#LIVE

  Рет қаралды 16,848

Chama Cha Mapinduzi - Official

Chama Cha Mapinduzi - Official

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 11 ай бұрын
Japo simpend CCM Ila makonda nampenda sana
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
Big up MR. MAKONDA, SIASA NA MATENDO
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 11 ай бұрын
Mungu Akisema ndio Nani akataeeee❤ piga kazi Makonda.
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 11 ай бұрын
Hongera kwako mama yetu mpendwa kumuweka Makonda, kwa kweli jamaa amechangamsha! Ccm mbele kwa mbele.
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 11 ай бұрын
In sha Allaah watafanikiwaaa wanyongeeee Allaah Amuhefadhi makonda kwa imani na use maji wa ukweliii…..na imani….yakee Alopewaaa na mwenyezimngu…..
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
Mama Amepata chombo cha kuinadi CCM, TUACHE UNAFIKI NAMKUBALI MAKONDA
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
RESTORATION in CCM Kweli CCM ina rasilmali watu, Makonda alikuwa reserve!! Hongereni CCM
@CharlesSomeke-s2d
@CharlesSomeke-s2d 11 ай бұрын
No 1 kukoment
@telesphoramtenga569
@telesphoramtenga569 11 ай бұрын
yupo vizur tumpe big up
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 11 ай бұрын
Makonda ni kijana imara sana nampongeza
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 11 ай бұрын
Safi sana makonda
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
CCM sasa imepata MSEMAJI, VIVA CCM!!
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 ай бұрын
Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kanoa645
@kanoa645 11 ай бұрын
Washikaji wanaumia sana maana walidemadema na KUSEMA kumbe waliishiwa mafuta
@hajudocompanylimited7996
@hajudocompanylimited7996 11 ай бұрын
Good Job
@MwinyiBwanga-i3l
@MwinyiBwanga-i3l 11 ай бұрын
Chuma hicho kaka Hana unafiki huyo ni mtu kwer kwer mungu ambariki sana sana
@kanoa645
@kanoa645 11 ай бұрын
Amefunika haswaaaaa, kweli huyu wa kuombea.
@doctarhanda
@doctarhanda 11 ай бұрын
Chama kimechangamka
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
Kwa moto huo, AM PROUD OF C CM
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 11 ай бұрын
Kweli wewe ni Mteule wa Mungu.. Zee JEMBEE AT WORK 🎉🎉🎉
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 11 ай бұрын
Hata Mimi ccm siipendi ila zamani wakati wa jpm nilipenda japokua sijawahi kua ccm nawapenda watu wachapakazi km makonda sabaya polepole ndipo namuona jpm najua muda wa mungu umefika kukombolewa wanyonge
@al-bashirclinic3326
@al-bashirclinic3326 11 ай бұрын
Fact
@borysaronge1493
@borysaronge1493 11 ай бұрын
Makonda mmoja ni sawa na mawaziri wangapi?
@amirially750
@amirially750 11 ай бұрын
1000
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
This is C C M!!!
@husseinkadawa2846
@husseinkadawa2846 11 ай бұрын
Hii ndio maana halisi ya chama kuisimamia serikali.
@margaretjoseph6501
@margaretjoseph6501 11 ай бұрын
👍
@BahatiKweli
@BahatiKweli 11 ай бұрын
Huyu ni kiongozi, tuache ubabaishaji, anastahili nafasi ya uwaziri mkuu
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
No hurry, mdogomdogo CCM ni. moto
@kanoa645
@kanoa645 11 ай бұрын
Jamaa walishatishia amani duh, Makonda hapo umenena, kumbe ccm ina hazina duh
@ntegrity277
@ntegrity277 11 ай бұрын
Tatizo la Makonda ni dharau yaani anajiona mjanja mno! Yaani kama Makonda angesoma straight akawa na vyeti duh! Hapo ameungaunga ila Sasa noma Makonda komaa
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
Great
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 11 ай бұрын
Pole sana kiongozi
@mussataliye7815
@mussataliye7815 11 ай бұрын
Kisukuma sio lugha ya taifa
@mussataliye7815
@mussataliye7815 11 ай бұрын
Watu tupo jijin na hatuna umeme
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 11 ай бұрын
Kwani kuunga unga sio kusoma acha wivu wapo maprofesa wapo walianza la saba
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 11 ай бұрын
Na maana hao watendakazi wa serikari mpaka wakumbushwe ndio maana tunasema CCM wamechoka ona uozo wote huo walikuwa wapi siku zote hizo
@hamisirugai2528
@hamisirugai2528 11 ай бұрын
Inauma sana
@MnubiMm
@MnubiMm 11 ай бұрын
Inaonyesha ni jinsi gani hujui ukubwa wa eneo na taratibu za utawala ndio maana unasema tu CCM CCM wameshindwa
@rossemissusomuchmjsungura8890
@rossemissusomuchmjsungura8890 11 ай бұрын
Safi sana makonda
Oppenheimer Generations Research & Conservation Live Stream Day 2
8:43:21
Oppenheimer Generations Research & Conservation
Рет қаралды 886
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН
East Side High Homecoming 2024 Slide Show #estside #cleveland #mississippi
31:40
TAZAMA FAHARI NA FURSA ZINAZOPATIKANA MPANDA MKOANI KATAVI.
12:29
MAKAZI MPANDA
Рет қаралды 7 М.
RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA BUSISI MKOA WA MWANZA
14:52
Chama Cha Mapinduzi - Official
Рет қаралды 8 М.
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Anania Junior
Рет қаралды 8 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН