No video

LIVE: MAOMBI YALIYOBEBA MAJIBU YETU // KUFUNGUA MBINGU

  Рет қаралды 13,882

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

9 ай бұрын

Mathayo 18:20
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 1 000
@FayChalamila
@FayChalamila 2 ай бұрын
Ee mungu wangu naomba unisaidie kufungua ukoo wangu katika minyororo ya laana tuondolee roho ya umasikini,roho ya kukataliwa nikutanishe na watu sahihi bwana kanimilikishe vitu vya thaman kwa jina la yesu kristo nikawe msaada kwa watu wanaohitaji msaada bwana oooh jesus niinue naikataa roho ya umasikini utajiri,maarifa akili na ujuzi vikadumu ndani yangu na roho wa hekima akajazwe ndani yangu ee bwana kwa damu ya yesu kupitua maombi haya yanaenda kutimia kuazia sasa thank u jesus
@user-ru6gs3ms9c
@user-ru6gs3ms9c 9 ай бұрын
Yesu wngu naomba unibariki nishinde majalibu ya dunia tizma maadui walivyo mizunguko wnasubili anguko langu na familia yangu bwana yesu nishinde mkono usiache bwana usiniache majaribu yamekuwa mengi niko mbele yako bwana usiku usiniache yesu wangu bariki kazi ya mikono yangu bariki familia yangu na mtoto wangu unibariki aweze kufanya mtihani wa kidato cha nne vizuri mpe ushindi yesu wangu maadui wamekuwa wengi wanataka kuangamiza maisha yangu Mungu simama nami bwana kila ninacho kufanya hakiendi bwana tenda miujiza kwangu bwana
@tullysanga453
@tullysanga453 2 ай бұрын
nakusikia vizuri mtumishi naomba uponyaji katika afya yangu
@tullysanga453
@tullysanga453 2 ай бұрын
nahitaji afya mtumishi nakusikia vizuri
@GiftyPeter
@GiftyPeter 6 күн бұрын
Mung naomb nisaidie kil nilichochang kirejee maadui ni weng san naomb pigan nao wanaopigan nam.mung
@zainabusaidi8161
@zainabusaidi8161 4 күн бұрын
Ee mungu nataka nipone kichwa kuvuma na nipone presha na nifunguliwe kiuchumi na nizidiwe na wateja na nibadirishe maisha yangu nataka niwe na maendereo na nimakize madeni na pia nijenge kiurai na watoto wangu wafanikiwe kwenye mihangaiko yao na nataka nipate mtu sahii wa kunipa sapota kwenye biashara zangu na taka nipate mtaji mkubwa kwenye biashara zangu mungu naomba nijibu maombi yote niyokuomba katika jina la yesu🙏🏼
@Ney01-vd7mk
@Ney01-vd7mk 24 күн бұрын
Kuwaunganisha watoto wangu wapendane wasaidiane na kushirikiana vzuri mimi ni mjane Mungu anipe nguvu zaidi niweze kumtumikia vema Mungu akuubariki mtumishi kwa kazi njema unaayoifanya
@ScholarKadaso-ch3jx
@ScholarKadaso-ch3jx 8 ай бұрын
Ninaomba. Mungu anitoe kwenye madeni na Mungu aikomboe ndoa yangu iliyoingiliwa na mwanamke suzy aamuachie mume wangu, namm Mungu anipe moyo wa kumsamehe mume wangu, Mungu atuwezeshe kumaliza ujenzi tulionao, na watoto wangu wasome wafikie viwango vya juu naomba uchumi wetu ufunguo iwe na Mungu a niwezeshe kupata biashara kubwa .
@magrethmicheal4663
@magrethmicheal4663 8 ай бұрын
MUNGU AKUFANYIE WEPESI DADA ANGU, APIGANE NAO WANAO PIGANA NAWE.
