Mdathir kazin kwake Kuna kazi aombe Dua na apambane Kweli Kweli d abuya daadaadaa
@user-ww2nu7vv2iАй бұрын
Tuko live wananchiiii💛💚💚💛
@JolotaErastoJumaАй бұрын
SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBWELA 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@alisalmin512Ай бұрын
Naomba majina ya hawa wachambuzi ndio niwafuatilie
@MalikiMohamedyАй бұрын
Omari mketto nipo sãopaul Brasil nawapata vitória sana hapo wasafi
@user-vv1yh6lo3lАй бұрын
Mashabiki walikufuru kusema even Jesus Christ can't save Kaizer Chiefs !!
@JELSONMAUKI24 күн бұрын
Kabisa yani 😅😅😅😅
@dragon_tzАй бұрын
HIVI KUNAUWEZEKANO MKIWA MNACHAMBUA MDA HUO HUO MNAKUA MNATUPITISHIA YA HIGHLIGHTS JAPO HATA KWA UCHACHE2.. 🙏 OTHER WAYS NAWAPENDA SANA NA NAWAFATILIA KUTOKA DUBAI🇦🇪
@jimmymnuano7165Ай бұрын
Mimi nilivyo muelewa Mr. Gamond hakutaka kuwanyima usingizi wachezaji pamoja na mashabiki wa Simba mpaka siku ya kuwafumuwa na kuvalishwa Sanda lakini ikabidi hivyo ila wajuwe Sanda wamesha zivaa bila ya kuambiwa wakae wakijuwa hivyo wasubili kuzikwa tu
@nadhifamustapha7557Ай бұрын
JAMAN JOB,KIBABAGE Na YAO YAO KAZI ZAO PIA NI MOTO SANA
@LucyMbwambo-w4dАй бұрын
Wasafi iringa mjini tunawapata kwa shida kwa upande wa kutumia redio,tunaomba mboreshe zaidi mfumo wa matangazo yenu
@AlfredRutaguzaАй бұрын
Huyu michambuzi wa kipemba tunajua amechukia yanga kupata kombe maana yeye ni kolo
@BoniphaceJacoboАй бұрын
Mbona kwenye tv hampo live kwenye kisimbuzi Cha Azam
@jareengeorge5478Ай бұрын
Mnachekesha sana.kaizer chifu Ile mnazani ndio hii.kwenye ligi huko kwao inashika nafasi ya 10.acheni upumbavu huo.mnapiga bomu muchwari mnasema mmeua.fyuuuuuuuu
@salmamlokela1987Ай бұрын
Utakufa mapema kwa roho mbayaa😅
@fettiemaganza1484Ай бұрын
@@salmamlokela1987mwache afe tu maana Sanda tayari anayo
@johannmaloda6027Ай бұрын
Mamelod anayeongoza ligi ya South Africa alifungwa na yanga ktk club bingwa Africa wewe unaongea nn, makolo akili km zimejaa kamasi mpira hamjui.....😂😂
@JELSONMAUKI24 күн бұрын
Hapo wanamuongelea Mzize 😅😅😅😅😅😅
@user-qo6qv6mc5pАй бұрын
Xav mtupu
@johannmaloda6027Ай бұрын
Mamelod anayeongoza ligi ya South Africa alifungwa na Yanga ktk club bingwa Africa ndo kuleta hujuma...itakuwa Kaizer chiefs😂😂.. Makolo huwa hawakubali wanatafuta sababu kusema Kaizer chiefs wameshuka...vp kuhusu mamelod aliyefungwa na n bingwa ligi hiyo???
@aboumanasse90Ай бұрын
Naomba kuuliza swali, haji manara hana slogan nyingine ya uwamasishaji tofauti na kuingumzia simba, mbona Ali kamwe anafanya uwasishaji bila kuizungumzia simba na Ahmed anafanya hivyo bila kuizungumzia yanga, mda wote aliokaa nje hajajifunza vitu vipya?!