Momo ana busara mnoo na kinachomsaidia ni hyo hofu ya mungu,msikilizeni vzr mtamuelewa❤ allah akupe maisha ya furaha wew na mkewe mpk mzikane inshaalah
@MimahMimah-b7k2 ай бұрын
Ni kweli kabisa na wanaume wa namna hii ndio wanapata wanawake visirani maskini
@fauziasultanikilewa76022 ай бұрын
@@MimahMimah-b7kbwanaweee umenena
@deborahsamwel58332 ай бұрын
Shida ni kuwa bado anampenda malaika ila malaika mwenyewe sasa kawa mdada wa mjini hatari. Afu momo mpole
@MayaAlamari2 ай бұрын
@@zainabukimolo5827 aaminy yaarab
@khadijaamur60322 ай бұрын
Mm mwenyewe nimesema hivyo
@gasperlugaila20762 ай бұрын
smart sana momo mwanamke akipiga kelele silence is the best answer . saf momo
@nailaomar48102 ай бұрын
Mashaallah mungu akujaalie hivo hivo uwe kiongozi juu ya family yako inshallah
@ZuhuraHamadi-py4cu2 ай бұрын
Pole momo , jipanguse hiyo roho ya kukataliwa hadharani isiendelee, 😢so pain full muachie mungu atakupa faraja yako yakudumu
@LatifaMwandu2 ай бұрын
Mashaallah kaka una busara sana.wanaume wengi wangekuwa hivi...ingependeza sana.mwenyezi mungu awabariki ktk ndoa yenu
@rahmasalim198926 күн бұрын
Ricadomomo mpe nasaha mdogo wako Diamond aweze kumrudia mungu wake, amuoe zuchu na kuliko hiki wanachokifanya, zinaa. Halafu wazazi wanaangalia uchafu huu. Inatakiwa wakemee.
@CatySungula2 ай бұрын
Hongera Sana Momo, Mungu akujaalie ndoa yenye heri jamani. Hongera pia Mungu kukuepusha na Hilo limwanamke lishetani. Hakuna malaika hapo ni shetani
@nailaomar48102 ай бұрын
Mashaallah nafurahi kumsikia ulimi wake anaongea maneno ya kheri mungu atakustiri inshallah na akupe furaha na maskilizano na mke wako ameen
@firdaussheikh48172 ай бұрын
Aibu sana mwanamke akufedheheshe hivo. Momo sura imemshuka 😢 🇬🇧
@Mina.15Ай бұрын
😂😂😂
@Ruu9742 ай бұрын
Momo ni wazi anampenda malaika sema malaika wameshindwana tabia
@GiftAbduly2 ай бұрын
Kabisaaaaa
@shanibaniyas63082 ай бұрын
Kabisaa😔
@lifeonearth942 ай бұрын
Kapenda tako, simlaumu malaika kumuacha mana kila mwanaume atampendea hilo tako
@GiftAbduly2 ай бұрын
@@lifeonearth94 alikua hana ata tako la ivyo huyo kaenda zake kuongezea
@lifeonearth942 ай бұрын
@@GiftAbduly ila ni wazi upendo huo mnaousema upo sababu ya hilo tako Litoke na huo upendo unapotea ghafla
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
The switch imeanza kuwa tamu sana siku hizi jamani!!!!!
@khalsasalim79302 ай бұрын
Unavyojinyenyekesha ndio anapata kichwa kuona huja move on
@islamicreminder74512 ай бұрын
Ukweli huu kk
@nahyialetomia92842 ай бұрын
Background music is too loud
@نجمةموبيبي2 ай бұрын
Ila huyu kaka , hakubaliani Na hili , yote hayo bado hujatoa talaka , wewe ndo unaonekana bado hukubali , mwanamke anazurura Na wanaume kila kukicha bado wewe unasema ni mume wake mbona unashindwa kummudu mwanamke akatulia , Na yeye kashajua atafanya mambo yake kwake hupindui , unazalilika kila kukicha mitandaoni , dini unaijua lakin umefeli kwenye kufanya maamuzi.
