Udugu wangu zaid kijiwe nogwa ndani ya ayo tv uwiiii TUMEVUKA MWAYA 2024❤
@salhamrishoi49438 ай бұрын
Zai nampenda saana mwenzenu❤❤❤❤❤❤🎉tuliopo gulf na tunainjoi kila tukitizama video za zai kijiwenongwa tujuane hapa🎉🎉🎉ila kibao kile mmekiona😂😂😂😂 miye nimestuka😂😂
@mariammalimi95518 ай бұрын
Hahahahaa kibao nimekiona
@salhamrishoi49438 ай бұрын
@@mariammalimi9551 nimecheka kama sijui nn😂😂
@user-uh7to2kw2z8 ай бұрын
Pande zp kpnz mm NK oman
@betrackjasson66988 ай бұрын
Tunampendana sana uyu dada jamn
@beniardajuna25808 ай бұрын
Wa kwanza kumpenda Ni mm zai na geaha habibu ndo wanatikisa kwangu
@vero578 ай бұрын
Kweli kabisa dada zai , nimependa gauni lako nzuri sana
@Chaotic-c2p7 ай бұрын
🎉nimempenda huyo Zai .Ntampa ticket aje huku Dakar Senegal anitembelee .nataka tu nicheke 😅
@FatmaAlamry015 ай бұрын
Zai nakupenda sana nikija Dar nakutafuta ❤🇰🇪
@JulianaJackson-lz6vq8 ай бұрын
Yan mtanzangazaji alitaka kucheka amejizuia tu huyo mtoto aliepigwa bao.kweli kijiwenongwa sa huyo mtoto njia zote ajaona ajipitishe hapo
@KHAMIS_SHILINGI7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mwenyew nimecheka
@kamalissabig46318 ай бұрын
Sasa Zai huyo mtoto alio pita mbele umempigia nn 😂😂😂
@meshack32668 ай бұрын
Zai mweu kwa kweli sijui kamemkosea nn
@thobiethalibutu14658 ай бұрын
Tatizo huyo mtoto anajipitisha 😂😂😂 mbele ya kamera kweli jamani why apite mbele ya mgeni 😂😂
@user-mb7jn6ed4l6 ай бұрын
❤❤nakupendaga sanaa huna baya
@mtotowamanka8 ай бұрын
kijiwe nongwa ya rostam x nay wa mitego au😊
@mackyladislaus78878 ай бұрын
kupata baba mmoja ni kazi😂😂
@salomewandya72577 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aminaomary55677 ай бұрын
Hivyo hivyo dada angu❤❤❤❤
@rizikiabdalla25018 ай бұрын
Nyieeee wanaumeee mkichelewaaa kurudi mnakuwaa na maneno
@souvenirweber71698 ай бұрын
😂😂😂kwenzi twaaah na story zimeendelea
@vibandaumiza7 ай бұрын
Dahh nilijua hili KWENZI nimeliona peke yangu....😁😁
@eggysulle79884 ай бұрын
🔥🔥
@salmangwila80626 ай бұрын
hivi zai ww hilo bao cjui kwenz khaaaaaa,alafu mwenyewe umetulia km ujafanya ww vile..😅😅
@ashurajengela39268 ай бұрын
ila zai jamani kwann umpige mtt konzi 😂😂😂😂😂
@ndukulusudikucho_3 ай бұрын
hahaaha ila dogo nae njia zote hajaziona hahaha
@yama_virginhairthequeen10658 ай бұрын
Zai jmn 😂😂😂 mm naangaliaga videos za zamani nacheka
@christiancalvin21838 ай бұрын
Kuna huyo dogo kapewa konzi afu zai kazuga kama hamna kilichotokea😂😂
@shanishaban8 ай бұрын
Konzi la usipite tena 😂😂😂😂😂
@nancychimama6163 ай бұрын
Zai Mungu akuweke unaongea ukweli mtupu na yule kapona kweli kajipitisha😂😂😂😂
@aishafrancis77148 ай бұрын
Daah hilo kwenzi mpaka roho yangu imeshituka😂😂😂😂
@Familianjema8 ай бұрын
Unaweza kupata masomo kuhusu NDOA NA FAMILIA kwenye CHANNEL YETU YA @familianjema JAZAKALLAH KHEIR
@user-mr7gl5ox6u8 ай бұрын
Nampenda da zai Mungu amzidishie kwakwel
@faridapandu75798 ай бұрын
❤❤❤ nakupenda dazai😂😂
@Manka-g5y8 ай бұрын
😂😂ila Zai nakupenda❤
@tumapentagon73028 ай бұрын
Hawa ndio watoto tunavoishi konzi
@gracewairimu8008 ай бұрын
Msijifanye hamjaona hicho kibao 😂😂😂afu kama hajafanya chochote vile
@Njeriii5368 ай бұрын
Nmecheka hatar😂😂😂
@hildahK247 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@fauziasultanikilewa76027 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@neemasolomon34738 ай бұрын
Konzi😂😂😂😂😂
@jennifermmanyema66937 ай бұрын
Ila zai 😂😂😂😂eti kupata Baba mmoja NI KAZI 😂😂😂hicho kibao saaa 😂😂😂
@Chaotic-c2p7 ай бұрын
Naombeni number yake ya simu kila nikimuangalia nakumbuka Tanzania na nafurahi sana .na nawapenda watanzania wenzangu woote .