LIVE: MUNGU AKUINULIE MTU SAHIHI WA KUKUSHIKA MKONO // DAY 21

  Рет қаралды 6,013

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 228
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu akuinulir pia na wewe mtumshi mtu wa kukushika mkono katika maisha yako mwaka huu 2024🙌🙌🙌🙌
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 3 ай бұрын
Amen 🙏
@dorothyronald2445
@dorothyronald2445 5 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah pastor,asante kwa maombi haya,yamenibariki saana,Mungu asante kwa ajili ya mtumishi wako,Pastor Innocent,asante kwa madhabahu hii ya siri za Biblia.Asante Roho Mtakatifu kwa kuachilia neno hili.
@AdmiringBeachHammock-qv3nk
@AdmiringBeachHammock-qv3nk 5 ай бұрын
Pia nawe Mungu akuinulie watu sahihi wa kusimama nawe kwenye hio huduma aliokuitia kwa jina la Yesu
@ChekaSaidi
@ChekaSaidi 9 ай бұрын
Asante Mungu hulie hai Nipatie watu Saihihi Kutoka Kwako Nakamsupendavyo Wewe bwana
@feddrickmjomba6922
@feddrickmjomba6922 9 ай бұрын
Shalom mtu wa Mungu,nimejisikia kubarikiwa sana na maombi haya,Mungu wa mbinguni akubariki na madhabahu ya SIRI ZA BIBILIA.. KUMBUKA FLASH MTU WA MUNGU.. maombi haya ya mfungo huu yametujenga sana Kiroho.
@HenrietteHenriette-fo9jm
@HenrietteHenriette-fo9jm 9 ай бұрын
Niinulie watu sahihi , kwenye maisha yangu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 wabaya wote watoke naasha mulango wazi .
@StelaDaudi
@StelaDaudi 9 ай бұрын
Mungu wangu naomba uniinulie watu sahihi ktk maisha yangu 🙏🙏🙏
@odilialucas2430
@odilialucas2430 9 ай бұрын
Baba katika jina la Yesu naomba ninulie watu sahihi kwenye biashara,kazini,na watu watakao nishika mkono kiuchumi na naomba uniinulie mume sahihi 2024🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah
@JoyceGabriel2
@JoyceGabriel2 9 ай бұрын
Mungu naomba uniinulie watu sahihi kwenye maisha yangu 🙌🙌
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 9 ай бұрын
Amina watu wa Mungu, Mungu abariki siri za Madhabawo na Pastor innocent Mashauri uwezo wa Mungu uwe pamoja nawe ❤❤ We thank God for his grace today ❤
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 9 ай бұрын
Amen🙏🙏Haya na maombi ya haja ya Moyo wangu Mungu nikumbuke na mimi mwaka 2024,niinulie mtu sahihi katika kazi yangu na maisha yangu,mtu sahihi katika famila yangu,wazaziz wang,kaka na dada zangu,na wadogo zangu shuleni,mtu sahihi katika mahusiano yangu mimi na Evance,kazi ya evance ,na familia yake uinue mtu sa hihi.Amen🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
@evalynependo3824
@evalynependo3824 9 ай бұрын
Mungu nichoomba sai uniinulie mtu sahihi mwaka huu 2024,katika maisha yangu, mwanaume sahihi, marafiki sahihi, mwana biashara sahihi, katika jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏❤
@HellenaLupumbwe-he2mg
@HellenaLupumbwe-he2mg 5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥 amen🙌🙌🙌
@Diana-lf3nr
@Diana-lf3nr 9 ай бұрын
Exactly 💯🙌 mtumishi wa MUNGU wa madhabahu hii ya siri za Biblia ni sahihi kabisa kwa unacho kifundisha leo kwenye madhabahu hii asubuhi hii ya leo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 9 ай бұрын
Amina baba naomba MUNGU akaniinulie watu sahihi wakuambatana nao katika maisha yangu, amuinulie mume wangu watu sahihi wakuambatana nao , na uzao wangu YESU ukawainulie watu sahihi wakuambatana siku zote za maisha yetu watu wasiokuwa sahihi wakapukutike katika maisha yetu kwa jina la YESU Kristo wanazareth
