Kwani mzize kafanya maksudi alafu munasema samata sio mzalendo mzize maskini kapambana yani mzize na samata waacheni sasa mukapange wengine
@DanKirahiАй бұрын
Mmekiri kwamba timu imecheza vizuri. Mlidhani kucheza na timu inayotuzidi rank tena kwao ni kitu rahisi tu? Mwe fair, vijana wameacha gunzo DRC.
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Lakini nyie si mlisema mzize aende kucheza nje ? Hamfai.
@comsmkemwa2671Ай бұрын
Yaani nina hasira na hawa wa chambuzi, sauti tu na maneno sio ya kichambuzii, pimbavu kabsa
@dicksonngasapa7007Ай бұрын
Kosa kipa ametanua mikono nzinze hakutegemea kwamba mlila kipa kauwacha hivyo mpila umemgonga nzenze , pia Mimi nasema samata anapoteza vijana kujiamini kufunga maana malanyingi wanataka kumpa pasi samate ,hivyo kwanzia Leo samata naona aweanatokea sabu
@mohdmnemo9281Ай бұрын
Tatizo wabogo wabaguzi sanaa mlelalamika sana samata. Anafugisha
@ommylove4645Ай бұрын
Tupunguze ujuaji
@suleimanseif3290Ай бұрын
Wewe ni dunia itakushangaa kama humpendi samata kwa tz ndio mchezaji anaetambuliwa na dunia kuwa namba moja wewe unema nini
@NdayishimiyeEvelyne-ws6tsАй бұрын
Samata alikuwa amejikatalia hayo mabo ya unjinga
@damianmcba9525Ай бұрын
Alitaka kustaafu timu ya Taifa wamemuomba aendelee, alafu wanamsimanga tena "" badala ya kuongelea mifumo ya kocha wanalaumu wachezaji eti wamebeti,,, Awajui hiyo ni kesi kubwa sana kusema mchezaji kafanya makusudi timu yake ifungwe sababu ya mkeka