Hongera Rais Samia kwa kazi nzuri uliyoifanya kwa kipindi chote cha utawala wako mpaka sasa.Mungu akuinuwe.Amina.❤❤❤❤❤
@masdavie17 күн бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Rais❤❤❤❤
@JanethMassawe-d4e17 күн бұрын
mama hongera sana kwa kazi nzuri uliyoifanya kwa huu mwaka tulio maliza pia nikuambie kuna siku nilikuota ulikuja kwangu ukanikuta tukapiga stori ukaniambia nitafute kisehemu unifungulie biasha ya kufuga kuku mara ukaondoka na ndoto yangu ikaishia hapo mama yangu ninakupenda
@JANUARYSINKAMBA-j1o17 күн бұрын
Hongera Rais wetu wa jamhur yamuungano na mwenyekiti wetu wa CCM,,,unatekeleza umesubutu
@remidusmwanandenje-yy5gs9 күн бұрын
Mungu nimwema nyakati zote mama yangu💚💚💚💚🙏🤚 ombi kutoka kwako mama Rais wangu nixhike mkono niezeke pagala langu na mungu atakubaliki utakapo toa🙇🙇🙇🙇🙇🙇🤚🙏
@farujohn62217 күн бұрын
Nh Rais hongera sana Mungu azidi kukusimamia.Akupe afya njema 2025 tupo pamoja na wewe Mungu akupe uzima
@RhodaLema-z8w17 күн бұрын
Kongole sana Mama Samia Suluh piga kazi tunakuombea sana kwa Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi akulinde na akutunze
@GetrudaInnocent9 күн бұрын
Mweshimiwa rais samia naomba msaada wako tulitapeliwa shamba miaka nyuma iliyopita naomba utusaidie maana tulienda makamani ikashindikana
@davidsingoy759217 күн бұрын
Amiri Jeshi Mkuu🙏 Mwenyezi Mungu akulinde Rais Wetu.
@AbdilahiMriri16 күн бұрын
Hongera sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utendaji mzuri na Hotuba hiyo nzuri pamoja na kulimudu Taifa utabiri unaonyesha 2025 2030 utatisha zaidi Mkuu wetu wa Nchi yetu tukufu yaTanzania.
@danielmgovano-uf8ed17 күн бұрын
Piga kazi mama tunaamini kuwa Mungu ametuzawadia wew kama mama yetu wa inchi tunakupenda 💪
@halimasaidi291517 күн бұрын
Kila la heri Mh.Rais Mwenyezi-Mungu akuepushe na dhahama za duniani. Amiiiin
@HappyMangula-w3h17 күн бұрын
Nchi yangu Fahari yangu hongera Rais wetu Dr SSH
@MeoexaOsca17 күн бұрын
Mungu akujaalie kikubwa iweke nchi yetu ie!delee kubwa.amani
@PastorErickjmi17 күн бұрын
Mama yetu naraisi wetu tunakupenda sana tunakuombea sana sana mungu akupe afya njema na famiriya yako mwaka huu urinzi uwe juu yako
@ThomasMsigala-pi4ze17 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Sana na Mwaka huu mitano tena .
@ClemenceSanga-x4b17 күн бұрын
Mimi mama kula yangu nafamilia yangu kwaujumla umechukua bila kupinga 2025 tunaenda namama tena❤❤
@mcnelsonkisinga820417 күн бұрын
Asante mama Samia Suluhu Hasan. Tanzania nchi yangu nakupenda
@aforeignlawyerinamerica647817 күн бұрын
Kazi nzuri Mama Samia# hakika unaweza 🎉🙏🏿
@immaculataroeser909417 күн бұрын
Heko Jemadari wetu kazi unaimudu hasa!! Pokea maua yangu mama.
@evancemwasenga479517 күн бұрын
Hongera Sana kwa kazi kubwa unayoifanya mama yetu wa taifa.
@abdallahlungo381617 күн бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Mama.
@DullahEbwe17 күн бұрын
M/Mungu akuongoze kwa kila hatua Akuepushe na husda za watu wachache wasokupend Insha allah
@elias.e.urassa17 күн бұрын
Dr. SSH, ❤❤❤ Amiri Mkuu Tunaomba Ajira
@AbdilahJahaKhamis16 күн бұрын
Good bless you
@Ibrahim-st3uo13 күн бұрын
ALLAAHU akuhifadhi Mh Raisi
@EdwardMpagike6 күн бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mama mungu .azidi kukupigania.
@ayuburajabsilima584017 күн бұрын
Kazi nzuri mama kazi indlee mama
@kiritvaitha383917 күн бұрын
Bless you, beloved President. Wishing you a very happy new year.
@yussufomar415017 күн бұрын
Hongera mama kwa kazi nzuri mitano tena.
@FatmaYusuph-i5g6 күн бұрын
Rais Samia naomba msaada wko wa kumsomesha mwangu
@remigiusfulgence.17 күн бұрын
Kongore kwako Mheshimiwa Dkt. Samia Sluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukuongoza.
@luganomwaigomole744117 күн бұрын
Amen Mama
@valerianrwebandiza75417 күн бұрын
Huyu Mama namuelewa sana!
@LoneySafari17 күн бұрын
Mitano tena piga kazi raisi wetu
@Zxodes17 күн бұрын
Nakupenda mama
@NgusaSamsoni17 күн бұрын
Nakuombea mama mungu akulinde
@bethammedesto994517 күн бұрын
Chapa kazi mama sisi kazi yetu ni kukuunga mkono
@hashimposho-ju6nz17 күн бұрын
Kwa mwaka huu wa 2024 namlilia sana mzee kibao japo nijamuona kwa macho ila amerud kwa allah kwa ukatili sana
@DINASSOUR17 күн бұрын
Mzee KIBAO hajapoteza ......Haki iko akhera duniani ni dhulma....
@LerwenceokuloMolle17 күн бұрын
Mama yangu endeleya na half thote ujesi wa taifa Linda taifa lako
@AngelRupia-od2gu8 күн бұрын
Mama nakupenda wanachanika tunaomba maji
@GarmaaChinga-o9m17 күн бұрын
Hakuna atakeye kupinga bado miaka 10tena hata bila kapeni unapta ccm noma
@GarmaaChinga-o9m17 күн бұрын
Tunakuombea afya njema na kazi iendelee tuna bahati kumpata raisi mama tanzania na wwe raisi wa kwanza mwana mama tuomba ajira walimu tumekaa sana mtaani
@AziziRashid-x8f17 күн бұрын
Sawa mama 🙏👍
@YusufuRashidi-c1h17 күн бұрын
Safi sana doct
@hospitalitydeepdivenetwork427117 күн бұрын
🎉hongera mama
@salimabdul442417 күн бұрын
Good mamaa
@negusswai820617 күн бұрын
Kazi iendelee
@HAMISIJACOBO17 күн бұрын
Mh pamoja na hotuba nzuri juu ya taifa. Lakini Kuna watanzania wamedhulumiwa mali zao kupitia serikali yako
@AbdilahiMriri16 күн бұрын
Wp naomba namba
@richardmisogalya949917 күн бұрын
Amina
@shabanishemzize565517 күн бұрын
Miaka30 tena kwa mama
@salimabdul442417 күн бұрын
❤
@emmanuelchacha73617 күн бұрын
mama mitano tena
@RajabQassm17 күн бұрын
Barabara yetu ya Mkoani Pemba bado ni changamoto muheshimiwa twaomba utuseidie Raisi wetu mpendwa
@josephosborne307217 күн бұрын
Nyie si mna Rais wenu? Au
@RajabQassm17 күн бұрын
@josephosborne3072 Hahahahahaha hemu usinichekeshe huyo ni Raisi wa Tanzania na sio Raisi wa Tanganyika na unapozungumzia Tanzania maana yake ni Jamuhuri ya muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.
@RajabQassm17 күн бұрын
@josephosborne3072 Na sisi tunapoenda kupiga kura tunapiga kura ya Raisi wa Tanzania na Raisi wa Zanzibar, kwaiyo Raisi wa Zanzibar ana majukumu yake kama Raisi wa Zanzibar na Raisi wa Tanzania pia na yeye ana majukumu yake kama Raisi wa Tanzania sijui umenielewa kiufupi sisi tuna maraisi wawili na kama na nyinyi munataka kuwa kama sisi daini Tanganyika yenu.
@josephosborne307217 күн бұрын
@RajabQassm Tuidai Tanganyika ya nini sisi?ina faida gan?
@RajabQassm17 күн бұрын
@@josephosborne3072 Sio lazima ila nilitaka ujue kuwa huyo Raisi ni wakwetu sote na sio Raisi wa Tanganyika sawa
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k16 күн бұрын
❤❤❤
@TINO2DADY17 күн бұрын
Hii ni green screen??
@GarmaaChinga-o9m17 күн бұрын
Mama tukumbuke walimu tupate ajira
@GarmaaChinga-o9m17 күн бұрын
Kazi endelee 2025
@deomathew-s2q5 күн бұрын
acheni ushabiki mbona mnatoa sifa za uwongo
@ALEXANDERELIKADO17 күн бұрын
Mama tupo pamoja mama ajira sekta ya uvuvi na ukuzaji viumbe maji (fisheries and aquaculture ) ajira hazitolewi na zikitolewa ni chache Sana tangaza 2000 upunguze vijana mtaan tuangalie tunatabika mitaji hutuna tulisoma kwa tabu Leo tunaendelea kutabika
@adamally983317 күн бұрын
Mama na wafanyakazi wa mashirika binafsi wananyanyasika Sana utukumbuke nasi
@salimabdul442417 күн бұрын
Jamani barabara ya mbagala mkuranga mamaa ni shida
@RamaNyoka17 күн бұрын
Kubwa la maadui ,watekaji
@StevenKilimo17 күн бұрын
Hutuba ya mwisho ya Rais Samia
@Mayckombise10 күн бұрын
Unaupigo mwingi Amna kitu magu ndo jembe tuu
@KhamisMalenda17 күн бұрын
Mama unafeli wapi kwenye umeme mbona kipindi cha baba alikomaa sana kwenye umeme unakatakata sana wamgao dili wanao kukwamisha