Mungu wa mbinguni akulinde pr Mbaga wewe na familia yenu maana. Kuna saa kunavitu unaviongea mpaka nawaza nasema Mungu akutangulie sana. Maana wafuasi wa ibirisi ni wengi
@Joycependopendo-dv2tb10 ай бұрын
Amen mungu akubariki pastor wewe Na familia yako hakika mafundisho haya Ni yamenidishia Kua Na imani kubwa kiroho
@dismasamani38311 ай бұрын
Barikiwa saaaaaaaana, maneno yanayo tutia moyo na kutuimarisha katika safari hii kwenda Sayuni
@marytobias99211 ай бұрын
Mungu akubariki Pr.,hakika haya mafundisho yako yamenifanya niendelee kuwa na ujasiri katika maisha yangu ya kiroho.
@MariamBusele10 ай бұрын
Aimen 🙏🙏somo hili limenitia ujasir sana MUNGU akubariki sana mchungaji
@perisbosibori224911 ай бұрын
Great message. May GOD continue using you mightly in this wonderful work you're doing. I've been blessed greatly. Be blessed too Pastor Mmbaga plus your family, 🙏🙏🙌.
@NyamariFaith-qu1jm11 ай бұрын
Thanks for encouraging msg from heaven I will not be afraid for the lord is with me
@ThomasFortunatus9 ай бұрын
Mungu alibariki mtumishi wa Mungu
@UpendoMasasi-uc9gk11 ай бұрын
Amen hili somo limebadilisha maisha yangu I am strong🙏❤
@eustina011 ай бұрын
Bwana kubariki pia nwe pastor akupe afya njema
@geraldstevenlimi263311 ай бұрын
Mchungaji kama ikikupendeza naomba uniombee kwa Mungu wa majeshi yote niwe na MOYO mkunjufu usio na mawaa mbele za MUUMBA a😭😭🙏🙏
@SimonMuriuki-bv4px11 ай бұрын
Hellow kwa majina ni Simon naoba kukubukwa kwa maobi nafanya vipidi za hekima ya mungu ya kuimarisha jamii ira shetani anatamani kuniangusha Kira siku mnikubuke Sana na mungu abariki mahubiri TV Sana na David mbaga kwa kujitorea Sana kufikisha hekima kwa jamii pia
@MaureKibipi10 ай бұрын
Mwalimu wangu mungu azidi kukuongoza
@KirimiStephen-wu1lq9 ай бұрын
Amen San mtumishi mungu akubariki sana
@shainawilliam10311 ай бұрын
Mbali na mahubiri mazuri sana pia naomba umpatie mrs D mbaga hongera kwa kutunza Mtumishi wa Mungu
@marynasyieki378311 ай бұрын
Amen mchungaji kila mtu ako n mfalme Ashura Mungu atupiganie tuweze kuwashinda💪💪🙏🙏🙏
@namsifumaduhu218310 ай бұрын
Amina sana Pr wangu. Mungu akutumze sana
@alicemwaka37626 ай бұрын
Napenda mafundisho yako Mungu akubariki sana
@UserUser-gq1ir11 ай бұрын
Amen nimebarikiwa na mahubiri, mungu akubariki
@tteantoinette537911 ай бұрын
Na wewe pia Mungu akubariki, Pr. Mbanga.
@elizabethasha167711 ай бұрын
Chochote unachokiamini kitakujia Hofu inàleta màbaya Lugha ya heshima Everything you do go with Gods Angels. I come in the name of God king of kings. Kwa jina ya Bwàna wà màjeshi. Have Faith, Usijaze negative,kila hatua unajipa moyo. Negative inavuta negative. You become by saying it.Chunga inàchojineneà. I am strong.
@danielkisavi700110 ай бұрын
God bless you pastor.
@simonmaginga11 ай бұрын
Jamani mtumishi tunakuombea piga kazi ulimwengu uje kwa yesu
@AgathaStephen-ul6yy11 ай бұрын
Amen pastor, mamba maombi yako nashindwa kusoma na nasumbuliwa na nguvu za Giza
@abigaelmwadena226211 ай бұрын
Ameen nmebarikwa n mahubir hya Mungu azidi kukubariki🎉
@joycewilliam145411 ай бұрын
Ubarikiwe, na Bwana akupiganie siku zote mchungaji Mmbaga
@KatuturaSDAChurch9 ай бұрын
amen
@havillamaira336711 ай бұрын
Ameeen I am Strong in Jesus name,thank You Pastor be blessed
@uniquefactsmediaufm673511 ай бұрын
Amen! Mungu aendelee kukutumia. Umetubariki kwa kweli.
@josianeniyonkuru579610 ай бұрын
Aminaa Mungu akubariki
@leontinebinlydi945910 ай бұрын
Asante sana kwa ibada
@elizabethasha167711 ай бұрын
Dont cmplain, encourage urself in the Lord,jifinze kuwà mbabe,be strong ,Ist pray in any distress or fear,Katika hili nifanye nini,nenda nyuma yangu shetani, Haijalishi vitisho ni ngapi,usiogope lolote sikiliza. Mungu aliye hai, Isaiah 37. Sometimes dnt wait on sabbath in the church,go in the church during tests,Sio wewe unayeshambuliwà ni Mungu Mungu wamekutukanà,ñipe àda ada kwa ajili ya utukufu wako. Masomo yako ni kwa ajili ya utukufu wàko wewe,ukianguka ambia Mungu naanguka kwa àjili yàko tetea hoja,afya yangu kwa ajili yako wewe.
@mweleurio796011 ай бұрын
Ubarikiwe sana Pastor Mbaga
@tsongonadine38611 ай бұрын
Kweli kabisa, Mungu nisaidiye. Niondowe woga.Mungu azidi kukutumiya ili tuelewe.
@JamesSangija11 ай бұрын
Amin
@joharissa202011 ай бұрын
Amen
@omankadara641811 ай бұрын
Ubarikiwe pasita
@AgathaStephen-ul6yy11 ай бұрын
Nisaidie mtu WA Mungu
@AgathaStephen-ul6yy11 ай бұрын
Mungu akubariki
@nlsprotv299011 ай бұрын
Amina sana mchungaji
@kevooo-k7j11 ай бұрын
Jesus do something in my life. Be blassed pr mbaga
@EmmanuelAlphonce-pu2jh10 ай бұрын
Kiukweli umenigusa bwana akubarik
@RoseMomanyi-d3p11 ай бұрын
Pastor plz ombi langu ni hili,changamoto kwa biashara yangu na linguine magonjwa ya kimapepo
@King_Of_Everything10 ай бұрын
👊✌️🙏
@anjelinaAnjela-ip9oj11 ай бұрын
Amina
@Elizabeth-u5k1k11 ай бұрын
Tukumbuke kwenye maombi tuko pamoja kutoka 🇧🇭
@nlsprotv299011 ай бұрын
Kunakijana mmoja anataman sana kukutana na ww maana halisiklz mahubil yako na yakamuongoa sasa kila tukikutana kanisan anataman sana kupata namba yako ya simu pia kuonan na ww anataman sana Mchungaj
@lawicheptai2409 ай бұрын
Hao waimbaji wafundishwe jinsi ya kutumia vipaza sauti. Kuingiza ndani ya mdomo haikubaliwi, hasa yule kaka pale nyuma.
@OnorinaKiza11 ай бұрын
Mchungaji Mungu akubariki na azidi kukupa afya maana mafundisho yako yanazidi kutubadirisha ila pasta naomba usome comment yangu kunadada yupo hapo tz anaitwa carene anaangaika hadi sasa ashapita opération 21 lkn akunamabadiliko naomba Ukamfanyie maombi Mungu na ajonekane kwake injili iliwafikie wengine kupitia dada uyo maana inaonekana ni mwisilam lkn anaitaji kupona Mungu akafanye z mapenzi yake asante maana anavyo teseka inatia huzuni
@stivininjingo50411 ай бұрын
Amen
@stivininjingo50411 ай бұрын
Pastor nachukia kukuta mahubiri yako, hayana down load, nyie wengine tunapenda kuishi navyo
@stivininjingo50411 ай бұрын
Pastor nachukia kukuta mahubiri yako, hayana down load, nyie wengine tunapenda kuishi navyo
@stivininjingo50411 ай бұрын
Pastor nachukia kukuta mahubiri yako, hayana down load, nyie wengine tunapenda kuishi navyo
@stivininjingo50411 ай бұрын
Pastor nachukia kukuta mahubiri yako, hayana down load, nyie wengine tunapenda kuishi navyo
@RiricaMswati11 ай бұрын
11:30 wale tulio wahi kuishi Moshi police line watoto wa pale tulikuwa tunavuka makaburi ya mashujaa jioni (japo mchana tulipita tukiwinda ndege) kurudi jioni ilikua tunakimbia sana tukidhani kuna mtu nyuma ukivuka unaangalia nyuma na hakuna mtu 😅.
@HalimaMziray11 ай бұрын
MUNGU azid kukupatia uhai umtumikie zaid..MUNGU atusaidie tusiwaangalie ma Ashuru Bali tumwangalie yeye tu.