🔴#LIVE : GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM 01- 07 - 2024
Пікірлер: 7
@furahinievarest4463Күн бұрын
karibu bwana chama uapate rahaa jangani uku pakome uku mudasiri kule azizii yaani ni balaaa tu
@JeniphaMbalanji-sy7qiКүн бұрын
Yanga tamuuuuu mungu awaweke viongoz wetu
@MsalehassaniКүн бұрын
Kalibu jangwani cratius chota chama ❤❤❤❤❤❤❤
@MsalehassaniКүн бұрын
Kwa mm kikosi nitaaza ivi kwaza mfumo 4-1-2-3 1. Diara 2. Atoula yao 3. Kibabage 4.jobu 5. Bacca 6.aucho 7. Pacome 8 mudathir 9 mzize 10.azizi k 11 chama
@poncegk5263Күн бұрын
Nasir anajua sana mpira
@idrisaally111523 сағат бұрын
Hatujatingishika kuondoka chama maana alikuwa anatuoelekesha sana klabuni na kujifanya mungu mtu