LIVE - MUHADHARA Masjid Al Sheikh barabara ya 06 Tanga - Tanzania
Пікірлер: 77
@maftahmusa95137 ай бұрын
Ahsante shekh darsa yako hata chekechea anafahamu kiwango chako shekh kiko juuu sana
@abuuallmaanalmuusawy7 ай бұрын
Allah akuhifadhi mwalimu wangu
@user-bc9jm1jj4k7 ай бұрын
Walah huyu sheikh usipomuelewa basi hutaelewa mpaka kufa kwako
@gift-AA7 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADH SHEIKH MOHAMMAD ISHAK ENDELEA KUWATANDIKA WATU WA BIDAA
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Huwezi kumfananisha mvuta bangi na sheikh Muhammad is haq
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
Naam shekh wetu ALLAH akuhifadh
@abuuaidh65007 ай бұрын
Kama leo Tanzania walivyotawaliwa na Balqis wa Tanzania
@AllySibila7 ай бұрын
Sasa hivi ukikosoa maulidi unakua maarufu jinsi gani uone Mtumi s. A. W anavyonufaisha na maulidi inavyowainua watu wasiojulikana leo tunawajua kupitia maulidi 🙏 maulidi mpaka kiama
@HassanSalim-hl8qs7 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah
@hassankisuda11897 ай бұрын
Ukweli kama sisi tunakaa chini na kusoma Dini yetu vizuri bila ushabiki katika Dini.... -MAULIDI SI IBADA KATIKA DINI. TUPATE KUREJEA KWA WALIOTANGULIA KABLA YETU 1.MASWAHABA HAWAKUWA NA MAPENZI NA MTUME WA ALLAH SALAH NA SALAAM ZIMFIKIE KWA HALI HII? 2.TAABIIN HAWAKUWA NA MAPENZI NA MTUME WA ALLAH (SALAAH NA SALAAM ZIMFIKIE)? 3.MAIMAAM WA NNE (4) HAWAKUWA NA MAPENZI NA MTUME WA ALLAH (SALAH NA SALAAM ZIMFIKIE)? 4.NINI TOFAUTI YA WANAOPINGA MAULIDI KWA SASA NA WALE WALIOKUWEPO KABLA YETU?
@saidimpako51867 ай бұрын
HUYU SHEKHE HANA INSWAFU ANARUKA RUKA HAMALIZI HOJA MPAKA MWISHO ANANUKUKUU KAULI YA WAPINGAJI TU
@maftahmusa95137 ай бұрын
Unataka azungumze nini mazungumzo yako kwa shekh wako fatilia mazungumzo ya shekh wako halafu utapata majibu yake kwa shekh huyu
@hassanmohamedlaizer5697 ай бұрын
Huyu sheikh Wenu anaitwa kwenye munaqasha hataki
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
Huyu kwanza sio shekh labda tumwte hivo kwa maana ya mzee Halaf huy Muongo
@salummakaveli43667 ай бұрын
Hili zee halijielewi linazungumza nn
@user-ep9ot1pe7x7 ай бұрын
Hajibiwi mfira ng'ombe monga
@user-mj2pe4xy7v7 ай бұрын
Mzee hyu kitabu hicho usifanye mzaha
@athumaniomari97607 ай бұрын
twayyib
@user-dj8bs1sm4w7 ай бұрын
Uwahabi ni fasaad mtup
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Pole Allah akuongoze
@farajiadinani28695 ай бұрын
Kwan ww unachoona kinachofanyaika kwenye maulid halamu nn
@abuuaidh65007 ай бұрын
Kumbe ndio walewale yule mmoja anambiwa athibitishe kuwa wanyama wote waliongea siku ya kubebwa mimba. Akauluza Suali Kisha ikaishia Mimi sihami hapa Mimi sihami hapa . Munakasha ukaishia hapo
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
Wewe Mohamed isihaka ni Muongo Kama angekuwepo shekh mwenyewe ungetaga mayai pumbavu mkubwa wew
@SeaPower-pu1mq7 ай бұрын
Elimuauna unatukana mashekh Allah akusamehe nakupa Faida tuna ambiwa tusome kutoka kwao kama atutaki kusoma bas tuwapende atutaki kuwa penda bas tusi Wauzi naamin utakuwa muelewa
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@SeaPower-pu1mq Kweli elimu sina lakin kwa huyu mzee hanifikii hata kidog Ameen atusamehe kwa sote
@SeaPower-pu1mq7 ай бұрын
Nimependa sana ulivyo reply naumenifunza ki2 kupitia majibu yako Jina langu Ismail khamis mzaliwa wa darsalam mbagala kwasasa naish South Africa 🇿🇦 baada yaku faamiana nachotaka kwako naomba Elim kupitia haya mambo yanayo endelea kwa mashekh ze2
Sheikh mohammad idi kumbe alikua anamuonea Sheikh Kishki tu sasa kapata mwalimu anamfundisha kama mtoto wa ibtidaai
@saidimpako51867 ай бұрын
KWANI JAMBO LIKIWA SI IBADA HALIFAI KUFANYWA ? Kunamambo mengi tunayafanya na sio ibada kuna mambo ni Mubaha tu
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
Kama lipi lipi
@awatifomar51857 ай бұрын
Karibuni utaelewa kwamba watu wanazungumzia dini na yale yote ambayo hayakuthibiti kwenye dini hayo hayawezi kua Ibada
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Jambo ambalo si Ibada Halifai maana ibada zote zimeelekezwa na mtume na makhalifa waongofu
@swalehabdulrahman41187 ай бұрын
MZEE NAONA MAISHA YAMEKUPIGA SASA UNATAKA KWENDA MJINI KWA NJIA YA MAWAHABI ,HAYA JAMANI MYAHUDI MPYA HUYO MPENI MICHONGO YA MJINI
@awatifomar51857 ай бұрын
WATU WA BIDAA HATA UAPIGE NYUNDO WANASEMA WAMEPIGWA USUFI KWA HIO HAWAKUBALI UKWELI NI WABISHI AJABU ILA TUAOMBEE DUA TU
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Walipigwa na maisha ni wale wanaong'ang'ania hitma na maulid ili wapate kula
@jumafaki28917 ай бұрын
Ana vikaratasi hata kuvikrem ajui hata sijui kaandikiwa na wapumbavu gani hana elmu yoyote maulidi utakufa ni kazi aloifanya mwenyewe bwana mtume alikua akimuekea membari hasani bin thabiti akawa anasimama kwenye hiyo membar akimsifu mtume wewe utakufa huwezi kuifuta Hadith kama hizi
@athumaniomari97607 ай бұрын
masufi wako wapi jamn
@user-oc8uo9rl3u7 ай бұрын
Tupo tunakuangalieni tuu
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-oc8uo9rl3u 🤣🤣🤣
@jumafaki28917 ай бұрын
Huyu bwana hafahamu maulidi ni nini ndio maana akimbilia kunukuu vitabu maulidi ni vilevile alivyo tusimulia bibi Aysha isemayo mtume alikua akimuekea membari hasani bin thabiti akawa anasimama kwenye hiyo membar akimsifu mtume na kumfaharisha na mashahaba walo fanya hayo ni wengi sasa kama anakusudia kupinga maulidi apinge Hadith hizi lakini apapauka mdomo anukuu vitabu anaacha Hadith zinazo thibiitisha maulidi utakuta huyu bwana harusi alikua akaowe huyo mke amtakae sisi tunafanya maulidi kwa vitendo alofanya mtume mwenyewe na masahaba na ibini taimia anasema katika kitabu chake aswarimi almasluuli utu anopinga madhi nabiyi basi mtu huyo auliwe huyu bwana harusi anaacha nasu aleta propaganda za kiwahabi
@muhammadnassibu77067 ай бұрын
Vyema kama mgemuacha uyo sufi akazungumza hadi akamaliza. Kisha ndo mkamjibu, lakini hivi ni fujo tupu
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Hakuna fujo akiachwa atapoteza wengi
@ahmedbadi58227 ай бұрын
Mpumbavu atafta umaarufu hana mada huyu
@awatifomar51857 ай бұрын
POLE SANA KWA KUIKIMBIA HAKKI NA UMESHAIJUA
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Hautaki sheikh hapa bali unaitukana haqi
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
🤣🤣🤣
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-uw8pg9ju5s haki iko wapi?
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@awatifomar5185 haki iko wapi?
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
Mtizame anavofumbafumba macho ni dalili ya mtu muongo
@Maalim_Samatta7 ай бұрын
😂😂😂
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Muongo ni yule abuid mvuta bangi mwenzio
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-uw8pg9ju5s 🤣🤣🤣 umejuaje kam navuta nae au wew ndo unaetuuzia??
@user-mj2pe4xy7v7 ай бұрын
Bora hoja za qaasim mafuta anajaribu kutaja vitabu huyu mzee aibu komba tena .
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Umeanza kumuelewa sheikh kasim mafuta mashaalah hata huyu utamuelewa tu
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-uw8pg9ju5s hakuna anaeeleweka
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
Hyu mzee lugha yake mbovu
@abuukhubayy7 ай бұрын
Sio lugha mbov wanahitajik kuwambiwa ukwel
@user-ep9ot1pe7x7 ай бұрын
Uyo mzinif wa mke wa mtu akafunga nae ndoa kabla ya kuachwa mwisho akaja mwenyewe akakimbia muongo kabisa
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Atukuelewi ila twamuelewa is hahakka
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-uw8pg9ju5s Ni kwamba Huyu shehe lenu limezini huelewi nini sass hapo?
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
Yani huyu jamaa ni muongo mpaka anakera watu wasikilize Maneno ya Shekh Muhammad bakari mwenyew yapo humu youtube
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Mane no yako hayazuii haku
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@user-uw8pg9ju5s bora yangu yasiozuia wala kudangany kulko ya mohamed isihaka yanaysma uong
@noorululaatv89737 ай бұрын
MPAKA SASA UKIMUANGALIA HUYU MZEE UTAGUNDUA ANALAZIMISHA TU.. LKN TAYARI KASHABANWA KAA UFANYE IBADA WACHA UWONGO
@Mauya237 ай бұрын
Kuna haja ya kupata hiki kitabu cha Sheikh Mohamad Bakar na kukipitia vizuri, baada ya hapo tutajua nani anatuambia ukweli na nani anatupanga.
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
Shehe wenu idi ameitwa tanga kwenye munakasha hajaja kwann
@abdallahkiwe77377 ай бұрын
Hivi nyinyi vijana wa kiwahabu mnaotoa vicomenti commenti vyenu humu hamuoni huyu sheikh anavyowadanganya hivi nyinyi mna akili kweli nyinyi jitu linaongopa hili mchana kweupeee
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
😂😂 ambae Hana Akili ni wewe ambae hufikii elimu ya sheikh Muhammad is'haka hata chembe
@user-uw8pg9ju5s7 ай бұрын
Pole ndg yng Allah akuongoze
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 🤣🤣🤣 huy mohmd isihaka ana elim gan?
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
@@fahmiiidrisa5110 elimu ya juu sana ambayo hata Muhammad idi haifikii hata kidogo ndo mana Muhammad idi kaitwa kwenye munaqasha hataki na kashawahi kushindwa hapo nyuma na huyu sheikh Muhammad is'haka 🤣🤣 kama mwalim wako idi ana elimu akubal munaqasha asomeshwe mana hoja pia hajatengua hata Moja
@fahmiiidrisa51107 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 wew una kiwango gani cha elim mpaka ujue kuwa mohamed isihaka ana elim kuliko shekh mohammd id