@Ruu9742 ай бұрын
Yanaitwa mapenzi
@RamadhaniChamuange2 ай бұрын
MOMO NI MAN OF THE MATCH, huo ndio uwanaume na hiyo ndio type ya wanawake tulokua nao eeeh mungu tupe hekima waalah
@zuwanahemedy9170Ай бұрын
Mungu akujaliye mkwe wangu hphp kamatiya kwenye dini
@BernardMgimba2 ай бұрын
Jamaa anaongea point sana 🫡
@jasperyassin17082 ай бұрын
Momo umetisha San Big up san
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
Mambo 3 katika dini hayatakiwi kucheleweshwa no 1 ndoa no2 mtu akitaka kubadili dini no 3 mtu akifa awahishwe kuzikwa kila la kher likado momo ikawe ya kher inshallah
@flonahshimungah77582 ай бұрын
Nimemchukia Malaika... she didn't have to do that... tabia mbaya!
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Sijapenda
@isirlyissa86842 ай бұрын
Momo anampenda sana malaika anateseka sana maskin 😢mapensi mamae 😂😂
@PendoPeter-rr4jk2 ай бұрын
😂😂hata huyo aliye olewa ajipange kuishi na mtu anaye mpenda mtu mwingine kz sanaa
@Ruu9742 ай бұрын
Malaika ana jua momo ana mpenda ata mtesa sana maskini
@ThomasfrancisMvella2 ай бұрын
All in all ,,momo anatakiwa hajitahidi ku move on...jaman mapenzi yasikie kwa mwenzako tu, yakikukuta utajua ni kwa nn wengine wanagoma kuachana. Haata kama wanaona kabsa, hawahitajiki....
@MerryRenatus-ck4lz2 ай бұрын
Umewaza kama mimi😢@@PendoPeter-rr4jk
@KhamisBoss2 ай бұрын
Hongera san bro yote maisha
@michaelprofessional75742 ай бұрын
dah ya ricardo momo yamewahi kunikuta nikapenda pisi kali sana mzuri sana ila ana matukio balaa akaniacha ila mimi bado ,ngumu kumove on hasikuambie mtu ila nashukuru hatukufunga ndoa na hatukuwa tunaishi pamoja. lakini hii ikukuta kwenye ndoa ndio aibu kubwa,namuelewa riicardo sana anachopitia sana na najua kabisa bado moyoni hajakubali kabisa kuachwa mpaka ipite miaka mingi.
@RahmaRadjabu2 ай бұрын
Momo bado anampenda malaika
@flonahshimungah77582 ай бұрын
Nimemchukia malaika.. she didn't have to do that. Momo angeingia mashamshamu hio simu ipigwe lokole akiwepo.. 😂
@angelinakajana27952 ай бұрын
Kweli Yani hii interview ingenoga zaidi kwenye mashamsham😂😂
@GloriaNikiza2 ай бұрын
Kesho atakuepo
@franksaga34132 ай бұрын
Kalinda ugali wake kwa danga.
@nabiljumaothman59122 ай бұрын
Wallai Momo Iman ya Dini imetulia sana Big up mashaa Allah
@MayaAlamari2 ай бұрын
Allah awape masikizano wanangu ndoa mawarda wa rahma awaruzuku kizazi chema yaarab
@chemstry4092 ай бұрын
Mdogo wango Momo kweli upo KWENYE MSITU MAANA MMEACHANA LAKINI WEWE BADO UNAONA MPO PAMOJA...duuuhh pole sana kaka ndio ukubwa huo......😢
@worldentertainment98652 ай бұрын
Sasa mbna huyo malaika amepanick hvyo, inaonekana amekasirishwa na momo kuoa mke mwingne wanawake bana😂😂😂😂😂😂
@njoostudio_2 ай бұрын
Dah!!! Hii Senario Ilishanikuta Wanawake Bana Kweli Natamani Kuoa Tena Ila Nakufa Moyo Ngazi
@williepedro52952 ай бұрын
Men we need to be treated well too with our ladies. Yay😎
@KelvinChana-bt4kz2 ай бұрын
momo ameongea point
@onekisstv84122 ай бұрын
Momo mke wako asipokuheshimu ata pata tabu sana mimi naomba mungu akusimamie awape kheri
@chifkeef50002 ай бұрын
eti na mahusiano yangu!! asiseme mwanaume wangu aseme wanaume wangu 😂😂😂😂😂
@mlelwatv58312 ай бұрын
Hao wanapendana na demu kwanini apige simu 😂😂
@wemaMichael-fr4th2 ай бұрын
momo ujamov on pole sanaa
@Ruu9742 ай бұрын
Anampenda malaika na malaika anaitumia kama fiimbo ya kumchapia maskini anatia imani
@leokamil62842 ай бұрын
@@Ruu974Au ni ulimbukeni wake tu kwa huyo mwanamke asiyejiheshimu .
@GiftAbduly2 ай бұрын
Sasa momo ulimuomba mungu akubadilishie furaha yako au akupe nyingn kakupa furaha nyingn lakn bado una nga'ng'ania ya zamani ni nini??? Ila malaika mhmmm kupanic kwann sasa😂 ..........
@chifkeef50002 ай бұрын
eti naenda brasil ku host 😂😂😂 client kapatikana ibiza huko!!
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Ipo ivi mungu amesema ivi mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa jasho..mwanamke pesa yake ni yakwake azawaiz aamue yeye mwanamke kwa hiyari yake ila sio sheria na sio by forcing...mwanaume inatakiwa awajibike kama mwanaume ...lil om acha kulelewa uko nikupingana na mungu...zawadi kwa wanawake kummpa mwanamke kwa hiyar sawa ila sio dhambi wala lazima akiacha kufanya ivyo ..kwaiyo habar ndo iyo lil om
@nabiljumaothman59122 ай бұрын
🎉Momo very smart wallai
@KulwaMbeko2 ай бұрын
Mimi ni mwanamke ila nawaogopa wanawake 😢😢
@HabibaHassan-t2u2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@issampenjage99602 ай бұрын
Momo ni mwalim mzuri wa vijn kweny upande wa mahusiano
@Jassmin-media-official2 ай бұрын
Wanaume wa Africa kwanini huwa amu move on?kwanini umuongeleee?ongea mambo yako ongelea mke wako mpya usimuongelee ameongea vizuri usimuongelee anamahusiano yake
@Mina.15Ай бұрын
Pole kaka 😂😂
@Said_Abdul2 ай бұрын
Malaika's phone call a sign of a injured animal. She is not happy momo to have a wife.
@rehemarwanda60392 ай бұрын
Malaika AMEPANIC JAMANIIII 😂😂😂😂😂
@SaidiMushi-h2k2 ай бұрын
Tafsiri ya neno mwanaume ni kichwa cha familia huwa mnaitazamaje?
@leaherasto9292 ай бұрын
malaika kapanic sana
@YunisJerald2 ай бұрын
Ana sauti kama ya baba Tiffa jamani
@rutibatinya2 ай бұрын
Les Nyanges😘 the same DNA!!
@rosehaule67652 ай бұрын
Yaan copy hawa ndgu kabisa na Monday ahiitaji DNAnimeamini walichisemaga kuwa wao ni ndgu
@modestsanga60432 ай бұрын
Momo nimwamba mnoo ila Dem anaonekana ameumia mwamba kuoa ukisikiliza anavyozungumzaa
@unbreakableteam82252 ай бұрын
Hekma nyingi sana .. momo nakubali
@leokamil62842 ай бұрын
Malaika kapaniki ni kama kapanik Momo bora umeoa na shikilia hapo hapo usigeze shingo nyuma. Rikado usimuongelee tena huyo Malaika ukitaka kulinda ndoa yako mpya. Kwanza hana adabu, yeye anajua unampenda bado ndio maana anataka kukutia stress za kuwa ana mwanamme mwengine. Acha na huyo hakufai
@rizikiplatnumz55752 ай бұрын
Nipo kwenye inter vew 😂😂😂 momo bwana
@HadijaMussa-cf4em2 ай бұрын
Itakuwa ajamuaga😅
@unbreakableteam82252 ай бұрын
Watu wenye hekma tumemuelewa momo
@StanMobileMagic2 ай бұрын
Huyu mwamba anateswa na mapenzi
@AfricaQueen2 ай бұрын
💯🤝🤝🤝✍🏽
@lissaseif47442 ай бұрын
Momo bado haja move on 😢😢😢
@spreadlove5300Ай бұрын
Wewee momo usipomkazia huyo malaika ataendelea kukuzuzua 😮😮😮 hata kama bado unampenda na mmezaa kuwa na msimamo 😮😮😮 ukiendelea kuwa goigoi hata huyo mtashindwana
@l.marley_25422 ай бұрын
Momo uko sahihi kabisa
@josephineosen73372 ай бұрын
Momo anaakili saaana
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Ipo iv mwanamke atazaa kwa uchungu mwanaume atakula kwa jasho lil om..usipende kulelewa ..sio sheria wala by forcing mwanamke kulipa or kuhudumia mwanaume nooo..big noo..lil om mwanaume ndo anapay bil kwa mwanamke wake...kama hela huna na mwanamke kaomba mtoko na wewe mwanaume haupo powa basi panga wewe..ila kwa matumizi usitegeemee za mwanamke...mana mungu ndo kasema ivyo pesa za mwanamke ni zakwake labda aamue kutumia dhidi yako kwa hiyar yake..sio by forcing..umeelewa lil om
@nickysubaru21082 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili mnoo
@HusseinRamadhani-tu3ld2 ай бұрын
Huyo malaika kwanza hajafunzika kiadabu hata kidgo huwez kuzingumza maneno ya hvo kwa mtu aliefunzwa kiadabu
@MwasuKhamis2 ай бұрын
Alotoa idea ya date ndo jukumu lake kulipa
@NuruCleopa2 ай бұрын
Malaika ndio anampenda momo mbona anspanic vitu vdogo
@AsiaOmar-mr7bk2 ай бұрын
Isee jmn mapenz yanaumiza mm ingekua kuna njia nyengine yakupata watoto bila kuolewa nisende olewa sema unaogopa kuzini lzm uolewe kuepuka uzinifu * mm naona wanaume ndio wanaumiza jmn
@mwamvuaiddy98682 ай бұрын
sasa mmeachana na Taraka haujampa na dini yetu kama haujatoa Taraka ndoa bado ipo
Inaonekana haachika Badoo huyu na hajapewa talaka kakimbia tu nyumba
@dizzomontana7219Ай бұрын
Malaika roho ina muuma sana 😅😅😅😅
@erikamartin26552 ай бұрын
MAONI YANGU NI KUWA OMMY SIKU HIZI ANAKUWA KWENYE SIMU SANA ZAIDI YA KUHOST INTERVIEW. NAONA HAIVUTII WATU HAWA INTERVIEW YA DI VOICE! JARIBU KU BALANCE!
@GloriaNikiza2 ай бұрын
Momo bado anampenda malaika bado oooh
@keifatuke992 ай бұрын
MIMI NI MWANAMKE NINAE JITEGEMEA,NINACHOSHAURI WANAUME ,UKITAKA KUWA NA MKE BORA ACHA KUMPA UHURU ULIOPATILIZA,WANAWAKE WANAHITAJI KIONGOZI KWENYE NDOA, EITHER MWANAMKE NA ELIMU OR PESA,MKE NI MKE,NA MUME NI MUME,HATUFANANI.
@AzaAzamhmod2 ай бұрын
SAUTI NA DAIMOND COPY NA PASTE
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
MALAIKA SIKU MOJA UTATAMANI KUFUTA HII KAULI!!!!! ITAKUA TOO LATE!!!!
@AzaAzamhmod2 ай бұрын
MALAIKA AMA SHWETWAN😂😂😂MWENYEWE ANAONA MAISHA KAYAPATIA.SHAME ON HER😢 RICADOMOMO MUHESHIMU MKE WAKO WA SASA.ACHANA NA UYO SHWETWAN KUMZUNGUMZIA HAUONI UNAMUUMIZA MKEO?UMEONYESHA UDHAIFU WW KIDUME.NAONA SHWETWAN AKIPGWA MATUKIO ATARUD NA UTAMPOKEA😢JIREKEBISHE DEALS NA WIFE WAKO
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Momo ushaowa sasa kwq nini unamuongeleya x?
@husseinmkongomkongo84472 ай бұрын
Yani anaongea momo lakini aibu naona mimi,momo anapinda pinda lakini ukweli bado anampenda malaika,mana utetezi wake momo kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuelewa.momo move on kaka,huyo malaika mwenyew shepu kama kabandikwa na gundi au cement,haina ushirikiano na viungo vingine.
@MOHAMEDMEDHAMIS2 ай бұрын
Momo Kafail Kumzungumzia Malaika Kwa Hii Interview...!
@Chakol123-k7s2 ай бұрын
Mbona Malaika kapanic au anaogopa ataachwa na bwana mpya 😂😂😂
@rasmbegu2 ай бұрын
Husiano wa binadamu unachagamoto sana ni atari momo kaza damu yangu sisi wote ni wa dhaifu cha mhimu twende tuishi damu yangu
@farhannahkulishwaburekunam53602 ай бұрын
Sasa momo anasema talaka momo anasema hajatoa talaka bado anampenda
@Teresia-e8w2 ай бұрын
😂😂😂kwenye hii dunia wanaoweza kushaur mahusiano ni navikenzo peke yao
@nassibunassoro3892 ай бұрын
R and L ni tatizo kwa watu wengi saana
@Naju6452 ай бұрын
Kama mm namwenzangu tumebakiza mwez tufunge ndoa hatuna mawasiliano Leo inaenda week yapili sijui ndio forever maana naona hakuna wakujishusha
@njoostudio_2 ай бұрын
Duh!!!
@lucymtui86802 ай бұрын
Poleeee
@Urbanwastecollectors2 ай бұрын
Kama umelielewa Hilo nakushauri jishushe ili mtatue tofauti zenuu ..na pia kwenye maisha ya ndoa mara nyingi mkiwa wote juu hamna kitakachoenda
@NinaMon-b1y2 ай бұрын
Mmmmh
@NinaMon-b1y2 ай бұрын
Jishushe
@rosehaule67652 ай бұрын
Momo.ww ni mwanaume haswaa kaka familia inahitaji siri aina haja ya kuongea kumalizia utafika mbali kaka kwenye maisha ...umeelewwka vizuriii maana kuna baadhi ya wanaume wa sasa uwiii siri za ndani zote akiguswa kidogo tu kqmaliza yooote mda uhuu aliyopewa kuongea 😂😂 kwa mwanaume asiye na hekma angemaliza
@farhannahkulishwaburekunam53602 ай бұрын
Wewe ni shetani wee dodoma halafu unajifanya unajua dini mwanamke tusema umakuwa wazim sana au unadanganywa na hayo matako au kwa vile msomali au nini maana mwanamke amazing mwanake anatembea uchi na wewe unasema hujamuacha huoni kunabeba dhambi zote anazofanya au ndo ujinga ulionao vile ukimuona njiani unajisifu mke wangu s8jamyacha wacha uhanisi ati unajua dini dini gani hiyo
@Quran-hidayat012 ай бұрын
omy hao vyuma mabahili
@farhannahkulishwaburekunam53602 ай бұрын
Asitafute mzunguko sana anashindwa kusema anaogopa kusema ukweli anaona malaika atakasirika kiufupu kwa alikurupuka mwanamke sio hajatulia muhuni pili mavazi anatafuta wanaume wenyewe pesa
@ebbychipa80102 ай бұрын
Momo zee la kudele
@nahyialetomia92842 ай бұрын
Malaika amekunywa 🍺
@ShaeebMohammed-e1h2 ай бұрын
Kama mamaake diamond amemtia sumu diamond kumuambia mzee abdull sio babake ili asirithi mali
@adijaniyonkuru97312 ай бұрын
Sio bb yke unaladhimisha
@seiphomary8342 ай бұрын
Muda gan unahtajka kuelekea kuoa ukiwa na mtu #
@noorbazaar906316 күн бұрын
I have learnt something 🎉
@saidmasoud90042 ай бұрын
Momo unaonekana dhaifu. Nyoosha maelezo hata watoto waeleze ukweli.usiwe mtumwa wa mapenzi.
@chifkeef50002 ай бұрын
bbl really pays 😂😂😂
@Ruu9742 ай бұрын
😂😂😂
@AfricaQueen2 ай бұрын
🤣😂🫣and stinky 🫣🤪😂
@abdallahamad78412 ай бұрын
Mimi wewe ni mtu wa dini kwani humumbia mkondo akiwa na yeye apate kuachana na mambo ya ajabu
@nahyialetomia92842 ай бұрын
Malaika ana 🧠 kama ya 🦟
@miriamwinston99082 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
@zachmaselle66352 ай бұрын
Mnataka kuiga maisha ya ulaya wakati mawazo ni ya kitanzania. Ya wazungu waachieni wazungu. Utamaduni wetu. Stop the nonsense of who is a real man. Ask the American woman now.
@lucykristensen71452 ай бұрын
You are right. In Europe men and woman are equal. They both take responsibilities and pay their bills equally. Wanasaidiana kama wapenzi. Wa awake tunajishusha. Ndiyo mama wanaume bongo wanawakimbia. Tegemezi la wanaumi. On my Yuko sahihi lakini yuko peke yake. Nchi zulizoeendelea kawaida mwanamke kumtoa mpenzi wake outing na kulipia bills. Maisha ni 50/50. The real man iendane na the real woman. Real woman wapo. Wanatembea na pride.
@Jassmin-media-official2 ай бұрын
Labda kwa Africa ila hapa ulaya mkitoka lazima wote mlipe nusu nusu sio mpaka usubiri mwanaume alipie nyote mnafanya kazi why mpaka ulipiwe kwani wewe kiwete?