🔴

  Рет қаралды 78,356

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#LIVE Kigoma: MAPOKEZI ya YANGA KUFURU, Wafunga BARABARA, Haijawahi KUTOKEA...
KLABU ya soka ya Yanga, leo Julai 22, imetua mkoani Kigoma kwa ajili ya kuvaana na watani wao wa jadi Simba SC, katika fainali ya kombe la FA Jumapili Julai 25 uwanja wa Lake Tanganyika.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 97
@makalangele6229
@makalangele6229 3 жыл бұрын
Mungu inariki Yanga ishinde. Amen
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 3 жыл бұрын
Yanga tuna watu 💛💚💛💚💛
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 3 жыл бұрын
Oyooooooooooooooooo💚💛💚💛💛💛💛💛💚💛💛💛💛💛Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO CONGRATULATIONS MY TEAM💚💛💚💛
@ninaah3243
@ninaah3243 2 жыл бұрын
wananchi na team yao🙌🏼😊 sio mapenzi haya ni mahaba🔰💚
@umosamaalhinae9654
@umosamaalhinae9654 3 жыл бұрын
Allah tujalie wananchi tuibuke Na ushindi🙏🙏🙏
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 3 жыл бұрын
Yaani nipo Oman lkn nahisi raha kama vile Niko Kigoma naiona Yanga. Allah tupe ushindi mnono chama langu yanga
@erickmariseri5358
@erickmariseri5358 3 жыл бұрын
Ahaaaaaaa balaAa mkuuuu
@jacklinejohn222
@jacklinejohn222 3 жыл бұрын
Yangu macho 😬😛
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Chama kubwa YANGA Mungu ipe ushindi chama kubwa
@frednandysa283
@frednandysa283 3 жыл бұрын
Watuachee Yanga Tumejipangaa ✨✨✨✨
@omarygesa2884
@omarygesa2884 3 жыл бұрын
Kila lakher Tim yangu 💛💚💛💚💚
@jacklinejohn222
@jacklinejohn222 3 жыл бұрын
All the best to my yanga
@joshuason557
@joshuason557 3 жыл бұрын
Young Africa for ever 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿👍👍👍👍✌️✌️ from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@latifakassim8938
@latifakassim8938 3 жыл бұрын
Naitakia timu yangu ushindi wa goli mbili jmn
@beatricetimotheo8808
@beatricetimotheo8808 3 жыл бұрын
Mungu awasaidie
@nancyjohn6723
@nancyjohn6723 3 жыл бұрын
Yanga 4 life
@taustaus6694
@taustaus6694 3 жыл бұрын
Muguibaliki yanga
@edinamalimi3843
@edinamalimi3843 3 жыл бұрын
Mungu ibariki yanga
@charlesmasele6327
@charlesmasele6327 3 жыл бұрын
Nawaombea chama langu ushindi mzuri
@athumanibidebeli4552
@athumanibidebeli4552 3 жыл бұрын
Pamoja sana wana yanga
@pastorlutebukabahinyuye238
@pastorlutebukabahinyuye238 3 жыл бұрын
Karibu Kigoma Yanga kuchapwa na mnyama Ni kama kawaida Simba 4 🐆Yango 0 kawaida yetu Simba kumchapa Yanga kwenye Azam Fadiration cup Ni wateja wetu hawawezi sisi huwatufunga ili tuchukue kombe siyo Kama wao utopolo wanasindikiza mshindi.Subirini mnyama anakuja na kombe la ligi kuu na ngao ya hisani Azam Fadiration cup ya mwaka Jana na Simba Super cup. Wao nao wameku na Nini? Naulizia utopolo.
