#LIVE

  Рет қаралды 2,261

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 6
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 12 сағат бұрын
Hao viongozi wanao gawana hizo pesa ni wateule wa Rais wana lindwa ukiona mtoto wa simba ujue mama na baba hawako mbali Mpina uko vizuri lakini kuna msema wa waha wanasema Muha mmoja havunji soko.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 12 сағат бұрын
Daah nipo nawe Mpina, Mungu akupiganie kiongozi.
@Aliymohammdi
@Aliymohammdi 13 сағат бұрын
Kaka tuko pamoja tunajuwa utapambana na wapiga diri ambao walitumbuliwa na magufuli ambao wamerudishwa baada kufa magufuli kaka mungu akutangulie
@gidongailo7174
@gidongailo7174 5 сағат бұрын
Kwahiyo tuendelee kuhujumiwa kwa kibali cha mahakama yetu😢😢
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 11 сағат бұрын
Unafaa kuwa chadema huko uliko hahufai
@nyembobea7285
@nyembobea7285 42 минут бұрын
Umeamua kutrend mpaka wakati wa uchaguzi utakuwa na wafuasi wako unapambana na bashe mtetezi wa maskini waliokuwa wanauziwa sukari kwa bei ya juu kapunguza bei wewe unamshambulia inamaana wewe ulikuwa unapenda tuuziwe sukari kwa shilingi elfu saba mpaka elfu kumi wewe kutwa uko busy na bashe humuwezi huyo genius
Kinagaubaga: Tundu Lissu azungumzia hatua ya kuvuliwa ubunge
9:46
DW Kiswahili
Рет қаралды 92 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 3 МЛН
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 7 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18