Hongela sana Rais Kwa kujenga taifa Moja,nimefulahi sana safiii
@WilliamuChalamila3 ай бұрын
Hongera mama Kwa kutuletea maendeleo ❤
@samoskiyalo60953 ай бұрын
Maridhiano ni njia sahihi ya kujikosoa na kuishi kwa haki honera sani ndio maombi yetu ❤❤❤❤❤ VEMAAAA
@hajifakisalum79093 ай бұрын
Asante mama uongozi bora taifa salama
@marychami17003 ай бұрын
Proud of county and mya president ❤
@MichaelKingazi-wm7xj3 ай бұрын
Sana mamaa mwenyeji mungu.amen anapenda tuishi kwa.kupendana. amen. Mama u a fear of God.
@MusaOgwoko3 ай бұрын
Watanzania Bwana hatari
@gaagwasaugustino25843 ай бұрын
Maridhiano hayana maana wakati mnauza rasilimali za Tanganyika,Ardhi,misitu,madini na kila kitu huku Wananchi wanateseka! Ccm ina maneno mazuri kwa Wananchi wakati wa uchaguzi,ngoja uchaguzi uishe muone mateso kwa Wananchi!?
@mataypanga52623 ай бұрын
Sawa mama ,kauli ya unyenyekevu na ubinadamu.Sijui hili la kuwapa bure misitu yetu,ardhi,bandari,madini,tunafanyaje
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
INAFIKIRISHA
@faustinebahenobi34123 ай бұрын
Awezi kupata hasara yeye si mzazibar
@warrenmgode18373 ай бұрын
Ulichonifulahisha sana umezugumusiya maliziano taifa Moja hakuna kunyanya sana safiii
@faustinebahenobi34123 ай бұрын
Una uhakika na hayo maridhiano
@MosesLIARINImollel3 ай бұрын
MA MA UYUU NI MWIZI HAKUNA LOLOTE NI UJINGA TU anayo
@TwalibuKimaro-th5mv3 ай бұрын
Tuwe Malini na rushwa zinazotolewa kuua demokrasia
@gaagwasaugustino25843 ай бұрын
Wewe Stela wewe kuwa makini usije ukanunulika kama Msigwa! Usianze kujipendekeza!?