Subscribe, view & share kwaajili ya taarifa zaidi kutoka ndani ya SPORTS PACKAGE.
Пікірлер: 4
@AljuhaniAllyy-dg4ld18 күн бұрын
Kumbe kweli yanga wanawaroga wachezaji wa simba ili wawaache wao wawachukue yani simba hata asajili mcheza hatari kiasi gani lazima akifika simba akae chini na kukonekana hana lolote mchezaji huyo leo hii inadhihirisha kwa hilo, wamemchukua okrah, wamemchukua chama, wamemchukua mkude, sasa baleke.
@fredylucas248418 күн бұрын
Paul Mkai si yupo Crown kwasasa
@user-ye7ek6bw2k18 күн бұрын
Hii kama mmeludia
@anithawidambe754318 күн бұрын
Hii ni ya zamani. Huyo mchezaji nafuu Uongozi ungemwacha hukohuko walikokuwa wanamweka benchi. wamemleta ili anusuru kiwango chake yeye anawasaliti.