@ChikiAbdallah
@ChikiAbdallah 2 ай бұрын
Nisaidie mungu wangu familia yao inipoke kwa furaha na uluma mm pamoja na uzao wangu
@ChikiAbdallah
@ChikiAbdallah 2 ай бұрын
Mungu nisaidie nijufungue salama amina
@RehemaRahima
@RehemaRahima 2 ай бұрын
Naksikia ktsoka qatar
@RehemaRahima
@RehemaRahima 2 ай бұрын
Ameeerrrn
@auleliamngongo2509
@auleliamngongo2509 9 ай бұрын
Bwana Yesu nimekuja Tena mbele zako unisikie Nakuomba:¿Mwanangu Adamu afanye mitihani ya form four vizuri na kufaulu pamoja na wenzake wote,Mwanangu Cleah apate shule,Leo naenda kwenye kesi ya kiwanja nishindie,Imarisha Uchumi wangu,Ugonjwa wa UTI wa mgongo kwa mwanangu apone,nipate kazi nzuri nipate fedha nzuri inisaidie,Nilipie madeni yangu, Nipe Heshima Nitoe kwenye matatizo kwa ujumla kwenye nyumba yangu, Bwana umeona usinyamaze fanya hima inisaidie nope Amani AMINA
@ntulianyitike3472
@ntulianyitike3472 9 ай бұрын
Naomba Mungu anisaidie mwaka huu usipite ajitoe kwenye. Madeni na anipe kiwanja na watoto.wangu wapate maijati ya watoto ya shule na Mungu amuinue na mume wangu
@velmah_96
@velmah_96 9 ай бұрын
Mungu asikie dua zako na akujibu
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 9 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu tumtumaini kwa lolote tuombalo na atatujibu kwa wakati wake tuko pamoja kwa haya majitaji nami naomba roho ya madeni iniondokee. Amen
@PiliSelemani-yr3dr
@PiliSelemani-yr3dr Ай бұрын
Mungu wangu.naomba baraka ktk maisha yangu unifungulie vifingo vya mapepo wabaya unipe mtaji niweze kumiliki biashara kubwa . Amen
@judithmasawe5768
@judithmasawe5768 25 минут бұрын
Bwan yesu asifiwe mchungaji naomba uniombee mama na family yangu naomba mdogo wangu Denison aweze kuajiliwa jeshin naomba ufungue family yangu roho ya kushundwa ,roho zakuto pata kazi naomba uniombee mchungaji Amin
@SurprisedHopscotch-fw8rw
@SurprisedHopscotch-fw8rw Ай бұрын
Nina mahitaji mawili:1mungu anisaidiye ni pate mme bora 2unisaidiye nipate kazi nakingine niwe salama 👏👏👏👏👏👏👏
@user-yo1ul4mt7d
@user-yo1ul4mt7d Ай бұрын
Hamina
@judithmasawe5768
@judithmasawe5768 20 минут бұрын
Naomba unipe kibali nikubalike na boss wangu naomba na biashara yangu ikuwe naomba family yangu tuweze kulipa madeni yote yaishe kwa jina la yesu mungu naomba unipe mume sahihi naomba nilindie watoto wangu roho za magonjwa zishindwe
@user-zn3un8gs3d
@user-zn3un8gs3d Күн бұрын
Mungu nashukuru kwa vile umenichora kwenye kiganja cha mikono yako, Baba Mungu naomba unipe Neema ya kushinda dhambi, naomba ufungue familia yangu, ukoo wangu, mponye mdogo wangu Nyemo na ugonjwa wa ziwa, Mungu naomba umkee yeye alaye nikipata hela zangu zinaisha kwenye shida badala ya kufanya kazi za maendeleo, Mungu naomba uwasaidie wanafunzi wangu wafaulu kwa viwango vya A na B, Mungu nisaidie biashara zangu zikue zaidi yaani nizidiwe na wateja kila kona, Mungu naomba unipe wafanyakazi wazuri wa biashara ya mgahawa na maduka, Mungu ilinde familia yangu yaani mme wangu, watoto wangu na wote ninaowasaidia wagonjwa, yatima na maskini, Mungu nisaidie niwe na hatma nzuri ya maisha yangu na nipate kibali chako
@user-fz3kg2pt3u
@user-fz3kg2pt3u 3 күн бұрын
Yesu naomba unibariki nishinde majaribu,uiokoe ukoo wangu,familia yangu kwenye roho za umaskini,naomba unitimizie hitaji la moto wangu,NAMI naamini napokea kwa jina la yesu amen
@WinnyMmbaga
@WinnyMmbaga 22 сағат бұрын
YESU kirto naomba uyasikie maombi yangu unisaidie niyashinde majaribu yadunia nilnde mm nafamilia yangu yoyote ana niwazia mabaya ane nisingizia kuwa Mimi nimchawi mungu vikamgeukie mwenyewe wewe wanijua jinalako liinuliwe Ameen
@NorahLugongo
@NorahLugongo 7 күн бұрын
Asante Yesu naamini nimejibiwa kabla ya kujibiwa katika jina la Yesu
@NorahLugongo
@NorahLugongo 2 күн бұрын
Ee Yesu naomba nitendee miujiza ili niamkapo asubuhi niweze kulipa madeni yangu yote. Amina
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 9 ай бұрын
Goodmrng, Madhabaoni ya siri za Biblia "I want to be like Jesus christ inner my heart oh holy spirit take more of me and give me more of your holiness, love, goodness, kindness, fatherlyhood, mercy.... Your are a Unique Almighty God, open our heart to knw you better oh my lord God, locate me in your mercy and your favor we're victorious having you my God on my side Thank you Jesus christ for the salvation of our souls and lives ❤❤❤🙏🙏🙏🙌🙌👏💯💯
@WinnyMmbaga
@WinnyMmbaga 22 сағат бұрын
Baba warehema hitaji langu kwako ni mzaliwa wangu wakwanza anateswa na ulevi ulio mpelekea Hadi kufukuzwa kazi Hana makazi anaishi kama ndege mungu umsaidieAmeeni
@AnnastaziaBandonda
@AnnastaziaBandonda 17 күн бұрын
Ee Mungu nifungue katika magonjwa nivushe na hofu nipe amani,nguvu na unipe kibali kufanikiwa katika usaili wangu wa kazi nifanikiwe,,,,niachie katika vifungu vya maadui nikinge na kila baya lolote, naomba toba katika makosa yangu yote AMINA
@FortunataMbwasi
@FortunataMbwasi 24 күн бұрын
Naomba Mungu anikumbuke watoto wangu waokolewe wamjue Mungu pia naomba Mungu anisaidie kiuchumi nahitaji mtaji afungue milango yangu pia Mungu amsaidie Mume wangu alipwe mafao yake ya ustaafu tangu astaafu ana miaka mingj hajalipwa pesheni yake na anaumwa Mungu aondoe roho ya umaskini naomba Mungu anijibu amina
@user-ez9ve7nz7n
@user-ez9ve7nz7n 9 ай бұрын
Mungu wangu wa mbinguni naomba niepushe na roho ya kucheleweshwa uniepushe na roho ya usingle mother nakataa katika jina la Yesu kristo alie hai, naomba uinue roho ya maombi juu yangu Mungu wangu neno lako likawe kiu na njaa maishani Mwangu.
@FredericovalentiBanda
@FredericovalentiBanda 25 күн бұрын
Bwana asifiwe"Naitaj Nipate uwezo wakusimamisha ujenzi WA nyumba yangu kwazia na mwezi kwa jina la yesu amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
@salomesanga465
@salomesanga465 7 күн бұрын
Naomba Munguawakomboe watoto wangu kiuchumi,afya ndoa vifungo vya miungu ya ukoo pia anisaidie kuhitimishi utumishi wangu wa kazi kama alivyoniandalia.Mungu ukaniponye maradhi yanayonisumbua tangu 2010
@MwaminiNoëlla
@MwaminiNoëlla Ай бұрын
Yesu wangu naomba unijibiye itajizangu mbili niko nakuomba mwa iyi mwezi tunaanza bitimilike kwa jina la Yesu naomba niki amini Amen 17:01
@pendomaloda2849
@pendomaloda2849 Ай бұрын
Eeeh mungu asante kwa kibali pekee naomba usikie maombi yangu naomba unisaidie kunifungua vifungo vyote nilivyofugwa naomba nifungue njia ya kujifungua, nijifungue salama nijifungue kwa njia ya kawaida, roho ya oppression naikataa kwa damu ya yesu naamin mungu utatenda na nitajifungua kawaida na salama naomba usikie maombi yangu ezzh mungu
@amanalengaiobedi
@amanalengaiobedi 7 күн бұрын
Naomba mafanikio ktk familia na upendo pia madeni yaishe pia kulipwa stahiki za alizofa ya kazi Mungu fungua milango ilya mafanikio ifunguke ,afya njema,amani itawale, Mungu abadili maisha naamini kwakohakuna linalo shindikana baba mtendee mme wangu mtoto wangu mjukuu watoto wajukuu ndg zangu natama I kupata nguvumpya
@NorahLugongo
@NorahLugongo 7 күн бұрын
Yesu wangu naomba nipate hela kwa miujiza yako popote pale leo nipate kulipa madeni yangu ambayo yananikosesha Amani. katika jina la Yesu
@user-ft9id2rs8v
@user-ft9id2rs8v 2 күн бұрын
Ee Mungu unajuwa mmatatizo ya nyumba ya ngu,nipe kibali ndani mji ambao nîme ingia amo leo,.fungula kazi yangu n'a ya Papa.Mungu Ani nyanganyie vitu vyangu ambao vilipotelea ndani ya uyu mji
@gloriaandrew8806
@gloriaandrew8806 13 күн бұрын
Naomba Kibali, neema na Baraka za Mungu katika kila eneo la maisha yangu, kazini kwangu, kwenye ndoa mwenza wangu asikawie namngoja Mungu amlete, kwenye biashara zangu naomba ongezeko kubwa kufunguliwa kiuchumi, naomba ulinzi wa Mungu kwangu na Mwanangu. Naomba Mungu aweke nguvu mpya na kunisaidia katika kila udhaifu wangu, yaliyoshindikana huko nyuma yote katika maisha yangu yote yawezekane sasa. Uwepo Wa Mungu usinipungukie Mimi na Mwanangu na damu ya Yesu isimame initetee kila mahali jina langu linapoonekana na linapotajwa
@SafoBuke
@SafoBuke 29 күн бұрын
Ehe mola wangu, ninaekuabudu usiku na mchana, naomba unitoe kwenye giza nene la madeni, na niweze kumaliza nyumba yangu iliyoshindikana kumalizika, na nakuomba umjalie mwanangu aweze kusoma vizuri katika masomo yake, ameen
@user-js3dj8vh8e
@user-js3dj8vh8e 2 сағат бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Bwana akubariki sana sana
@ynobarrackmangia3953
@ynobarrackmangia3953 21 күн бұрын
Nafunga roho za uzinzi nafunga roho za umaskini nafunga roho zote chafu katika maisha yangu Naomba na roho mtakatifu anisaidie kuomba vitu vyema nivipate kutoka kwa Mungu Baba pia nafunga roho za Magonjwa na roho za ndoto mbaya katika maisha yangu yote
@EdwinNkwendela-r6j
@EdwinNkwendela-r6j 7 күн бұрын
Bwana asifiwe Mimi ninapotaka kufanikiwa kwa kila Jambo napatwa Na mitihani mingiinajitokeza hata tukiwa wawali mwenzangu anafanikiwa lakini Mimi naambiwa siku nyingine kila wakatijambo hili hujitokeza naomba mungu wa Ibrahim yetu anikumbuke amina jina language ni ibrahim
@amjedsalam2856
@amjedsalam2856 9 ай бұрын
Naomba mungu unisaidie usiniache nakataa maisha ya ufukara kumcha bwana ni chanzo cha maarifa bali wapumbavu wanao dharau hekima na adhabu nikiamini ipo siku utatenda jambo ni kwaajili ya familia yangu amen naitwa jesca niko iraq asante sana mtumishi wa mingu
@emmanuelamaleo
@emmanuelamaleo 9 ай бұрын
Baba wa mbinguni naomba uibariki ndoa yangu, mlinde mume wangu, mlinde na mwanangu, uibariki familia yangu kwa jina la Yesu Kristo. Napokea
@Blackafrika861
@Blackafrika861 9 күн бұрын
Mungu nisaidie nifaulu mitihani yangu, nisaidie Mungu niolewe na mwanaume aliyetoka kwako, Mungu nisaidie furaha na amani, pia Mungu nisaidie katika uchumi wangu🙏🏽
@Africanah100
@Africanah100 10 күн бұрын
Eeeh mungu mwenyezi naomba ulizi juu ya maisha yangu pamoja na watoto wangu nimeangaika ya kutosha naomba upigane nao wanao pigana nami ninaomba ulifungulie njia nipate kumjengea mama yangu nyumba mungu naomba unikumbuke na mimi nimechoka na mangaiko
@mariagodfrey2341
@mariagodfrey2341 3 күн бұрын
Ninakupata vizuri Niko sumbawanga ninakuomba mungu uniombee Mimi na familia yangu
@bee-king2569
@bee-king2569 2 ай бұрын
Naitaji kufunguliwa pia naitaji nyota ya ndoa pia naitaji family yangu ifinguliwe pia marafiki zangu wafunguliwe pia nipanuliwe mipango yangu pia mchumba wangu afunguliwe na mamake na babake mdogo pia walio hos wote wabone kupitia damu ya yesu pia kakangu afunguliwe ache pombe pia babangu mkubwa afunguliwe asifanyiwe upasuwaji damu ya yesu imponye Kati kajina la yesu
@faustersteven7233
@faustersteven7233 Күн бұрын
Kutoka Tanzania nakuskilizaaa aminaaa sanaaaa 🙏
@NorahLugongo
@NorahLugongo 6 күн бұрын
Yesu wa gu naomba asubuhi ya leo nipate kulipa deni langu kwa miujiza yako katika jina la Yesu
@FredericovalentiBanda
@FredericovalentiBanda 25 күн бұрын
Naitaj kupandishwa cheo tarhe 24 ya mwezi huuu na kulipwa pesa zangu zote na kufunguliwa kiuchumi kwazia sasaivi kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏 🙏🙏
@user-xm5bl5xd8p
@user-xm5bl5xd8p 22 күн бұрын
Mungu naomba kwa ajili ya familia yangu uwape furaha na upendo na uwakutanishe wote wawe pamoja kwa ajili ya brother yangu naomba umpatilishe kwa yale anatenda na umwaipishe shetani katika maisha yetu siku ya leo naomba uyatende ...........na unifungulie njia za kupata na biashara
@GaspardNdayiragije
@GaspardNdayiragije Ай бұрын
Mungu nipe bahati ya kupata pesa iri niripe madeni yote unipe bahati kazini uniepushe napombe nakuweza kua na akiba unirinde kuzurumiwa Tena amen😢
@user-os6pi2fd2c
@user-os6pi2fd2c Ай бұрын
Yesu mim nimechoka kufanya kazi bila mishahara, uciku wa leo nikumbuke yesu, kaifungue milango yangu 😭 😭🙏🙏🙏🙏🙏
@VELENARWEBUGISA
@VELENARWEBUGISA 5 күн бұрын
Ñaomba watoto wangu wafunguliwe kwenye biashara zao na mwanangu umponye kichwa kinacho muhuma sana mwenyezi mungu nitendee , naomba utoe Arama za kukaliwa kila sehemu ni saidie
@RemmyEdward
@RemmyEdward 8 күн бұрын
Mungu naomba unifungulie mambo yote yanayoendelea kwenye ndoa yang..naombea watoto wangu awaepushe na vifungo vyote ..nafuta kaulizote mbaya zilizotamkwa juu yangu na watoto wangu..
@ZawadiMbatta-lt3yh
@ZawadiMbatta-lt3yh 9 ай бұрын
Ee Mungu wangu namuweka Mume wangu mbali na uyo mwanamke anaetaka kuivunja amani ya ndoa yangu,nawasambaratisha kwa jina la Yesu, namseta kuzimu uyo mwanamke,Ee Mungu aka ifanye ndoa yangu kuwa ndoa yenye amani na upendo,wafunike watoto wangu wa kiume,funika wazazi na ndugu yangu,bariki uchumi wetu ukanipe kibari kwenye biashara zangu, bariki kazi ya Mume wangu,usiniache Baba, nisaidie kukamilisha ujenzi wangu simama mwenyewe Baba yangu,nipe afya njema utukufu ni wako Bwana
@user-yr2jr8wt6f
@user-yr2jr8wt6f 9 ай бұрын
Mungu aniponye jino linaniuma sana ugongwa wa meno naukataa kwa kizazi changu chote mungu anifanikishe nijifungue salama mungu aionekanie ndoa yangu ikawe na amani na furaha watoto wngu wakafunguliwe shuleni akawape uelewa vema mungu aniepushe na mawazo mabaya nayakataa hata kwa kizazi changu mungu akamwonekanie mume wangu akalipe madeni ya watu asiwe wakudaiwa mungu aniandalie biashara yakufanya nisiwe wakukaa bola kazi mungu akaguse kwenye ukoo wa baba yangu. Mungu akawaguse wazazi wangu wakawe na amanj na upendo wametengana ila mungu akawaunganishe mungu atuwezeshe tumalizie nyumba yetu.
@MaikoSigala
@MaikoSigala 5 күн бұрын
Baba katika jina la Yesu Kristo naomba azidi kunipa upenyo wakuwa mbali na dhambi
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 7 күн бұрын
Tuondolee roho za kishindwa na kukataliwa , wabariki watoto wangu wafanye vizuri katika masomo yao,Tuondolee vifungo vya nafsi na mwili
@sharonafica1470
@sharonafica1470 2 ай бұрын
Nakupata vzr,naomba mungu anifungue mimi pamoja na familia yangu mungu tuponye magonjwa tunaomba ulinzi wako nahitaji maisha mapya eeeh mungu wangu....anglia moyo wangu
@marthakimati8913
@marthakimati8913 21 күн бұрын
Naomba Mungu akumbuke watoto wangu wapewe ulinzi kwenye Maisha yao wawe wanamtumania Mungu kwa kila jambo.
@AminaElMmanyi
@AminaElMmanyi Ай бұрын
Ee Mungu naomba uibariki biashara yang,naomba pia Mungu Wang niingie kwenye ndoa takatifu,Mungu nawaombea watoto wangu wapate kaz na pia waondolee roho ya kukataliwa,naomba Kwa ajili ya ndugu zang Ee Mungu tuondolee roho ya magomvi tupe upendo wa kweli🙏🙏
@SophiaNasibu
@SophiaNasibu 8 күн бұрын
Naomba mungu afungue milango ya ofisi yangu ya kiwode.tunalipa CODI pesa hakuna.watoto hawana kazi.madeni.huduma yangu nyumba yangu haeleweki.naomba kubari baba okoa familia yangu.mungu nisaidie.naitwa Anjelina Toka kigoma.