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 9 ай бұрын
Ooohhh hallelujah BABA nilete niunganishe na mtu sahihi MUNGU nisaidie nipe hekima,maarifa na kuelewa 😭😭😭😭🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Ameen Jehova nakusihi Bwana wangu walio sahihi wabaki na wawe chachu ya mimi kukutukuza na kukuinua na wasio sahihi waondoke Jemedari
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Ee Mungu maombi haya usinipite katika jina la Yesu 2024 uwe mwaka wangu
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu akamuondoe mtu ambae si sahihi katika maisha yangu akamlete mtu sahihi katika maisha yangu katika mwaka 2024 kuanzia. Leo hiii
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 9 ай бұрын
Amen amen mtumishi wangu napokea neno
@MercylineGetuma
@MercylineGetuma 9 ай бұрын
Amen Mungu niondolee marafiki wasio na faida kwangu unipe mtu WA kuniinua🙏🙏🙏
@EstellaNshimirimana-up9jo
@EstellaNshimirimana-up9jo 9 ай бұрын
Amen amen,asante sana Mtumishi wa Mungu kwa kuwa munatuombea kwa kila siku nakututajia mema,Mwenyezi Mungu aniinulie mtu sahihi wakunifikisha mbali kwa kimwili na kiroho.Amen amen amen
@florencekwekwe1993
@florencekwekwe1993 9 ай бұрын
AMEN 🙏 Mungu naomba ukainue na kuniletea watu sahihi katika maisha yangu na kila asiyekua sahihi ukamuondoe kwa jina la Yesu Kristo
@Diana-lf3nr
@Diana-lf3nr 9 ай бұрын
Amen tunaishi na MUNGU wa mbinguni akubariki sana mtumishi
@sophiamwangi843
@sophiamwangi843 9 ай бұрын
Mungu naomba uinulie watoto wangu msaidizi wakumsaidia yesu😭😭😭
@amisakiza1538
@amisakiza1538 9 ай бұрын
Napokeya mtusahii katika kilaeneho yamahishayangu kwa jina la Yesu
@aminajuma1156
@aminajuma1156 9 ай бұрын
Ameeen niletee watu sahihi ambao sio Sahihi eeeh yesu naomba uwaondoe wote
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 9 ай бұрын
Ameen ameen baba naomba watu sahihi katika maisja yangu😢 nisaidie kupta mtu sahihi katika mahusiano yangu Mungu nipe mtu sahihi kwa kila.jambo nitakalofanya acha Mungu unitangulie
@MueniJudy-n9c
@MueniJudy-n9c 9 ай бұрын
Amen Niko Kenya mungu aninulie MTU Sahihi wakuninuwa kiwango cha juu katika biashara ya ngu amen mungu barikiwa
@condradanyoni6556
@condradanyoni6556 9 ай бұрын
Mungu aliyetuumba tuinulie watu wema kwenye maisha ya familia yangu tuwezwe kuwa makini katika maisha yetu ambao ambao wataweka maongezeko mema katika maisha yetu na milango ya mafanikio waingie kwenye familia hii roho ya Jonathan kwa daudi iingie kwenye familia yetu
@annafimbo5917
@annafimbo5917 9 ай бұрын
Amen mtumishi nawe pia Mungu akuinulie mtu sahihi wa kukushika mkono barikiwa
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Ee Bwana wangu na Mungu wangu nikumbuke Jehova Nissi
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 9 ай бұрын
Mungu wangu naomba uniinulie mtu sahihi kwenye maisha yangu 🙏🙏🙏
@JacksonMsafiri
@JacksonMsafiri 9 ай бұрын
Eee MUNGU naomba unipe watu sahihi wakunisaidia katika maisha yangu biashra yangu na mume sahihi
@annaurembo4544
@annaurembo4544 9 ай бұрын
Bwana YESU naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 9 ай бұрын
Nmepokea mtu sahihi Kwa Imani na Mungu akubariki sana Kwa maombi
@queenbruno9848
@queenbruno9848 9 ай бұрын
Eeh Mungu umesema utatoa watu wa ajili yangu na kabila za watu kwa ajili ya maisha yangu, , nakuomba utoe sasa hao watu waje kunisaidia😭😭🙏🙏
@amisakiza1538
@amisakiza1538 9 ай бұрын
Mungu naomba maharifa yakujuwa watusahii unaho nihinuliya kwenye mahisha yangu
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu naomba uniinulie watu sahihi sahihi katika maisha yangu yote ya duniani
@bien-aime97
@bien-aime97 9 ай бұрын
Mungu naomba uniinulie nami watu sahihi wa kutembea nao katika aspects za uchumi,kazin, pita na kwenye mahusiano yangu, kwenye tumbo langu, katika familia yangu ,,Amen
@annefidelis6931
@annefidelis6931 9 ай бұрын
Mungu wangu nakuomba uniinulie watu sahihi ktk maisha yangu Baba nisibaki kama nilivyo niweze kufanyia kazi kipaji ulichoniumbia Jehova
@marianajohn6167
@marianajohn6167 9 ай бұрын
Mungu wangu akaniinulie watu sahihi kweli maisha yangu na wale wasio sahihi wakaondoke kwa jina la Yesu kristo
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu aniinulie mtu sahihi katika maisha yangu ambaye atanishika mkono nakuniinua
@amandaeras2308
@amandaeras2308 9 ай бұрын
Naomba Yehova uniletee watu. Sahihi katika maisha yangu na uzao wangu
@tinahtinash6160
@tinahtinash6160 9 ай бұрын
Ameni napokea Kwa jina la yesu oooooh yes Lord 🙏🙏🙏 nahitji watu sahihi yesu katika mwaka huu
@Joyyyyyjoy-yo3jj
@Joyyyyyjoy-yo3jj 9 ай бұрын
Eeewe mungu naomba unikumbuke na mimi uniinulie watu sahihi katika maishani mwangu . Ameen
@verynicejohn7384
@verynicejohn7384 9 ай бұрын
Mungu naomba uniinulie mtu sahii kwenye maisha yangu Amen Amen🙏🏼🙏🏼
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 9 ай бұрын
Naomba Mungu wangu niinulie watu sahihi kwenye biashara yangu 🙏🙏
@angelasteven6015
@angelasteven6015 9 ай бұрын
Almighty God...🤲🤲😢
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Amina ubalikiwe sana mtumishi wa mungu mwezi wa tano ukawe ni mwezi wa kushaini nyota yangu na kisiwepo kitu chochote kitakachobuguzi maisha yangu
@florencewambua7866
@florencewambua7866 9 ай бұрын
Napokea Kwa Jina la Jesu Kristo Amen
@faidamashukamo751
@faidamashukamo751 9 ай бұрын
Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💌💌💌💌💌💌💌💌💌
@Joselynekamikazi516
@Joselynekamikazi516 9 ай бұрын
Amen amen aninuulie mutu sahihi katika maisha yangu
@jescaassey6575
@jescaassey6575 9 ай бұрын
Bwana wew ndyo nguvu zangu na uhai wangu nakukimbilia ww n kkutukuza pokea sifa n utukufu bwan kwa kuwa wew ndiyo utoshae🙏😊♥️
@MwajumaMwajuma-c8e
@MwajumaMwajuma-c8e 9 ай бұрын
Mungu Naomba uwainuwe uwatae watoto wangu mtu saaahi
@happynessjames5404
@happynessjames5404 9 ай бұрын
Ameeen, Mungu nipe uwezo na macho ya kumtambua Mtu sahihi
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Huuu mwaka ni mwaka wa nyota yangu kushain 🙏🙏🙏🙏
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 9 ай бұрын
Asante Roho mtakatifu kwa haya maombi na masomo umeniongelea sana nimeingizwa shimoni sababu ya watu najipandikia 😓😓😓😓 Mungu niekee wazuri
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb 9 ай бұрын
Mungu nisaidie niko katika ali gumu tenderea familia yangu na wazizi wangu bwana nipe watu sahihi ndio bwana
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Mungu aniinulie mtu sahihi wa kunishika mkono kwa habari ya mtaji 5,000,000 Sina shaka na wewe Bwana na Mungu wa madhabahu hii umetenda napokea
@jacklinemutevu2470
@jacklinemutevu2470 9 ай бұрын
Asante yesu... niletee rafiki sahihi kwa jina la yesu.
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Ee Bwana naomba umwinulie bibi yangu mtu sahihi wa kukaa nae na kumsaidia kazi tenda Baba kwa neema yako kuu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
Napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
@ashaally7559
@ashaally7559 9 ай бұрын
Mungu niinulie watu sahihi katika maisha yangu,mwaka huu Wa baraka nikawashangaze waliotamani nishuke Amen
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 9 ай бұрын
Amen
@NeemaCharles-n2v
@NeemaCharles-n2v 9 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi
@saraphinaramso6387
@saraphinaramso6387 9 ай бұрын
Mungu azid kukupa maarifa ya kibiblia mtumish
@agnesminde4081
@agnesminde4081 9 ай бұрын
Ee Mungu Baba nisaidiee katka maisha yangu,na familia yangu
@doricejoel7228
@doricejoel7228 9 ай бұрын
Ee Mungu naomba uniinulie mtu sahihi wa kuingia nae kwenye ndoa takatifu wasiosahihi wasiinuke
@MwajumaMwajuma-c8e
@MwajumaMwajuma-c8e 9 ай бұрын
Mungu Naomba uniinulie mtu sahii kwenye maisha yangu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 9 ай бұрын
Bwana mungu nipe mtu wangu ndani ya mwaka
@NeemaCharles-n2v
@NeemaCharles-n2v 9 ай бұрын
Mungu naomba niinulie mtu sahihi kwenye maisha yangu
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 9 ай бұрын
Amen Amen i receive perfect people in my life in the name of Jesus
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Watu ambao wqnanikwamisha wasipate kibali ebwana na mwakozi wqngu yesu wangu😢😢😢
@ZubedaAthumani-ks2fl
@ZubedaAthumani-ks2fl 9 ай бұрын
Amen kaka inno nimecheka eti kinyamkela
@ZakinaMakokha-fe1sq
@ZakinaMakokha-fe1sq 9 ай бұрын
Eee mungu nikumbuke nami mwoyo wangu unafunje damu
@josephinemasaki-zv7te
@josephinemasaki-zv7te 9 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Ee Mungu Naomba uniinulie watu sahihi ktk maisha yangu yote.
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 9 ай бұрын
Baba Mungu wangu, naomba mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu.
