Пікірлер
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 7 күн бұрын
Hatimae leo wana jeshi wamepokea amri kutoka kwa raia wa singel
@AishAish-t1s
@AishAish-t1s 7 күн бұрын
Allah alinde nchi yet tz
@AishAish-t1s
@AishAish-t1s 7 күн бұрын
Mfaidi wezetu
@ZakayoRobert-v7x
@ZakayoRobert-v7x 12 күн бұрын
mama yetu
@marwarichmarwa9951
@marwarichmarwa9951 14 күн бұрын
Unyama sana
@saidkihongwe8199
@saidkihongwe8199 15 күн бұрын
SSH
@HARMONITZ
@HARMONITZ 16 күн бұрын
Kuweni makini basi 2025 tupeni mchakato wa kumchagua tunae mtaka mambo ya kusema mgombea yupo hatutaki, mdai kuwa amalize miaka kumi kwani nani nani alimchagua na kama tulimchagua kama makamu basi walikuwa wote tangu 2015 sasa miaka kumi imekamilika au ninyi hamuoni. Tunaipenda nchi yetu 2025 iangalieni kwa makini kama 2015 ilikuwa msuguano vile tena kwa Jembe wetu hapa kazi tuu, hivi mnatazamaje 2025 tuna taka kiongozi kama JPM tunajua mnajuana tuna mtaka kama hyo mwenye uthubutu na kutupa ujasiri wananchi.
@user-mn5qx4ze8c
@user-mn5qx4ze8c 23 күн бұрын
MAMA UNAMUACHA UMIY MWALIM HANA TATIZO LOLOTE MIMI NGOSHA KUTOKA SHINYANGA
@uzimajustinmilele4685
@uzimajustinmilele4685 24 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@blessingmuyambo908
@blessingmuyambo908 Ай бұрын
Mama Nakupenda sanaa ❤ Rais wetu ❤
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 Ай бұрын
Tunashauri Maeneo Dodo ni makubwa na mapana kwani kujaza kila kitu eneo moja tu. Hapo ni vyuo, Jeshi , uwanja wa mpira, mahoteli, makazi, stand Kuu, Soko kubwa, nadhalika na kadhali ukiacha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, wapanga miji wangesaidia kushauri ili huko mbeleni tusisababishe misululu mirefu ya Magari! Mji wa Dodoma ulikuwa na ramani nzuri kabisa toka awali sasa waharibifu na wabinafsi wanaweza kuuharibu kwa kutotoa ushauri wa mpango mjini kwa kuwa na nidhamu ya woga na ubinafsi usiokuwa na tija ya kuwajali watanzania.
@robertmarwa3035
@robertmarwa3035 Ай бұрын
Unampeleka mh Rais eneo la wazi hakuna mradi then mnapiga porojo 😮
@BalverHamad
@BalverHamad Ай бұрын
Vizur San rais
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
Lushoto na Amani muheza Tanga zako nyingi hiyo Road. Ni kazi nzuri.Amen
@mansooranam831
@mansooranam831 Ай бұрын
Viva mama❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Ай бұрын
Na vile vidaraja vidogovidogo navyo tayari vimejengwa?
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 Ай бұрын
Mamaaaaaa huyoooooo!!!! Asante kwa kutukumnuka Dumila kwetu Mungu akupe afya njema na USHINDI katika yote ❤❤❤❤❤❤
@mkiwacomedyplus6720
@mkiwacomedyplus6720 Ай бұрын
Mimi nimejiandikisha na nmejaribu kulipia ada kwa mwaka mzima lkn imegoma nmeshindwa kuelewa naomba nisaidiwe n kwann
@mjombasinye3511
@mjombasinye3511 Ай бұрын
😂
@Ba63828
@Ba63828 Ай бұрын
Well-done
@Ba63828
@Ba63828 Ай бұрын
Hivi ni sawa kwa mwanasiasa kusimama mbele ya hadhara na kudai kuwa mawaziri wote ni wezi na asichukuliwe hatua za kisheria? Au ina maana CCM ni dhaifu sana kiasi inawaogopa akina Lema?
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Ай бұрын
Wattoto wadogo wanazalishwa miaka 14--18 serkali haichukui hatua yeyote na CCM inaona Sawa tuu Watoto wa shule kuzalishwa wakiwa na umri mdogo. Huku ndio kunaitwa kushoka kwa CCM labda inatakiwa Nguvu nyingine ya kubadilisha mambo na mitazamo.
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd Ай бұрын
Wamejitahidi sana kuwabeba watoto wa mashuleni
@robertmarwa3035
@robertmarwa3035 Ай бұрын
Daah nimemis library yetu jamnii penda TTC sana❤❤❤
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Ni ufisadi tu hii awamu ya sita
@proffessaPHB
@proffessaPHB 2 ай бұрын
Mmmh
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga 2 ай бұрын
😢
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹
@Ba63828
@Ba63828 2 ай бұрын
KARIBU CHAMA KUBWA MTANI UPUMUE NA KUACHANA NA UDIKTETA
@laurentndichaye1445
@laurentndichaye1445 2 ай бұрын
Nafurahi Kwa mwonekano WENU pia nafurahi kuwa mwana CCM.Msigwa karibu CCM..
@HalimaMtindi
@HalimaMtindi 2 ай бұрын
Hongereni sana wajumbe nyumbani kunogile
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju 2 ай бұрын
Mimi nahitaji
@saeedally268
@saeedally268 2 ай бұрын
Ccm mpo hovyo sana
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Mikopo.inafisi.inchi.sinawafaa.nyinyi.ccm
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Miaka63.bado.ngonjera.barabara.vinevyo.kila.siku.yaleyale.wamechoka.uunyamazo
@jonathansam4159
@jonathansam4159 2 ай бұрын
J
@Teen_boy
@Teen_boy 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iobcfIObjJKIjMksi=ucoyUmHzTTNc7shb
@Teen_boy
@Teen_boy 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iobcfIObjJKIjMksi=ucoyUmHzTTNc7shb
@Teen_boy
@Teen_boy 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iobcfIObjJKIjMksi=ucoyUmHzTTNc7shb
@GeladChrizant
@GeladChrizant 3 ай бұрын
Naomba namba ya mkuu wa chuo
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 3 ай бұрын
Kazi iendelee
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 3 ай бұрын
Mhe Rais Samia naomba ukutane na wafanyabishara wote nchini ukirudi kutoka ziarani ili mweke sawa ishu ya kupanda kwa bidhaa na vyakula mfano bei elekezi ya vocha ni mia tano ila kwa sasa wanauza mia sita
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Tunakuomba Makamu ufanye nonstop tour ya nchi nzima mambo mengi yanayofanywa na Rais yanapotoshwa sana na wapinzani ikiwemo safari za nje za Rais
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Hizo ziara ziwe nonstop wapinzani hasa Lisu wanapotosha sana sana. Wanacheza na uwelawa mdogo wananchi wa kawaida
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Kuna umuhimu kuzunguka nchi nzima kwa nyie viongozi kufafanua juu ya ziara za Mama msiishie kuitisha vyombo vya habari tu.
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Safi sana Chadema orukuruku
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Tuboreshe mitandao yetu. 384 views in 22 hours ni kiduchu sana
@user-bq6cn9pq6t
@user-bq6cn9pq6t 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@Ba63828
@Ba63828 3 ай бұрын
Hizo sala zenu zinamaliza vifurushi
@stamilinchambi2602
@stamilinchambi2602 3 ай бұрын
Usajili was kadiyangu