Tunahitaji kuwa na vijana wenye jeuri ya kujenga hoja, mithili ya huyu. Kudos...
@lulanjamd38865 ай бұрын
Siyo jeuri ni muelewa
@Mpakauseme5 ай бұрын
Si jeuri huyo bali anajiamini, ujeuri maanayake ni ujinga ? mkemevu wa vitisho
@JosephatMachibya5 ай бұрын
Tatizo haujui biashara chalamila alichokise Yule bwana ndio biashara sio ww huo ni ubabe
@AgnesEphraim-jw6dv5 ай бұрын
Chalamia anajua kujibu jeuri tu lakini kakutana na kamanda mzoefu nayejua kuzungumza uyo kasoma lakini Tanzania yetu aina ajira kaamua ajiajiri mwenyewe
@justardzelphine65265 ай бұрын
Waliharibu ule utaratibu JPM
@mkambamaulid4475 ай бұрын
One love Brother ulicho nifurahisha mpaka kikao kimekwisha sija sikia majibu yako Hiyo nondo umepiga kwenye kipanda uso Kaka ww ni Machinga number one💪🏽🙏🏼😜
@platotaurus2301Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Kaka nimecheka sana. Maana nimewaza hiyo NONDO YA KIPANDAUSO aisee. Dah!! Watanzania mnamaneno sana😂😂😂😂😂😂
@ShabanShamsuАй бұрын
Mku wamkoa mhehe aje aongeze pwan dsm kweli
@mossessimon24935 ай бұрын
Kijana yupo very composed and calm kwa kweli.. smart guy!
@mwangosikennedy96435 ай бұрын
Dah jamaa kaongea kijasiri sana japo Chalamila anamuuliza kwa hali ya utisho, safi sana kamanada umewakilisha jamaa
@thabitdaudi98154 ай бұрын
Lipumbavu hilo sijui lina jambo gan na rais hadi kulipa nafas kama hio kama ni uproffesor wapo wengi sana wenye PHD + hekima. Na uongozi sio elimu. Ni hekima chunguza makonda anavyoongoza kwa akil na busara. Sio hii takakata hapa. Especially kwa mkoa mkubwa kama dar
@BabaFarzan-ml4er4 ай бұрын
Si ndio zao Kenge hao Mawazo yao ni WTZ wa Nyerere bado wapo This GenZ
BRAVO KIJANA....UMEZUNGUMZA KWA WELEDI NA HESHIMA KUBWA....MH. MKUU WA MKOA UNATAKIWA UTAFAKARI SANA MANENO YA HAWA WAJASIRIAMALI....MH. RAIS SAMIA PELEKENI HIZO KARAKANA NJE KIDOGO YA KATIKATI YA JIJI....KWA MFANO NJIA YA KBAHA....NJIA YA KILWA....NJIA YA BAGAMOYO!
@AlhajiIssa-jb9hr5 ай бұрын
Huyu kijana ni zaidi ya mkuu wa mkoa. Hongera kwa hoja zenye mashiko na ujazo wakutosha🎉
@musa-v3f2 ай бұрын
ningekuwa Rais ningemfukuza kazi Chalamila nimuajiri huyu kaka nitumie his business experience to enhance revenue
@Topcentclassic4 ай бұрын
nikimsikiliza jamaa ni kama fred vunjabei kwa sauti hata mpangilio wa maongezi yake .....safi sanaaa
@SarapiaMfoi5 ай бұрын
Hongera sana kijana wangu una ujasiri uliopitiliza sikuamini kama ungeweza kuongea point kwa ujasir hivyo ubarikiwe sana mond
@raphaelnambombi37095 ай бұрын
Huyu kijana anaakili sana kusimama mbele ya watu wengi hivi tena mbele ya uongozi wa mkoa na kwenye mgogoro na kuweza kuongea pointi zilizonyooka siyo kazi ndogo
@CharlesMshana-c4o5 ай бұрын
Hongera ssaana kijana ,umeongea kimantiki sana, tathimin ifanyike kila mmoja apate stahiki zake za kufanya biashara na serikali ipate kodi yake
@MathewNathan-yb2bz5 ай бұрын
Kijana hongera sana.kwa pamoja tujenge Tanzania yetu kwa uzalendo mkuu.
@nelsonngemera98325 ай бұрын
Mungu ambariki huyu mfanyabiashara kaongea vizuri sana..
@josephfrank44465 ай бұрын
Huyu mwamba ameongea kitu kikubwa sana big up
@AlHamra-k4u5 ай бұрын
Hongera sana kijana umeongea kwa busara. Kiukweli mkuu wa mkoa chalamila umekosea sana kuwatusi Wanabchi
@kaaakwakutuliaa51795 ай бұрын
ccm siku zote miaka 60 ni kandamizi mafala hawa
@emanuelnisetas75105 ай бұрын
Hawa nasikia vibaya sana
@samwa94962 ай бұрын
@@kaaakwakutuliaa5179wasilisha hoja usitukane
@johnmaganga444 ай бұрын
Jama yupo vizuri kwenye kujenga hoja na ana hekima kwa sabubu ana taarifa za kutosha kuhusu eneo husika na anaonekana amesoma na pia Anajua kujielezea na ameongea kwa Tone Nzuri Sana Big up sana Bro👊👊👊👊👊
@AmanNdalu-m7q4 ай бұрын
Kuna muda viongozi huwa wanaongea kama maisha ya chini ni Jadi yetu but Mungu awape maisha marefu
@EliaoniTerry5 ай бұрын
Huyu kijana kama ukimtizama na kusoma body language unaona aliumia sana kwa jeuri na vitisho vya mkuu wa mkoa, lakini mungu akamuwezesha kushusha hasira yake na kutoa maelezo ya kimantiki, kama serikali haitajifunza kuanzia mipango yake kwa kushirikisha watu wa ngazi za chini itakuwa inazusha tafrani isiyo na msingi na pengine kuhatarisha amani. Sikia maelezo ya kijana yalivyoonyoka. Serikali iache kutumia mabavu kila mara. Inaonekana eneo hilo viongozi wake na wengi wa wanao fanyia biashara hapo wameelimika vizuri sana anzia mwenye kiti wao.
@geofreychitamu3665 ай бұрын
Huyu kijana ndiye alipaswa kuwa mkuu wa mkoa na mkuu wa mkoa kwa jinsi alivyojaa jazba alipaswa kuwa huyu kijana.ila walio madarakani hujisahau kwa kuwa wanajivunia mamlaka,polisi,tss nk.
@gasperymisungwi9605 ай бұрын
Kijana kavaa busara ya kiwango cha juu sana, hata hivyo IQ yake ipo juu pia, utulivu ni kitu cha msingi sana. Viongozi wengi hawapend kuwa challenged wakiamini kwamba wao tu ndio wanauwezo, busara na hekima nyingi! The opposite is true
@KarumeKindamba-lk1px5 ай бұрын
Ongela kijana maelezoyako yametulia na umeonyesha wamachinga ni jamii inayoweza kutoa Kodi.
@leokamil62845 ай бұрын
Kweli Mkuu wa Mkoa anapayuka kama kachanganyikiwa, sidhani kama mtoto wake anaweza kuongea nae kwa style hiyo.
@leokamil62845 ай бұрын
@@gasperymisungwi960Mtu yeyote Mpumbavu huwa hapendi kuambiwa ukweli
@boazikibuyu74575 ай бұрын
Chalamila afai kua kiongozi wa wananchi labda kiongozi wajeshi Tena wakati wa vita 😂😮😮😮
@Magufulitanzania-d6e4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JohnJohn-gm7yb4 ай бұрын
Hahahaha Asubiri kipindi cha machafuko vita
@halimaIssamadodoАй бұрын
Umenifanya nicheke vikubwa sana❤❤
@HildaMjemaАй бұрын
Busara hekima mpaka mkuu wa mkoa amekupa mda mrefu kukusikiliza👏👏👏👏
@emmanuelShayo-dk6vf5 ай бұрын
Safi sana hakuna kumwogopa binadamu kwan yy ni mungu .na kwani ww ni mwalifu tunatakiwa tuwe na uhuru na confidence ya kujiekeza ukisha kuwa na hivyo vitu kuburuzwa ni uongo
@Damian-tt8fv4 ай бұрын
Hongera kijana mwenzetu kutuwakilisha vzr
@solomondanny-15074 ай бұрын
Hongera sana mwanangu. Una hekima sana kijana.
@JumaAbdallah-gn5qu5 ай бұрын
Mpe cheo huyu kijana Anakitu kichwani ila kukio😢na ni Fulsaa mpe kitengo 👍👍
@festokemibala58325 ай бұрын
Hawa ndo staili ya Madiwani tuanaowataka wenye maono na ushauri yakinifu na adili
@celinapeter94745 ай бұрын
Sanaaaaa mama angemuona tuuuu
@ednaJF10285 ай бұрын
Kweli
@samwa94962 ай бұрын
Hao ni wasomi waliokosa ajira
@CalistusTitus-s5o5 ай бұрын
Uyu siyo mkuu wa mkoa hafai kuwa kiongozi unawakalipia kama watoto tumia hekima
@leokamil62845 ай бұрын
Kijana anautulivu wa akili kuliko Mkuu wa Mkoa 😅
@miltonjohn97795 ай бұрын
Mkuu was mkoa no comedy😂
@PaulinaSemindu-ob3de5 ай бұрын
Mku wa mkoa huyu angepelekwa Arusha😂 Makonda wetu mpole arud Dar😂😂😂
@DennisFandi5 ай бұрын
Kabisa huyu mkuu mi namwonaga chenga anategemea vitisho
@eliathomas84465 ай бұрын
@@PaulinaSemindu-ob3de Arusha hatutaki vichaa coz tayar Arusha enyew Ina vichaa ni wengi...makonda wetu is the best...bakini na lichalamila lenu hatulitaki huku😂😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de5 ай бұрын
@@eliathomas8446 khaa 😂😂
@RamadhaniKitala-gx6wc3 ай бұрын
Yaan kaka ameongea pont sana maashallah kuliko huyo mkuu wa mkoa anafoka tu hafai hata kifuga kuku
@yapukahassan5 ай бұрын
Huyu chalamila hata akipewa ualimu wa shule ya msingi anaweza ua watoto wetu kwani anahasira sana hvyo hafai kabsa kuongoza hata kuku
@mwarabukabandama37974 ай бұрын
😅😅
@rizikiwaadee87904 ай бұрын
Nj mwalimu wa chuo kikuu
@DaheerK4 ай бұрын
😂😂😂
@liutapro5 ай бұрын
Huyu mkuu sio moja kwa moja anamaneno flani ya kibabe pia anadharau wananchi sana kiufupi Hata akiomba kura kuwa kiongozi wa nchi aisee yangu hapati..
@mwinyimatano9497Ай бұрын
Huyu bro wangu Yuko vizuri Sana kwa hoja anazojadili huyo mkuu wa mkowa avue manyota yake apewe huyo jamaa❤❤❤❤
@sikukuuchuo309327 күн бұрын
Allah anasema msiwaogope wao ,niogopeni mimi,hakuna kuogopa binadamu mwezako, congratulations 🎉
@leinaamos5 ай бұрын
Jamani Kuna vijana wanaudhubutu sana kijana Yuko vzr Hadi mwenye mtoto anajivunia
@fredmbossa-kc3qn5 ай бұрын
vijana wengine ni wasomi ila wamekusoma fulsa tu ya kuajiliwa wameamua kuwa wajasiriamali wadogo ,,,ukiangalia kwa makini hata anavyojieleza unaona kabisa huyu kijana ni msomi
@stevensoso75064 ай бұрын
Vijana wangesikilizwa Tanzania ingesonga kijana kaongea pointi tena kwa hekima tatua changamoto nchi yetu wote tuijenge kwa amani
@HusseinYahaya-q1z4 ай бұрын
Charamila alitaka kumtoa kwenye reli mwanzoni, Jamaa kameza mate kakaza shingo hajateteleka.. Good Job, Chalamila ikabidi akae kimya kijana akawa Anang'ata na kupuliza 😅Ilimradi Dawa Ingie Tanzania Tukiwa na vijana kama hawa 10000 tu.. Tanzania itaamka Hatutaki Machawa.😅😅
@akilihabibu53264 ай бұрын
Kijana ❤ unaweza sana na unaakili sana uwezo ulionao ni zaidi ya ---
@fredmnyika-iw8bkАй бұрын
We maliza tu..ni zaidi ya mkuu wa mkoa
@japhethcharles57915 ай бұрын
Hongera kijana ,Mungu akulinde.
@petermwijage98825 ай бұрын
very standard speech ,yani jamaa kaweka hoja kwa hoja hadi ukimya ukatawala.big up
@shebbyelphonce85145 ай бұрын
Kijana mwenzangu kwel unajua kujieleza mi mwenyewe nimekuelewa ase yan uko vizur sanaaaaa
@AbrahBuraheze5 ай бұрын
hi ni nzuri inatufanya tusijisahau na hivi ndivyo tutakuwa kiuchumi sis wafanya biashara wadogo tunajisahau snaaaaaaaana
@eddiemohamed90034 ай бұрын
ONGERA SANA IDDI .M. RAMADHANI KWA UJASILI NA KUONGEA VITU VYA MSINGI NA VYA MAANA KWA HEKIMA NA WELEDI MZURI👏👏👏🏆💯👑, MUNGU HATA WABARIKI NA KUTATUA CHANGAMOTO ZENU🙏
@cheiknamouna20585 ай бұрын
Mkuu wa mkoa anatufokea mwambieni atulie tumdikilize kijana aongee😂😂
@sylvestercharles35855 ай бұрын
Kiukweli Chalamila kuna namna hajui namna ya kuongea na hadhira kama Kiongozi.
@KattKangu5 ай бұрын
Mkoa waarusha tumebarikiwa poul makonda weuweeeee❤
@rabsonmichael97205 ай бұрын
Hii ndio wanaita madaraka ya kulevya,ni kiongozi wavitisho vitisho kila siku.
@rosehaule67655 ай бұрын
Safu sana elimu ndio kila.kitu tusomeshe watt wenu ni machinga lakin msomi anaongea kwa kujiqmini ¹elimu ndio kila kitu kichwa kimeshiba elimu anongea kwa.I vielelezo inatamanisha kuendelea kumsikiliza kweli elimu utoa ujinga si.lazima usome uwe biss ukisima ww ni boss pale ilipo aijalishi ❤
@tumainimwaifunga38845 ай бұрын
Kijana kaongea busara mno.
@ChristerKoku5 ай бұрын
Kijana yupo vizuri,nikumsikiliza,anaijua ramani na mazingira ya biashara.
@Saidesaideinacio3 ай бұрын
Chalamila amepata ukuu wa mkowa kwa nganga wa kienyeji ndo maana anajiamini kuliko kumwamini Mungufrom Mozambique 🇲🇿
@LumolaSteven5 ай бұрын
Dah! Inahitaji kuvumilia sana kumsikiliza CHA-LAMI-LA
@FrankNdubaa5 ай бұрын
Kweli kijana taifa la kesho 💪💪💪
@mnelahMussaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Mulamu uko vizuri kwa vigezo.
@KihozaAthuman5 ай бұрын
Umetisha kijana
@waltergodwin25294 ай бұрын
Smart dude.✊️
@JumaRamadhani-q6e5 ай бұрын
Jamaa ameongea pwent sana na kwa hisia kali sana! 😂🎉🎉
@lesnulsashery790218 күн бұрын
Bro unaakili kuliko mkuu wa mkoa hongera sn
@stonetown5782 ай бұрын
Hongera sana kijana you're so smart
@mbachoclassic78185 ай бұрын
Excellent hapo mkuu umenyooka! Nimekuelewa sana
@peterpain55945 ай бұрын
Duuuuuh ww utakuwa nduguyake
@MalickMakange5 ай бұрын
😄
@ShafiiSaid-v5nАй бұрын
Safi Sanaa,umeongea bro🙏
@devothaignatius5256Ай бұрын
Kijana umeongea kwa uturivu mnooo 🥰🥰🥰🥰🥰
@allenelias2804Ай бұрын
Safi sana bro huyo Charamila bure kabsa kwanza halina muonekano na mvuto Kama kiongozi halina maamuzi sahihi haliko competent
@bashiruabdallah86664 ай бұрын
Kijana anajihamini na hana hofu. Ana stadi za uongozi kabisa.Safi sana
@AminaAlly-wu4wz22 күн бұрын
Umetisha baba
@NicholausLaurent-t6x5 ай бұрын
Chalamila mkuu wa mkoa wa hovyo kutoa
@catherinemoses87754 ай бұрын
Kudos!!!
@platotaurus2301Ай бұрын
He's Smart, intelligent, humble, confident, open minded and liberated. Those best quality to defeat your narrow minded opponent. Chalamila Hafai. Full stop
@ZafarmohamedyАй бұрын
Eet opponent 😂 mwamba kutoka upande wa pili
@sarahSavithАй бұрын
@@Zafarmohamedy huyo f kabsa Yan anaogea utumbo Tu hapo
@josephatmushi11404 ай бұрын
Excellent 👍👍👍👍
@JulianaJackson-lz6vq2 ай бұрын
Huyo ndio Mond Nails..salut
@saidhamoud2296Ай бұрын
Bado majibu hayajatolewa kijana mwenzangu safi Sana
@simeonmazigo59185 ай бұрын
Hakuna mtu ambae hapendi kupanda kiuchumi machinga wengi mitaji cyo yao bht mby Hawa Viongoz wanaishi Kwa mishara huwa hawajui maumifu ya kukua kiuchumi 😢😢😢😢
@SmilingCityMap-xb9md5 ай бұрын
Kijana mungu akuzidishie hekima umewakilisha kilio cha wengi nimeamini hekima haikai kwa wakuu au kwa wataalamu pekee hata kwa maskini kuna hekima
@johnhery-wh4lq5 ай бұрын
Huyu kijana ameongea vizuri sana kuliko kiongozi wake.....tena ameongea kwa hekima za hali ya juu kuliko huyoooooo
@neamusic26014 ай бұрын
Huyu kijana ana busara na sina shaka malezi yake mungu ambariki sana inshaallah.
@mustaphajuma22925 ай бұрын
Sijaelewa alicho ongea naona ni pointless hanasifa za uongozi kwa ni hio kalakana nilazima ikae hapo mbona kibaha maeneo yapo mengi...hii NI TANZANIA ila huenda hii nchi ni ya Watu flani flani Sisi wengine tunaonekana ni wakimbizi. yani machinga astaaf baada ya miaka miwili!!!!
@JudicaMboye4 ай бұрын
Kamanda kijana yupo safi tena ar chuga maneno kidogo kazi kwa wingi
@cisselamerverille52865 ай бұрын
Ukweli unauma ...ila huo ndio ukweli anaosema muheshimiwa ....leo hivi kesho vile sera zinabadilika ..ingawa inatuumiza ila huo ndio ukweli 😢😢😢....
@noahchepe80365 ай бұрын
😂😂ndio maana Mbeya ilimshinda huyu.. mgomo wa watu wa bajaji na dala dala tuu akaja kujibu shit za hivi hivi
@MajutoElliasi5 ай бұрын
Uyu kijana agekuwa mkuu wa mkoa mambo yagekuwa safi❤❤
@gililwise5 ай бұрын
UnA hekima sana kijana kuliko huyo mkuu wa mkoa Mungu azidi kukuinua.
@Topcentclassic4 ай бұрын
kila muda nayarudia maneno ya huyo jamaa ...yaani hachoshi kusikilizwa .......dah mwamba apewe maua yake
@majaliwasanga17415 ай бұрын
Suala la machinga KUPEWA miaka halafu anapisha wengine,iwe Kwa viongozi na watumishi wote serekali kuwa ukikaa Ofisin miaka mitatu wapishe wengine nao waajiliwe ili kupungua uhaba wa ajira Nchini
@nassercurtis95795 ай бұрын
Wazo zuri sana umetoa. Tatizo bingwa hujibu kulingana na matazamo wake na anapitisha bila hata kusema kusema watafanyia kazi wataalamu kutatua kero hizo.
@othmanjumaa24805 ай бұрын
Amesahau Kama rizki anatoa M/ mungu.....Asimalize maneno ajue kwamba utafutaji ni mgumu Sana,mtu umpangie miaka ya utafutaji kweli!!? Amakweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
@jeffhard57735 ай бұрын
Mkinga unaona mbali sana
@hildagabriel1003Ай бұрын
😂😂
@RevocatusMasunga-h5rАй бұрын
Very nice brother
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
Safi kijana 🎉chukua maua yako 🌹
@haidarykufakunoga88694 ай бұрын
Mhehe ni MHEHE TU. NAMI NI MHEHE 🙏🙏🙏🙏 Huyu Mwachalamila ni NOUMAH😂😂
@DianaSawe-t9oАй бұрын
Wazo nzuri sana
@elenzianjk55434 ай бұрын
He is humble and yet smarter than the Haracee!😅
@SubiranTimo5 ай бұрын
Hongera msomi
@shukranitv29714 ай бұрын
Safi sna kijana
@NassoroMalongoАй бұрын
Asante sana
@khadijathani90644 ай бұрын
Ivi chalamila umewahi kufikiria ety miaka mitatu mfumo ukutene ebu wekeni sheria na uongozi ni miaka mitatu tu ila hiii selikal 🙌
@hajimsisi30955 ай бұрын
Smart mind
@yahomeshopllc59504 ай бұрын
AMBIENI RAÏS SAMIA AMLETE CHALAMILA CONGO DRC KWENYE MAPAMBANO GOMA,ACHE KUSUMBUWA WA BONGO.
@Magufulitanzania-d6e4 ай бұрын
Bia hujawaizasahau mnyalukoli 🎉 hatari mno but kama vijana weneed to open our mouth
@rajabusalumu1862Ай бұрын
Jaman hv ili kuwa mkuu wa mkoa kuna vigezo gani vinvyo angaliwa ? Daah ! Inasikitisha sana
@allymaimuna86882 ай бұрын
Yupo vizur sana
@FernandesKalokola5 ай бұрын
Safi upo vizuri kaka sana
@AndrewMoses-c7c2 ай бұрын
Kwa imani yangu serikali haijawahi kufikiria kwa kina na kufuatilia namna gani ya kumuinua mtu wa kipato cha chini. Kuna njia nyingi zikiwemo za michezo tofauti na vilimo vya kisasa, wanachokifanya ni kuja na mawazo yao bila kuangalia na kusikiliza halisi za huku chini. Hawakai kimya ili kupokea mawazo mbadala kutoka chini
@colletatesha52655 ай бұрын
Well spoken kijana wakipatkana mia kama huyu kijana we chala watakungoa apo ulipo you are a disgrace to our presdent and Tz
@AmaniSumary4 ай бұрын
MWamba respect sana
@nwntz4 ай бұрын
X uliemkataa hyu kijana umekataa madini mwenyewe😂😂