Unaanzaje kukosa hii?
1:37
4 ай бұрын
Пікірлер
@aminaosman3315
@aminaosman3315 18 сағат бұрын
,kwa dhulma zao
@aminaosman3315
@aminaosman3315 2 күн бұрын
,katika katiba yenu wekka kipengele tunaruhusiwa kudhulumu yatima na wajane
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar 2 күн бұрын
lakini wengine ni katika Mashia wa kundi la Dawoodi Bohora au wanaitwa Bohora na wapo wengi katika mji wa Tanga ndio wameweka majina hayo pia Ya Hussein hata katika duka zao za vyakula na keki wanazouza na Dawoodi Bohora ni katika makundi ya Ismailiyah ya Shia kisomi kihistoria
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar
@Grand_Ayatollah_Hussein_Parmar 3 күн бұрын
Hapo ni kuongeza pia kwamba Mashia wanahisi kwamba Imam Hassan alifanya suluhu na Muawiyah na mkataba nae na akakubali utawala wake lakini Imam Hussein hakufanya hivyo kwa Yazid bali alikataa kumtii na kumkubali kama Khalifa lakini hakuwa na matumaini ya kumwondoa ispokuwa watu wa Iraq wakamwita hata kwa historia ya Kishia wanataja hivyo nami nilikuwa Mshia huku Tanzania na Afrika mashariki Masunni wenye msimamo wanawakaribisha watu kama mimi na hawana urafiki na mashia na wanawaraddi (wanawajibu) mashia mara nyingi ni katika baadhi ya waafrika, waarabu na wasomali hata katika Mashafi' kama niliokuwa nao nilipokuwa mdogo walisikitikia nikiwa yatima walivyoninyanyasa lakini wakafurahi nimeachana na dhehebu lao na hao ni raia wa kawaida wanaogopa watawala wa Tanzania waovu madikteta wasio na dini ambao katika wao Waislamu ni wachache mno na wanawatisha na kuwakandamiza waislamu na viongozi wao, hivyo hata kwa historia ya Kishia tena masheikh wetu na nyumbani tukiambiwa na katika mimbar maulana wao ambao wengine hawajasoma vizuri na wale katika wao wanatoa lecture wanasema kwa ufahari kwamba Imam Hussein mwana wa Ali aliuwawa mwaka 682 hakutaka utawala bali kuleta Islah yaani marekebisho na ni watu wa Iraq (mji wa Kufah) wakamwita kwamba msimu umewadia na matunda yamechifupa hivyo njoo tutakupa kiapo cha utii lakini alipoenda wenyewe wanavyodai wakaogopa vitisho vya Yazid ambae alimpeleka gavana wake kabla ya Imam Hussein aje na akawatisha raia basi ilibidi wamkatae na baadhi yao wakapewa ahadi ya pesa wakamuua hivyo ndio maana wanamtaja sana yeye. Kuhusu kuwataja Maimamu kama vile Imam Ali au Imam Hussein au Bibi Fatimah au Imam Mahdi au Bibi Zaynab binti Ali kwamba ninaumwa tumbo au popote au naomba msaada kuna tatizo wanafanya hivyo kwamba tulikuwa tukiamini kwamba ni kutawasali lakini kwamba wana uwezo wa kutuombea kwa kuwaomba
@yunus-or3ny
@yunus-or3ny 5 күн бұрын
waislam wasasa tumeridhika kuishi chini ya twaaghut na kuridhiya
@user-dn3jh6oz8s
@user-dn3jh6oz8s 7 күн бұрын
Sema tuu kuna IJTIMAI
@IbnKhamis745
@IbnKhamis745 7 күн бұрын
Usalaf na Masalaf Mwawaita Ccm lakini Nyinyi Muna KATIBA ,Wanachama, matawi, majimbo, Acha wewe Mzee Sheikh Abul Qasm Mafta akuchape Na yule Bin Bachu yote hayaoni haya Wala hakuraddi na kenya aweka ajiwe la msingi Na Takbir kwa SAUTI Watu wamemzunguka wala hawaradd Bin Bachu ukimuwekea mic 🎙️🎙️🎤🎤 aseme tu basi mwanamdogo Muhammad Bachu atakutetea tu BIDAÀH zako hazioni Sijuwi asema Nini afanya Nini
@IbnKhamis745
@IbnKhamis745 7 күн бұрын
KATIBA????????????????
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 8 күн бұрын
Shekh salim bwana kasim Ana fanya yale yale alokuwa akikukosoa ww Na yy kazama mule mule Hizbi la kijadida
@sharifusalumu-zj2tx
@sharifusalumu-zj2tx 8 күн бұрын
Mashaallah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 күн бұрын
Jazzakah llahu khaira shekhe allah akujaalie umepambania sunnah kwa kiasi kikubwa hapa tz allah akulipe na akukpe pepo ya firdaus na mtume shekh.wetu.amen
@ramiresmuro813
@ramiresmuro813 8 күн бұрын
Allahumma Amiin
@AbuuAhmad-pd3ow
@AbuuAhmad-pd3ow 9 күн бұрын
Lakini kumbuka sheikh fawzan kampa tazkia sheikh rabii ambae ninyi kwenu ni hizib bila shaka Jambo lilishaisha ninyi yote haya ni mvua za rasharasha,
@tztanzania2262
@tztanzania2262 10 күн бұрын
Ma shaa Allah Allah amzidishie Zaid kijana wetu na amjaalie ikhlasw Zaid na ampe pepo ya firdaws
@nurdiniathumani9388
@nurdiniathumani9388 10 күн бұрын
Jazaaqallah khair
@ahmadfirdaus6608
@ahmadfirdaus6608 10 күн бұрын
Maashaa Allah ❤❤❤
@aminaosman3315
@aminaosman3315 11 күн бұрын
,mbona hats siku moja hatuja kusikia kudhungumzia madam dhulma au ndio tikkadi zenu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 7 күн бұрын
Chuki ww muislamu wa wapi ww usokubali kuambiwa ukweli kusoma dini yenu hamtaki mnajifanya waislamu yaliyoletwa na uislamu mnayakataa saa kunatofauti gani na abu lahaby alokuwa akiambiwa kweli anapinga soma dini ndugu au nawe miongoni mwa hawo washirikina nini
@aminaosman3315
@aminaosman3315 11 күн бұрын
,Allah atamlipia marehem janjira familia yake inshaallah
@aminaosman3315
@aminaosman3315 11 күн бұрын
,mnafurahi kwa kuwadhulum yatima na mjane Allah kajiharamishia zulma Allah ndie Hakim WA haki hawakuipata hapa duniani akhera ndio Bora zaodi inshaalah
@aishaamour9007
@aishaamour9007 11 күн бұрын
Daaah hatari
@NuurulHudaa
@NuurulHudaa 11 күн бұрын
We ni mrobgo mkubwa qaul ya mwezi wa popote ni qaul dha'ifu ambayo katika madh-hab nne ni moja tu ndo yenye kusema hivo nayo ni ya imaam ahmad ibn hambal ambapo bado ibn taymiyah asema kwamba mwezi wa popote ni miji ya karibu ama miji ya mbali kila mmoja na mwandamo wao. USIDANGANYE WATU!!!
@AbdallahSadiki-z4b
@AbdallahSadiki-z4b 17 күн бұрын
Hivi ile million 200 Ulishaeleza ilipoenda ??
@AshrafuKhamis
@AshrafuKhamis 18 күн бұрын
Mashaallah
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 күн бұрын
,Acha hadithi fitr toa Kwanza haki ya yatima na mjane uliyowadhulumu mwogope molar wako kesho Una mtihani mzito
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 күн бұрын
,kwakudhulimu yatima ikiwa Allah kajiharamishia zulma itakuwa wewe
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 күн бұрын
,mazungimzo yako na mjane umati Muhammad tumeusikia tunawaombea Allah awape subra katika kipindi hiking kigumuishaallah
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 күн бұрын
,,haki ya marehem inawatafuna Inawatafuna mtapanga na kupangua tufanye ama vile na bado akhera kwa Hakim haki
@aminaosman3315
@aminaosman3315 20 күн бұрын
,àllah atawazalilisha kila aliyehusika kuwadhulumu yatima na kumshtaki mwezi a ramadhani Hakim WA haki NI Allah atawazalilisha wote walioshiriki katika zulma ishaallah
@user-qy9qx5hd2u
@user-qy9qx5hd2u 24 күн бұрын
Huyu ni mnafiki jmny na ni bonge la fitna na hana ilmu wala hikma..ni nani muibadhi anaitwa ramadhani..juma..rajabu..ina maana wana ugomvi na haya majina ya kiislam..barahiyani ni jina la swahaba au salimu?
@safiaothman5175
@safiaothman5175 25 күн бұрын
Nawaomba n😊a kuwatahadharisha msichangie kuifufua hospitali ya shufaa Tanga kwani kesi iliyofungiliwa na mjane wa marehemu bado ipo mahakamani kwani alikata rufaa ,huenda fedha hizo wanazihitaji kwa mambo mengine, hospital hiyo si ya Tassisi ya Answar youth bali ni ya marehemu Said Janjira taasisi inamiliki jengo tu na kodi ilikuwa inalipwa kwa Taasisi .
@StumaiAbedimdoeMdoe
@StumaiAbedimdoeMdoe 26 күн бұрын
Usingeangalia mnk umepata wakt mgumu masikini
@StumaiAbedimdoeMdoe
@StumaiAbedimdoeMdoe 26 күн бұрын
Subuhanalah mungu akusamehe dadangu ata mm nilikua huko kumbe ushatuhukumu mhukumu mkuu
@sadambakari2579
@sadambakari2579 26 күн бұрын
Ndio mjue sasa kuwa uwahabi nifitna katika umma Kwahiyo elimu imekuja nanyi wengine wote waliopita hawajui dini mtihani huu Allah atunusuru nakina Barahiyan tufate wema waliotangulia
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 26 күн бұрын
Mbona kwa kina mama hatuoni wanasswali wwapi shekhe
@user-rm3bu9wm9f
@user-rm3bu9wm9f 27 күн бұрын
Masha Allah, nilikua na wazo kwanini,hivi vipande vilivyopo vingeliwekwa kwa mpangilio ili tuweze kuelimika zaidi
@JumaMvungi-ot4ef
@JumaMvungi-ot4ef 27 күн бұрын
Dada acha fitna
@leylam2121
@leylam2121 27 күн бұрын
Mashallah mashallah
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 27 күн бұрын
Shekh Athuman na shekh shahidu Allha awalipe kwa kutuunganisha wanasunna nshallha
@EdhaBazar
@EdhaBazar 27 күн бұрын
Allah awahifadhi na shari za wanaowatukana
@SwaleheRajab
@SwaleheRajab 28 күн бұрын
Mashaa allah
@zuumnzava
@zuumnzava 28 күн бұрын
Innalillah Lillah wainna ilayhi rajiun.allah atuhifadhi waja wake ktk heri zake na atusamehe waja wake hatuna salama
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,wote walikaribishwa kuli hela ya taasisi ya Ansar wanakula haki ya yatima WA marhum saidjanjir na waislam wanakula Moto
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,je hao wanaishi na MTU anayewalisha haki aliyowadhulumu waislam aliyowadhulumu mayatima WA said janjira inafa kuishi nae anawalisha Moto
@MariamKhalifan-r3c
@MariamKhalifan-r3c 28 күн бұрын
Mashaallah tuk live
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,amali kubwa ya baadhi ya mashekh suna dhulma hospitali ya shifaa si Ansar nimarehemu said Mohamed janjira Leo mnasema yenu mwogopeni Allah
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,mbona mashekh wote wanaojiita Wana suna hawadhungumzi madama ya dhulma kwakuwa wakubuhu kuwadhulumu waislam kwa kigezo cha suna hawana zaodi ya kudhulumu Allah yupo anawaona anawasikia atawahumu inshaallah
@BAHATIJUMANNE-h1m
@BAHATIJUMANNE-h1m 28 күн бұрын
Na hapo kwenye kongamano awazungumzii kesi ya mjane kuwa muelewa ndugu katika iimaan
@BAHATIJUMANNE-h1m
@BAHATIJUMANNE-h1m 28 күн бұрын
Amina acha ujinga kwani aliehukumu ni taasis au ni selikali ambayo hata wewe anaipgia kura kila baada ya miaka 5?ivo chunga ulimi wako dada angu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,mashekh wanao fumbia macho dhulma ya taasisi yao ya kitapeli Allah karim kesi iko mahakamani Hakim WA haki
@aminaosman3315
@aminaosman3315 28 күн бұрын
,mnao jifanya Wana suna. ,acheni zulma Kula haki za waislam haki ya mjane na yatima WA said janjira Allah atawahumu inshaallah