🔴

  Рет қаралды 24,676

Mavala Tv

Mavala Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@LydiaJemsi
@LydiaJemsi 16 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu jaman dah natamani na yule dada na kaka waliopga cm waokolewe salama 🙏🙏
@janethKweka-p4m
@janethKweka-p4m 16 күн бұрын
Ahsante Mwenyezi Mungu hakuna wa kumshinda Mwenyezi Mungu hata awe mganga Gani...Mungu awape afya njema majeruhi wote
@neemaminja286
@neemaminja286 16 күн бұрын
Kwa kweli kwa tukio hili Sasa wenzetu mshikeni sana mwenyezi Mungu, baada ya kutoka ukiwa mzima ktk janga hili, sasa mtumikieni Mungu sana kwa mali,nguvu na akili zote kwaninyeye ndiye aliyeruhusu nafasi ya pili ninyi kuwa hai tena.Ukisikia muujiza basi huu ndiyo muujiza wa Mungu halisi🤲🧘🧘🧘
@lizyliz5357
@lizyliz5357 16 күн бұрын
Asante Yesu kwa hili
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani 16 күн бұрын
Mungu waokoe watu hawa ili ujitwalie utukufu wako, na ijulikane leo kuwa wewe ni Mungu usiye shindwa, wewe ni Mungu muaminifu kiwango cha kuaminiwa, tunakutumainia wewe, wajaze nguvu watu hawa wanaofanya kazi yako ya uokoaji hakika wanaweza katika wewe uwatiae nguvu, tunakusifu na kukutukuza daima amiin
@MrsnassirAbdallah
@MrsnassirAbdallah 16 күн бұрын
Ashukuriwe mungu kwa wote waliopona ktk ajali
@neemaminja286
@neemaminja286 16 күн бұрын
Asante Mungu kwa uokozi zaidi🙏🙏🙏
@annakassile1359
@annakassile1359 16 күн бұрын
Amina🙏🙏
@RamadhaniAhamadiKirua
@RamadhaniAhamadiKirua 16 күн бұрын
Vyombo ya habari tuwashukuru sana kwakuendelea kutuhabarisha tukio Zima na kinachoendelea kariakoo kwakweli nchi hii kwasasa inavyombo vya habari vingi sana tofauti na miaka ya nyuma
@AishaHassan-im1vr
@AishaHassan-im1vr 16 күн бұрын
Asante Mungu kwa ukuu wako hakika wewe Ndiyo kila kitu Mungu ni mkubwa Mungu ni Mkuuuuu
@asiasalimu727
@asiasalimu727 16 күн бұрын
Allah awafanyie wepes watoke salama inshaalah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 16 күн бұрын
Alhamdulilah jananilikuona nkiwa Oman linshaAllah
@NURUKWAYAEBENEZERNJIRII
@NURUKWAYAEBENEZERNJIRII 16 күн бұрын
Amina mungu ni mwema
@monicachacha455
@monicachacha455 16 күн бұрын
asante mungu
@JudithFrankNguvilaNguvila
@JudithFrankNguvilaNguvila 16 күн бұрын
Poleni sana jamani
@AishaHassan-im1vr
@AishaHassan-im1vr 16 күн бұрын
Akika umetenda na uendeleee kutenda Allah hatukuamlishi ila tunakuomba Yarabi
@graficitv4412
@graficitv4412 16 күн бұрын
Kama alivyofanikiwa huyo dada jaman na hao wengine Mungu wafanyie njia
@edithkalugira4598
@edithkalugira4598 16 күн бұрын
Amen
@ZahratAhmad-o1v
@ZahratAhmad-o1v 16 күн бұрын
Tuendelee kumuabudu mungu na kumshukuru mungu
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 16 күн бұрын
🙏🙏🙏poleni sana ndugu zetu
@romanaromilus2997
@romanaromilus2997 16 күн бұрын
Mungu mwema sana tunazidi kuomba
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 16 күн бұрын
Kabebeni kifusi mkono kwa mkono itasaidia kuondoa kifusi ,majengo yawe na vipimo vya mizigo mnakuja kuuwana hapo kweli zaidi angalizo ,,,poleni sana wote hata viongozi wetu pia poleni nawaona wakubwa hapo siwezi sema ila si mzaha jambi hili ni janga,
@ArafaKajoki
@ArafaKajoki 16 күн бұрын
Wanaume wote duniani shikamooni
@NURUKWAYAEBENEZERNJIRII
@NURUKWAYAEBENEZERNJIRII 16 күн бұрын
Mungu awatie nguvu mtoke wote tuko nyuma yenu
@faudhiaticha
@faudhiaticha 16 күн бұрын
Ashukuluwe mung
@gladypeter4101
@gladypeter4101 16 күн бұрын
Huyu baba namfahamu anavijana wawiliii
@wellahsuleiman7881
@wellahsuleiman7881 16 күн бұрын
MUNGU ZIDI KUONESHA UUNGU WAKO.
Новости дня | 3 декабря - вечерний выпуск
11:49
Euronews по-русски
Рет қаралды 41 М.
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН