mungu akupe maisha malefu maan ulisimamia vyema aki zawananchi
@veronicatweve47865 жыл бұрын
Ali Happy mimi nakupongeza saana kwa kazi zako unazofanya lakini ninavyocheck hapa hata baadhi ya hao viongozi wenzako wanakuzunguka hebu waangaalie wanavyokuna vichwa vyao.Asante natoka Mbeya
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Kwani mbeya hamna mkuu wamkoa kama kakaa apulizwa na viyoyozi mwambieni aangalie mfano
@azezaalkh85365 жыл бұрын
RC Hapi angalia sana Hugo bibi asije kukutoa Roho
@allyissa37715 жыл бұрын
Siku yakiama itakuwa kama ivi ila kule itakuwa niatari sana
@titongailo91355 жыл бұрын
Upon sahihi kaka hapi mungu akuongezee miaka
@maggielunguja815 жыл бұрын
Millard Ayo uko juu habari zako hua napenda kuangalia coz heading zinasadifu yaliyomo ndani Hongera saana ndivyo inavyotakiwaa Mungu akujalie upeo Mkubwa zaidi
Tunaomba mkuu wa mkoa wa morogoro nae apite kusikiliza kero za wananchi mjini na vijijini
@gracemwanjabala80735 жыл бұрын
kwaiyooo mliwadanganya
@farajihokororo6015 жыл бұрын
Hap njoo mtwara nako kuna madudu tena masasi
@paulinalukas99475 жыл бұрын
Napenda sana utendaji wa mkuu wa mkoa wa Iringa,namna unavyoshughulikia kero na migogoro.Mungu akutetee sana,akupe hekima zaidi,uwasikilize wananchi na kuwasaidia,nchi hii ilifika pabaya sana,haki ni ya mwenye pesa tu,kila unapopagusa pameoza bila pesa hakuna haki,jitie nguvu kwa Mungu,Siku za usoni jiandae kushika nafasi kubwa sana,muda ukifika utafahamu ninachokuambia,ila wewe Mungu atakufanya mkuu sana,ongeza bidii,watete wasiokuwa na sauti,maana Mungu anapenda kazi yako,usiumie moyo ukisemwa vibaya,ukichukiwa,Mungu anakutazama wewe