🔴

  Рет қаралды 8,435

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@floramatowo9054
@floramatowo9054 9 ай бұрын
❤❤ Pole
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 10 ай бұрын
Da imelda hongereni tunawapenda kusaidia ndugu zetu mtoto anauma jamani
@mukeshimanataussi6939
@mukeshimanataussi6939 10 ай бұрын
Da sauda mungu atakusimamia in nshallah na na Da Zari na imelde mungu atawalipa jikazeni mumsaidiye sauda kwa kweli ameteseka sana
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 10 ай бұрын
Mungu ambariki huyu dada Lita, Mungu amwongezee alipotoa.
@mukeshimanataussi6939
@mukeshimanataussi6939 10 ай бұрын
Mungu akulipe akulope dada LITA kwenye umetowa akuzidishiye dada Lita
@aggysammy6756
@aggysammy6756 10 ай бұрын
😢huyo Bibi mchungaji anamaanisha nini anaposema kinachogombewa hapo ni mali na sio mtoto? Yaani Sauda hajamuona mtoto wake mwaka wa tatu huu hiyo hamu ya mali anaitoa wapi? Kanikera huyo Bibi
@leokamil6284
@leokamil6284 10 ай бұрын
Huyo Mchungaji anamngangania mtoto kwa ajili ya Mali tu ,hanamnganganiaje huyo mtoto na sio wake.Mimi siafiki na huyo mwanamke hata kidogo, iweje Mchungaji amnganganie huyo mtoto mwenye Mama yake ?😢
@leokamil6284
@leokamil6284 10 ай бұрын
Wanampandikishia mawazo yao ya Mali Sauda wampe mtoto wake kwani Sheria inasemaje?Serekali toeni Haki
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 10 ай бұрын
nimeshangaa pia hiyo kauli yake sauda alishasema akae na mali amrudishie mtoto. na hata ingekuwa siyo mali bado sauda angedai mtoto wake.hakuna. mzazi anaeza tenganishwa na mama yake
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 ай бұрын
Mpeni.mtoto wake huyo Dada akuqchie mtoto vp apambane na mali na yy unamuina yy apambanii mali anapambania mtoto wke we mama wewee mtoto wko ww analelewa na nani mpe mtoto wke acha kumtetea mchumgaji mchungaji atie mtoto upended upi also nao kwa sauda analeahe mtoto sio wke Kwan kwa mama yake awezi.kusoma hii Dunia inaenda wpi basi tuseme hata nanyi mnaganda huyo.mtoto kuna siri kubwa hapo uenda kuna.mali zipo mnaona.mkitoa mtoto kutajulikqna jambo mpeni.mtoto wke Hans aliwaambia asome kwn mama yake alikataza asisome mhhhh hakunqnhekimq hapo
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 10 ай бұрын
Sauda apewe mwanae basi
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
Pia Contact Child Abuse Organization waingilie kati tu find out if that is abduction or not
@FatumaFatu-ok9kt
@FatumaFatu-ok9kt 10 ай бұрын
😢😢😢😢 mtoto anauma kuliko Mali
@AzizaRajab-q7n
@AzizaRajab-q7n 10 ай бұрын
Allaah amsadie Sauda apate mtt wake hyo mama sijamuwelewa.Allaah qareem
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
Na kupata certificate copy of inheritance aliyo nayo rose contact or write direct to PROBATE COURT Germany
@UkhtyMwana
@UkhtyMwana 10 ай бұрын
Sauda Allah atakusaidia kupata mtoto wako inshaAllah
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 10 ай бұрын
Rose hatapewa mtoto kwa maoni yangu, atarudishwa kwa mama yake mzazi InshaAllah
@OnlyRuky
@OnlyRuky 10 ай бұрын
Huyo anayeongea kwa cm nakusema issues ni mali hivi kweli ni mwanamke? anamsemea mwenzake ambaye hajamuona mtoto miaka 3 unasema aache asome😮kwani hawezi kusoma akiwa kwa mama yake?
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 10 ай бұрын
Rozi ni mchoyo umepata mjengo wote huo lkn unamnyanyasa mwenzako. lkn Mungu anakuona na Mungu ni muadilifu je wewe ungechukuliwa mtoto ingekuwaje .umemtesa mwenzako mpaka amepata depression depression
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
THE CHILD BENEFIT UJERUMANY NI EUROS 250 KWA WEEK anazo chukua Rose
@fatumaseif505
@fatumaseif505 10 ай бұрын
Kutoka kenya inshaallah sauda atapata mtoto wake ni damu yake
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Amiin 🤲🤲😢😢
@asiasalim9323
@asiasalim9323 10 ай бұрын
We Rose mrudishie mtoto wake Sauda ucjizime data mtoto anauma, unafanya kama hauna mayai Ya uzazi? Na Mali ni mapito tu hayo hushangai alozitafuta kazi acha ?
@ShanilaHamisi
@ShanilaHamisi 8 ай бұрын
Sauda mungu atakusmamia utapata mwanao nauta mpakata kwamala nyingine tena mpenzi.mtoto anauma jamani 😢
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 10 ай бұрын
Mungu anijalie nichangie hili jambo maana roho inaniuma
@marthageorge5043
@marthageorge5043 10 ай бұрын
Mungu ni mwema sauda tapata mtoto wake
@ShamimuKhalid-u6t
@ShamimuKhalid-u6t 10 ай бұрын
Mhhh Dunia hii hatr🙌, xx hv kila mtu atasema kaachiwa usia wakat uyo mr hanc hakuwa ata rafiki mda wote alikuwa na rose
@salmabasil385
@salmabasil385 10 ай бұрын
Icho kimtu kinacho ongea kinaongelea mali tu sauda anataka mtoto wake na kama kuna mali bado ni haki ya mtoto chini ya usimamizi wa mama yake
@attunelson8828
@attunelson8828 10 ай бұрын
Sauda usikubali mtoto kubaki kwa huyo mama
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 10 ай бұрын
Mchawiii uhoo mama mwiziiii sana. Apewe mwanae. Mwizii uyooo
@ShamimuKhalid-u6t
@ShamimuKhalid-u6t 10 ай бұрын
Wasitake kumpa stress sauda nyie hamjui ni kiasi gan uyo Dada kaangaika na uyo mtoto mtoto mwnyw ndo uyo uyo mmoja lkn kila mtu anajifany yy nd mlez wa uyo mtot
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 10 ай бұрын
Tupaze sauti elia watu wasiende kanisani kwake ni tapeli
@NashatAhmed-z2t
@NashatAhmed-z2t 10 ай бұрын
Dada Imelda bado mimi mawazo yangu ni vile vile mufanya kuwahusisha Ubalozi wa Ujerumani ulipo Tanzania
@JOSEPHNYANDA-rg5ml
@JOSEPHNYANDA-rg5ml 9 ай бұрын
Jaman mkasa wa sauda umeishia wapi amepewa mtot ake au maan tare 9 ilikuwa n mahakaman
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 10 ай бұрын
Huyo mchungaji hana jipya huyo Rosse arudishe mtt kwanza, mtoto muhimu kuliko mali huyo bb awache blabla keshanunuliwa na Rose maongezi yake hayana msingi utazuiaje mtoto wa mtu kwa miaka 3
@MwajumaBakari-lp1tf
@MwajumaBakari-lp1tf 10 ай бұрын
Rose ludisha mtoto WA mwenzio acha tamaa mtoto anauma jamani Mali zitakuawa rose
@salmabasil385
@salmabasil385 10 ай бұрын
Mchungaji na Rose waende chuo cha mafunzo wakakae kidogo huko ili wajue walimtesa vip sauda
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Hv huyu rose kwann ana mshikiria huyo mtt sana sawa babake alisema kwann asiseme mbele ya mama wa mtt (sauda) yn aseme mko watu 2 tuu jaman hebu rose muogope mungu toa mtt huyo kwa mamake bhn
@Kayuni005
@Kayuni005 10 ай бұрын
Inasikitisha sana kuhusu swala zima la Sauda na Rose na mtt wa Sauda kitendo hanachokifanya Rose ni kitendo cha ukatili
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
Wacontacting Familienkasse ujerumany ambayo ni Federal Employment Agencys Families Benefits
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Rita muzambiki allah atakulipa inshallah 🤲🤲
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 10 ай бұрын
Sauda apewe mtt waki Tembo hashindwi na mkonga wake
@nilufaallyhussein7678
@nilufaallyhussein7678 10 ай бұрын
Rose is getting 1500 Euros every month 1000 Euros for child support for the 3kids and 500 Euros for her late husband pension they do that in Western Europe until children are 21 years old
@zabubamudy126
@zabubamudy126 10 ай бұрын
ni kweli hili ??
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 10 ай бұрын
Hapo kwanza apewee mwanae huyo mchungaji na huyo mama alo ongea wanaonekana wapo pamoja da zari wachunguzeni hawa wawili
@leokamil6284
@leokamil6284 10 ай бұрын
Kweli kabisa ukizingatia Mchungaji ni mbabaishaji kwa nini sasa igeuke ati yupo upande wa Sauda?.Kwanza huyo Mama katokea wapi?.Sauda awe mwangalifu inawezekana kwa asilimia kubwa huyo Mama katengenezwa na Mchungaji pamoja na Rose ili wamlainishe Sauda ili ionekane Sauda shida yake ni Mali .Kwa nini huyo Mama anganganie kusema ati shida ni mali ?nimeshangaa sana. Naendelea kushangaa kuona hii nchi ina Sheria na Haki kweli?inawezekana vipi Biological Mama awepo mzima anyanganywe mtoto kitapeli na watu wasiokuwa na nasaba yoyote na huyo mtoto hii inadhihirisha Tanzania neno haki hakuna na haki za binaadamu hakuna. Watu wa haki za binaadamu mpo wapi nani anajua kama huyo mtoto hafanyiwi vitendo vibaya?.Nchi hii mwenye uwezo ndie mwenye haki inaumiza sana ,wampe Mama mtoto wake kesi ya mali na mtoto haviendani .Pia wasilete blabla Mzungu kasema hatutaki walete maandishi ya huyo Mzungu bila maandishi hatukubali hadithi za kutungwa.Tatizo la Serekali yetu haiendeshwi kwa vithibitisho vya maandishi huendeshwa kwa kauli ndio hiyo huchangia haki kutoweka. Utaskia ati alisema toa maandishi?.
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
ULAYA yote wana stopisha child Benefit wakifika miaka 18 kwa hiyo Rose anazila kama kamzaaa yeye
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
KUHUSU NYUMBA ni sakata lingine huyo Mtoto ANA SHARE YAKE HAPO. ROSE AKIPATA LAWYER'S WAZURI WA KUDUKUA DUKUA HAKI ZA MIRADHI YA HUYO MTOTO UBALOZINI AU OFFICE ZA MIRADHI UJERUMANI DETAILS ZOTE ZITAKUWEPO
@fatmaissa5685
@fatmaissa5685 10 ай бұрын
Kwani mzungu aliuguwa?liangaliwe nalo isije ikawa naniiiii
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 10 ай бұрын
Mchungaji tutamuamuni vioi ilhali Hance hayupo????lakini pamoja na hayo yote mtoto arudishwe kwa mama yake!
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
HII kesi ni kubwa sana kuliko mnavyofikiria Dunia Nzima itatataka kujua drama hii inaishaje maana mtafufua mengi
@mishigwan6598
@mishigwan6598 10 ай бұрын
Sasa Basi Mchungaji Nae Akakae na Watoto wa Rose Awape Elimu Siyo Akae na Sabra tuu
@mauamnobwa3519
@mauamnobwa3519 10 ай бұрын
Elia na rose jalibuni kuvaa viatu vya sauda kwanza!!!!? hivi mungekua munafanyiwa nyinyi hivyo mungejiskiaje!!? jinsi mnavyomfanyia sauda!!? Mungu hatowaacha hivi hivi haki itatendeka tuu.
@axmedcali5097
@axmedcali5097 10 ай бұрын
Yes
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 10 ай бұрын
Mchungaji ni mnafki nahuyo anae ongea nae haeleweki anababaisha
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 10 ай бұрын
Huyo sio mchungaji nipepo
@umranim5854
@umranim5854 10 ай бұрын
Huyo rose kashika mtoto kwa tamaa ya mali tu lakini akumbuke sauda ana umia sana kumkosa mtoto wake na mlezi bora kwa mtoto ni mama mzazi Mungu msaidie sauda apate haki yake
@mishigwan6598
@mishigwan6598 10 ай бұрын
Rose Apewe Mtoto Wake Apewe Na Mali Ilokuwepo No Matter What
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 10 ай бұрын
Siamini hivyo, Sauda apewe mtoto wake, mali haijalishi hapo mama apewe mtoto wake tu hakuna hili wala lile hapo
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 10 ай бұрын
Kwani Rose ni Nani kwenye hii nchi anasumbua viongozi wote hao Ni Nani ???
