Mchekeshaji ambae unachekesha kila lika ya watu kwasababu uchekeshaji wako siyo wa kutukana appreciate bro
@dorahmushi-we6ts6 ай бұрын
Kweli kabisa kuna yule mrefu mwembamba, jamani mh!! Cjui kalelewa wapi!!!
@Timoclement16 күн бұрын
Dah! Nimerudia hii mara nyingi sana na lazima nimtumie mama pesa ❤
@yosouphatmohamed74684 күн бұрын
Eliud anakipaji tu anashekesha papoose kwa papo hakuna maandalizi 😂😂😂
@agogomgagagigigogo6 ай бұрын
😂😂😂yaan kiukweli Eliud ndo comedian bora nchini japo watu wana mahaba na Leonardo hatukatai ni mambo ya nyota kuzidiana but huyu jamaa ni zaidi ,yaan kipindi kimeisha kwa yeye na mama tu bila kuja na alichokitunga huko na watu wamecheka kuanzia mwanzo mpaka mwisho😂😂😂
@neemamasimba29815 ай бұрын
Hakika , Eliud anatisha sana
@dorahmushi-we6ts6 ай бұрын
Wenye mama zao jamaniiii, Mungu azidi kuwatunzia, cku izi nimeona sana vijana wakijivunia mama zao.❤
@godfrey402556 ай бұрын
bro unajua commedy hakika tena ya kistaalab salute kubwa
@dorahmushi-we6ts6 ай бұрын
😂Anajiheshimu, anawaheshimu wasikilizaji wake wakubwa kwa wadogo, hatumii maneno machafu..kama yule, Mungu azidi kumuinua.
@vitalesjoelkabonda13936 ай бұрын
A very talented stand up comedian, hata hatumiii nguvu lakini watu wanavunja mbavu
@partypatriez48716 ай бұрын
Eliudi best comedy 😂😂
@elbaricktv16325 ай бұрын
Eliudi anapenda sana manguo ya rangi ya kiini cha yai la kuku wa kienyeji😂😂
@Nyanda5064 ай бұрын
Jamaa ameleta challege kubwa sana ..😂😂😂😂hongera sana
@semanajmv6 ай бұрын
Nani kama Mama. Umenikumbusha mama yangu, I owe her something
@AnnaSilivester-gh3ufАй бұрын
This is so funny brother 😂😂, May GOD go before you 🙏❤️
@BabrayKharfani6 ай бұрын
Umetisha sana kwanza kuikataa.nyimbo.ya.babalao yani nobody is perfect saruti sana bro hii.from.cap town Ina.mawakubalisana
@ThereziaApendeki20 күн бұрын
Unampa Mia tano mama wa mwenzako 😂😂😂😂
@medeljoram53256 ай бұрын
😂😂😂 💥💥💥💥 Unajua Saanaaaaaa! A blessed child 🎉
@AshaMwamba6 ай бұрын
Mungu Akita kukupa akuandiiki baruwaaaa
@JustineKakole22 күн бұрын
Eliud apewe maua yakeeeeeeeeeee, mwamba anajua, MUNGU wa mbinguni ambariki sanaaaaaa🙏🙏🙏
@MteuleMabuku6 ай бұрын
Kiongozi SAM ELIUDI, Nakutafuta
@SophiaZabron6 ай бұрын
Mungu akubarik sana kaka kwa Kaz nzur jaman❤❤❤❤
@MoreenMichaelmichael6 ай бұрын
😂😂😂😂et mnacheka mama wa mwenzenu
@minaelnathanael18466 ай бұрын
Watanzani ka! Yaani hii ya kijanja hovi comments ni chache hivi haaa. GONGA LIKE NA GOTI LA MAMA hapa
@Onesmoboyz6 ай бұрын
🎉🎉hii nzur sana 🎉❤
@lovenessmahawa667127 күн бұрын
Mungu akubariki eliud alaaniwe yule aliyemtupa mama yake
big up sana bro!!!!!Ndivyo tunapaswa kutoa Shukrani kwa wazazi wetu
@alfredymalata26914 күн бұрын
Mnacheka mama wa wenzenuu😂😂😂
@margaretnyamwilahila2928 күн бұрын
MUENZI MAMA. WELDONE. SIYO KINA WAIMBAJI MAPEPO!!
@MwaminiKifyasiАй бұрын
Nakukuba eliudi natamani siku nikuone live
@RynoFiree6 ай бұрын
Sauti inakua chini haisikiki vizur Kaka Eliud
@timothtimoth10382 күн бұрын
NA hapo anawachekesha wafanyakazi wenzie😂
@Iampanther_6 ай бұрын
Kuangalia show za eliud😂🎉it’s worth it
@DoraZacharia6 ай бұрын
Daah mpaka nmelia sana kaka uko vzr jmn
@nathanmmasi38906 ай бұрын
Uyu eliud Mungu anamuana mpumbavu kweli yani 😂😂😂😂😂
@happnesskitumbo57134 ай бұрын
Wivu huo
@Shemahonge-ku7xx3 ай бұрын
😂😂wewe nichizi vibayaa
@GervasMalimiАй бұрын
Nimefulahi nimecheka na nimelia pia ❤
@BLACK.ANGEL_586 ай бұрын
Mnacheka mama wawenzenu😂😂
@omarymnuru87466 ай бұрын
Sauti iko chini sana
@israeluronu99586 ай бұрын
Mnafanana hadi kucheka jmn😂😂😂 raha sana
@fatmamrihani68286 ай бұрын
Mimi ilo busuu lakoo tuuuu😂😂
@NuruNgolle6 ай бұрын
Mungu usimusche kakaangu ndio nguzo yako.kumbuka nilikuandikia toka mko kugombaniana no
@Elshadaiconsolateur6 ай бұрын
Bwana mkubwa Eliud tuko pamoja huku DrCongo
@nicodemshello1636 ай бұрын
Umeonyesha Upendo mkubwa Kwa mama HONGERA KIJANA
@martinemayunga23575 ай бұрын
Unajua sana mwamba
@janethmarealle35945 ай бұрын
Hadi raha
@bukurufreddy286 ай бұрын
Mze wa story za mama hahahahaa yani wwe tutakusikiya sanaaaa Kama kilasa angaliki hayi Mungu ampe Maisha marefu Mama yako ni big Bland Anajuwa linda Bland @Yere mmi nishabiki yenu wwe na mama😂😂😂😂😂
@jacqlinemaganiko51086 ай бұрын
wow!🥰
@JasinthaAlex6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@getrudezawadi1846 ай бұрын
mnafanana sana
@NshomaSayi6 ай бұрын
eliuid mbavu zangu😂😂😂
@صفوابنتسعيدباوافد2 ай бұрын
Huyu kwenye filamu ile ndio alichekesha sana nimeanza kumfatilia
@TheRealAguu_Official_tz4 ай бұрын
AMEN
@GevasiZabroni5 ай бұрын
Bro me mchekeshaji ningeomba company yako
@franccoz946 ай бұрын
Eliud😂
@jaxjaxon88386 ай бұрын
Eti analia😢
@elikindomondo35696 ай бұрын
kaka eliudi una tuuwa mwaka huu dah
@FazohMedia6 ай бұрын
Sauti ipo chini sana
@theogeorge37736 ай бұрын
K.K.K -Kyimo Kijiji Kitulivu
@richardsesa74946 ай бұрын
Eliud kilasiku tunamwona mama je baba yukowap
@more_hundreds_TV6 ай бұрын
Nipateee likeee namm
@gideongerald28466 ай бұрын
👍👍👍
@masangalitz6 ай бұрын
WEWE MUUNI HAPO NDIO UNACHEKESHA HIVYOOO 😁😁😁😁😁😁
@craty_016 ай бұрын
Daaah Rest In Peace mama
@TetekoOg6 ай бұрын
Eliudi we bro unajua natak ck Moja niwe kama ww
@JacksonRungwe6 ай бұрын
Like zangu jamani leo nimekuwa wa kwanza
@RooneyYohana6 ай бұрын
Yaan eliud hahahhaha tunakupenda
@festusbokoro16156 ай бұрын
Kama hutaki kutoa Hela Siri ni Moja tu uchukue video ama ucheke Sana
@EdwinMedson6 ай бұрын
If you have mother do samething for her
@edsonisrael89966 ай бұрын
Nunueni camera yenye HD mnaboaa
@benshark32126 ай бұрын
Hata wakodishe tu
@BLACK.ANGEL_586 ай бұрын
Nunua simu nzuri bby😂😂
@SamuelGervac3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 roho@@BLACK.ANGEL_58
@Ellybeny6 ай бұрын
😅😅😅😅 ❤❤❤❤
@justinmganiwa27906 ай бұрын
Naona kaona dawa ya mkopo
@luluray21156 ай бұрын
😂😂😂
@HASSANBAKARI-q9c6 ай бұрын
mi sijasikia nisiwe mnafiki
@irenekarume14706 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Lizzyktd6 ай бұрын
😅😅😅😅
@MarckyCholla17 күн бұрын
Like mum like son
@noahmadali71506 ай бұрын
Sauti mbovu video quality mbovu shida nn cjui
@Qnn_iy6 ай бұрын
Kwani nyie mnatumia simu gani?
@Qnn_iy6 ай бұрын
Labda simu zenu
@noahmadali71506 ай бұрын
Kher uko ulimwengu gan ndg
@BLACK.ANGEL_586 ай бұрын
Simu Yako bby😂😂😂
@kahenatz35946 ай бұрын
Sadaka buku unatunza comedian 100,000
@geofreyexaut58626 ай бұрын
Uwezi kutuchagulia moyo wa mtu
@geofreyexaut58626 ай бұрын
Wako wanaopeleka 100000 kanisani home watoto awana chakula
@JohnMadusa6 ай бұрын
Hahahhahahahah ukwel mtupu
@more_hundreds_TV6 ай бұрын
Ww unatoa tsh ngap
@anuaryyusuph97056 ай бұрын
hiyo sadaka haina kikomo hata mia inafaa pia komed chochote ulicho nacho sasa hivi manbii mmekua fek we mpaka airin woya ety ni pasta hizo sadaka atatoa nani na watu wanajua ni mpigaji au anaigiza ili apate pesa