🔴

  Рет қаралды 16,267

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: MIKOPO ya USWAHILINI INAVYOVUNJA NDOA, ZAI KIJIWE NONGWA AFICHUA YALIYOMPATA...| MAPITO
KWENYE MAPITO mgeni ni dada wa uswahilini Zai Kijiwe Nongwa ambaye amefunguka mambo kibao ya uswahilini...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 38
@MariamSaid-rk3qx
@MariamSaid-rk3qx 25 күн бұрын
Mashallah zai na geah 🎉🎉🎉🎉
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 Жыл бұрын
Jaman mie zai nampenda sanaa hnichosh kumskiliza kwakweli
@kapurchandshah6659
@kapurchandshah6659 4 ай бұрын
Zai jmn nacheka mie
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Umezungumza point suali la ndugu wa mume .asilimia kubwa ya mwanaume hawakupeleki kwao.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Zai kiboko, apewe maua yake 🎉🎉
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Жыл бұрын
😂 nampenda sana Zai Kijiwe Nongwa mimi 😂😂
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
❤❤❤ jamani dazai uko wapi hatumuoni Kwa dada he's mbona ukatufurahisha
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Kanichekesha apo yaaaa of course
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Kweli dada zai hapo kwenye ushauri wa Bwana ni kweli kuomba ushauri kwa mtu sahihi
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Жыл бұрын
Zanzibar siku 4 xiyo 3...nakupenda da zai
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Mrembo wa uswahili
@rosegayokasembe4393
@rosegayokasembe4393 Жыл бұрын
Mashallah kapendeza 😅😅
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Uliponunua masofa hujayarandisha mana
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Tatizo sio mikopo tatizo ni riba ,wamekuwa kama wanalaana kwa izo riba ,hawawezi kuacha kukopa😢,mla riba na mtowa riba wote maisha yao ni mashaka,hiyo mikopa inayokopeshwa wanawake ni mtihani tu kwasababu ina riba Mwenyezi MUNGU awasaidie tu wanawake kwakweli
@aminaabdallahisa6827
@aminaabdallahisa6827 Жыл бұрын
Kweli mpga ngoma ladhima atoke na mwanamke sjuwi kwanini
@kapurchandshah6659
@kapurchandshah6659 4 ай бұрын
HA A HAA JMN ZAI
@naff7552
@naff7552 10 ай бұрын
Lakini kupigwa wanawake ni dhulma si kitu cha kusifia.
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 pesa inakuwa unatowa dazai njie
@AfricaQueen
@AfricaQueen Жыл бұрын
😂🤣😂🤣😂Zaiiiiiiiiiiiiii😂🤣❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Zai mbona Gea alisema ww ndugu yake mtt wa mama ake mkubwa
@asnathaman
@asnathaman Жыл бұрын
Ndio alisema wakat alivyopata tuzo na ni kweli mbona wanafanana kias
@janemsamati6700
@janemsamati6700 Жыл бұрын
​@@asnathaman ndio wanafanana
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 Жыл бұрын
Zai....😅😅😅😅😅😅
@umalqasimalhamhami6707
@umalqasimalhamhami6707 Жыл бұрын
😂😂,,😂😂kifua tena 😂😂😂
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Жыл бұрын
Zai hta mm siwezi kutunzana ila km nikimpenda mtu Nampa zawadi
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Zai haya ni maisha ya ulaya kila kitu unakopa 😂😂😂
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Hakika ni kwamba hawajuagi tuu
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Chawa wako hajambo
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila huyu Zai et ukifika kwa mjumbe unafungua dirisha unachambaaa ukiwa ndan kwa mjumbee roho ifanye ngaaaa
@copycopy2729
@copycopy2729 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 11 ай бұрын
😂😂😂
@ThriaAbdullah
@ThriaAbdullah Жыл бұрын
😂😂
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
@Zainab_salat
@Zainab_salat 11 ай бұрын
Wewe zai si mtu wa tanga😂😂😂😂 wala mrazamo
@Anasa-m2q
@Anasa-m2q 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 8 ай бұрын
Una burudani zai
@khadijaa815
@khadijaa815 Жыл бұрын
Baada ya saum mnasherekea na tarab
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
"WANAWAKE WA USWAZI WANAPIGA WANAUME" - ZAI KIJIWE NONGWA
3:05
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН