Kwa hili tatizo ni bora kuwashtukiza. Bila hivo atapangwa na watasafisha mazingiza mkiondoka majanga ni palepale nendeni kwa kushtukiza
@HadijaJoseph-d1g2 күн бұрын
Da hatali sana Yani family tu mkitengana baba mama watoto wanakosa mwelekeo
@OfficialA83640Күн бұрын
Wazazi kuachana tunawapa shida sana watoto lkn yote hata nyie wanawake mnaokuja kuvunja ndoa za watu Mungu awaalaani sana maana nyie ndy chanzo cha watoto kukosa malezi bora. Naongea kwa uchungu yamenikuta na nakerekwa mno ila Mungu yupo yatakwisha tu acha tutafute hizi furusi tupate pakujihifadhi 😢
@saudalilingani92642 күн бұрын
Mungu azidi kuilinda global
@saudalilingani92642 күн бұрын
Hakika chanzo kikuu ni kuachan wazazi ni ATHARI KUBWA KWA WATOTO
@mwajumasaid73062 күн бұрын
Dah pole sana ila kosa kubwa mlilofanya kumuacha mtoto kwa baba yake hali ya kuwa alikua bado mdogo sana hata ingekuaj ilikua s kumuacha mtoto kwa baba yake wa mwaka na nusu
@SalihaMwezingo2 күн бұрын
Jamani wakina mama tukiachwa tuondoke na watotwetu anae toa rizki nimungu
@omanoman2044Күн бұрын
Kabsa wallah
@HadiaAme-x5fКүн бұрын
Ndo kuachana kulivo ivo
@ceomomtzКүн бұрын
Mimi najiuliza nimesikia aliacha mtoto toka akiwa na mwaka na nusu? Halafu anasema mashuks nanunua mimi, nguo nanunua mimi? Hivuo hafurahii kutoa matunzo ya mtoto? Huyo mama naye ana tatizo. Kama alimuacha miaka yote hiyo? Na huko shule ya kulala wanafikiria bila kufuatilia atasoma.
@ZeyanahamedRashid2 күн бұрын
Hiio yote mtt kakulia maizngira mabaya ikampelekea huko anatakiwa awahiwe
Uwache uongo weye kaka hivo unavosema ni shamba huko wala usizuwe kusema wzanzubar kwa sababu wapo karibu na bahari ndio hawasomi uongo huyajui maisha ya znz bora huko kuloko nyie bongo darasa la 7 mbimba au kishazaa uongo znz wengi wao wanasoma labda hawana uwezo tu acha uongo wee kaka
@Shuu.A2 күн бұрын
Zanzibar wanasoma kuloko nyie kule hakuna darasa la 7 fom2 or fom4 ndio kamaliza skuli na wengi wanajiendeleza wenye uwezo wanasoma sana bongo kazi yenu mimba tu acha uongo kaka kudharau wznz ukome
@Shuu.A2 күн бұрын
Wabongo mnajifanya mnasoma mnakisoma nini kuzaa darasa la 7
@omanoman2044Күн бұрын
@@Shuu.Akwan nuie hamzai ni nora tunao zaa kuliko nyie mnao toa mokundu ok stupid woman
@saudalilingani92642 күн бұрын
Mungu azidi kuilinda global
@saudalilingani92642 күн бұрын
Hakika chanzo kikuu ni kuachan wazazi ni ATHARI KUBWA KWA WATOTO
@JennyMdaki2 күн бұрын
Sanaaaa
@saudalilingani92642 күн бұрын
Hakika chanzo kikuu ni kuachan wazazi ni ATHARI KUBWA KWA WATOTO