@aminashoo7923
@aminashoo7923 10 ай бұрын
Kaulimbiu Rose mrudishe Sabra hacha Tamara ya Mali.
@attunelson8828
@attunelson8828 10 ай бұрын
Hivi huyu mama anaakili kweli?Anajua thamani ya mtoto?
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 10 ай бұрын
Hapo wanampiga changa la macho eti mtoto atasoma wewe mchungaji nani hasw kama pesa mushakula inatosha mpeni mtoto wake wazazi matumbo yanatykata 😢😢
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 10 ай бұрын
Sauda apewe mtoto wake usikubali
@demicratia4071
@demicratia4071 10 ай бұрын
Mambo haya ni makubwaaaaa
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 10 ай бұрын
Suala sio Mali,mpeni mtoto wake sauda atalea mwenyewe,Mali zinatadutwa
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 ай бұрын
Kuna siri hapo kwa.mchungaji siri kubwa Mungu tuhurumie mchungaji achkuliwe hatua kisheria huyo mzungu inaelekea alicha.mali hapo kanisani.mpeni mtoto wke unaleaje mtoto si wko mama yke yupo hivi inakuwaje nyie watu
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 10 ай бұрын
Uyu mama mchungaji akiongelelea swals la Mali nisawa lakini mtoto kwanza kwani uyu mtoto hawezi kusoma akiwa na mama yake ivi kweli uyu mama mchungaji anaongea Nini jamani ama kweli maneno yake Mimi naona ni utoporo anyamaze
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 10 ай бұрын
Globol nawapenda msaidieni sauda apate mtoto kama warda alivyorudi kwa mama yake zaliam mnafanya kazi nzuri
@UkhtyMwana
@UkhtyMwana 10 ай бұрын
Huyu mwananke aache roho mbaya kama yeye mwenyewe aiacha kwahivyo ampe mtoto wake
@marryambrossy
@marryambrossy 10 ай бұрын
Uyo rose ni mshenz ungezaa wako kama unataka mtoto baba kafa rejesha mtoto watu
@estherunruh6456
@estherunruh6456 10 ай бұрын
Mtoto apewe mamake. Yuyu mtu simjukanji nimunyama. Bona wanaongelelea Mali. Hiyo sikanisa.
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 10 ай бұрын
Polee yake na huo uchawi
@UkhtyMwana
@UkhtyMwana 10 ай бұрын
Sasa kama mali basi apewe mtoto wake
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 10 ай бұрын
Rose ni tapeli tu, mali basi hata mtoto wa mwenzake jamani ??
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 10 ай бұрын
Uyo Mama ni mwizi na Mchawiii. Ana AIBU. Heee ampstie mwanaer NI PESA tuuu mwizi WA MUME WA mtuuu . Kiuchawiii
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 10 ай бұрын
Anasema hagombaniwi mtoto bas amwache mtoto ndo tuone kuwa ni mali ama laa
@UkhtyMwana
@UkhtyMwana 10 ай бұрын
Apewe mtoto wake ikesha iyomali itafata baadae
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 10 ай бұрын
Rose wewe ni muuaji na jambazi mpe mwenzio mwanae huoni hata aibu
@bekabakari7394
@bekabakari7394 10 ай бұрын
Kuna makabila Yapo na tabia hizo
@ndalusanzekassim5902
@ndalusanzekassim5902 10 ай бұрын
Sada huyu mtoto kwa nini anamzuia kwa mama yake.
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 10 ай бұрын
Anamzuia sababu amemuweka km kitega uchumi chake
@MaimunaShekimweri
@MaimunaShekimweri 10 ай бұрын
Haki ya mtu haipotei
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 20 МЛН
KITALE NA STAN BAKORA WAKAMATWA NA BANGI
11:52
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 328 М.
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН