JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@ShamimuKanju23 күн бұрын
Majirani mmeishi vzr mzee Musuguri Mwenyeezi Mungu akupe kauli thabit
@angellomarcel567728 күн бұрын
Mama umejitunza bado uko vizuri mno ❤
@ChristmasMaheri29 күн бұрын
Kiongozi mwenye maadili mazuri anasaidia kuleta upendo,furaha na amani katika mioyo ya jirani zake.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
@furahachuma903929 күн бұрын
Kwa maelezo ya majirani, Mzee Msuguri alikuwa muungwana sana.
@JumaMartin-e4v29 күн бұрын
Kipindi hicho utawala wa mwalim msuguri asingeweza kujenga majumba ya kifahari.pia tukumbuke kwa miaka hiyo nyumba ya msuguli ilikuwa ndio inaonekana ni jumba la kifahari kwa wakat huo.nyumba nyingi zilikua za udongo coache sana ndio zilikuwa za tofari.tazama hata gari za msafara za wakat wa mwlim huwez kulinganisha na magaziri ya kisasa.msifanye mchezo zaman huwez kuwa na nyumba kama ya msuguri utaulizwa pesa umepata wapi.c nyumba tu sabun za kuogea zile za kunukia au za kufulia ukikutwa nazo katon moja umekamatwa.hivyo mjue kwa wakat huo nyumba ya msuguli ilikua ndio mijumba ya thaman
@SharifaMohammed-el3ug29 күн бұрын
Jamani poleni. Naomba serikali iwe inawatunza viongozi wetu wakubwa. Kurekebisha makazi yao na kutazama jinsi ya kuwatunza
@FrolenceRogath-fv6ku29 күн бұрын
Inawatunza vizur tu
@MfunjoWabaBoydays27 күн бұрын
@@FrolenceRogath-fv6kuinawatunza vzr tu chai are sure 😂,
@SafiaOmar29 күн бұрын
Dah nimeishi mbezi kwa msuguri sikujua kama ni jina la mtu. Poleni wafiwa
@mshua33728 күн бұрын
Duh
@NgikumsurieTarimo29 күн бұрын
ni ukwel marehemu msuguri mtu mwema sana tutamkumbuka daima mungu amlaze pema peponi .
@PrinceHendry-hp8vv29 күн бұрын
Daaa jamani hiyo nyumba kwann jesh hamjafanya kitu
@mshua33728 күн бұрын
Alikuwa hataki then alishahama miaka Mingi kurudi Kwao Mara
@SamwelNtandu-v2v29 күн бұрын
RIP Mzee msuguri jamani namkumbuka wakati nasoma miaka ya 1985 nikiwa nasoma Makongo shule ya msingi poleni sana
@ProsperUlungi-p3t26 күн бұрын
Mbona nyumba ya kawaida sana kwani jeshi walikuwa hawaiyoni
@gracekagoma323129 күн бұрын
Mi kweli,alikuwa ma roho nzuri sana na mzalendo😢
@basilisamsaka846929 күн бұрын
Lkn fundisho hili kwa serikali kuwaangalia watu km hawa waliojitoa kupigania Taifa hili wwatuze na kuwalipa posho kulingana na hali ya kimaisha,mtu mkubwa huyu kijumba km hichi jmn
@CondoRamadhancondo27 күн бұрын
Kujenga ni maamuzi ya mtu na hob ya mtu huyo mzee anaeneo kubwa sana sasa angetaka kujenga nyumba kubwa c angekata maeneo kdg akajenga na sio iyo nyumba mlioiona tu
@JohnsonSemely28 күн бұрын
Jamani serikali iwakumbuke sana viongozi Kama hawa ni aibu sana kiongozi mkubwa Kama huyu na amefanya kazi kubwa kwenye taifa hili harafu makazi yake yamechoka hivi jaman sio sawa hata kidogo
@Dullah_tz28 күн бұрын
Anaishi mara
@mariakibwana370028 күн бұрын
Daa mara ya mwisho nilimuona jeshini 1989 Makutopora.
@Mpendahaki25 күн бұрын
Jeshi haliwatunzi na kuwathamini viongozi wake.yaani hiyo nyumba ya kukaa mkuu wa majeshi kweli?mkuu wa wilaya anafanya kazi mwezi mmoja tu kajenga ghorofa iweje huyu mzalendo katelekezwa hivi?
@OscarKasalile24 күн бұрын
Mzee msuguri alikuwa mjamaa hakuwa bepari, mwendo kaumaliza salama je wewe na mimi tutamalizaje?
@MwajumaKiviyo-bt6mc29 күн бұрын
Mwendo umeumaliza pumzika Kwa Amani
@edmundnkarangu13429 күн бұрын
Rip Msuguri😭😭😭🙏
@rewardyesse731429 күн бұрын
Watu wanaongelea nyumba tu,,mnadhani msuguri hana makazi mengine,,wanajua kwann wanafanya hivyo
@clarakizigha371729 күн бұрын
RIP MZEE WETU
@praygodmtui140729 күн бұрын
Nyumba ya mwanajeshi jamani Mungu amrehemu alijengea mahawara akasau kwake
@sskondopoleani961629 күн бұрын
@praygodmtui1407 Kuwa na Adabu japo robo hasa kwa mtu aliyekwisha ondoka *DUNIANI* Wewe unamjua vizuri Mzee Msuguri?? Unawajua Mahawara zake? Mumezoea kuona mtu akiwa na cheo basi lazima awe na Makasri, na kama angekuwa na hivyo unavyo vikiria wewe kuwa lazima Mwanajeshi awe navyo ungemwita Mwizi, Fisadi n.k. Binadamu Binadamu Mtaka nini???
@juliusakilimali942429 күн бұрын
Ivi unajua mishahara ya zamani? Unajua pension walizokuwa wanalipwa?
@basilisamsaka846929 күн бұрын
Mpumbavu wewe ukijua kipindi Chao kilivyokuwa kigumu na mishahara midogo sana
@SharifaMohammed-el3ug29 күн бұрын
Ulikuwepo? Ndo maana mnafungwa
@MalaikaBright-rv6yb29 күн бұрын
😢😢😢😢lohhh wewe omba Toba Kwa MUNGU Mdomo utakuponza Take care
@eunicembaga497629 күн бұрын
Duuu hiyo ndiyo nyumba ya mkuu WA majeshi?😮
@LoitushulYamat29 күн бұрын
Jeshi fanyeni ukarabati ya mheshimiwa huyo jambani
@jonijoogabriel372828 күн бұрын
Mbona nyumba haifanani na utumishi wake jamani 😢
@rexgodwill735328 күн бұрын
Aliamua kuishi hivyo na hata wakati alipoijenga ilifanana na utumishi wake... Ana eneo kubwa Sana eneo Hilo na jeshi limemtunza Sana mpaka umauti wake..
@EmmanuelMushi-t4w29 күн бұрын
Mbona pamechoka hvyo
@mr.erickmwacha857529 күн бұрын
duh msuguri kafa kaacha tu kibao cha mtaa hapo. sasa Iyo nyumba kweli ni ya jenerali kweli, kama nyumba ya Jenerali wa jeshi ni kama iyo je nyumba ya private itakuwaje??? hii ndo bongo sasa
@Dullah_tz28 күн бұрын
Hiyo nyumba ya miaka hiyo
@OscarKasalile24 күн бұрын
Huyu mzee msuguri alikuwa mjamaa, hakuwa bepari.
@NixonJohnson-zn8nk29 күн бұрын
Kama cheo kikubwa Hi you nyumba ndio hi to kumbe ujira ni ukoma...
@Mammymuhamed28 күн бұрын
Mnapenda sana kuongea, unahakika na usemayo. Kwa Cheo chake anahudumiwa na Jeshi mpaka kufa kwake .
@OfficialA8364029 күн бұрын
Mzee anatupanga Temboni tunaanza kwa Msuguli kituo cha pili sasa kumekufa vp wakati watu tunakua vituo vipo hd kesho 😂😂😂
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu29 күн бұрын
MZEE ANASEMA UKWELI HAPO KWA MSUGULI NDOO TEMBONI ALIPOAMIA PAKABADILIKA JINA PANAPOITWA TEMBONI HIVI SASA PALIKUWA NI KWA NDEMBO
@bongomsasa249629 күн бұрын
we unazungumzia kituo mwenzio anazungumzia eneo.. zamani eneo lote hilo lilikua linaitwa TEMBONI kisha likafa likaanza kuitwa Kwa MSUGURI.. sasa hivi temboni ipo kama kituo na msuguri ipo kama kituo pia lkn ndani ukizama eneo lote linaitwa kwa msuguri. Halafu unabisha umekuja juzi tu duniani unawabishia wazee walioanzisha hayo maeno..
@furahachuma903929 күн бұрын
Amesema eneo lote likiitwa temboni na mara alipohamia Msuguri pakaitwa kwa msuguri.
@angellomarcel567728 күн бұрын
...jina lilikuwa linajulikana ni Temboni..Sasa ili wasiiuwe Temboni ndo wakaita sehemu ya Eneo Kwa Musuguli
@OfficialA8364028 күн бұрын
@@bongomsasa2496 Niulize historia yoyote ya Morogoro road nikupe hd vilipokuwa vituo vya zamani sio vya sasa vya rami kubwa ndy utajua km mie sio wa kuja hapa Dar. Huko kwenye hayo mabwawa tushaenda okota kuni sana tu🤣