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu aniinulie idadi ya watu sahihi katika maisha yangu
@alicethobias932
@alicethobias932 9 ай бұрын
Naomba Mungu aniinulie watu sahihi maishani mwangu
@ModestaMduda-n9s
@ModestaMduda-n9s 9 ай бұрын
Amina mtumishi unasema kweli kabisa mungu akubaliki sana
@evelinemusanga621
@evelinemusanga621 9 ай бұрын
Mungu nakuomba uniinulie watu sahii kwa maisha yangu
@AncillaBaya
@AncillaBaya 9 ай бұрын
Mungu asafishe marafiki wanafiki wore na aniletee marafiki sahihi🙏🙏🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
I receive I receive I receive I receive I receive I
@AgnatarAmad
@AgnatarAmad 9 ай бұрын
Niinulie watu sahihi katika maisha yangu eewe Mungu na uwapukutishe watu ambao sisahihi kwasababu walikua kwangu na hawakua wa kwangu
@rachaelngwatu7970
@rachaelngwatu7970 9 ай бұрын
Amina Amina.Nimepokea hii neema.Mungu aniletee mtu wa sawa kwa maisha Yangu mwaka huu
@IrenejohnsonIrenejohnson
@IrenejohnsonIrenejohnson 9 ай бұрын
Ee mungu wangu nipatie mwanaume sahihi katika maisha yangu
@SylvesterKabida
@SylvesterKabida 9 ай бұрын
Ameen mungu usiniachea na mm leo Uniinurie watu sahihi kwenye masomo yangu❤❤❤
@ruthmoranga5142
@ruthmoranga5142 9 ай бұрын
Bwana naomba mwaka huu uniinulie mtu sahihi kwa maisha yangu pamoja na familia yake pia utuondolee marafiki walio kwa maisha yetu ili kuturudisha nyuma
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
I receive I receive I receive I receive I receive
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Napokea mtu sahiiii kwa asubuhi hiii ya leooo lete mtu sahihi katika jina la Yesu
@jamesmkwizu9638
@jamesmkwizu9638 9 ай бұрын
Ameen
@GeorgeNehemia-fg1ip
@GeorgeNehemia-fg1ip 9 ай бұрын
Mungu akubarik sana mtumishi wa mungu
@SultanAli-u6i
@SultanAli-u6i 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@PolaChadi-wm8mk
@PolaChadi-wm8mk 9 ай бұрын
Ameen.mutumishi.wamungu.ubarikiwe
@margykariuki
@margykariuki 9 ай бұрын
Amen Amen 🙏 Balikiwa sana Pastor pamoja na family yako
@gabbyedward4079
@gabbyedward4079 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu. Niinulie watu sahihi, kwa Damu ya Yesu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@mareh18
@mareh18 9 ай бұрын
Amen nimepokea, pia nawe pokea watu sahihi
@leonardobulalu
@leonardobulalu 9 ай бұрын
Mungu wangu niletee watu sahihi kwenye maisha yangu kwenye kukujuwa wewe Mungu Mimi na mke wangu ktk uchumi na biashara yangu na mke wangu tuletee ambaye atabatana na Sisi waruhusu waondoke ambao sio kusundi lako tunahitaji mwenye kusundi lako aliyebeba makusundi sahihi pukutisha kwenye maisha yetu2024 pia waletee na wadogo zangu uzao wa tumbo la mama angu Juliana waletee watu sasa kwenye wokovu wao na kwenye masomo yao ambao watawafanya wawe vichwa pamoja na mama Martin mletee mtu sahihi atakayefanya nikutane na mtoto Wangu Martine na mawasiliano yatokaye kwako pukutisha wanaofanya nikae mbali Mimi na Martin Mungu wangu nikumbuke kama aulivyomlete Daudi ulipomleta Yonathani namimi nwitaji Yonathani wang
LIVE: MAOMBI YA USIKU YA KUMKUMBUSHA MUNGU // MWAMBIE UTAKACHO
1:07:56
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 151 М.
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 64 МЛН
KUMFAHAMU ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA
2:00:37
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 53 М.
MAOMBI YA KUFUNGA KINYUME NA MAPOOZA (KUKEMEA MAJINI MAHABA)DAY 1
23:10
MAOMBI YA ASUBUHI  REV  MUHORO
40:06
THE ALTAR OF GRACE
Рет қаралды 25 М.
Blessed Prayers To Fall Asleep | LISTEN To These Anointed Prayers!
3:57:21
Grace For Purpose
Рет қаралды 2,4 МЛН
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 23 М.
HASIRA YA MUNGU, USIPOFANYA TOBA KWA WAKATI // HUKUMU YAKO
1:15:07
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,9 М.
#LIVE: KWA ISHARA HIZI, MTAFUTE MUNGU KWA BIDII  // Monday 24,2024
1:18:53
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 31 МЛН