LIVE 🔴 MOTO WA MAKONDA BARAA, AWAPA SIKU 2 TANESCO TATIZO LA UMEME KUKATIKA ATAKAE KAIDI ATANIJUA

  Рет қаралды 73,592

TOP LEVEL Tz

TOP LEVEL Tz

9 ай бұрын

#topleveltz

Пікірлер: 65
@danielerasto
@danielerasto 7 ай бұрын
Uko vizuri bhana
@user-ny8ly2tr2s
@user-ny8ly2tr2s 8 ай бұрын
Nakwelewa sana kazi yako njema kaka makonda
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 8 ай бұрын
Magufuli Yuko live tena !!!!Tanzania kama naiona vile 👏👏👏👏👏👏
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Kabisaa wallahi furaha telee
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Mama samiha kwahili la makonda nakupongeza sana badoo kuna jembee lingine mama umliacha abdu Ally happy lile nijembee nikiongozi shupavu sana yule ni fitnatu za watu wamemfanyia lakini yule kasimama kwenye haki
@sharifuburuhani1969
@sharifuburuhani1969 9 ай бұрын
Huyu ndiye angalau anafaa na kufikia viwango vya kuwa Rais
@user-uy1qu5oo7y
@user-uy1qu5oo7y 8 ай бұрын
Nimekukubali makonda piga kazi ccm tunaweza
@user-ry3ez2qd1e
@user-ry3ez2qd1e 8 ай бұрын
Hongela sana poo
@MichaelMachemba-sw1xn
@MichaelMachemba-sw1xn 9 ай бұрын
Mungu Akusaidie Sana Mtumishi Uzidi Kuwatetea wanyonge
@josephnyirenda-tl4of
@josephnyirenda-tl4of 8 ай бұрын
Nilikuwa,sipendi,ccm,baba,umerudi,kula,yangu,ccm
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Kwakweli nahisi furaha makonda mungu akutangulie hapo maadui zako macho kodoooo
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 8 ай бұрын
Tunateseka sana kuhusu umeme tusaidie Makonda mama anahuruma zimezidi Tanzania bila ukali haiendi
@yuenwilington835
@yuenwilington835 8 ай бұрын
Ongezewa nguvu ya bashiru na polepole.chama cha samia kitabaki salama yaan ccm.chama cha mapinduzi.
@VeruliMartini
@VeruliMartini 7 ай бұрын
Kaz njema makonda
@Hadija-kk3fd
@Hadija-kk3fd 8 ай бұрын
Sawa baba uwe laisi ujayo
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Kwakweli dhulma ya ardhi imekuwa ni kubwa mnoo
@JofJoh
@JofJoh 8 ай бұрын
Mama hongera Kwa kumchagua makonda kuwa mwenezi wa chama nikuombe mama hata sisi waenezi binafic yupo usitusahau
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 ай бұрын
Safi makonda Mungu akujalie pia miaka ijayo uwe Rais kwa jina la yesu
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
Anaweza Sana na akikutana na Majaliwa nchi itanyooka.
@user-id9bj7qm6e
@user-id9bj7qm6e 6 ай бұрын
Unanikimbusha jamani Mangufulo
@StevenLindi
@StevenLindi 8 ай бұрын
Raisi gani tuliepewana mungu ? Magifuli pekee wengine wauwajitu
@user-zd3ds6vt7u
@user-zd3ds6vt7u 8 ай бұрын
Makonda ,sabaya,hayo nimajembe yampendwa wetu mheshimiwa sana jpm,huyo ndiye rais .tuliyopewa namungu nasivinginevyo jpm mpaka sasa tunae mioyoni mwetu unayoyafanya unatukumbusha mbali hadichozilanitoka mungu baba mlaze pema kipenzichawa tz amina
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 8 ай бұрын
Hi bwana katibu muenezu tatizo la umeme nisugu nchi nzima hali yawananchi I.ekuwa duni sana mfanoajira zimekuwa ngumu sana kwa maisha kw ujumla
@maryhaule5625
@maryhaule5625 8 ай бұрын
Chapa KAZI Makonda
@OmaryHaroun-zq8vl
@OmaryHaroun-zq8vl 8 ай бұрын
Hongera makonda ❤
@user-qv6xu1mi3e
@user-qv6xu1mi3e 7 ай бұрын
Huyu jamaa alipita mwanza igoma akadai upanuzi WA barabara utaanza 20,12,2023 mpàka Sasa hakuna kinachoendelea ni maigizo tup
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 9 ай бұрын
Sasa mh ichi Zima hutaweza wewe mtu moja pole sana
@user-gi6xv2kt8o
@user-gi6xv2kt8o 8 ай бұрын
Makonda unapiga kazi ushariri tu mama aongeze ukali na utumbuaji wazembe wengi huku mtaani wasije wakakukwamisha 2025
@user-mj5cb4gu9q
@user-mj5cb4gu9q 6 ай бұрын
Nakuomba uwende Tanga wilaya ya lushoto tarafa ya mlola Kata ya makanya kunawajene wazulumia nawatu halafu silekari bado haija watetea wajane wale kwahiyo nakuomba ufanye ziara huko
@user-ig4in5ut9k
@user-ig4in5ut9k 8 ай бұрын
Sikta zone.zimeoza.kaza buti
@user-wl8zj8ub7x
@user-wl8zj8ub7x 7 ай бұрын
Kwani makonda masasi haufiki maana chama kinazaraulika 4:00
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 9 ай бұрын
Safii sana makonda Mungu akulinde sana CCM wachafu wengi sana wamejificha ndani ya CCM Ili wasifuatiliwe . Rais Mimi nakupongeza sana kumteua makonda . Ww upo vizuri sana ila machawa wako asilimia 97%.99 wamo hump ni kero sana tunaomba namba zako na huyo makonda ziwekwe wazi tuwe tuna kutumia sms sio wakurugenzi wakuu wa wilaya na WA mikoa hao ni wanafiki sana utaona Tz itakavyo kuwa vizuri nakuomba chukua ushauri huu japo Mimi ni mnyonge nisiyeweza hata kusikika. Mpe meno huyo makonda Wala usimsikilize mtu . Chama kitakuwa vizuri sana. Si mda mrefu utaona watakavyoanza kumchukia makonda hao watu wako wa karibu. Wanafiki sana hao mkuu .Mungu ibariki Tz Mungu mbariki Rais wetu . Umpe hekima na Neema yakutosha mwondolee mabaya yote
@gracelukumaybarikiwasanara7114
@gracelukumaybarikiwasanara7114 6 ай бұрын
Jamani umeme umekua kero hta mashine hazifany kazi na watu walikopa ela sasa kwa hali hii mkopo tutalipa na nini?
@greetysiame-vr7yg
@greetysiame-vr7yg 8 ай бұрын
Baraa mama take mimi muwe mnajihariri kabla ya kuuandikia umma
@JohnJohn-lr1nt
@JohnJohn-lr1nt 7 ай бұрын
Emmanuel
@user-ms2cc4fd8e
@user-ms2cc4fd8e 8 ай бұрын
Sasa hivi ccm kumenoga
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 8 ай бұрын
Sipendi CCM Kwa uovu wake Kwa watz lkn namwona makonda yupo kukitakasa chama Cha kishetani
@user-uy9oc7wn5o
@user-uy9oc7wn5o 7 ай бұрын
100,000
@carinaomari21
@carinaomari21 8 ай бұрын
Safi sana kiongoz mchapakazi mtetezi wawanyonge
@JohnKesenda-pg5qz
@JohnKesenda-pg5qz 8 ай бұрын
Ccm kaiyanzish myerere kwa sas imezeika
@petermposa6288
@petermposa6288 8 ай бұрын
Bashite kama bashite. Sasa hizo kazi za katibu mkuu wa chama unazifanya ww na umegeuza😂cheo cha uenezi kama kiongozi mkuu wa chama au serikali😊
@MbwamboMbwambo-qy4yh
@MbwamboMbwambo-qy4yh 8 ай бұрын
Nchi INA watu wenye uwezo mdoogo sana wa kupambanua mambo ya villaza mia kabisa, matazo yoote huyo makonda ni sehemu ya hayo matatizo na ccm yake, sasa anaongea utadhani yeye sio ccm alafu anaisifia ccm, pumba tupu hivyo kabisa,
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 ай бұрын
Hakuna kitu kinacho tukera wanainchi kwa sasa kama kukata kata umeme hovyo
@BoniphaceTito
@BoniphaceTito 8 ай бұрын
Mimi Kwa namna hii ninaanza kuikubali CCM rais sasa amefanya uteuzi sahihi
@user-ny8ly2tr2s
@user-ny8ly2tr2s 8 ай бұрын
Nakwelewa chifu
@JohnKesenda-pg5qz
@JohnKesenda-pg5qz 8 ай бұрын
Siamini kama huy anaweza kuvaa viatu vya jpm
@AdrianRichard-mu9jh
@AdrianRichard-mu9jh 9 ай бұрын
Good!
@user-xm2cv5uu8l
@user-xm2cv5uu8l 9 ай бұрын
Mh komboa wanyonge hao na wengine walio wengi wapo kwenye mitaa yetu,😂
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 9 ай бұрын
Hivi kulikuwepo mwenezi baada ya polepole lkwasababu hatufungui tv ndoo maana leo nimefungua
@user-pd2tn5ok1d
@user-pd2tn5ok1d 8 ай бұрын
Kakonda njoo singida tukupe kero zetu
@salehehussein5560
@salehehussein5560 8 ай бұрын
makonda nenda tanga kuna wanyonge wengi sana wanateseka
@StevenLindi
@StevenLindi 8 ай бұрын
Kama wewe tajiri utamsaidiaje?
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 9 ай бұрын
Magufuli aliwagunduq ccm wenzie ni wajinga vya kutosha,aliamua kununua viongozi kutoka upinzani.Hivi kweli makonda naye anakuwa kiongozi?
@augustinonestorysasi3683
@augustinonestorysasi3683 8 ай бұрын
Msizombe watu kweyemikutano yenu!!
@user-eb2gw5ic2q
@user-eb2gw5ic2q 8 ай бұрын
Makinda magufuli na charamila bashe Hawa wanafanya kazi mungu awabariki mama naomba umurudish bashe kokote alipo
@ErnestJames-vv1dn
@ErnestJames-vv1dn 8 ай бұрын
hata ww hawatakuchelewesha una mda mfupi sanaa ww
@user-uk8xj9br9c
@user-uk8xj9br9c 9 ай бұрын
Kunalushwa,kuhusu,nida,mafinga
@bujikujacksonmudo3677
@bujikujacksonmudo3677 8 ай бұрын
Jamani MAGUFULI WETU KARIBU TENA
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 8 ай бұрын
Wewe ksyibu nijrmbe sasa watu wana imani name kuoata huduma za jamii kwa nini?
@user-wb8cj3bm4w
@user-wb8cj3bm4w 8 ай бұрын
Moto Wamskonda
@user-kd9dc4li7f
@user-kd9dc4li7f 9 ай бұрын
Muheshimiwa Raisi samia sasa Una Fanya nini kumludisha mtu kma Uyu ktk uongozi yy mwenyewe hanakashifa kibao za Ufisadi ktk Utawala wa mwenda zake sasa ww Unamludisha ktk chama navilevile Kesha haza mmbo yake ya kuzalau wenzake
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 9 ай бұрын
Acha uongo wewe kelele za chura hazimziwii tembo kunywa maji bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
@PaulMahona-le6dz
@PaulMahona-le6dz 9 ай бұрын
Acha jembe liwalime mafisadi nyie.
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 8 ай бұрын
Kwani Samia hakuwepo kwenye huo uongozi? Samia ndo alikuwa makamu wa raisi sasa kama Magufuli alikuwa na kashifa kashifa hizo hata Samia na viongozi wote ni zao hivyo jaribu kuwa unafikiria.
@fransiscoaltimon4564
@fransiscoaltimon4564 8 ай бұрын
Si kwa bibi huyu tu viongozi karibu wote ni wapora ardhi ni kilio Kila kona
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 64 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН