Рет қаралды 92
Nakukaribisha uungane nami Pastor Charles Hingi katika kipindi hiki cha neno la faraja.
Kwa Sadaka unayoguswa kutoa kwa jailli ya BWANA, Tumia samba hii ya Tigo (Yas)
+255 652 444 658 (JINA: REBECA HINGI.
Kanisa letu linapatikana Manchester - Uingereza, na ibada zetu zinafanyikia katika Ukumbi wa Kanisa la Baptist, Mtaa wa Welbeck kusini, Ashton - Under Lyne, OL6 7TB Manchester.
Nakukaribisha pia usisahau Ku- subscribe Channel hii kwa ajili ya Vipindi Vingine vijavyo.
#PastorCharlesHingi #Redemptionofchrist #London #subscribe