Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@hawababy1205 ай бұрын
Da Amina unajichanganaya pepo yako iko chini ya miguu ya mme wako sio.mzazi.ila napenda unavonyoosha maneno❤
@x7hia19 күн бұрын
Sio kila mume bibie
@LeahWilliam-i3z17 күн бұрын
Mimi nampenda sana uyo dada hasa kwenye kombolela anafanya vinzuri sn
@Atijasumail4 ай бұрын
Nakupenda sana dadaangu amina nimependa ulivio ongea nipo Mozambique
@mamakayla66975 ай бұрын
Amina wangu tulia tu umvumilie mumeo na umuheshimu,utawafadhaisha watoto rafiki yangu,waonee huruma wanao kipenzi.Mungu atakulinda Amina wangu kwa jina la YESU.
@NeemaGrace1235 ай бұрын
Huyu dada Amina huwa nampenda sana no mara whaa ❤
@salmakashindi46295 ай бұрын
Yani ana ongea kwa hisia saana l love you so much Amina you are so beautiful ❤
@merinajuma69484 ай бұрын
mimi nakupnda nanimekuelewa sna ndgu yangu kama kunamambo hjpitia kwenye ndoa huwez kuelewa ibkia t hvyo mimi nimekuelewa🔥
@TediFwoma5 ай бұрын
Dada amina nakupenda sana mie nakupenda tena tena ❤❤❤❤❤
@aishafrancis77144 ай бұрын
Da Amina umefanana na marehemu mama Abdullh❤
@ZubedaMrutu5 ай бұрын
Yani haujawai kuni kere dada Amina Niko pamoja na ww kama umechoka ondoka ila kama Yana vumilika vumilia
@mwanaidi-bq4uu4 ай бұрын
Mama mashavu oeh napenda sana anavo ongea❤
@farahali60415 ай бұрын
ila Amina unampenda sanaaa dula
@DarKopo5 ай бұрын
Mtangazaji hupo vzr una maswali ya kuelimisha jamii na unajua kuhoji
@YasminYasmin-vj5ih5 ай бұрын
Jaman mie nampenda huyu dada niko oman naomba umrudue mumeo maisha ya ndoa stara my nakupenda sn❤❤❤❤❤❤❤❤
@annamussa1855 ай бұрын
Sasa kama uko Oman😅mnachekeshaga hiyo nayo nchi ya kutangazia watu😅😅😅
@AminaAminjay-dv8tr5 ай бұрын
Bora umekohoa ndug huwa nashagaa san😂😂@@annamussa185
@OfficialA836405 ай бұрын
Ndoa ya kikristo kanisani ww km muislam unalionaje hilo😂😂
@devothasimbi64955 ай бұрын
@@annamussa185jamani usiwacheke mathalani wako nje ya bara la Africa ❤
@lidiamwaisala36305 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@annamussa185
@AzaAzamhmod4 ай бұрын
Naskia laha hatali😂😂😂😂 AMINA KIKOBO NI NASKIA RAHA HATARIII😅
@HabibaHassan-t2u5 ай бұрын
Amina hua nakupenda sana dada❤❤❤❤❤❤❤
@qz6805 ай бұрын
NAAGALIA FROM UK PLEASE CAN WE HAVE ISHA MASHAUZI ON INTERVIEW
@GloriaNikiza5 ай бұрын
Amina nampenda anavoongeya
@FatmaHamad-g6s5 ай бұрын
Yani Amina km tumezaliwa siku 1 mie hata tujenge hekalu ukianz zarau nakumwaga mchana kweupeee
@ashamahadi52815 ай бұрын
Jamani Amina ishi kwa malengo. Mmeo ulianza nae malizana nae kwa kulea watoto pamoja mtoto ni wazazi wa wawili.
@fatumastv5 ай бұрын
Duuu Amina tulia na mumeo watoto wapate upenda wapande mbili ❤❤❤ aya maswala akuwacha inaumiza sana wtto 😢😢
@Salmamkwendasalmamkwenda5 ай бұрын
Nakupenda sana. Dada Amina
@MariamHamisi-oe1bx4 ай бұрын
Mwanamke akichoka amechoka
@fatumastv5 ай бұрын
Gani ebu mshaurini Amina atulie na baby wake watota mnawatesa jaman
@salomewandya72575 ай бұрын
❤❤Amina vikoba
@emanuelmwampashi97615 ай бұрын
Huyu mama Asikatae kuwa baada ya kutoboa kwenye sanaa yake, ndiomaana mume akisema kama mume anaona kama anamfokea
@ShalifaMton5 ай бұрын
Nikweli dada mwanamke akichoka humwambii kitu
@mamakayla66975 ай бұрын
Amina ila usiwe unapaka makeup ya kupitiliza kama hii ya interview ya leo,unabadilika sana nakupenda kwa sura yako halisi,wewe ni mzuri bhana.
@fatmaalnabhani36094 ай бұрын
Hayo madonda ni Manara huyo😮😮
@Brunn-mh2bq5 ай бұрын
Ukweli usemwe. Mwanamke akichoka yuko tayari hata kufa lakini kwa aliyemchoka hakai.
@Naju6455 ай бұрын
Ndoa nistara kweli lakin ikishindika mnaachana Kwa wema unatafuta stara ingine
@mwatummselem24115 ай бұрын
Mungu mjalinye heri lakini kAnamumeo mulewatotowenu
@Mariam-w9s3b5 ай бұрын
Nimekuelewa sana ila bado mijanamke mingine inateseka kisa eti nimezaa
@farajaphilipo88445 ай бұрын
Winnifrida mwenyew dada tunaye kwenye konekisheni
@JumannehassaniomaryJumannehass5 ай бұрын
Huyo amina nikichechetu nazani hapo munapotosha wana wake wengine
@mymuhnabdallahshaban77635 ай бұрын
Ana potosha nin unatak aje kuuliwa saiv wat wnauwana km nin
@JanethMadios4 ай бұрын
Kwenda zako kule wewe unajua anapitia nini kwenye nyumba yake??? Au unajiongelea tuu kama kichaa vile
@Naju6455 ай бұрын
Ndoa nyingi zipo kwaajili yawatoto Tu upendo ulisha isha
@esterMahenge5 ай бұрын
Kbs
@barbiepixie925 ай бұрын
Mapenzi huwa hayawi motomoto kama mlivokutana watu hawataki kuelewa hilo, watoto wanaoishi na wazazi wao wana furaha na huwa stable zaidi ya wale wanaolelewa na mzazi mmoja hata kimaadili pia, kuachana achana sio ishu labda kama mwanaume anakupiga