@velonicacharles-6124
@velonicacharles-6124 24 күн бұрын
Mungu naomba ukamfungue mtu ambae ninamdai hela yangu nyingi aweze kunilipa kwa uwezo wako baba na shukuru baba kwa neema zako baba na nguvu zako baba ukaniomgoze katika safari yangu niende salama na nifike salama baba
@user-gt9tg2ir3k
@user-gt9tg2ir3k 2 ай бұрын
Nataka mungu anisaidiye asikiye maitaji yangu namimi anisaidiye anipe ekima naguvu yakushinda majarimbu ❤ayodio maitaji yangu kwamungu namini mungu yupo mahalipote atatenda maitaji Yetu yakilasiku 🙏 Soma ZABURI 117:2nina imani mungu atajimbu maombi Yetu 👏 yakilasiku 🙏 mungu nimuweza wayote
@velonicacharles-6124
@velonicacharles-6124 24 күн бұрын
Ee Mwenyezi Mungu asante kwa kuniungamanisha kwa maombi naomba damu ya mwanao Yesu kristo ikawafunike familiya yangu ikavinje hila za maadui baba naomba wanangu wakarudi kwenye ndoa zao baba
@elizabethmaturino705
@elizabethmaturino705 2 ай бұрын
Mungu ninaomba unijaze roho wako mtatifu Zaid nina kiu nawe pia naomba baraka zako katka kaz yangu nipate wateja katika Jina la Yesu AMEN.
@user-fz3kg2pt3u
@user-fz3kg2pt3u 3 күн бұрын
Mungu naomba nipate biashara yangu kwa jina la yesunapokea
@SmilingArcade-xj7zg
@SmilingArcade-xj7zg 28 күн бұрын
Emungu wangu naomba unisaidiee pia naomba uniongoze katika maisha yangu yotee ili nisikutendee dhambi mungu nisaidie bila wewe siwezi asante mungu kwa yotee 🙏🙏
@user-zn3un8gs3d
@user-zn3un8gs3d Күн бұрын
Mungu nisaidie niweze kumaliza ujenzi wa nyumba ninayojenga.
@zawadiz482
@zawadiz482 23 күн бұрын
Yes wangu naomba unibariki nishinde majaribu ya dunia tizma waona nizunguka wananisubiri ni anguko langu familia yangu bwana yesu nishinde mkono usiache bwana mm niko na shida pastor ya kichwa cha nisubuwa kweli cha tamba mududu hata kulala ni shida naomba uniombe pastor
@ElizaAmisa
@ElizaAmisa Ай бұрын
Natakata mungunanisaidie nizahe vozuri Bila upasuaji na Itaji mungu anisaidie nipatekazi maumivu yatumbo yanihondoke kabisa namuone pia dada yangu amponye machoyake Yana muwasha nakuuma kwajina layesu kwristo anisaidie nipate kazi kwajinalayesukristo amen
@salomesanga465
@salomesanga465 7 күн бұрын
Mungu nisaidie nisimame imara katika maombi , ilikupambana na adui katika ulimwengu wa roho
@zainabusaidi8161
@zainabusaidi8161 4 күн бұрын
Mungu naomba nipe mwongizo wa kufanya kitu cha mafanikio nakata uribifi wa maisha yangu lakini pia naomba niepushie mikosi na mabalaa
@beatricenyiro5913
@beatricenyiro5913 18 күн бұрын
Mungu wangu waponye watoto wangu mmoja ana fibroids na mwingine kichwa kinauma sana migraine, pia mjukuu wangu Family yangu tukombolewe katika laana ya ukoo
@JoyceLupembe
@JoyceLupembe 9 ай бұрын
Nataka nipate mtaji wa kufanya biashara, nataka mdogo wangu Anti aache pombe, mtoto wangu Catherine apone tumbo na Kila aina ya ugonjwa, Mungu anikumbuke na mimi nipate kumiliki biashara yangu, niheshimike na watu, madeni yaniishe yananitesa sana, mtoto wangu, afunge ndoa haraka, Mungu aniponye magonjwa yangu yote, Mungu anisaidie nijenge nyumba yangu
@BahatiBahat
@BahatiBahat Ай бұрын
ninaomba mungu anipenguvu za kumba na mungu aniumbie moyo mzuri na aniongezee kiwango cha imani na anitowe kwenye umaskin na aniponye magojwa yote na anifungue ufaham wangu nipite kwenye njiya zimpendezayo
@juliethfrancis6170
@juliethfrancis6170 28 күн бұрын
Leo nina Imani kabisa nitashinda katika mapito haya… yakusingiziwa juu yangu naomba Neema yako….Amini
@faigel
@faigel 25 күн бұрын
Mungu nipiganie nimekuwa mtumwa wa ndoto baya,,nmekuwa mtu wakujiwazia mabaya,, nimekosa hamu ya tendo la ndoa mungu wangu😢nmekua mtu wa kukauka uke hdi nakosa raha ya ndoa😭😭mungu naomba uponyaji kutoka kwako🙏🙏🙏
@SrconjestarcosmasmbuyaHendry
@SrconjestarcosmasmbuyaHendry 10 күн бұрын
Uponyaji wa sikio langu, shida ya ngozi, kibali kila ofisi nitakayoingia afya njema kibali cha uchumi, kufunguliwa ufahamu wa Marta Richard, na Amani. Yesu rudisha Vyote tulivyonyanganywa
@user-xn3vq1gq3p
@user-xn3vq1gq3p 2 ай бұрын
Mungu fungua mlango wa kufinguliwa kiuchumi, hasa niweze kuanzisha kazi ya kufuga nguruwe, na mgonjwa ya familia yao doke Kwa Baba ile figo, na Mdogo wangu Agostino na mkewe Mungu kawaponye Sasa imetosha na uwasamehe makosa yao
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 7 күн бұрын
Naomba ulinzi wa familia yangu ,kazi yangu,kipato changu,afYa yangu . Naomba Mungu anifungulie mlango ,anitenge na maovu na aniweke mbali na uovu
@FredericovalentiBanda
@FredericovalentiBanda 25 күн бұрын
Naitaj nipoke simo zakunipa mradi na watu saihi kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
@Ney01-vd7mk
@Ney01-vd7mk 24 күн бұрын
Naomba unsaidi kuomba juu ya watoto wangu wapapte ajira na kuwa karibu naMungu na kuponya wanougua nami kulipa madeni nakuskia vizuri sana ubarikwe mtumishi
@zainabusaidi8161
@zainabusaidi8161 4 күн бұрын
We mungu naomba nijibiwe maombi yangu niepushie na majaribu haya ya kuyumba kiuchumi nakukosa maendeleo
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 6 күн бұрын
Naomba Mungu ukafungue uelewa na fahamu katika masomo ya wanangu waweze kufaulu katika masomo yao
@SesiliaIlanda-kk2ef
@SesiliaIlanda-kk2ef Ай бұрын
Nipone kisukari, nifunge ndoa na kuishi maisha ya kukupendeza wewe Mungu,watoto wangu wabarikiwe, Nikujue Mungu, niwe na Amani, Nijalie moyo wa shukrani
@user-kd1io7on6z
@user-kd1io7on6z 9 ай бұрын
Mungu anibariki nichaguliwe na mimi nipate vizza ya U.S na anibariki niweze kujenga nyumba,awaongoze walinde watoto wangu usiku na mchana🙏
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464 Ай бұрын
EE Mungu Wangu Wangu naomba unifunulia chenye kinaandele kwenye kazi yagu Kwa ajali Kuna Hali Sio za kawaida 🤲
@user-xd2gi7hu1o
@user-xd2gi7hu1o 10 күн бұрын
Mungu aniondolee mangonjwa sugu pamoja na watoto wangu kuota nikilishwa manyama ,samaki.maroho za upizani,uchawi laana,umasikini,nuksi mungu niurumie naomba
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani 2 ай бұрын
naitaji maombi kwajili ya jamaa yangu juya ulinzi wa usiku wote n'a kuitaji maombi ili mungu apate namimi kunibadirisha kwayale ambayo aiendeke juuyakazi, magonjwa zama déni,uongo juu yajamaa yangu n'a afya njema kwangu nakwa muke wangu.. ni justin kapupa Bukavu Congo yakidemocratia
@FredericovalentiBanda
@FredericovalentiBanda 25 күн бұрын
Naitaj ulinzi ktka mwenendo WA maisha yangu kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
@LilianIsack-w2d
@LilianIsack-w2d Ай бұрын
Mungu wangu naomba kibali cha kupata kazi nzuri yenye mshahara mzuri ili nikidhi mahitaji yangu na familia yangu,Ameen🤲
@josephmagori
@josephmagori 17 күн бұрын
Yesu wangu bariki marifa yangu kwa jina la yesu na onekana katoka matokeo yangu
@user-js3dj8vh8e
@user-js3dj8vh8e 2 сағат бұрын
Mi nakusikia vizuri nimekupata mutumishi wa Mungu
@faigel
@faigel 25 күн бұрын
Mungu naomba msaada wako katika afya yangu na ndoa yangu na pia katika ulimwengu wa ndoto,pia mungu naomba uniondolee roho ya hofu baya,,ee mwenyezi mungu nisaidie🙏🙏
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 2 ай бұрын
Eeee Mungu naomba uweze kunionyesha mume sahihi kwangu pia unifungurie mirango ya mafanikio yangu pia unirindie mwanangu kwa kira hari Mungu kwa jina la yesu kristo amen
@user-dg3si3rx1r
@user-dg3si3rx1r 2 ай бұрын
Mungu baba naomba ushugulike naku ingiliya Kati mafanyikiyo yangu naku ondowa roho ya mapo oza ingiliya Pia ndowa yangu kwa jina la Yesu Christo wa Nazareth
@ShukuraniWilondja
@ShukuraniWilondja 3 күн бұрын
Natamani nimtumikiye katika mahishayangu na atawale akiliyangu,na nimjuwe vizuri katika roho na kweli. Na kubadili tabiya ya kibinasci
@neemamwenye2088
@neemamwenye2088 26 күн бұрын
Ninaomba kupata Mwanzo mpya,kibali cha kila kitu kwenye maisha yangu.Katika jina la Yesu Amen
@GraceRobat-bz5lk
@GraceRobat-bz5lk 20 күн бұрын
Ninaomba mungu anipunguzie maumivu na anisaidie nijifungue salama ,
@tunuhaji
@tunuhaji Ай бұрын
Sharom mtumishi wa mungu naomba nisaidie tuombe kuusu biashara yangu nisaidie kuomba pamoja naitaji kuiamisha niamie sehemu nyengine kwa maombi haya ikatimie ameen 🙏
@FausterLawrence
@FausterLawrence 29 күн бұрын
Tuomwombee mwanangu apate ajira aliyoomba pia mchumba wake awe na moyo wa kumjuaMungu na kumtumikia namipango ya harusi yake idhihilike Nahitaji nguvu ya kumtafuta Bwana kikamilifu maishani mwangu afya njema hatimaye uzima wa milele
@furahamichael6047
@furahamichael6047 Ай бұрын
Mungu naomba juni kumbuke mchezo wangu nnao ucheza wakupokea milioni 15 ndani ya miezi mi nne naomba unikumbuke nikamilishe amina
@PendoDavid-hx3ok
@PendoDavid-hx3ok 3 ай бұрын
Mungu wangu najua wajua napitia yapi ila Mungu usiniache Mungu usimuache mwanangu Samir muondolee roho yakukataa shule ondoa roho zamaginjwa katika familia yangu ondoa roho zamauti ndani ya familia yangu ondoa roho zaajali ndani ya familia yangu naomba ukuze biashara yangu Linda kibarua changu naomba ulinde mahusiano yangu tuoane natuishi kwaamani naupendo shetani asipate nafasi tena maishani mwangu
@hannyjohn6392
@hannyjohn6392 9 ай бұрын
Naomba Mungu anifungue mimi na mama yangu na atuponye maradhi atushibishe jwa miaka mingi sawa sawa na Zaburi 91
@tinahtinash6160
@tinahtinash6160 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏 nikumbuke yesu mahali nafanya kazi usiniache yesu wangu pekeangu sitaweza nipee nguvu mungu wangu nakuhitji kumbuka familiar yangu kwa kila changamoto za maisha 😢
@user-us8yh9vc7v
@user-us8yh9vc7v 6 күн бұрын
Eee mung naomba uyageukie maisha yng machoz ya maumiv kukosa aman kua mpweke kusimama ki iman watoto wang wasiangaike tena familia ikakae meza moja tukifurah tufutie historia mbaya badilisha histolia ya maisha yng kaz yng nisilud nyuma nisonge mbele onekana kwenye ndoa yng na utuondolee magonjwa ee mung nisiongee maneno meng najua unajua kila hitaj lang kama ulivyosema kabla hatujakuomba ulitusikia na tulipokuomba ulitujib mung wang sikufundish cha kufanya utajua cha kufanya kwenye maisha yng.Amina
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 2 ай бұрын
Watoto wangu wapone magonjwa yanayotesa Mimi Baba unifungue kiuchumi wote Baba utupatie ushindi kwa haya yote tunayoyaomba Amina
@user-oo2fx8nk5r
@user-oo2fx8nk5r 9 ай бұрын
Eeeh Mwenyezi Mungu fungua Mirija ya kizazi changu Fungua Koo Langu kitu Kinachonikaba Nikakitapike kwa damu ya Yes Mungu Nakuomba Unipe fedha ya kumalizia Ujenzi Wang wewe ndo ujuaye wapi Nitapata hi fedha Kupitia Maombi haya Nataa Kila mpango was nguvu za giza mpango
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 118 М.
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 27 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 22 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
LIVE: MAOMBI YA VITA // KUPAMBANIA HAKI YAKO
46:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 16 М.
MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME
1:04:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
#LIVE: HATUA ZA KUJIFUNZA KUOMBA VIZURI // Thursday 06,2024
1:28:32
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 23 М.
LIVE: MAOMBI YA KUONDOA SHAMBULIO LA KIROHO // USIKU WA MANANE
1:15:43
5. MALENGO MKAKATI YA KUFANIKISHA MIPANGO YAKO || MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: ARUSHA 2024
3:06:15
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 41 М.
LIVE: MAOMBI YA KUFANYWA MOTO MBELE YA ADUI ZAKO // PRAYER WORRIOR
1:43:42
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН