🔴

  Рет қаралды 32,026

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: KIMENUKA YANGA - WAZEE WAMKATAA MZEE MAGOMA - KESI ya INJINIA HERSI ni UTATA MTUPU....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 40
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
​​Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 2 ай бұрын
Duh Mzee magoma mwanaume wa shoka kweli na haki Huwa aingilii wingi wa watu kama Mzee magoma anahoja nzuri anawabwaga wote hawa
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Mzee magoma yupo sahibi hwaowazee hawajitambui
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 ай бұрын
Mzee Magoma ukiizungumzia tena Yanga tunakufata home kwako mchana kweupe Daima mbele nyuma mwiko
@ABELISichalwe
@ABELISichalwe 2 ай бұрын
Kwa ks/panga 😂😂😂 ushenzi aufanye nyumban kwake
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 2 ай бұрын
Huyo nisawa na Mzee darali kazi zao kuparanganisha. Mambo mema na Faida ya wengi na Hawa wazee wa hovyo kama huyo tunao sana hata serikalin kazi yao. Kupinga tu au kukosoa bila kuangalia faida zake Kwa wengi🙏
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Magoma mwamba kwelikweli
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 2 ай бұрын
Mbwa koko huyu afukuzwe na iwe mwisho wake, yaani ningekuwa karibu yake ningempiga rungu la kichwa ubongo wake utawanyike mpumbavu mmoja huyu.
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Ee magoma ni lijitu poa sana magoma wasambaratishe mwiko nyuma
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Kwakweli mazee ya yanga hajitambui
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg 2 ай бұрын
Magoma ajue ukitaka ubaya na wanachama wa yanga mguse hersi said
@EmmanuelMartias
@EmmanuelMartias 2 ай бұрын
Halina hakili hilo zee magoma lishenzi2
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 2 ай бұрын
Timu kubwa inajulikana tu hebu ona waandishi wa habali walivyo jazana. he..!👉🔥🔥
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Magoma mtu WA maana haaaa ishi mzee😂😂
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Magoma liko sawa fateni Sheria vyura utopolo
@musapfute6608
@musapfute6608 2 ай бұрын
Km yupo sawa mchukueni asaidiane na mangungu tuwabonde 10
@AsedMfaume
@AsedMfaume 2 ай бұрын
Uyo mzee atoke atuachie yanga yetu
@FelixisaacKalembo
@FelixisaacKalembo 2 ай бұрын
Ongeeni ukweli nyinyi wazee au nanyi ni walewale wapigaji ninyi
@agustinokinunda2302
@agustinokinunda2302 2 ай бұрын
Mshamb uyo magoma amechundaaa na ni wazi kabsa katumwa na makolooo mwambieni aachane na timu yetu as long as now days we are strong enough with young African's lovers
@SuzanIkwabe
@SuzanIkwabe 2 ай бұрын
Magoma anataka kutredishwa na yeye ila kafeli kwa wana yanga namwambia hersi tunae na tunatamba nae akafie mbele huko😂😂
@jescampangile9522
@jescampangile9522 2 ай бұрын
Tena akome kabisa aiache timu yetu Ana tumiwa na watu wa simba Hawa hatuitaji migogoro ndani ya klabu yetu
@HamzaRwechungura-v4f
@HamzaRwechungura-v4f 2 ай бұрын
Kwani kipindi hersi anachaguliwa ikagoma alikuwa wapi? Kwanini akugombea mwenyewe akawa raisi
@mwitawambura6753
@mwitawambura6753 2 ай бұрын
Mmmh hapa hahahaha😂
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 ай бұрын
Mkausheni kama ndafu mitomingi mpenda umasikini kizee cha hovyo hovyo
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 ай бұрын
Hamna hela za kupeleka nje tim
@FadhiliShabani-e5u
@FadhiliShabani-e5u 2 ай бұрын
Mkuma wa mama ako magoma kila akipumuw
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 2 ай бұрын
Hapa kikubwa kinachoonekana cha makosa sana ni wafadhili wakubwa wa Yanga ikiwemo kina GSM wana mawazo gani na wako upande gani? Maana wao ndio waumiaji wakubwa . Wakinyamaza ni sawa na baba kunyamazia ugomvi wa Watoto.
@fadhilngaona3685
@fadhilngaona3685 2 ай бұрын
Tumkamate tufunge nae harusi
@issaissa1361
@issaissa1361 2 ай бұрын
Uyo magoma tumvunjie mayai kwenye makalio yake katumwa uyo
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 ай бұрын
Na kisura cha huyo magoma sasa!
@JohnMagudi
@JohnMagudi 2 ай бұрын
nimekubali baadhi ya watu dawa yao nikuwapoteza tu
@alisoloka3367
@alisoloka3367 2 ай бұрын
Sasa hata mahakama nayohaijitambui Rita nayo je?
@khamiskhan-m8m
@khamiskhan-m8m 2 ай бұрын
Njaa typess
@EmmanuelMartias
@EmmanuelMartias 2 ай бұрын
ametumwa na makolo wenzie
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
Huyo mzee anataka nn haswa yaan
@AminaMabrouk-n1m
@AminaMabrouk-n1m 2 ай бұрын
anaiharibu timu
@AsedMfaume
@AsedMfaume 2 ай бұрын
8:35
@RashidiAhmad-ow5fb
@RashidiAhmad-ow5fb 2 ай бұрын
Oyo mzee magoma ni nani lakini mbwa huyo
@BobCheed
@BobCheed 2 ай бұрын
Sio Kila mzee anabusara,hata wale wajinga na wapumbavu huwa wanazeeka
@SuzanIkwabe
@SuzanIkwabe 2 ай бұрын
Magoma anataka kutredishwa na yeye ila kafeli kwa wana yanga namwambia hersi tunae na tunatamba nae akafie mbele huko😂😂
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 78 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04
Chadema Media TV
Рет қаралды 11 М.
SOUTH AFRICA VS CONGO ‣ ALL GOALS & HIGHLIGHTS ‣ AFCON QUALIFIERS 2024
10:34
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 78 МЛН