujasiri na maelekezo yatokayo kwako ili kusudi lako litimie Tanzania na kwawatanzania Amen!!!!
@shafiimpilika82644 жыл бұрын
huyu sio Rais tu! Bali ni Mtume wa Mungu kwa sisi watanzania
@kasimuwesu26203 жыл бұрын
John pombe lala kwa aman lakin hawa ulio waacha huku wamekueka het marehem hana hak ......
@joashnyabange88308 жыл бұрын
Rais, Rais, Rais, Rais, Rais, mh magufuli wewe ni kiongozi wa kuigwa kweli kweli tunakupenda sana baba yetu 2020 utapata 100% ya wapiga kura, ila Waziri wa elimu atufungulie mkopo na sisi wenye diploma tupate kuanzia mwakani!
@issaasumani51823 жыл бұрын
Baba president Johnny 🙏🙏🌲🌲🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🌙🌙🤲🤲🤲💐💐💐💐💐🌲🌲🌳🌲🛤️🛤️⛪🕍🗽📿🕯️🕯️🕯️🕯️🛏️🏞️🏞️🙏 Tanzania president Johnny 🙏 baba president
@veronicasweets43608 жыл бұрын
Eee Mungu mbariki huyu baba. Mjalie maisha marefu
@paulmasansi18153 жыл бұрын
Rest in the perfect Paradise Hon.JPM
@festoignas41468 жыл бұрын
Naomba Mungu akupe Bodyguard wake malaika wakulinde mana Mungu ameyaoma maonevu ya watanzania kutokana na viongoz bas may God direct you towards victory yote yanayokuandamana yakukose isipokuwa mema tu. Mungu tulindie rais wetu Mh. Dr. John Pombe Mgufuli .
@alfredymakuru83333 жыл бұрын
Pumzika kwa amen baba...taifa linakukumbuka kwa memaa yako
@thobiasboniface3388 жыл бұрын
ahsante rais wetu kwa kaz nzur
@patricknguya16027 жыл бұрын
We ndio raisi wangu miaka1000
@RoseMary-hp5bz8 жыл бұрын
Amin my president mungu atutangulie
@fabiandaud87173 жыл бұрын
Baba tunazidi kukukumbuka tunatamani Tena uludi ndunia uone kinacho endelea baba magufuli
@anathaliamwangamila32963 жыл бұрын
Hakuna raisi Bora kama wewe. RIP daima unaishi katika mioyo ya wanyonge wengi
@sarajames7683 жыл бұрын
Duuuh! Imenifanya nilie Leo hakika binadamu tunakumbuka wema MTU akiwa hayupo kiuweli ulikuwa Raisi wa wanyonge hakika rest in peace dady.
@alphoncewilliam43253 жыл бұрын
Jpm .😭Tutakukumbuka tumeanza kuona dar
@philbertmgaza54343 жыл бұрын
Mjomba tunakukumbuka na ulisema tutakukumbuka siku moja sasa yametimia RIP MJOMBA
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Viongozi wengi waliokulia mjini hawawezi kumuelewa Huyu magu
@emmanuelyjohn35553 жыл бұрын
Ulivunja Sheria.
@BennyChristian8 жыл бұрын
huyu ndo raisi wallahi, hata hela ikipotea vipi mtaani huyu ndo anafaaa miaka 50 mbele
@simonlulenga25307 жыл бұрын
Asante mheshimiwa unauwezo mkubwa wa kufanya analysis na kumake decision mkubwa na Mungu akubariki Rais wetu. Na siai waendesha pikipiki kwa shughuli za kila Siku tumepigwa marufuku kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam, mpaka kwa kibali na kibali ni sh. 170,000/= kwa mwaka! Mh. Rais kwanza ifahamike kwamba tunaendesha pikipiki badala ya magari kwa sababu ya kuwa na kipato chetu kidogo 170,000/= tunazitoa wapi? Na kwa mini pikipiki tu na siyo wamiliki wa magari nao waingie katkati ya jiji kwa vibali??? Huu ni ubaguzi ni ukaburu mkubwa sana. Tunaomba utuangalie na sisi.
@mrpambatv34203 жыл бұрын
Yani huyo mama ametulila kama binadam kumbe moyoni mwake!!!!!????? RIP JPM
@bigmaneliudy19063 жыл бұрын
Baba tuta kukumbuka leo tume ambiwa tuondoke
@lanlady25043 жыл бұрын
Duh, huwezi amini kama huyo mama anayeitikia na kuchangia hoja leo hii amekugeuka kabisa baba JPM. Wawekezaji wameanza kupewa kipaumbele kuliko wenye chini. Machinga wanavunjiwa vibanda vyao. Hawana mtetezi. Nchi imeanza kuonesha tofauti kati ya wenyenacho na wasionacho. Asiyenacho ananyang'anywa hata kile anachodhaniwa kuwa nacho
@ashrafmohamed66673 жыл бұрын
Kweli tumepata pgo kubwa sana wa tz roho inauma sna pumzka baba 😭😭😭
@expensivecrew31593 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba etu
@babiornewton10088 жыл бұрын
This guy speaks alot of sense,In Kenya Hwakers are being humiliated,tossed left and right.I wish we had this kind of president
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Rais yoyote yule mpime kwa yamtokayo mdomoni ( hotuba zisizo za kuandikiwa) maana mdomo huongea ya moyoni na dhamira. Kama matendo hayafanani na yamtokayo basi huyo wa namna yake
@jacksonkagwala91448 жыл бұрын
mungu akuongoze uzidi kuwatetea wanyonge
@manenomohamed5928 жыл бұрын
asante ww ndiye rais wa kwel safi sana nimependa.
@maxmwanza52673 жыл бұрын
magufuli jeshi
@robertndebate54623 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Ii aito saulika ujumbe umewafikia
@renatussima52743 жыл бұрын
Sasa Yako wapi haya, mbona ka hakuwepo, iv mda wa kupitia kauli za Magufuli anao aundo basi tena. Ee Mpe pumziko la amani..
@buddahpest46863 жыл бұрын
Chuma kama Chuma kime pumzka ila Mungu Mwema atakatika moto tuta ishi