@fammamourachy156
@fammamourachy156 3 жыл бұрын
Yanga oyeee
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 жыл бұрын
Wachezaji wetu jitahidini kuwapungia mikono mashabiki wenu please wanahangaika sana na timu
@mohandalrahbi8942
@mohandalrahbi8942 3 жыл бұрын
umenichekesha wamekausha sana
@saiddingo2679
@saiddingo2679 3 жыл бұрын
Yanga
@magdalenaandrew5457
@magdalenaandrew5457 3 жыл бұрын
Kila lenye heri chama langu mungu atuongoze tupate ushindi
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 3 жыл бұрын
WANANCHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII💚💛💛💚💛💚
@unclevirustv9772
@unclevirustv9772 3 жыл бұрын
Team ya wananchi team ya Tanzania Team isyokua na rangi ya damu. kwenye nembo. na rangi zake Kwetu sisi n amano na upendo. kila la kheri
@hamidially9820
@hamidially9820 3 жыл бұрын
Mtashangilia sana ila kichapo kama kawaida wanangu wa Simba piga kelele
@innocentmasawe7853
@innocentmasawe7853 3 жыл бұрын
Aixee tuboreshen wachezaji yanga iko pw xan ni timu pw xan na naipenda ila tunaomba mtuboreshee timuu mcituumize mashabikii
@issaramadhan7456
@issaramadhan7456 3 жыл бұрын
Sisi ndo yanga .kichapo Kama kawaida 2 zinatosha
@lilianrichard6687
@lilianrichard6687 3 жыл бұрын
Alex kotokakatavi yangadamu af tumebeba simbamchumba🤩🤩🤩🤩🤩
@josephmahubemaro7406
@josephmahubemaro7406 3 жыл бұрын
Subiria Simba Sports Club itue kgm ndy funga kazi ya songea maji maji haoni ndani
@hamadiabdallah5440
@hamadiabdallah5440 3 жыл бұрын
funga simba
@tilubuchunga4969
@tilubuchunga4969 3 жыл бұрын
kigoma n ya watoto wa mxmbaz 2taona
@edinamangu373
@edinamangu373 3 жыл бұрын
💛💛💚💚💚💚
@erickmariseri5358
@erickmariseri5358 3 жыл бұрын
Yacouba atawafunga k moja tu kipind cha kwanza
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Hii video mbona ya ccm ya muda mrefu sana
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 3 жыл бұрын
Simbaa baba lao
@richadykisanga8986
@richadykisanga8986 3 жыл бұрын
yanga jamaniiiiii
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 3 жыл бұрын
Mnyama ni Majungu tu kati ya babra na Manara atakayepinga kelele sasa ni nani!?!?! Kuwapiga ni kiulaiiini
@thadayochigali5214
@thadayochigali5214 3 жыл бұрын
Sisi tuna watu.
@eliasmsoffe6735
@eliasmsoffe6735 3 жыл бұрын
Amekwisha mnyama.
@yaredyromein1396
@yaredyromein1396 3 жыл бұрын
Silipend hili litim la YANGA
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Kwani hapa umeitwa au kiherehere kimekuleta lazima uteseke nafsi tu👌👌👌
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Subirieni aibu ya kipigo Cha mbwa mwizi
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Yanga wastaarabu bwana hata ushabiki wao kelele wala vurugu hakunaga ni mdogomdogo tu kitaeleweka baada ya dk 90
@selekatuga8784
@selekatuga8784 3 жыл бұрын
yanga mbele kwa mbele
@julianamnyampa7426
@julianamnyampa7426 3 жыл бұрын
Kila la heri yanga
@franklaurent3408
@franklaurent3408 3 жыл бұрын
Yanga 1_0. Mfungaji yakuba
@umosamaalhinae9654
@umosamaalhinae9654 3 жыл бұрын
Ninaona Raha Kama nipo tz wallah
@rosekalugula4268
@rosekalugula4268 3 жыл бұрын
Yanga tunawaombea ushindi
@adammnemwamnemwa5155
@adammnemwamnemwa5155 3 жыл бұрын
Nawatakia chama langu uxhind
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 3 жыл бұрын
Wezenu huku kumeumana wenyewe kwa wenyewe
@vascokasambala2159
@vascokasambala2159 3 жыл бұрын
Uliiona simba songea?
@omaryhabibu9419
@omaryhabibu9419 3 жыл бұрын
Subirini simba ndoutawajua wa2 wa kigoma kwao na manara na kiba
@umosamaalhinae9654
@umosamaalhinae9654 3 жыл бұрын
Simba nan SS hii ndio YANGA MOTO
@stellamwalende1831
@stellamwalende1831 3 жыл бұрын
Saf sanaaaa
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 3 жыл бұрын
Safi sana
@pastorlutebukabahinyuye238
@pastorlutebukabahinyuye238 3 жыл бұрын
Karibu kigoma mliwe na mnyama Simba 4 -Yanga 0 nikawaida yetu Simba kumpiga Yanga 4 kwenye mashindano haya ya Azam fadiration cup haijadiliwi Hata kidogo Ni wateja wetu.
@abuuminya8746
@abuuminya8746 3 жыл бұрын
mech nisawa ngapi
@taustaus6694
@taustaus6694 3 жыл бұрын
Mechi saa tisa
@taustaus6694
@taustaus6694 3 жыл бұрын
Naipend yang
@taustaus6694
@taustaus6694 3 жыл бұрын
Niko mwanza yaninaon kama Niko kigoma honger yang
@blaynyagawa9161
@blaynyagawa9161 3 жыл бұрын
Kufuru ndio hiyo umekuwa mgeni tz?
@vascokasambala2159
@vascokasambala2159 3 жыл бұрын
Watu hata 100hawafiki unasema wafunga barabara makubwa
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 3 жыл бұрын
Mkoa wenyewe haunawatu wengu
@hijjaferrari331
@hijjaferrari331 3 жыл бұрын
Huu wimbo kaimba nan wazee was jangwan
@hekanikigodi309
@hekanikigodi309 3 жыл бұрын
Viwalo viva
@samwelpaul6944
@samwelpaul6944 3 жыл бұрын
Mkosi huuu hamna watuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
@beatricezacharia1737
@beatricezacharia1737 3 жыл бұрын
Watu wakowapi sasa? Wakuhesabu subili mnyama atie timu ndio uone watu
@thabitiykitwana1271
@thabitiykitwana1271 3 жыл бұрын
Ila jmni tuseme ukweli yanga inawatu
@amankhalfan4798
@amankhalfan4798 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@medardchristian4426
@medardchristian4426 3 жыл бұрын
Aminia mwananhii
@medardchristian4426
@medardchristian4426 3 жыл бұрын
Yanga ndio babaraoo eat african
@batromeombogo5841
@batromeombogo5841 3 жыл бұрын
ila sijui mlichukua video na camera ya simu
@joaspisper333
@joaspisper333 3 жыл бұрын
Xixhida kuchukuliwa na ximu chamuhim taarifa ifikee Kua timu imewasili xalama
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Subiria mnyama atinge ndo utaona nyomi hako kanaitwa kanyomi!sasa inakuja gharika
@simonsamba4796
@simonsamba4796 3 жыл бұрын
Watu wenyewe wako wapi sasa
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 3 жыл бұрын
Acha wivu 😅😅😅
@modetheo5182
@modetheo5182 3 жыл бұрын
kwani hao siyo watu una wivu tu wewe
@faridikipingu1437
@faridikipingu1437 3 жыл бұрын
Watu si hao ndugu unataka watu Wa aina gani sisi yanga nature hatuigizi wala hatuitaji sifa
@hamzalyawa7981
@hamzalyawa7981 3 жыл бұрын
@@faridikipingu1437 😆😆😆😆 mwambie huyo paka fc kwanza anatafta nn huku
@hadijasaidi7709
@hadijasaidi7709 3 жыл бұрын
@@hamzalyawa7981 acha matusi kichwa cha habari ndo kimeeleza kua mtaa umefungwa wakati wakawaoda jamani upenzi mpaka kutukana mtaa umefungwa km alivokwenda nyange angesema hivi shangwe la wanaakigoma kuwapokea yanga
@faifhmsey8015
@faifhmsey8015 3 жыл бұрын
simba 5 utopolo 0
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Simba 3 yanga 0
@hamzalyawa7981
@hamzalyawa7981 3 жыл бұрын
Nyoooooo😆😆😆
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 3 жыл бұрын
Labda manara na babla wakicheza
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 3 жыл бұрын
@@mchezakamaliog265 Kabisaaaa😀😀😀😀
@fanikiwamhapa4236
@fanikiwamhapa4236 3 жыл бұрын
Yanga 2- 0 simba
@mponejawillson1453
@mponejawillson1453 3 жыл бұрын
Paka fc kazi mnayoooo nyau nyieeee.
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 3 жыл бұрын
Yanga nipigie simba mbili 2 tu Hiyo Jumapili.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
yanga yafanya kufuru afrca kwa usajili huu duuh
5:10
GLANT TV
Рет қаралды 3,1 М.
Chinese sniper vs. American sniper during the Korean War (1952)
50:39
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Ona Simba Watinga na Ulinzi Mzito Uwanja wa Mkapa Kuwakwepa Yanga
3:17
WHY IS THIS SO FUNNY😂
0:15
Noogi
Рет қаралды 3 МЛН
100% Smooth Passes 🤯
0:35
Miro Football
Рет қаралды 10 МЛН