🔴LIVE: Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania - DSM

  Рет қаралды 2,830

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@eliassumila8173
@eliassumila8173 4 ай бұрын
Mzee Rutembeka,umeeleweka sana kwetu.bigups
@possianokigwinya9988
@possianokigwinya9988 4 ай бұрын
Kama watanzania hawawezi kudai Katiba kwa kuingia barabarani kwa mazungumzo tu mnajidanganya.
@JuliusMowo
@JuliusMowo 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅👍
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 4 ай бұрын
Katiba ni ya chama kimoja sio ya watanganyika mpaka apende
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 4 ай бұрын
Mwambie huyo dr.nao fundisho insbidi limuingie barabara!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 4 ай бұрын
Nchi moja yenye katiba mbili? Zanzibsr ni nchi-hujasoisoma? Af unaleta za kuleta?
@hadjihadji197
@hadjihadji197 4 ай бұрын
Sio rahisi kuwakanyagia "Nguru wao CCM" wakati ndio wafaidika wa Katiba Mbovu iliopo hivi sasa.
@possianokigwinya9988
@possianokigwinya9988 4 ай бұрын
Katiba ni tatizo kwa watawala hatuwezi kuipata Leo Wala kesho Kama warioba amezunguka nchi nzima kwa kutumwa na watawala huku wakijua watu wanawapenda walipoona maoni ya watu kuwa wamechokwa walijilaumu Sana kumtuma warioba hadi Wanakosa aibu wanamzingishia mzee wa watu eti ni mawazo yake.
@MwatijaFikoti
@MwatijaFikoti 4 ай бұрын
Ujobhile mwana gwa Ally.
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 4 ай бұрын
Mimi napendekeza tuwe na muhimili wa nne ambao itahusiha viongozi wa Dini maana ukweli ni kwamba ndio wako na watu
@lucaskatoga6896
@lucaskatoga6896 4 ай бұрын
Katiba imetakiwa miaka zaidi ya miaka 30 mpaka leo TUNAJIDANGANYA
@FurahaJeremiah-kd5ht
@FurahaJeremiah-kd5ht 4 ай бұрын
Tanganyika sets kuliongoza taifa.raisi ashitakiwe mikataba yote iende bungeni mawazili waendane na taaluma zao
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 ай бұрын
HII MIJADALA KILA SIKU YALEYALE HAKUNAGA HATUA ZOZOTE ZINAZOENDELEA KIVITENDO👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@gidongailo7174
@gidongailo7174 4 ай бұрын
Mchakato wa kudai Katiba mpya ni UPUUZI. Kinachotakiwa kudaiwa hapa ni TANGANYIKA, sio Katiba
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 4 ай бұрын
Katiba mpya mtusaidie nyie. Hao watawala ndo wanapindishapindisha mambo ili tusipate katiba mpya
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 39 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 77 МЛН
TLS Yatoa Neno Msiba wa Wakili Aliyeuawa na Mwanae
2:27
WAKILI TV
Рет қаралды 1,6 М.
Maciira ma kũhagũrwo kwa DP Rigathi gũthathaũrwo makĩria
1:45:40
Je wajua ni wapi unaweza kupata msaada wa kisheria bila malipo yoyote?
10:52
Ndalini Media Solution Limited
Рет қаралды 317
BETRAYAL IN THE CITY: Ruto, this is digging your own trap....
19:59
Herman Manyora
Рет қаралды 8 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН