Praise God family,Nina ushuhuda,last week Wednesday my sister alitoweka kwake kwa njia haileweki,baadaya ya kusali ,kuomba na kushukuru vile ulitufundisha,jana dadangu alipatikana,nashukuru sana Mungu kujibu maombi yetu.
@EngageWriters9 күн бұрын
Amen!
@paulwafula26676 күн бұрын
Amen
@SalomeMoturi5 күн бұрын
Amen.pst aki nashkru sana umenielimisha sana everything ask God first 🙏 😢 😔 😞 barikiwa
@kalengalukozi924219 күн бұрын
Mimi nipo hapa marekani state ya kentucky mara kwa mara na fuatilia mahubiri pamoja na mafundisho yako ya neno la Mungu katika jina la yesu kristo hubarikiwe sana pamoja na kanisa nzima Amen
@user-sz9zy9bu6v19 күн бұрын
Amen Ubarikiwe pia
@JaphetKombe-kr8sc19 күн бұрын
Bwana yesu asfiwe mchungaji,mim ni mpentekoste natoka pwani ya Kenya ila nmekuwa nafuatilia sana mahubiri yako mchungaji kwa kina...na naendele kubarikiwa..
@MahubiriPrMmbaga19 күн бұрын
Amen
@EstherKibiego16 күн бұрын
Asante Muumbaji wetu na Mungu wetu uliye mbinguni kwa kumtumia mchungaji mmbaga kutulisha neno linalo kuza imani zetu. Mwenyezi Mungu akubariki pamoja na familia yako
@zachariahonga18 күн бұрын
May God bless this ministry. It strengthens my faith.
@MahubiriPrMmbaga18 күн бұрын
I appreciate
@irentirop630413 күн бұрын
Amen thanks for your prayers 🙏
@lucmahugo235420 күн бұрын
Hii makambi imetubariki zaidi kabisa kwa mahubiri na nyimbo piya maombi Mubarikiwe sana na Mungu
@Kablizasekanabo-cd6xr20 күн бұрын
Ndio ni kweli, inaitwa mushinda dunia
@Kablizasekanabo-cd6xr20 күн бұрын
Mwarubaini (muringa)
@elizaelias535012 күн бұрын
MUNGU akubark pastor nimepokea uponyaji asante sana baada yamaombi nilngatwa nakitu uck saa 9 ckujua nin hivyo nikawa namaumivu ila baada yaombi haya maumivu yamekata MUNGU akubark sana ninakuombea pia zaid abark kaz zako nahuduma yako
@beckysharlote306813 күн бұрын
Mungu akubariki pastor mbaga akupatie hekima zaidi
@ngongofamilyvlogs275120 күн бұрын
All glory to god Amen 🙏
@perisbosibori224919 күн бұрын
GOD bless you in a great way Pastor Mmbaga.
@aumamadina710017 күн бұрын
Amen thanks pastor mmbaga David for am blessed to be a blessing thanks for your prayers may God bless you always
@abigaelmwadena226220 күн бұрын
❤Amen amen Mungu akubariki sna pst kwa mahubiri unayoachilia yenye kunifunza n kuniongezea imani🎉
@everkivuyo859615 күн бұрын
Pastor mbaga unajua bana ....mm ni mlolkole niliezaliea n wasababto tangu darasa la 4 nilipenda mafundisho yao n nikawa msabato nikawa ad natoroka nyumbn ili niwe msabato bas wakaniivisha sana neno na Bibilia mana n wachambuz haswa wa Bibilia bas nilipokuwa nikajazwa mkubwa nikajazwa Roho nikawa nanena kwa lugha yule mwalim wnagu wa kisababto akawa ananidhihaki anasema nasema malapamapala nkamfungulia hy wakorinto bas mpk tunavoongea m nimtumishi yeye kaacha utumishi anauza dawa z mitishamba ...Mungu akubarikie pastor mbaga hautadaiwa damu yao
@esthersimuli995210 күн бұрын
Amina nimebarikiwa sana
@Hadithizabiblia20 күн бұрын
Amen, may the Holy Spirit lead us always.
@calebmakori20 күн бұрын
Pr we are one in three. Spirit, soul and body. God talks to as in spirit through our soul i need more understanding in this topic.
@berthabella865418 күн бұрын
Pastor mbaga naomba unipigie naamini tukiomba wote Kuna jambo litafunguka kwangu
@irakozegracia18315 күн бұрын
Amen 🙏
@Kablizasekanabo-cd6xr20 күн бұрын
Aendeleye pia kumusaidiya mama yake. Uyo kaka amanye amesema kuwa mama yake ni muchawi, asichoke kumusaidiya mama yake.❤
@SigwaLusaja20 күн бұрын
Nina changamoto lakin naamini neema ya yesu itanishindia
@samwelgidion340119 күн бұрын
Naiwe hivyoo ndugu
@ModestMTito14 күн бұрын
Bwana akuangazie Nkuru ya uso wako
@PendoOscar6 күн бұрын
Yaan siku hizi ndio fashion ya makanisa meng chipukiz kanisa lina watu kuanzia 100 na wote wananena kwa lugha jaman
@ellycondanptyltd343720 күн бұрын
Naomba email account ili nitume nipate kudownload vitabu. Nilihangaika sana kweny maombi App, nashukuru mchungaji leo umenisaidia namna ya kupata vitabu. Niko nje ya Tanzania
@Kablizasekanabo-cd6xr20 күн бұрын
Niko pamoja na nyiye.
@witnessjohnphilip66516 күн бұрын
Ameen
@zachariahonga18 күн бұрын
I have downloaded the maombi app but inakataa signing up. I'm in Kenya. What is the email for me to request that book?
@maryaugustor698320 күн бұрын
ASANTE NIMEELEWA SASA KUMBE KUNENA KUMBE NI UKWELI ASANTE SANA
@whitevintv928420 күн бұрын
Mtu akiingia kwenye maombi anatokewa na mtu anaemdhania mchawi alafu wanaanza kuulizana maswali hukohuko kwenye ulimwengu wa maombi je iko sawa? Ikoje hii naomba kueleweahwa
@MahubiriPrMmbaga20 күн бұрын
1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Beloved, believe not every spirit, but try the spirits whether they are of God: because many false prophets are gone out into the world.
@whitevintv928420 күн бұрын
Amina na huyu anaeomna adi anakutana na watu au miujiza ndan ya maombi je nini kinakua kimetokea apo niroho mtakatifu au shetani nitajuaje