NIMEKUTANA NA MUME WANGU ONLINE | WAZUNGU WAISLAM WAPO WENGI

  Рет қаралды 5,180

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@SamiraMakame-w9c
@SamiraMakame-w9c 2 күн бұрын
Da hawa masha Allah nimependa imani yake na shemela mungu akujaalieni kizazzichema amin
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 7 минут бұрын
Maashallah mashallah mashallah hongera sana Allah akuongoze mwengine hapo angevua ushungi kisa mzungu
@mayisarakarire7104
@mayisarakarire7104 2 күн бұрын
Final leo kaja mwenye ameolewa na mzungu mwislam Allah awajaze baraka tele maashaAllah ❤
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi Күн бұрын
Alhamdulillah Rabbil Alamiina SOO good MashaAllah
@thrillthings
@thrillthings Күн бұрын
Hawa yuko soo sweet Mashallah . Hongera kwa Ndoa
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 2 күн бұрын
Hi Shenna and all my Sisters. Kuna hii inayoitwa Amolatina...@ Shenna I believe wewe unaoweza kuitazama na kutuchanua zaidi, maybe nayo ni KAUSHA DAMU...Naona iko na watu wenye kujielewa BUT haimaanishi haina SCAMMERS or UNSERIOUS people.... Guys You have to be Careful na uchanuke akili... Kaa Rada....
@QaisqaisQais-s2z
@QaisqaisQais-s2z Күн бұрын
MashaAllah nakutakia kila la heri ddngu wenzako wengi hiishi mbali na dini yao ila wewe mungu akujalie uniambie dini yako
@halimahassan3031
@halimahassan3031 Күн бұрын
Mashallah.. Barikiwa Sanaa Hawa na hongera sana Shenna kwa kazi nzuri barikiwa, Jana ulisema Kuna tuzo unashiriki mimi niko nje ya Tanzania, tunapiga Kyra vipi? ❤❤❤
@thewarriorgirl255
@thewarriorgirl255 17 сағат бұрын
❤❤❤❤
@RoseMafuru
@RoseMafuru Күн бұрын
Story nzuri sana,
@TatoIssa-w3q
@TatoIssa-w3q 12 сағат бұрын
Mashallah Hawa.oma
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Күн бұрын
MashaAllah Hawa 🤲
@safiam5338
@safiam5338 Күн бұрын
Mashallah🎉
@AnnMariam-g5e
@AnnMariam-g5e 2 күн бұрын
Asante sana ....
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya Күн бұрын
Manshallah
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 2 күн бұрын
Leo nimecheka asante Hawa🎉❤
@mariamtumwebaze389
@mariamtumwebaze389 2 күн бұрын
Manshallah ❤❤❤❤
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 күн бұрын
wabongo sisi kila kitu twasubiria tufanyiwe mwenzenu kapambana
@stellamrema8994
@stellamrema8994 9 сағат бұрын
Ulijiunga site gani
@ZulfaMazani-lb9oe
@ZulfaMazani-lb9oe 9 сағат бұрын
Amesena muslima
@cynthiaAndrew-ww5rh
@cynthiaAndrew-ww5rh 5 сағат бұрын
Quarantine 😅
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 2 күн бұрын
Mashaallah
@LinahRwambali
@LinahRwambali Күн бұрын
Mamdogo apewe maua yake❤
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 22 сағат бұрын
Nataka nb yako pls
@elishajustine28
@elishajustine28 2 күн бұрын
@shena Nmempenda huyu dada swezi kuishi bila yeye😂😂😂
@rahamahingika9719
@rahamahingika9719 2 күн бұрын
leo na mm nmewah kipnd cha online maana kila siku napata update za download
@Beth1318
@Beth1318 22 сағат бұрын
Duh, ila da shena kupata mwenza kwenye dating app ni ngumu sana yaani ni kama wengi wana mental issues, yaani mtu mnachati vizuri anakuomba namba unampa, anakuomba picha yako unampa ,baada ya kumpa picha unaona hakusemeshi tena na wakati alikuwa anakusifiya😂😂😂 ivi kuna yoyote hii hali ilishampata?
@halimahassan3031
@halimahassan3031 7 сағат бұрын
Yaani ndio hali ilivyo 😂😂
@SiabaFadhili
@SiabaFadhili 2 сағат бұрын
Itakua yuko chechenia
@AllySwalehe-l9d
@AllySwalehe-l9d 2 күн бұрын
Da shena naomba ufanye inteview nyingine na hawa maneno mengine atusikii haswa hizo dating anazosema
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 күн бұрын
acounti ya dada hawa ipo wapi?
@being_niimah4983
@being_niimah4983 Күн бұрын
Rustam Aibazov
@fatmaawfi8134
@fatmaawfi8134 21 сағат бұрын
@@being_niimah4983
@lovenessmallya816
@lovenessmallya816 2 күн бұрын
hiyo kutapeliwa tuko wengi tumerudishwa nyuma sanq
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi Күн бұрын
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@goka_foreal5868
@goka_foreal5868 11 сағат бұрын
Nami nataka mwanamke wa kizungu
@Lifestylefoodbusinessidea
@Lifestylefoodbusinessidea Күн бұрын
Account yako KZbin inaitwaje
@Catlover496
@Catlover496 Күн бұрын
Rustam Aibazov nimesikia hivyo
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 күн бұрын
mwenyezimungu aidumishe ndoa yenu
@SarahLuto
@SarahLuto Күн бұрын
Kuna wakati hua nataka kukataa tamaa lakini kila nikiangalia video zako da shena hua nasimama upya
@aysheraden7718
@aysheraden7718 Күн бұрын
Mbona hujaweka account yake ya KZbin tumtizame na yeye
@Catlover496
@Catlover496 Күн бұрын
Nimesikia jina Rustam Aibazov
@YonnahKokan
@YonnahKokan 2 күн бұрын
Vipi shena mulize hawa schengen visa unapataje? Na yeye anatusaidiaje kupata kazi yeyote urusi na ulaya kwa uhumla?
@Realhope-x5p
@Realhope-x5p 2 күн бұрын
Ni kweli warusi ni wakarimu sana, watu wanapokea taarifa za uongo juu ya warusi. Mimi naishi huku sijaona ubaya wowote juu yao hata hizo habari za vita ndani ya Urusi ni propaganda tu, watu wanaendelea na shughuli zao kawaida
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 күн бұрын
ndugu yangu tatizo watu hawatembei tanzania kwa hakuna watu wabaya kila sehemu kuna watu wazuri na wabaya
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 күн бұрын
Raha sana kuwa na mama unaeweza kuongea nae kwa uwazi haswaa mambo ya kudate. Maana wamama wa kiafrica mtihani.
@ghaosalsalum
@ghaosalsalum 2 күн бұрын
Mi nauliza kwani ukiolewa na ndoa ya kislam si lazima kuwe na mawalii au sio lazima
@thrillthings
@thrillthings 2 күн бұрын
MaShahida wawili wanaume + idhini ya mzazi (baba)Wa mke
@ghaosalsalum
@ghaosalsalum 2 күн бұрын
Sana kwaio sio lazima awepo na walii wako wa damu nimeelewa
@zakiakusaja8603
@zakiakusaja8603 2 күн бұрын
Bado mgeni mwezi mmoja huwezi kusema ni wazuri kaa nao kwanza
@halimahassan3031
@halimahassan3031 Күн бұрын
Sio mara ya kwanza, alikaa huko mwanzo ​@@zakiakusaja8603
@AmerAlamri-h7e
@AmerAlamri-h7e 23 сағат бұрын
Mashaallah
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Күн бұрын
Acheni umalaya mamaezenu
@shabanponera2895
@shabanponera2895 11 сағат бұрын
Bangi hazikufai bint!
@RoseMafuru
@RoseMafuru Күн бұрын
Story nzuri sana,
@Oman-p8x
@Oman-p8x 2 күн бұрын
Maashaallah ♥️
KUPATA MZUNGU SIO SULUHISHO | JITUME NA JISIMAMIE ILI KUEPUKA MANYANYASO
48:45
Official Dating Assistance
Рет қаралды 4,2 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
KAZI ZINAZOPATIKANA KIRAHISI USA KWA WASIOSOMA
6:24
Lilian travel
Рет қаралды 1 М.
ALICHANA PASSPORT YANGU | ALINITELEKEZA NIKIWA MJAMZITO KWENYE NYUMBA ILIYOISHA KODI
1:25:46