Rc Hapi aise njo hapa kenya upambane na hawa mabwenyenye I like the platform where you listen at your people good work keep it up 2025 itakua vyema ukiwania urais
@yusuphnkondokaya68014 жыл бұрын
Mhe hapi utafika mbali sana ktk nchi hii ya tz m km m naamini hivyo uko vzr sana ktk uongozi
@shadyahamad37242 жыл бұрын
tuwache unafiki Ali happy anafanya kazi nzuri anatetea wanyonge tukipata viongozi km hawa tuta heshimian
@jessicarasigu22203 жыл бұрын
Rc Hapi,nakupenda tu Sana kwa kazi unayowafanyia Watanzania,hongera tu Sana kaka,naikiwezekana 2025 tafutakiti cha URAISI,plz plz plz kwani waelewa mashida za wananchi Kama tu JPM
@aishaissa25122 жыл бұрын
Hongera hapi mungu azidi kukubarik
@arunajuma22855 жыл бұрын
Daah unatenda haki kweli wala huogop mtu safi sana kiongoz
@gabrielagano10274 жыл бұрын
Penda sana Rais wangu wamkoa mungu akusimamie ktk Kazi yako mkuu p1sana
@olivadickson14664 жыл бұрын
Sani sijutie bado langu hata sk moja 👌
@josephlevi51995 жыл бұрын
Rc kutoka nairobi kenya mola akufanisi akuhifadhi,wew kiongozi kweli,
@teddymwageni17635 жыл бұрын
Kwema huko Nairobi,hii ndo Tz mpya
@jessicarasigu22203 жыл бұрын
Rc Hapi
@danielkimario33785 жыл бұрын
Mkuuwakow munguakukujalie
@janethjustin52565 жыл бұрын
natamani wakuu Wa mikoa wote wafanye hivi tungeheshimiana wallah tena big up sana👏👏👏
@benadetamwashala625 жыл бұрын
YAAN INCHI MBNA INGNYOOKA
@benadetamwashala625 жыл бұрын
Bnafsi namkbar sana
@brendachemtai62144 жыл бұрын
I'm went through all video aki nmependeswa sana kwa kweli unasaidia i wish ungekam KENYA aki utusadie sisi timetapeliwa vitu mingi
@safari57742 жыл бұрын
Kweli kabisa
@angellobyemerwa85815 жыл бұрын
Kaka begup kazi nzuri unafanya mngu aiuwezeshe akupe maisha marefu
@hamzaurassa14924 жыл бұрын
Yuko juu huyu jamaa mungu mbariki a Sana
@braysonchalamila16555 жыл бұрын
Jamani hii mahakama nimeipenda kuliko kawida. Dakika chaçhe mwelekeo unakuwapo mkubwa
@paulosigara35135 жыл бұрын
God blase you Ali hapi
@fatmakigula86344 жыл бұрын
Haya ni matunda ya magufuli yan wakuu wamekua wanafuata nyao kwel nimeamni mtot wa nyoka ni nyoka magufuli oyeeeeeeeee
@goodluckmgeni54234 жыл бұрын
Dah nimefurah mpaka machoz yamenitoka
@maulidmkessa41715 жыл бұрын
Njooo nadodoma Mkuu wamkowa unasaldia wanyonge katika mkowa wako
@andikimanasebadonavine94905 жыл бұрын
Tanzania mmeendelea sana na democrasia kweli kweli hata kama bado kuna Yale hamjafanya lakini mumefika mbali
@mussabuhe18325 жыл бұрын
Haposawa mahakamani ruuuswatupu unamaliza kelo basi nakupenda nduyangu
@ndigimunaziri35754 жыл бұрын
Aca wenye vipaji vya kutawala watawele bwana asante saaana mku wa mukowa
@sydnaomary23282 жыл бұрын
Muheshimiwa hao wamejikopesha mamilioni na sio milioni Tano mchezo huo ni meneja wakili na watu wa ardhi maneno yangu mtayakumbuka
@benadetamwashala625 жыл бұрын
Dah mwshmiwa hyu yko vzr SNA
@hopechriss87394 жыл бұрын
Wanawake tuwe makin na viben jmn
@susananyasani65269 ай бұрын
Wakamatwe hapo hapo wawekwe ndani sababu ya udanganyifu na wizi wa udanganyifu
@mbokaandbahatitv85095 жыл бұрын
Nakupenda bure mheshimiwa Ally Hapi
@tariqmussa80994 жыл бұрын
Dogo hapy unafanya vizuri
@teddymwageni17635 жыл бұрын
Matumula mdogo wa mpiganaji nini? Hapi rais wa baadaye chapa kazi
@sydnaomary23282 жыл бұрын
Nahua wanazitumia mahakama ndio nguzo zao ninalo langu huku Tanga
@rahimaaaaa86995 жыл бұрын
Hii Fasheni nzuri sana yaani inatuburudisha
@janeschurmanns73645 жыл бұрын
Inatuburudisha sana tu
@MagidaFafa10 ай бұрын
Mama samia ajielewi unatoa jembe kama ili kazini nimeumia sana hapy kusimamishwa kazi viongizi wajinga mnatoa wachapa kazi mnatuletea vilaza ifike 2025 utupishe wemama navilaza vyako
@francesedward9184 жыл бұрын
Nataman angekua rais wa nchi hii
@fatmakigula86344 жыл бұрын
Nakuunga mkono yani huyu anafaa kuwa raisi na mkuu wa tabora nampenda
@juzepha31603 жыл бұрын
Mara huko anafanya ivo au ndio iliishia iringa?
@sydnaomary23282 жыл бұрын
Tunaomba Tanga tupate msaada huo , mtu anakila kitu kitachotakiwa na serekali mpaka Kodi ya kiwanja analipa yeye hivi ninayosema nardhi katibu mkuu wa ardhi amethibitisha kua ni Halali LAKINI ktk nyumba anaishi mtu ambaye ardhi wanamtambua tapeli, Chaajabu kwasababu ya pesa mahakama inamlinda hivi nisemavyo,hatari hii.
@hopechriss87394 жыл бұрын
Yani huyu ni bonge la kiongozi
@nyembogwazibaka86554 жыл бұрын
Sijawai kuona RC km huyu miaka yangu 57
@shadyahamad37242 жыл бұрын
umeona yuko vizur na kazi
@albinishirima69815 жыл бұрын
Mnakandamiza wanyonge mkombozi kaja mtanyooshwa tu kisicho rizki hakiliki
@jastonphilipo85324 жыл бұрын
Wakuu wa mikoa wengine mko wapi ?
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
Yaani Mh’ Hapi ‘ Huyu Afisa wa mipango miji Aliyevaa shati la bahama ‘ simuelewi ‘ Yaani mikutano yote toka umeanza ‘ ukimwita kujibu maswali ANAVOVONGA tu ...Huyu inaelekea VIATU VINAMPWAYA...! ....AMINI NAKWAMBIA...!
@hajijuma45235 жыл бұрын
mm namkubar sana uyu mkuu wa mkoa.nipo.raz kumariza.MB.irimrad nimuangarie yeye kwenye mikutano.ya.wananchi apa.rais.kachagua hajakosea.nakukubar sana mkuu.wa mkoa.wa.iringa
@ismailyusuph7405 жыл бұрын
#HajiJuma ....Jombaa hilo jembe...!..kawanyoosha kinondoni wamenyooka...! Halafu kingine wengi wasichojua ‘ Huyo jamaa anapiga sana tizi kinyama..!..Hapi yupo fit...!...Usimuone kachomekea ukamchukulia Poa...!
@asteriambwei955 жыл бұрын
Bora wakuu wa mkoa wawe mahakimu kuliko mahakani proces ndefu zinatengeneza rushwa haki hamna rushwa kibao. Wakuu wa mikoa kwanini wasijifunze kwa mkuu wa mkoa iringa mhe appy
@furahafedrick85015 жыл бұрын
milad nawe acha kubweteka rekebisha mitambo
@danielodhiambo82825 жыл бұрын
Hii ndo mahakama halali
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Hawa Tanroad ni watata hatari
@davidkatunge28355 жыл бұрын
Mheshimiwa hapana Sheria inawataka Hawa watu walipwe. Mradi inapokuja na masharti siyo kuwadhulumu wananchi masharti mengi huwa yanakuja kwa masharti kuwa serikali ilipe fidia ndipo hela za mradi zitoke kwa hiyo tangazo la wananchi kupisha ilikuwa udhulumaji
Hicho anachoeleza huyo mhandisi Wala haingii akilini kisheria si kweli
@allyissa37715 жыл бұрын
Njoo nakwetu mkuu
@delsonandrea52235 жыл бұрын
siku hizi ukiambiwa bomoa usibomoe
@fatmarashidi83535 жыл бұрын
Kwakwer 😁😁😁
@allyissa37715 жыл бұрын
Kweli bwana
@fatoomfatoom55905 жыл бұрын
Unaweza ucbomoe na uclipwe bahati jamani
@abelsaba49075 жыл бұрын
Hii staili itafanya watu waanze kugoma kuvunja
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
KWA MAANA HIYO TWAJIFUNZA KUA TAARIFA YA SERIKALI TUSIWAHI KUITEKELEZA ILI KUSUBIRI MANUFAA YA UKAIDI AGIZO LA SERIKALI ! MIMI NILIDHANI ALIYE KAIDI AMRI INGEBIDI AADHIBIWE KUMBE BADALA YAKE NI MALIPO!