🔴

  Рет қаралды 9,991

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live PART3: MAZITO YAFICHUKA MAMA ALIYEZAA na MZUNGU AKIDAI KUTAPELIWA MTOTO, BADO NI UTATA MTUPU
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 89
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 8 ай бұрын
Rose ana maslahi binafsi na kuna kitu kimejificha siku ikifika ataumbuka😢na sidhani kama ana mapenzi ya kweli na mtoto
@kissamwaibila
@kissamwaibila 8 ай бұрын
Inatakiwa ubalozi ujue iyo habari upesi sana
@shamzone388
@shamzone388 8 ай бұрын
Nawapenda sana Global tv mupo moto sana....
@user-tv9iv3do5x
@user-tv9iv3do5x 8 ай бұрын
Mimi nina namba za uyo dereva nilikutana nae kweny msiba wa uyo mr hanc uyo dereva alisema ukweli wote yan mpk nililia jmn
@upendogreutert199
@upendogreutert199 8 ай бұрын
Hebu wasaidie Waandishi wa Ndugu huyu anahangaishwa Sanaa na huyo Rose
@Byme6434
@Byme6434 8 ай бұрын
Itakuwa Rose Alimrestisha Mzungu Mpk Natamani Kucheka Ila Siwezi kucheka Mpaka Mtoto Apatikane
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 8 ай бұрын
​@@Byme6434😂😂 uctuchekeshe bwana ngoja tupate mtoto kwanza Ili 2024 iwe nzuri
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 8 ай бұрын
Mbali na pesa lakini rose nafikili anaitumia hata nguvu zingine nje na pesa hata cjui kwanini kaitwa rose maana hat jina ni tofauti na matendo Mimi ni mzazi Ila naumia sana kuhusu hilo lirose
@brendajulius2995
@brendajulius2995 8 ай бұрын
Hapo tafuteni lawyer mzuri design ya kina mwabukusi au kibatala kisha a fight apate mtoto akimaliza atafute urithi wa mtoto, huyo Rose anajua mtoto anakitu kikubwa ameachiwa na babake ndo mana analazimisha hata abadili jina la mama ili yeye aweze kusimamia mirathi vizuri na sauda asikubali mtoto apewe fungu lake hakuna kutoka bure. Itakuwa mzungu alistuka mwishoni kalamba garasa akafanya kitu kwa mtoto wake. Huwezi shikilia mtoto wa mtu kwa nguvu km huna maslahi binafsi naye.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 8 ай бұрын
Kweli
@jumatajiri585
@jumatajiri585 8 ай бұрын
We rose mrudishe mwana wa watu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 8 ай бұрын
Kibatala na madeleke ni mawakili wazuri sana,Sauda fanya kuwaona hao utafarijika kwa uwezo wake Allah utafanikiwa Insha'allah
@chapter2719
@chapter2719 8 ай бұрын
Huyo Rose hawezi kumuachia mtoto sababu mtoto kaachiwa urithi na baba mzungu
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 8 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni Aibu mwisho wake umefika kweli hyo mwanamk...Allah atatenda Haki Inshaallah anatumiza mpk ss uku mtto anauma jaman sipat picha
@saebajoma8419
@saebajoma8419 8 ай бұрын
Yaani mm hii story inaniumiza sana sana ila ninaimani na mungu sada atapata haki yake
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 ай бұрын
Zanzibar kuhusu watt hawana kabisa time nao ata lolote liwakute wala hawajari ndo maana ata wakirawitiwa wala hakuna kesi
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 8 ай бұрын
Huyo rose ni mtanganyika lakini
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 8 ай бұрын
Tunataka haki haki haki itendeke kweli kuna sheria ya baba kumkabidhi mama wa kambo? Mungu yupo haki ya mja haipotei na kitaeleweka tu mwisho wa Rose utafika tu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 8 ай бұрын
Nawapenda sana Zali na Imelda na global mapito mko vizuri
@mishigwan6598
@mishigwan6598 8 ай бұрын
Sasa Km Mzungu Alikuwa Na Mke Kwao Ujerumani Vp Alimuoa Huyo Rose Nisaidie nijuwe
@leokamil6284
@leokamil6284 8 ай бұрын
Nchi hii ukiwa huna fedha Haki Mahakama ndio utazijua.Hapo ni Rushwa tupu inaendelea. Wanasema huyo Baba alimpa urithi mpaka wa mtoto je nani anajua yule Mzungu alikuwa na hali gani ya kiakili akitamka hayo?maana inaonyesha huyo Mzungu alikuwa Mzee sana,Je hiyo Mahakama inauthibitisho wa hayo niliuliza?.Fedha hongo imetumika kuhalalisha hhuyoRose kungangania huyo mtoto. Tanzania ni nchi ambayo mwenye fedha anamamlaka.
@marthageorge5043
@marthageorge5043 8 ай бұрын
Ninaimani mtoto atapatikana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 8 ай бұрын
Nashangaa mtu kun'gan'gania mtoto wa mwenziwe dohh makubwa haya 😮😮
@AishaMbega-mg9fo
@AishaMbega-mg9fo 8 ай бұрын
Jamani mungu amtunze huyo mtoto na sauda mungu akutunze sababu hata usalama wake ni mdogo huyo rozi sio kabisa anaroho mbaya sana sana amrudishe mtoto wa mwenzake hee yukoje?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
nina wasi wasi rose kamuuwa huyo mzungu ndo mana waliamua kumchoma moto wapoteze ushahidi pindi ndugu zake wakileta shida ni mshenzi sana dah
@upendogreutert199
@upendogreutert199 8 ай бұрын
Kabisaaa
@user-nf9nw7xd6y
@user-nf9nw7xd6y 8 ай бұрын
Rose anatumia jinagani ista hii mangekimambi ingemfaa😂😂😂
@amysimon7952
@amysimon7952 8 ай бұрын
binafsi namfahamu Sauda na pia mzungu mr Hans Ehrentraut aliyekuwa owner wa Paje ndame beach lodge, nikiwa employee wakati huo. mtoto ni wa Sauda na Sauda ana haki kbs ya kukaa na mwanawe. Marehemu Mr Hans ali-divorce na mkewe wa kwanza mjerumani mwenzake aliyezaa naye watoto wawili wa kike ambao kwa sasa ni wakubwa. Global naomba pazeni sauti sana msaidieni Sauda arejeshewe mtoto wake.
@kissamwaibila
@kissamwaibila 8 ай бұрын
Uyo kuna maslahi anapata kupitia mtoto uyo mtoto anavozia mgao wa mtoto maana anatambilika ivo roho inamuuma akichukuliwa mtoto kila kitu kitahamia kwa mama yake ,akishindwa sana aende ubalozi uyo dada ndo atajua hajui ku foji vitu ovyo
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 8 ай бұрын
Inshaallah akipatikana Sabra tafadhalini mutuoneshe sura zake musimzibe macho 😎😎
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 8 ай бұрын
Dada Imelda na Zali hapo allah awafanyie wepesi katika kulifatilia hili
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 8 ай бұрын
Yaani huyo Rozi mimi ningeamkamata na kumpatia adhabu mpaka amlete mtoto wangu
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 8 ай бұрын
Anatia hasira sana hyo Rose wallah na ni mwanamke jaman hap ss wanawak sote tunaumia yy roho yak ikoje jaman kwel kuna shettan binadamu
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 8 ай бұрын
Wazanzibari wanaume kama wanafirwa unazani wana muda he wanawaza kuliwa tu
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 8 ай бұрын
Subhanallah hili janga sio Zanzibar tu ndugu yangu na sio wote hao wanaume wa znz jitathmin
@marthageorge5043
@marthageorge5043 8 ай бұрын
Dada zali na dada imerda mungu awasimamie
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 8 ай бұрын
Naipenda mapito jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 8 ай бұрын
Mungu awalinde Imelda na Zariam
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 8 ай бұрын
Aisee inauma sana,hivi Rose anatumia jina gani insta 😢
@joycehagman3086
@joycehagman3086 8 ай бұрын
Pole sauda , huyo rose anamtaka mtoto kwa Mali, ya baba yake
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 8 ай бұрын
Hata kama mahakama imemkabidhi Rose mtoto 'lkn hakuna sheria ya kumzuia mama mzazi kumuona mtoto na mtoto kumuona mama!Rose anatumia vibaya maamuzi ya mahama ni ukatili! Chakufanya nae Sauda afungue mashtaka zidi ya Rose kumkosesha mtoto haki yake ya kimsingi kama mtoto ya kutomuona nakumjua mama yake! hilo ni kosa kubwa sana, hata kama mama ni kichaa au mlevi au ni vyovyote vile lazima mtoto amjue mama yake!na mama apate kumuone mtoto wake!hizi mahakama zina simamia sheria nahaki"na zenyewe ndio zina vunja sheria na haki za binadamu"hapo sheria iko wapi kwa mama kumuona mtoto na mtoto kumuona nakujua mama yake?huyo mtoto ananyimwa haki zake!kama mahakama inaona ndio inamlinda mtoto basi haiimtendei haki huyo mtoto ya kumjua mama yake mzazi,haki ya mtoto kumjua na kumuona mama ipo pale pale, hata kama mahakama imetoa kibali kumkabidhi Rose mtoto, lkn haita weza kubadili damu ya mtoto huyo kufanana naya Rose!Rose na mahakama wanasahau mtoto akifikisha umri wa 18 ana maamuzi yake kama mtu mzima, watamzuia mpaka lini huyo mtoto?akija kuona ktk mitandao fitna za Rose atajua Rose hakua mama yake walahakua mwema!hivyo atamfutafuta mama yake tuu'wanapoteza pesa zao bure huko mahakamani, tunajua mpaka sheria kugeuka kuwa side moja ni pesa imetumika,Sauda fungua kesi zidi ya Rose na mahakama iliyo toa maamuzi hayo ya kishetani!na Vita Subra mtoto atakutafuta mwenyewe Insha'allah, damu nzito kuliko maji
@mukeshimanataussi6939
@mukeshimanataussi6939 8 ай бұрын
Kwa kweli huo lozi sio mma mzuri ivi lozi mbona dunia tunapita kwa nini umtese mwenzako mrudishie sauda mtoto wake aca kumtesa mwenzako aca uhuni kbs kwa sababu leo yeye kesho wewe
@SharifaHayatta
@SharifaHayatta 8 ай бұрын
Inter poll na police ikaingilie kati. Ustawi wa Jamie Za Zanzibar.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 8 ай бұрын
pia kwa ushauri tu'Sauda nenda mahakamani kupinga na kuweka zuiyo mtoto asiende nje ya Nchi mpaka atakapo fikisha umri 18! pia mtoto huyo ni wako kisheria hukuwa umefunga nae ndoa, mlizaa tu!nawewe ndio mtoto wako mmoja huna mwingine wa kukusaidia uzeeni, kisheria unahaki zote
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 8 ай бұрын
Mpaka hapo huyo rose inaonyesha wazi sio mtu wa kawaida kama aliweza Kukaa na maiti ndani ya mwanaume wake siku tano mbali na kutoa taarifa kawaida kitu maiti Kwa mwanadam wa kaida lazima uogope hata kama ni mzazi au mtoto au mtu yeyote ikishakuwa maiti huna ujasili Tena wa kuishi nao ndani Sasa yeye amewezaje halafu bila hata kutoa taarifa mmmh Dunia inamengi
@shamzone388
@shamzone388 8 ай бұрын
Kaiweka maiti ili aandike makaratasi halafu anamtilia saini ya kidole Ilishawahi kutokea Maiti kuoshwa ikaonekana ana alama kidoleni Pia walipoulizwa watt wake wakawA hawajui mpk ilipofika wakati wakugawana miradhi ndio ikajulikana
@user-sx9gc2us1x
@user-sx9gc2us1x 8 ай бұрын
Nilikuwa nasikiliza hii clip mtt wangu kasomaa nae bernadnendel na wamefanya hadi mtihani wa taifa yupo std 4
@user-nf9nw7xd6y
@user-nf9nw7xd6y 8 ай бұрын
Elia,rose na iyoshule waliokuwa wanampigia rose nakumwitia defender wakamatwe
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 8 ай бұрын
Huyo Rose kalaanika, km anataka mtoto si azae wake, Arudishe mtoto wa mwenziwe,
@janetchinga695
@janetchinga695 8 ай бұрын
Jamani muchungaji gani uyo inatia uhuluma shetani Rose
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 8 ай бұрын
Dada watu wa pangani ni wachawi mdogoangu kakimbiwa ja watoto wawili na mume kachukuluwa na dada wa pangani jamani watu wa pangani shikamoo ila mungu yupo kila alomlofa mwenzie atarudi tu yesu atajibu
@kissamwaibila
@kissamwaibila 8 ай бұрын
Ataumbika cha roho mbaya
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 8 ай бұрын
Yaaani ni inauma mnoooo kiukweli 😢😢😢😢😢adi tumbo la uzazi linanicheza iseee
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 8 ай бұрын
Huyu Rose ni nani kwenye hii nchi????
@MwajumaBakari-lp1tf
@MwajumaBakari-lp1tf 8 ай бұрын
Huyo huyo rozi anataka ulisi TU iwe kwake
@dn.n4983
@dn.n4983 8 ай бұрын
Hii si sahii mama atskiwa kukaa mtoto ila naona mtoto hii jambo akae boding school nzuri akija akija awe mama yake mzazi hii huyu atakuwa kiali mchanyiko kwa kweli hii muhimu so sad mama ana haki mtoto miki nahisi baba amemoa mrithi nndoo huyu mama anangania kujifanya yeye msimamizi naona hiyo ndio sababu kubwa
@user-nf9nw7xd6y
@user-nf9nw7xd6y 8 ай бұрын
Simngeweka picha ya rose ili iwe rahisi kumjua utakuta tunaishinae huku
@StellahLivogah-p8r
@StellahLivogah-p8r 8 ай бұрын
Eeh ila uyo aliechukuliwa mtoto anaongea Sanaa jaman
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 8 ай бұрын
Mmmmmmh rose unanini wewe Kwa mtoto wa mwenzio? C umpe tu, huyo rose atakuwa kamuua mjerumani Kwa ajili ya mali
@kissamwaibila
@kissamwaibila 8 ай бұрын
Anzeni zanziber akikamatwa rozy ndo kila kitu kitaisha
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 8 ай бұрын
Sauda Sali Sana huo ni uchawi unatembea kabisaaa
@Thebaddest255
@Thebaddest255 8 ай бұрын
Duh 😢
@minazsaid2470
@minazsaid2470 8 ай бұрын
Usikute hilo jina la rose sio jina lake halisi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 8 ай бұрын
Hanaye tena ndo jashampa huyo mchungaji humujui kapewapewaje mbona wake asimpe mchungaji
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 8 ай бұрын
Kipindi kizuri nashauri waandishi wajiongeze kwa kusoma sheria kuna mambo mengi ya moja kwa moja wanakosa uelewa..
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 8 ай бұрын
Kwanza rose ni mama wa kambo wanajulikana mama wa kambo ni hatar sana anyanganywe upesi mtoto atamtesa
@saadaally5705
@saadaally5705 8 ай бұрын
Sana da Zari
@mishigwan6598
@mishigwan6598 8 ай бұрын
👏👏👏
@JOSEPHNYANDA-rg5ml
@JOSEPHNYANDA-rg5ml 8 ай бұрын
Uyo mtot akipatikan wahame kabisa yey n mama AK uko Zanzibar waje at Arush shule ziko nzuri tu n abadil lain KBC
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 ай бұрын
Kwann msiende wizara ya watt uko zanzibar
@laprincessatokyo2188
@laprincessatokyo2188 8 ай бұрын
Si azae wake
@SharifaHayatta
@SharifaHayatta 8 ай бұрын
Document za nyumba Zuchu fixer wizara ya ardhi
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 8 ай бұрын
Haki ya mtu haipotei, naamuni mtoto wake atampata tu, damu ya mtu haipotei, ni muda tu
@chapter2719
@chapter2719 8 ай бұрын
Kwanini hakumchukua mtoto pale kwenye msiba
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 8 ай бұрын
Mtoto hakwendwa msibani hakupelekwa
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 8 ай бұрын
Utakuta rose hana wazazi😊😅
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 ай бұрын
Mama yupo timamu kwani mahakama hautumii akili jaman rais mwingi upo zanzibar ingekuwa ni Tanzania Bara hii ingekuwa ishakwisha
@aminashoo7923
@aminashoo7923 8 ай бұрын
Naomba kuhuliza Rose ni Kabila gani?
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 8 ай бұрын
Rose ni mtanga kwao tanga hapo zanzibar alikuja kufanya kazi hotelin
@shamzone388
@shamzone388 8 ай бұрын
@@khadijachacha3156tanga wapi au vijijini
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 8 ай бұрын
Jmn leo c mlisema mko zanzibar na mtoto anapatikana imekuaje
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 8 ай бұрын
Nauli haijatosha
@sabrinaibrahim1127
@sabrinaibrahim1127 8 ай бұрын
Rose mwisho wake umefika
@najmasaleh5536
@najmasaleh5536 8 ай бұрын
Usitubanie anko j
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 8 ай бұрын
Rose huo ni uchawi kabisaaa huwezi kumng,ang,ania mtoto wa mwenzako huoni aibu mwanamke mwenzako amemuweka miezi9 ebu acha ushwetani mjinga wewe.mbona hukumpeleka mtoto wako huyo utamtowa huyo mtoto
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 8 ай бұрын
Zenj njaa tuu 😅😅😅
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 8 ай бұрын
Kabisa aiseee
MAPYA YAIBUKA: Mchina Asababisha  Mazito kwa Mama na Mtoto!
29:04
Global TV Online
Рет қаралды 330 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
INASISIMUA: Mtoto Aliyetupwa Kishirikina Ashangaza Dunia!
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 384 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН